YESU NI MUNGU AU SIO MUNGU

  Рет қаралды 48,201

Mzee wa upako

Mzee wa upako

Күн бұрын

Пікірлер: 719
@MichaelSichimata-ri2td
@MichaelSichimata-ri2td 3 ай бұрын
Hilo somo wengi hawalifaham Asante kwa ugafanuzi mzuri
@hajisalimmhina3983
@hajisalimmhina3983 9 күн бұрын
Sema tu . Yesu alikuwa na wadogo zake
@AlfredAlfred-yd2mg
@AlfredAlfred-yd2mg 6 ай бұрын
Yesu mwenyewe hakusema ni Mungu acheni kukufuru
@amossteven9538
@amossteven9538 2 ай бұрын
Isaya 9:6, kwa maana kwa ajiri yetu amezaliwa mtoto wa kiume, nae ataitwa mshauri wa ajabu, baba wa milele, Mungu mwenye nguvu na uweza wa kifalme utakuwa mabegani mwake
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu Ай бұрын
😂😂😂😂😂wewe hunaakili yesu ni mtuu
@JudithRenald
@JudithRenald 28 күн бұрын
Nikweli yesu nimshauri waajabu ten ni baba wamilele watu wengi san Wana yapinga maandiko
@FadhilZaharan
@FadhilZaharan 16 күн бұрын
Shida ipo apo isaya ninabii atamtabiliaje Mungu kua atazaliwa Yaani Mungu azaliwe kweli soma vizuri biblia
@raheemaamani6158
@raheemaamani6158 7 ай бұрын
Mimi ni Muislamu lakini nakufatilia Sana Mzee WA upako napenda Sana maombez yako waambie hao wenzie Yesu sio mungu wala sio mtoto WA mungu Allah akuongoze IPO siku utakuja kwenye njia ya haki
@michaeldoroleo4864
@michaeldoroleo4864 7 ай бұрын
Njia ya haki ni moja tu nayo ni Yesu kristo,epuka matapeli wengine.
@martinjohn7854
@martinjohn7854 7 ай бұрын
KWA hili, 😂 alishaslim KWA siri.
@martinjohn7854
@martinjohn7854 7 ай бұрын
KWA nini ulijua MIAKA arobaini, lakini unasema leo.
@martinjohn7854
@martinjohn7854 7 ай бұрын
Na Roho MTAKATIFU ni Mungu?
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 7 ай бұрын
Waambie hao wenzio Mohamed sio nabii Wala allah sio Mungu ,Mungu ni YEHOVA hakikisha unasoma vzr vitabu
@mohammedabdullah5895
@mohammedabdullah5895 Ай бұрын
Bado kuslim tu karibu katika dini haki uislam
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 5 ай бұрын
Yesu ndiye njia kweli na uzima, mtu haendi kwa Mungu bila kupitia kwa Yesu, so Imani ya wakristo imejengwa kwenye msingi mwamba Yesu, mtu asipojenga juu ya mwamba uchukuliwa na kila aina ya elimu
@elishampoki8751
@elishampoki8751 7 ай бұрын
Wafilipi 2:6 yohana :1:1 isaya 7:14 Yesu ni Mungu katika sura ya Binadamu 1:1yohana 8:58 Yesu akawaambia Amini Amini nawambia yeye ibrahimu asikkuwako Mimi Niko kutoka 3:14 Mungu akamwambia Musa ,Mimi Niko Ambae Niko Akasema ndivyo utakavyo wambia Wana Israeli Mimi Niko Ambae Niko ametuma kwenu ufunuo 22:12 Tazama naja upesi na ujira wangu ufunuo 22:13 Mimi ni Alfa na Omega😊ufunuo 1:7
@elishampoki8751
@elishampoki8751 7 ай бұрын
Unatakiwa uanze kufundishwa upya neno la Mungu Mungu Baba na mwana na Roho mtakatifu ni Mungu yuleyule isipo kuwa mmoja aliejifunua katika utatu,mtakatifu kwa hiyo Mungu ni mmoja tu aliejifunua katika utatu. Mtakatifu Ni sawa wewe mwantembe umekamilika katika utatu roho ya mwantembe mwili wa mwantembe nasfi ya mwantembe lakini ni mwantembe yuleyule mmoja katika utatu
@johnchalahani6924
@johnchalahani6924 7 ай бұрын
Uko sahihi mzee wa upako ni sahihi kabisa Yesu siyo Mungu bali ni mwana wa Mungu. Yesu ni kiunganishi kati ya mwnadamu na Mungu baba.
@AliHamad-qy9ks
@AliHamad-qy9ks 7 ай бұрын
MZEE nakufatilia Sana! Na haya unayoyalingania yamo ndani ya QURAN TAKATIFU! Kitabu cha mwisho alichoteremshiwa Mtume wa mwisho MUHAMMAD S. A. W
@paulmushi2428
@paulmushi2428 7 ай бұрын
Wewe nawe tuondolee kitabu Cha kukopikopi
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 7 ай бұрын
​@@paulmushi2428pole huna unalolijua...
@AliHamad-qy9ks
@AliHamad-qy9ks 7 ай бұрын
MUNGU anasema katika QURAN TAKATIFU mwambie Paulo mush na wanzake MUNGU NI MMOJA TU! AMETAKASIKA, HAKUZAA WALA HAJAZALIWA, WALA HAFANANISHWI NA KITU CHOCHOTE KILE! MZEE ameamua kuhubiri haki kumtakasa MOLA wake!!, wacha akili ya kukaririshwa! Mfuate MZEE akupe elimu!!
