No video

YESU ALIVYONITOA KWA MUUJIZA KUABUDU MIZIMU CHINI YA MTI MPAKA KUWA MCHUNGAJI•Mch.Tumaini Mihalalo

  Рет қаралды 4,322

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.13322701
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 6
@faithe4063
@faithe4063 2 ай бұрын
Kuna kitu watu wa Mungu bado wajejua, unapo kubali kupokea Yesu kristo kuwa mwokozi wa maisha yako, hapo ndipo umechokoza wachawi wale uliyo enda kwao kutafuta msahada, kwa hiyo basi unapo kubali kupokea Yesu kristo, uwe mtu wa kuomba bila kukoma na kusoma maandiko kila mara Ili ushinde majaribu. Kwa Yesu kuna Amani kuna upendo kuna ulinzi wa kipekee na usima wa milele.
@HelenKodi
@HelenKodi 2 ай бұрын
Ushuda wa kuinua imani ya Mtu sana Mungu akubariki sana Mtumishi umepitia Mengi lakini Mungu ni Mwaminifu
@judithbett420
@judithbett420 2 ай бұрын
Amen. Yesu ndiye kila kitu. Asante sana mtumishi wa Mungu, Mungu akubariki sana kwa ushuhuda mzuri.
@catherineangaufoo2530
@catherineangaufoo2530 2 ай бұрын
Amen mtumishi. Nashukuru kwa ushuhuda mzuri.
@user-rr3ef2ym2l
@user-rr3ef2ym2l 2 ай бұрын
Amen namimi naitaji nitowe mchangowangu kidogo nitafanyaje
@rerisamba
@rerisamba 2 ай бұрын
Jina lingine ni taabu kuna mama anaitwa tabu usitamani yani tabu kila corner
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 42 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 51 МЛН
Kazi na Matokeo ya Neno la Mungu kwa Mwanadamu || Brown Mwakipesile
56:37
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 725 М.
NGUVU YA NAFSI|UKOMBOZI NA MAMLAKA YA KUZISHINDA|Mch Amiel Katekella
1:05:57