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 7 ай бұрын
Nan kasema Quran n kitabu Cha Mungu wakati ni mhuni na Malaya,mbakaji fulan aka kaaa na kuandika
@AliHamad-qy9ks
@AliHamad-qy9ks 7 ай бұрын
@@yustomwaisomania2587 YESSU amesema katika bibilia QURAN TAKATIFU ndio kitakuwa kitabu cha Mwisho Na MUHAMMAD S. A. W 'amemtaja ndani ya BIBILIA kwamba atakuja kufanya kazi hiyo hiyo ya kwrmba MUNGU ni mmoja HAKUZAA wala KUZALIWA na yeye die anaestahili peke yake kuabudiwa!!! . Muombe MZEE MSEKELO awatolee na fundisho hili pia kwani analitambua na kulifahamu vizuri
@samoraasura3909
@samoraasura3909 7 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi kazi nzuri
@meshack_kaleb
@meshack_kaleb 2 ай бұрын
2 Wakorintho 5:18-19 [18]Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo, naye alitupa huduma ya upatanisho; And all things are of God, who hath reconciled us to himself by Jesus Christ, and hath given to us the ministry of reconciliation; [19]yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho. To wit, that God was in Christ, reconciling the world unto himself, not imputing their trespasses unto them; and hath committed unto us the word of reconciliation. MUNGU alikua ndani KRISTO yaani IMMANUEL MUNGU PAMOJA NASI.
@allykaka3484
@allykaka3484 7 ай бұрын
Mungu akufungue akiliyako zaidi ya hapo katika mama aamin.
@MasikuHajiMasiku
@MasikuHajiMasiku Ай бұрын
Uko sw I'm Muslim masiku khajj God bless you my dad
@chachanyawaya9810
@chachanyawaya9810 2 ай бұрын
Umemaliza vema, yatosha kumwamini Yesu ni mwokozi wetu yatosha. Maana awajua waliowake toka wakiwa tumboni mwa mama zao. Amina.
@moseskaluwayo2836
@moseskaluwayo2836 7 ай бұрын
Very good Bishop. Keep it up
@moseskatega8441
@moseskatega8441 7 ай бұрын
Uko sahihi kabisa Mzee wa upako.Yesu anasomeka akisema" Naenda kwa Mungu wangu aliye Mungu wenu. Biblia imeandikwa na Wazugu kwa nia zao.Hata kabla ya Biblia, Mungu tulimjua na aliwatendea watu kama walivyomuomba.Mimi hata hilo jina Yesu walilitunga Wagiriki.Ni IESUS CHRISTOS.Maana SUS ni jina la Mungu wa Wagiriki wa kale.Jina halikutoka kwa Mungu.
@JudithRenald
@JudithRenald 28 күн бұрын
Yesu ni mungu kwa sababu yesu alipokuwa duniani alikuwa emanueli yaani mungu pamoja nasi ukisoma mathayo1:23-25 maandiko yanijidhihirisha wazi wazi
@RashidAlannabhaniy
@RashidAlannabhaniy 2 ай бұрын
Wew mkristo wapekee mwenye Imani thabit nawaislamu katka kuitakidi yesu ninan naamekuja kwaajili yanin Allah akuongoze zaid katka kuijua haki zaidi yahapi
@MisalabaZanzibar-k8c
@MisalabaZanzibar-k8c 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu keep it up
@EphremMurhulamuderhwa
@EphremMurhulamuderhwa 2 ай бұрын
Yesu kristo ni Mungu kabisa kabisa
@khamisBaharia
@khamisBaharia 2 ай бұрын
kwaio unapingana na bibilia yako?,
@mwalimuaman9755
@mwalimuaman9755 7 ай бұрын
Mzee wa upako, Mungu akusaidie sana, wewe ni mwanadamu tu, hata Mungu angekuwa mwanadamu wa kujivuna kama wewe angejifunua kwako ila hana hasira kama mwanadamu ni mwingi wa rehema kwetu, nakuombea, siku moja ujue kuwa Yesu ndiye Mungu. Ila nakuhakikishia Yesu ni Mungu ukatae ukubali na Muda si mrefu utajua nakushudia kuwa Yesu ndiye Mungu au si Mungu
@khatibabass3106
@khatibabass3106 7 ай бұрын
Toa andiko acha blabla
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 7 ай бұрын
​@@khatibabass3106huyo mtumishi wako unaemwamini, ni mtu wa tungi, ndo maana yesu alisema, amelaaniwa yeye anywae kileo, au ampae mtu kileo apate kuona uchi wake, sasa huyo mzee wa upako kalaaniwa, kwakua hua anakunywa mvinyo,
@aloycembaruku
@aloycembaruku 7 ай бұрын
Kama Yesu ni Mungu angejua cku ya mwisho mbona amesema yeye hajui Wala malaika ila anayejua ni Mungu tu.Halafu soma Ufunuo 1:1 utaelewa
@michaelapolonali1289
@michaelapolonali1289 7 ай бұрын
27 Akasema, Nimekabidhiwa vyote na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia. Mathayo 11:27
@michaelapolonali1289
@michaelapolonali1289 7 ай бұрын
5 Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi twaijuaje njia? Yohana 14:5 6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Yohana 14:6 7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona. Yohana 14:7 8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha. Yohana 14:8 9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba? Yohana 14:9 10 Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake. Yohana 14:10 11 Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe. Yohana 14:11
@aloycembaruku
@aloycembaruku 7 ай бұрын
Kwa akili huru unaeleweka.Tatizo watu walilishwa itikadi za dini bila maandiko.But mm nimekuelewa mnoo.Hata Yesu msalabani alisema Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha? Sasa aliyemuacha Yesu hapo ni Mungu Yupi ikiwa Yesu ndio Mungu? Barikiwa sana Mzee
@msangiramadhan1911
@msangiramadhan1911 7 ай бұрын
Yani ukichoongea kinaeleweka Kwa wepesi bila ushabiki
@ipyanageorge8211
@ipyanageorge8211 7 ай бұрын
Yesu anasema Mimi ni njia kweli na uzima... mtu haendi kwa baba ila kwa jina langu
@kaoretosha6668
@kaoretosha6668 7 ай бұрын
Delutional
@msangiramadhan1911
@msangiramadhan1911 7 ай бұрын
Sasa uyo babake na yesu ndo mungu mwenyewe sio yeye
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 7 ай бұрын
Umeeleweka sanaaa
@juliusmartin1839
@juliusmartin1839 7 ай бұрын
Tito 2:13 tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; Tito 2:14 ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafishia watu wawe milki yake mwenyewe, wale walio na juhudi katika matendo mema.
@rangowauswazy8430
@rangowauswazy8430 7 ай бұрын
Hivi wewe mtu unaakili timamu unaminishwa yessu ni mungu kweli yani mungu kabigwa makwaju na mijeledi na watu aliowaumba mungu kasulubiwa weka akili yako huru udogoni tulilishwa mafunzo saivi ushakuwa tumia akili zako kuelewa bila kufikiria uliolishwa numa
@allysaidlyambange4500
@allysaidlyambange4500 7 ай бұрын
Mwokozi=Holly spirit Mungu mkuu=yehova Yesu kristo=yesu TUMAINI LA PEKEE
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 7 ай бұрын
Kwa hiyo Yesu jina lake lingine ni YEHOVA. ?....yaani akili ndogo kabisa ya MAANDIKO',...! Ukishamaliza hayo MAANDIKO' tuambie na MAANDIKO' mengine ambayo Yesu mwenyewe anasema 'NA UZIMA WA MILELE NDIO HUU' WAKUJUE WEWE MUNGU WA PEKEE WA KWELI ,NA YESU KRISTO ULIYEMTUMA..! 🤣🤣🤣...Ndugu usigombane na watu , gombana na biblia Yako Kwa MAANDIKO yanayopingamana...🤣🤣🤣
@bensonmsando
@bensonmsando 6 ай бұрын
Yesu ana asili moja na Mungu na ni sawa na Mungu. Yesu hajaumbwa na amekuwepo tangu milele na milele. Mika 5:2 inasema kwamba kutokea Bethlehem Efrata atatokea mtawala katika Israeli ambaye mwanzo wake umekuwepo toka milele na milele. Yesu alikuwepo tangu milele na milele, kabla ya dunia, milima, bahari wanyama, malaika au chochote kuwepo! Isaya 9:6, 7:4 inasema ya kwamba Yesu ni Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani na Mshauri wa Ajabu Wafilipi 2:6 inasema ya kwamba Yesu alikuwa sawa na Mungu kwa asili na AKACHAGUA "kujivua" utukufu wake akazaliwa na umbo la wanadamu (Yesu hakuwa mwanadamu ila ameamua kuwa mwanadamu milele kwa ajili yetu). Pia, Yesu alichagua kuzaliwa kwa sababu anasema "Mimi nilikuja...." Yohana 17:5 Yesu anamwambia Mungu katika maombi kwamba amrudishie utukufu uleule waliokuwa nao pamoja kabla dunia haijaumbwa. Yohana 8:58 Yesu aliwajibu mafarisayo akawaambia kwamba kabla Ibrahimu hajazaliwa "Yeye ni Niko." Niko ni jina takatifu la pekee ambalo Mungu alijifunua nalo kwalo kwa Musa na taifa la Israeli (Kutoka 6:2-3). Jina hilo lilitajwa wakati wa sikukuu ya upatanisho na wakati kuhani alipokuwa anasema "baraka." Mtu yoyote ambaye angelitaja hilo jina takatifu, la ufahari na la kuogofya alipigwa mawe hadi kufa (Mambo ya Walawi 24:11, 16 Kumbukumbu la Torati 28:58) Jina "NIKO" ndilo jina Yesu analolitumia hapa katika Yohana 8:58 na walijua hakuna mtu aliruhusiwa kulitaja hilo jina kwa sababu ni kufuru kubwa ya kujilinganisha na Mungu. Walipoenda kumkamata Yesu pia (Yohana 18:6) Alisema ya kwamba Yeye ndiye (NIKO) wote wakaanguka chini! Yesu alithibitisha uungu wake pia alipoapishwa jwa jina la Mungu na kuhani mkuu mbele ya baraza la wazee na walimu wa sheria. Yesu alitumia Jina kuu la Mungu la "NIKO" na kuhani mkuu mara moja akachana mavazi yake kwa kuwa alijua Yesu anajiita Mungu (Marko 14:62) Tukumbuke ya kwamba kosa ambalo walitumia kumsulubisha Yesu ni kwa sababu alidai Yeye ni "Mungu." Kwenye Yohana 20:28 Tomaso anamwona Yesu baada ya kufufuka, yule Yesu ambaye alikuwa fundi seremala na anamwita Yesu "Mungu Wangu na Bwana Wangu." Yesu anaonyesha UUNGU wake pale alipomponya mtu mwenye kupooza kwa kumwambia amemsamehe dhambi zake zote. Walimu wa sheria walikerwa na kusema Yesu anakufuru kwa kuwa ni Mungu tu ndiye anayeweza kusamehe dhambi. Yesu alionyesha UUNGU wake kwa kumponya na kumsamehe dhambi (Marko 2:7) Yesu alionyesha UUNGU wake alipotumia maneno ya kuamrisha alipoimbia bahari itulie. Wanafunzi wa Yesu wakasema huyu ni mtu wa namna gani hata mawimbi na upepo vinamtii (Marko 4:40-41, Zaburi 65:7, 107:26, 29) Yesu alionyesha uungu wake kwa namna alivyofundisha. Wale maaskari waliohongwa kumkamata. Walifika kwenye tukio wakaishia kumsikiliza siku nzima na walipoulizwa kwa nini hawakumshika wakasema hakuna "mwanadamu" amewahi kufundisha kama Yeye. Hapa pia anathibitisha uungu wake (IYohana 7:46). Yohana anasema hapo mwanzo alikuwako Neno, huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu na huyu neno alifanyika mwili akakaa miongoni mwetu (Yohana 1:1, 14) Paulo anasema katika Warumi 9:5 kwamba Yesu ni Mungu aliye juu ya vyote. Paulo anasema UUNGU WOTE (hakuna sehemu iliyobakishwa hata chembe ndogo) wa Mungu ulikaa ndani ya Yesu alipokuwa duniani (Wakolosai 2:9) Huyu Yesu atarudi tena mara ya pili na kuwapa waamini wanaomwishia mwili mpya wa utukufu na atawachukua kuishi nao milele na milele.
@fundimau2379
@fundimau2379 6 ай бұрын
Usisome Biblia kama nyimbo hiyo tito 2:13 kuna kituo simama kidogo utaona utofauti (,)
@aggreyprince3983
@aggreyprince3983 6 ай бұрын
Isaya 9:6 Mathayo 1:18-24 Tito 2:13 Yohana 1:1-4 (14) Wakolosai 1:15-23 1Timotheo 3:16 Yelemia 23:25-29 1Yohana 4:1-3 Wafilipi 2:6-11
@IsaacKalenge
@IsaacKalenge Ай бұрын
Mbona Maandiko hayatajwi,Yesu anasifa zote na ndiye Alie umba vitu yote,Yesu Jina lina maana Mungu uokoa Mathayo1:21na23,kwenye mwili ni mwana na binadam,kwenye Roho ni Baba,Yohana1:11-13
@LeocardiaDaniel-sj3wl
@LeocardiaDaniel-sj3wl 7 ай бұрын
Asante kwa kufafanua Jambo Hilo maake limechanganya watu wengi.Ubarikiwe Sana.
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 7 ай бұрын
46:42 labda abarikiwe na shetani sio mungu
@zachariaabraham645
@zachariaabraham645 3 ай бұрын
Yes kuna Mungu na kuna Yesu utofauti unaanzia hapo safi sana mzee wa upako..Leo nimekuelewa
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 2 ай бұрын
Mzee wa upako uko sawa kabisa
@jamalkishangu
@jamalkishangu 6 ай бұрын
Huyu ni msomi na mmoja ya watu wachache wanao sema kweli.
@Adoullahsal
@Adoullahsal 7 ай бұрын
Asante Mzee
@JamesLue
@JamesLue 7 ай бұрын
adui anatoa makombora yake kutikisa kanisa ili kuwamwaga nje wasioelewa maandiko. Tumeona ya C. Shusho, sasa ya mzee wa upako, naamini watafuata na wengine wenye hoja ambazo ziko NJE ya mpango wa Mungu ili kuyumbisha imani za wachanga kiroho na kuwazuia wengine kuingia kwenye Ufalme. Pole kwa wanaofuata walimu kama huyu.
@IsmailKhamis-c3t
@IsmailKhamis-c3t 4 күн бұрын
Mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe h akika mwenye macho ameona na mwenye masikio amesikia kwa wale wanosubiri mapokeo sasa wakasome mzee wa upako umemaliza tena kwa ushahidi wa aya tele kutoka ktk bibilia hakika mungu ni mmoja na yesu ni mtume
@paulmwangoka
@paulmwangoka 7 ай бұрын
ahsante chief mwantembe Kwa somo Hilo ubalikiwe Sana
@tajiriwaroho
@tajiriwaroho 7 ай бұрын
GWAJIMA ANATAKIWA AKasome kwa lusekelo
@hajisalimmhina3983
@hajisalimmhina3983 9 күн бұрын
Haina chenga hiyo iko wazi
@goldenshadrackmsungu3664
@goldenshadrackmsungu3664 7 ай бұрын
Endeleza tu....Yesu sio Mungu.
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 7 ай бұрын
Mzee wa upako sema kweli, mungu ni mmoja tu,jata hivyo yesu mwenywe hakuna sehemu yoyote kwenye biblia aliojiita mungu,hakuna .lakini yesu anasema na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe mungu wa pekee na wakweli na yesu kiristo uliye mtuma.
@salangtvone
@salangtvone 3 ай бұрын
jesus is son of God si binadamu kama MUHAMMAD Ndo tofauti
@salangtvone
@salangtvone 3 ай бұрын
kiufupi ni mwana wa mfalme (mungu muumba wa kila kitu na mkuu katika yote) ila tambua yesu si binadamu ni mwana wa mungu
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 3 ай бұрын
@@salangtvone ndugu yangu soma kwanza usibishane bila elimu, hapa duniani tunapita na sio sehemu ya mchezo mungu katuleta kwa lengo la kumjua na kumuabudu ,yeye peke yake, hana mwana wana baba wala mama , hakuzaa wala hakuzaliwa ,na hana mshirika katika kaxi zake, wala hafanani na chochote kile, hali wala hajwi ,halali wala hachoki, hafi wala hakuna aliye muona au kumshika MUNGU, SOMA UMJUE MUNGU MUUMBA WA VYOTE, Okoa nafsi yako mapema kabla umauti hauja kufika kila mtu anakwenda kuhukumiws kivyake ,hakuna ushabiki huko wala haskhara wala utani wala ubishi, soma umjue mungu ili umuabudu unusuru nafsi yako , Nakuombea mungu akuongoze uijue haki
@IsaacKalenge
@IsaacKalenge Ай бұрын
Kama Kuna chuo kitaa uungu wa Yesu ni Cha shetani,Maandiko mengi yana sema Ni Mungu,Yoh11-4,5:18 Maandiko yanasema watu wote wa mheshimu mwana Kama wanavyo mweshimu Baba,Yohana5:22
@edinajairo
@edinajairo 4 ай бұрын
Yesu ni njia ya kweli na uzima m2 haji kwake mungu bila kupitia kwa yesu
@paulmushi2428
@paulmushi2428 7 ай бұрын
Mzee unafundisha vizuri sana wawekee hapo na Maandiko
@mrdeniskomba6199
@mrdeniskomba6199 7 ай бұрын
Kazi tunayo, Kujua yesu ni mungu au si mungu hainifaidii lolote kama naishi bila Yesu.
@JamesLue
@JamesLue 7 ай бұрын
Kama unakiri kwamba inahitaji milele kujua sehemu ndogo sana ya Mungu; kwa nn unaongea kana kwamba wewe unajua yote kuhusu hicho ulichosema? Kwa nn usiseme kwamba yawezkana nawe hujui kama unavyodai wengine hawajui? Pole kwa wanaofuata wahubiri kama huyu. Pole yao sana.
@anjeloghuliku2274
@anjeloghuliku2274 4 ай бұрын
Ibilisi Huwa anajihirisha mwishoni amefikia.
@CharlesMwasomola
@CharlesMwasomola 7 ай бұрын
YESU NI MUNGU UTHIBITISHO: Isaya 9:6 Yohana 1:1-3 Matendo 20:28 1 Timotheo 3:16 Yohana 10:30 Ufunuo 1:17 Ili usizidi kukufuru unajiharakishia mwisho wako.
@Barikimgalla-u9i
@Barikimgalla-u9i 2 ай бұрын
Sawa mzeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
@CharlsShukia-ju1wv
@CharlsShukia-ju1wv 7 ай бұрын
Utata kuhusu Uungu wa Yesu Kristo na ubinadamu wa Yesu Kristo haujaanza leo,na tayari ulishapatiwa majibu sahihi na Mababa wa imani katika historia ya kanisa,walitoa Tamko kwamba Yesu ni Mungu kwa asilimia zote 100 pia ni Mungu kwa asilimia zote mia 100 kulingana na UTHIBITISHO wa maandiko yanayomtambulisha kuwa Yesu Kristo ni Mungu Yoh 1:1-5 Yesu Kristo ni mwanadamu Yoh 1:14 na maandiko mengine mengi. Inasikitisha na inashangaza kuona hata wanaojiita wakristo au watumishi wa Mungu, pasipo kuelewa tafsiri sahihi wanawapotosha na kuwakosesha wadogo wasiojua.Inahitajika uchunguzi kwanza kabla ya kufundisha na hili ni fundisho la msingi katika imani ya kikristo,Kumbuka kuwakosesha wadogo unastahili kufungiwa jiwe kubwa na kutoswa baharini Mt 18:5-7
@CharlsShukia-ju1wv
@CharlsShukia-ju1wv 7 ай бұрын
BAADHI YA SABABU YESU KRISTO NI MUNGU:-1,Alikuwepo kabla ya uumbaji 2,Aliumba vitu vyote 3,Kusamehe dhambi 4.Kutotenda dhambi 5,Kuja tena kuhukumu wanadamu na kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yesu Kristo ni BWANA (MUNGU) Flp 2:10-11
@Sheba4651
@Sheba4651 6 ай бұрын
​@@CharlsShukia-ju1wvPole sana, yaani muafrika mwenzangu unaamini ati Yesu ni Mungu, mafundisho ya uongo tu hayo. Hata nawe pia unasamehe dhambi si Yesu tu, kwani hujawahi kukosewa ukasamehe? Yesu awe Mungu asijue siku ya hesabu itakua lini, kicheko! Mungu hazaliwi na mwanamke.
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 7 ай бұрын
Mzee wa upako nitakapofika Mbinguni, nitamwona Yesu na Mungu na roho mtakatifu!! Mzee wa upako. Ww ni mpagani!! Nimejua. Neno ilifanyika mwili ikaja kwetu nasi tukaona utukufu wake. Yohana 1:14. Yesu ni Mungu. Tito2:13. Yohana 14:6-8. Soma mzee wa upako. 1 Yohana 4:1-3. Yohana 3:17-18. Yesu ni Mungu, nimekuacha hapaa.
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 7 ай бұрын
Ameshasoma zote hizo
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 7 ай бұрын
Angalia vizuri mistari yako ya mwanzo hiyo; utamuona Yesu na Mungu na roho mtakatifu'
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 7 ай бұрын
Nimecheka sana mtu anatafsiri mpaka Mbeya
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 7 ай бұрын
tayari imejitafsiri yenyewe kabisa
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 7 ай бұрын
@@nassorsharifu9837 siwezi kufuata mafundisho ya huyu jamaa hata siku mmoja.
@AllyPawaga
@AllyPawaga 7 ай бұрын
Biblia imechakachuliwa sana Allah awaongoze muijue haki
@kamwene
@kamwene 6 ай бұрын
Shida siyo biblia , au dini fulani, shida ipo kwa wanaojiita "waalimu na watumishi wa Mungu" jinsi wanavyowaelekeza watu kuhusu yaliyomo kwenye maandiko....
@rashidmpozayo7004
@rashidmpozayo7004 7 ай бұрын
Nakuelewa sana mzee wa Upako... endelea kutuelimisha
@RizikiRamazani-u6s
@RizikiRamazani-u6s 7 ай бұрын
Tafadhali sana, hacheni kupotosha watu na tamaduni za kigeni, fuateni tamaduni zeni, kwa nini mnazidi kufunga watu minyonyo na upotofu kwenye fikra za watu
@IsmailKhamis-c3t
@IsmailKhamis-c3t 4 күн бұрын
Huyu ndiyo msomi wakiristo wote kasomeni kwa Mzee wa upako
@deusobadia8974
@deusobadia8974 7 ай бұрын
Mstari wa leo : Yohana9:4 Imetupasa kuzifanya kazi zake yeye aliyenipeleka maadamu ni mchana, usiku waja asipoweza mtu kufanya kazi. ( Ni watu WA usku. Hao hawajui maandiko Neno la Mungu moyoni mwao hawana wanaigiza wamelala. Hata Mimi nilikuwa sjui kabisa hata kidogo ila Sasa Neno ninalo YESU KRISTO sio Mungu kabisa bari ni mtoto WA Mungu. Roho WA Mungu alikuwa akitenda KAZI ndani yake. Mungu ni roho.
@rehemaomary842
@rehemaomary842 7 ай бұрын
Wafundishe waelewe maana tunatkiwa maana baba anavyofundisha kwamba Yesu sio mungu mumuelewe sana Chifu anavyo fundisha mimi mwenyewe nimemuelewe.
@betsonishengoma3263
@betsonishengoma3263 7 ай бұрын
Unapoendelea na maelezo yako naomba Ufafanue Yohana 10:31-33 na hasa (Mst. 33). Unamaanisha nini? 31 Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige. 32 Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonyesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe? 33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu. Kumbe hoja Yesu ni Mungu haikuletwa na Wazungu bali ni BWANA YESU MWENYEWE au andiko hili liko kwenye Biblia yangu tu kwako halipo? 😢 Acha Niiitunze clip hii😂😂😂
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 7 ай бұрын
Huyu lusekelo kapotoka,c yeye bali ni shetani yupo ndani yake
@elifasinimpagaritse7902
@elifasinimpagaritse7902 6 ай бұрын
Kwasababu Yesu Ni mwana wa Mungu wayahudi hawakutaka kuamini Hilo maana mtoto wa kwanza wa mfalme Hupewa heshima Kama ya mfalme na Yesu kusema kuwa Mungu ni Baba walimuona kuwa alikuwa akiwambia kuwa yeye ni Mungu mtoto wa mfalme ni mfalme
@anyamisyechengula908
@anyamisyechengula908 7 ай бұрын
Brother umemaliza na hio ndio kweli ya Mungu
@goldenshadrackmsungu3664
@goldenshadrackmsungu3664 7 ай бұрын
Habari ya tomado Yohana 20:24-28. Yesu hakukataa kama yeye sio
@modhanchanelyoutube4746
@modhanchanelyoutube4746 7 ай бұрын
Uposahii mungu azai Wala ajazaliwa nakupenda sanaaaah baba wazungu wanatualibu Mungu akufunue zaidi
@ShabaniMzenzi
@ShabaniMzenzi 2 ай бұрын
Wachache sana mzee wanaolijuahili
@budebadeus3429
@budebadeus3429 Ай бұрын
Mm pia nakubal sana maneno yko watu hawasomi wanasomewa bible na kubak kutabiriwa t na mapatel wa dini
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Pole sana kaka kwa yaliyokupata najisikia vibaya sana juu yako nakumbuka enzi za kule ileje ulipohubili na kusema yesu ni mungu leo unajipinga mwenyewe
@SumaAbduly
@SumaAbduly 3 ай бұрын
Kaelewa ukwer wewe Baki gizani
@eliyandondole
@eliyandondole 3 ай бұрын
Bas nikipepeo kama huku sio Mungu huku ni mungu atuambie yesu ninani mbona hanyoki
@elishampoki8751
@elishampoki8751 7 ай бұрын
Jina la Mungu ni lipii lusekelo , Rusekelo jina la Mungu ni Yesu kristo, Yesu ni Mungu katika sura ya Binadamu, jinaleke Mungu ni Yesu kristo, Yesu ni Mungu Mkuu ,
@selemanmasanja7878
@selemanmasanja7878 6 ай бұрын
Kwahiyo MUNGU ni mapacha
@selemanmasanja7878
@selemanmasanja7878 6 ай бұрын
Mtoto wa Mungu wa kwanza ni Yesu kristo kabla ya viumbe vyote na uumbaji wowote YESU NI MWANA WA MUNGU
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 3 ай бұрын
Elisha we ndo umekariri maandiko
@moseskatega8441
@moseskatega8441 7 ай бұрын
Yesu sio Mungu
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 7 ай бұрын
Mungu Siyo Athumani, Mungu Yesu.
@venerandamaufi8574
@venerandamaufi8574 6 ай бұрын
Tatizo mnakuwa na mawazo potofu ya kibinadamu,kwamba mtu akitaka kuzaa afuate taratibu kdhaa! Mnakufuru na kuchuma dhambi! Kumbuka Mungu ni mkuu na kwa utukufu wake na uweza wake wa ajabu!bila hayo mnayofikiria ninyi ,Yesu alpatikana kupitia mama Bikira Maria!,Yesu atabaki kuwa mwana wa Mungu in na ni Mungu ktk nafsi ya pili ya Mungu.
@JimWaro
@JimWaro 2 ай бұрын
Wenye hekima ya Mungu muombeeni huyu mzee AONE na APONE.
@philipojmwaipopo949
@philipojmwaipopo949 7 ай бұрын
Wewe mzee unazeeka vibaya sana
@ClaudKitoki
@ClaudKitoki 2 ай бұрын
Kwa jina la Yesu na Roho mtakatifu msaidizi wetu tulioachiwa aniongoze hili nililetalo kwa ufahamu wa kiroho Mungu kwa utaratibu wake wa kimungu anaouwezo wa kujigeuza kivyovyote ili tusimuone alivyo maana isoingewezekana muona uhai ungepotea ndio maana alijitamkia na kujibadiri na kuwa kiumbe hai katika sura ya kibinadamu aliempenda na kutaka kumuepusha na Hila za Adui shetani.Inaonyesha umejielevusha na ukapitiliza ukapotea,uelevi mwingi ni upotevu
@ClaudKitoki
@ClaudKitoki 2 ай бұрын
Sidhani walio ndani ya kristo wataunga nawe Bali ni wa upande ule mwingine
@EnockRubeto
@EnockRubeto 2 ай бұрын
🎉wewe nikichwa
@ICT4D-m6s
@ICT4D-m6s 4 ай бұрын
Umenifundisha jambo kubwa na nimeelewa kuwa Mungu ni mmoja tu.
@moseskatega8441
@moseskatega8441 7 ай бұрын
Mimi namuamini Mungu ila habari za Yesu ni stori kama stori zingine.
@ibrahimnaftar9037
@ibrahimnaftar9037 7 ай бұрын
😂😂😂 ila we jamaa umenifurahisha
@elifasinimpagaritse7902
@elifasinimpagaritse7902 6 ай бұрын
Una mwamini yesu ila unajilazimisha kuwa humjui
@JohnMuhogo
@JohnMuhogo 2 ай бұрын
Sio mungu
@bakariiddy5252
@bakariiddy5252 7 ай бұрын
Of course, lam yalid walam yuulad, anasema Mungu mwenyewe. Mzee wa upako uko sahihi asilimia zote.
@FasilKais
@FasilKais 2 ай бұрын
Tena tuambie yesu anasema yeyote anae tenda mema ni mwana wa mungu umesema kweli sisi wote wana wa mungu )( sio kwa kutuzaaa ila kwa iutu umba )( heko kzee wa upako
@philipphanuel9558
@philipphanuel9558 7 ай бұрын
Nenda Kanisa Halisi la mungu baba. Wamekuwa wakifundisha haya yote. Kuwa yesu sio mungu. Bali ni mwana..hata tunavyo omba kupitia yesu tunakosa. Maana yesu alitufundisha Sala ya kuanzia Kwa Mungu baba.
@ackleiambrosi7182
@ackleiambrosi7182 7 ай бұрын
Matendo ya Mitume 20:28 [28]Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe.
@paulomlekwa192
@paulomlekwa192 6 ай бұрын
Jiangalieni wenyewe na kundi lote, ambalo kati yake roho takatifu imewaweka ninyi rasmi muwe waangalizi, mlichunge kutaniko la Mungu, ambalo alilinunua kwa damu ya Mwana wake mwenyewe
@paulomlekwa192
@paulomlekwa192 6 ай бұрын
Soma na hiyo
@paulomlekwa192
@paulomlekwa192 6 ай бұрын
Jihadharini wenyewe; lilindeni lile kundi ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi muwe walezi wake. Lichungeni kanisa la Mungu ambalo amejipatia kwa damu ya Mwanae.
@PiusNjelekela
@PiusNjelekela 7 ай бұрын
ulipoishia ufahamu wako asante baba
@FasilKais
@FasilKais 2 ай бұрын
Kuna mwaka walisema kule morogoro yesu sio mungu weeeeh)( kwa manemo haya kweli sasa wewe ni ktumiahi wa mungu
@anthonyezekiel930
@anthonyezekiel930 7 ай бұрын
Sawa mtumishi wa mungu
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 4 ай бұрын
Ibilisi mkubwa wewe mzee wa upako
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 3 ай бұрын
We ndo huelewi maandiko
@zachariaabraham645
@zachariaabraham645 3 ай бұрын
SOMA BIBLIA SIO MISTARI YA BIBLIA
@NdayisengaProsper
@NdayisengaProsper Ай бұрын
Yesu hajasema mimi nimungu alisema mimi ninjia yakwenda kwababa
@JoelWaziaTayari
@JoelWaziaTayari 7 ай бұрын
Nimeamini wewe siyo mtumishi wa Mungu aliyehai bali weweni ajenti wa shetani, hakika,wewe ni miongoni mwa manabii wauongo wanaoitesa Dunia hii! Njaa inakusumbua pole sana mpendwa!
@joshuabanda7458
@joshuabanda7458 3 ай бұрын
Anton umeshindwa na maisha Acha kupotosha watu
@joshuabanda7458
@joshuabanda7458 3 ай бұрын
Sasa kama hujui yesu ni si uache
@joshuabanda7458
@joshuabanda7458 3 ай бұрын
Kama hujui maandiko si uache
@andrewmaiga4331
@andrewmaiga4331 7 ай бұрын
Mzee wa upako, tunaomba majina ya watoto wa Maria.
@IsackIsacksamson
@IsackIsacksamson 7 ай бұрын
Wewe fundisha watu kuacha dhambi sio Yesu ni Mungu au sio Mungu
@ShannyBrowntz
@ShannyBrowntz 7 ай бұрын
Jamaa wanambinu chafuu sana etii kwakusema Yesu sio Munguu wamempa kesii ya Ushoga ,,
@shabaniselemani9159
@shabaniselemani9159 7 ай бұрын
Huyu jamaa kasoma na yupo sahihi sana
@andreauisso3225
@andreauisso3225 7 ай бұрын
Huyu ndiyo nabii wa uongoo siku za mwisho wataibuka wengi sana na wata mkana kristo kuwa siyo Mungu hadharani anakamilisha kazi ya shetani
@FaustineRichard-kk5xt
@FaustineRichard-kk5xt 7 ай бұрын
Wewe ndiye nabii wa uongo kabisa.
@andreauisso3225
@andreauisso3225 7 ай бұрын
Inaonekana anakuwezesha kuishi ndiyo maana unapambana kumtete
@AlmasKiloba-z6n
@AlmasKiloba-z6n 3 ай бұрын
Mungu akulinde mm muislam hakika unafaa kuungana n walim w kiislam hakuna mungu alie zaliwa n mwanamke
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 2 ай бұрын
Kwa waislam hakuna ubatizo
@salangtvone
@salangtvone 3 ай бұрын
mimi nimekuelewa vzuri sana kwa ufupi chanzo cha mtoto yoyote duniani ni baba na baba ni mkubwa kuliko mwana so mungu ndo chanzo cha yesu (so yesu ni mungu( kwa asili) ila si mkuu kama mungu baba hivyo mungu wa kila kitu ni mungu si yesu
@deusobadia8974
@deusobadia8974 7 ай бұрын
Ufunuo wa Yohana2:10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 7 ай бұрын
Yesu kristo ni mwana wa mungu na ako na mungu mungu wake amutia mafuta
@AbasMajala
@AbasMajala 7 ай бұрын
Yesu siyo mungu ni kweli kaka lusekelo kuwa mwislam uende mbinguni maana ukweli umeshafunuliwa
@yesuyuhaipectv9176
@yesuyuhaipectv9176 7 ай бұрын
Ni kweli Yesu siyo Mungu ni mwana wa Mungu msalabani alisema baba yangu mbona umeniacha.
@ANDREWKIMARO-by3zl
@ANDREWKIMARO-by3zl 7 ай бұрын
Alikuwa akitufundisha kusali Zaburi ya 22 kwa maana tujifunze kumtegemea Mungu kumbuka Yesu ni mwalimu pia ni Bwana Yohana 13:13 Mwalimu kazi yake ni kutufundisha Bwana tafsiri yake katika Biblia ni MUNGU rejea dibaji ya Biblia pia rejea Yeremia 10:10 Mungu wangu Mungu wangu ni nukuu aliyoifanya kutoka katika maneno yake aliyoandikiwa katika Zaburi rejea Zaburi 22:1-11 BHN Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Mbona uko mbali sana kunisaidia, mbali na maneno ya kilio changu? Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu; napiga yowe usiku, lakini nafuu sipati. Hata hivyo, wewe ni mtakatifu; wewe watawala na kusifiwa na Waisraeli. Wazee wetu walikutegemea; walikutegemea, nawe ukawaokoa.
@ANDREWKIMARO-by3zl
@ANDREWKIMARO-by3zl 7 ай бұрын
YESU NI MUNGU Tito 2:13
@paulomlekwa192
@paulomlekwa192 6 ай бұрын
Tafsiri nyingi za biblia zinazotaja kwamba Mwenyezi Mungu ndiye yesu watafsiri waliasiliwa na mapokeo...wasomaji someni tafsiri mbalimbali na kwa lugha tofauti tofauti... Hiyo matendo 20:28 mnayotumia je mmesoma tafsiri kama hizi? Jihadharini wenyewe; lilindeni lile kundi ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi muwe walezi wake. Lichungeni kanisa la Mungu ambalo amejipatia kwa damu ya Mwanae. ❤ Jiangalieni wenyewe na kundi lote, ambalo kati yake roho takatifu imewaweka ninyi rasmi muwe waangalizi, mlichunge kutaniko la Mungu, ambalo alilinunua kwa damu ya Mwana wake mwenyewe.
@juliussamwel6606
@juliussamwel6606 7 ай бұрын
Yesu alisema kabla ya ibrahimu yeye yupo .alikuwa wapi Mungu hauwezi kumfananisha kwa kibinadamu tafakari vizuri.Askofu
@tumowote8879
@tumowote8879 7 ай бұрын
Mwenyezi Mungu aliziumba nafsi za mitume na manabii mwanzo kabla yakutuumba sisi watu wakawaida. Yesu kusema hiyo haimanisho kua yeye nimungu
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 7 ай бұрын
Sio Yesu tu' hata Mimi na ww na yule tulikuwepo kasome MAANDIKO' usiwe mvivu ww.!,, ushakua usikubali KUKARIRISHWA
@edsongodzy386
@edsongodzy386 7 ай бұрын
Hata wewe ulikuwepo tafakari""*
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 3 ай бұрын
Elewa Ibrahim hao ni binadamu wa juzi tu. Yesu na Baba yake walikuweko kabla na waliumba binadamu pamoja. Hiyo haina maana kuwa kwakuwa Yesu alikuwako kabla ya Ibrahim sasa ndo Mungu Baba hapana. Rudia kuitazama video utaelewa.
@mdanzielia7391
@mdanzielia7391 2 ай бұрын
​@@cleophacephelician6739ufafanuzi mzuri sana huu
@AbasiAbasi-v9d
@AbasiAbasi-v9d Ай бұрын
Tatizo n uwelewa tu wa watu
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 7 ай бұрын
Kikubwa na cha msingi ni kumsikiliza yeye Yesu yale aliyotuagiza tuyafanye,uelewa wa maandiko siyo tiketi ya kufika kwa Mungu wetu,bali wenye moyo safi.
@allysaidlyambange4500
@allysaidlyambange4500 7 ай бұрын
Uelewa ni msingi sana tusije abudu shetani miungu3
@ignatiomatimba3554
@ignatiomatimba3554 6 ай бұрын
Anthony acha kuhubiri kwakuwa umeukana uungu wa Yesu
@salangtvone
@salangtvone 3 ай бұрын
hajakana jaman yesuu uungu anao ila ila nayepia alitoka kwa mungu sasa aliyetoka kwa mungu na mungu nani mungu? yeye ni mwana tu wa mungu hawezi kua kama baba yake wala hawezi mpinga mungu bali mungu atafanya atakavyo yeye kwa yesu ila yesu hawezi fanya atakavyo yeye pasipo ruhusa ya baba yake (kwani mwana wa mfalme naye ni mfalme?} ebu elewa basi
@KenedyDesigner
@KenedyDesigner 7 ай бұрын
Yesu ni mwana wa mungu na mungu na ni mungu kwaajili ya jina alilo rith
@givenaron5427
@givenaron5427 7 ай бұрын
Wanafunzi pendi Yesu anapaa walimuomba awaonyeshe Mungu aliwajibu nilikuwa nanyi siku 40 hamkunitambua, na Shetani alipokuwa anamjaribu Yesu alijibiwa direct kwamba usimjaribu bwana Mungu wako.
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy 6 ай бұрын
Azai wara ajazaliwa
@farajisewe7416
@farajisewe7416 7 ай бұрын
Takbiir slowly the truth will be revealed Sijajawahi tegemea kusikia maneno haya ambayo yapo ndani ya quraan tangia enzi na enzi... umefafanunua very clear. Bado unahitaji spanner kigodo tu ili uslim.
@JosephGhapi
@JosephGhapi 3 ай бұрын
Waarabu wameua watu wamewafunga minyororo alafu badae wakaleta stori zao je kati yao na sisi na wao nani alipaswa kumhubiri mwenzie
Casharka 4aad   Eray Bixinta Suuqa Forex
46:23
Red Sea Waves
Рет қаралды 1,1 М.
FORGET THE PAST AND MOVE ON
6:50
Servant Ivan Kibiki
Рет қаралды 73
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
NEBUKADREZA MTAWALA WA DOLA YA BABELI  .
58:16
Mzee wa upako
Рет қаралды 16 М.
HISTORIA YA VITA VYA WAYAHUDI NA WAPALESTINA
21:53
Mzee wa upako
Рет қаралды 107 М.
FAFANUZI JE YESU NI MUNGU.?
46:14
Mzee wa upako
Рет қаралды 33 М.
DUNIA IJUE TUNAE MUNGU ATATUONGOZA KWENYE JANGWA LA KUTISHA
15:01
Mzee wa upako
Рет қаралды 4,5 М.
MAHUBIRI YA KITABU CHA WAFALME
57:42
Mzee wa upako
Рет қаралды 53 М.
UTACHEKA NDACHA /  YESU WA KENYA /  WAISLAMU
1:11:18
F.I.C MUSIC FESTIVAL 2025
Рет қаралды 96 М.