PROPHET IPM AWAUMBUA WACHUNGAJI WANAOTUMIA MAFUTA YA UPAKO NA MAJI HUWEZI PATA UTAJIR KWA MAFUTA

  Рет қаралды 37,939

Maks Media

Maks Media

7 күн бұрын

Пікірлер: 401
@augenmagabila3081
@augenmagabila3081 4 күн бұрын
Mtumishi wa MUNGU IPM, Hongera sana kwa neno lako na umejua sana kuelezea hii ni biashara ya watu. Asiyejua haya yote, atafute na asome kitabu cha aliyefanya mamboo hayo ya kuuza mafuta,maji,vitanbaa, udongo, hela za mapepo , n.k anaitwa Makhado Ramabulana, na kitabu chake kinaitwa Church Mafia. Soma utaelewa ni kitabu kizuri.
@augenmagabila3081
@augenmagabila3081 4 күн бұрын
Kitabu kipo Mtandaoni yaani soft copy bure.
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 4 күн бұрын
Mbarikiwa Mwakipesile, hata mwisho ataeleweka kwa,njia yakumbinga uovu. Big up Mbarikiwa Mwakipesile wetu.
@BlessedAnne-fh6lk
@BlessedAnne-fh6lk 4 күн бұрын
Asifiwe Yesu Prophet..Mungu akubariki Sana Kwa kusema ukweli..hayo nimeoyaona Mimi..unasema ukweli mtubu.🎉
@justinemisigaro1471
@justinemisigaro1471 3 күн бұрын
Hapo IPM nakuunga mkono kabisa Mungu akulinde na kukujaza ujasiri zaidi damu ya Yesu kristo ikufunike
@FelisterMunissy
@FelisterMunissy 4 күн бұрын
Ubarikiwe sana sana kwa kuliona hilo hawa watu wanatumia nguvu za giza mwish wanaua watu mungu akupe maisha marefu sana
@user-bp5pq9to9e
@user-bp5pq9to9e Күн бұрын
Uko sahihi, MUNGU akulinde Amina
@grationgabriel4904
@grationgabriel4904 Күн бұрын
I appreciate your research is alright IPM, may God defend you always, and go ahead.
@rajabukiza4851
@rajabukiza4851 6 күн бұрын
Aiseee asant mtumishii umenifungua macho kuhusu kafaraa asnte saana❤
@user-pg9dv9vo8p
@user-pg9dv9vo8p 4 күн бұрын
Fact kabisa Leo umeongea ukweli
@alwatanalgilgilan-y3078
@alwatanalgilgilan-y3078 2 күн бұрын
Hongera kiongozi kwenye uislamu pia yupo tapeli mmoja aitwa Dokta S
@nanubob1969
@nanubob1969 3 күн бұрын
kweli nimevutiwa na mazungumzo yako! Ninatamani sana uwe mwokovu genuine! Ubarikiwe!!!
@FlorensiaMkombozi-et1ts
@FlorensiaMkombozi-et1ts 4 күн бұрын
Nakuombea Mungu akulinde Mungu akusimamie na Mungu akupe ngu ya neno lake takatifu
@stanleynyakunga5926
@stanleynyakunga5926 Күн бұрын
Barikiwa sana IPM
@NicholausSaid
@NicholausSaid 4 сағат бұрын
Safi sana wewe ni Mtu wa Mungu Mungu akulinde Pastor
@armansabbor-ui3jb
@armansabbor-ui3jb 2 күн бұрын
Baba mungu akubariki sana ni ukweli mtupu❤
@johnsonkategela479
@johnsonkategela479 5 күн бұрын
Daah brother umeongea facts ambazo wanufaika zitawauma sana! Watu wamepigwa na vitu vizito mpaka wanakuwa mazuzu Kwa kuamini vitu badala ya Mungu. Yaani huo mchanha ungewasaidia Israel na Palestina waache kuuwana. Asante Kwa upelmbuzi yakinifu
@alexandermilanzi9860
@alexandermilanzi9860 4 күн бұрын
Hakuna cha dear brother yy mwenyewe mpigie tu!..... Ameshauza mafuta huyu tena yeye 5000-10000 kama sijakosea nimesahau tu gharama lakini
@SanyuMoses-vp3dw
@SanyuMoses-vp3dw 6 күн бұрын
God bless you it's true brother
@Hamisi-uz9cj
@Hamisi-uz9cj 2 күн бұрын
Wewe kalia wivu sisi tunaendelea kupiga mafanikio yetu kupitia upako wetu arise and shine kazi iendelee
@joshuatituslusinde1260
@joshuatituslusinde1260 Күн бұрын
Umepotea kwasababu hujui maandiko
@joshuatituslusinde1260
@joshuatituslusinde1260 Күн бұрын
Mwapotea kwasababu hamjui maandiko
@LilyWeitz
@LilyWeitz 15 сағат бұрын
Wivu Tu 😅
@upendofredrick8988
@upendofredrick8988 5 сағат бұрын
Asante mtumishi,mwenye masikio haambiwi sikia
@Jacksonswai685
@Jacksonswai685 4 күн бұрын
Mungu atusaidie mwisho watimia yan binadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 3 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤apo niko nacwewe Ubarikiwe mnooo
@mtumishiraymond2001
@mtumishiraymond2001 3 күн бұрын
Amina, Umeongea ukweli na umefunguwa watu macho
@user-mz7pv3uo9y
@user-mz7pv3uo9y 10 сағат бұрын
Nime barikiwa Sana usiche kusema kweli lpm mungu Yuko nawe
@JoshuaMolen-oc3vi
@JoshuaMolen-oc3vi Күн бұрын
ipm nakukubali San mungu akubalik lakn loho inaniuma San make nakupigia San SMU unisaidie lakin hopokei SMU yang
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke 3 күн бұрын
Die twee lesers wat onthou word, maar die wat nie geglo het in trots en spiesjies, hoeveel mense is voor hulle Hulle is 'n gevolg van hulle, en hulle het gesê: Hulle loop en wees geduldig met jou afleiding Ons het nie gehoor nie dit in die hiernamaals Dit is niks anders as 'n versinsel nie. Die Boodskap is uit ons midde gestuur Voor hulle was die mense van Noag en Aad Farao, die man met stokke, en die mense van Lot, en die metgeselle van Mekka reg Aqaba al -Masabar oor wat hulle sê en onthou ons dienaars, dit is dieselfde Die een wat 'n muddhur het Moenie bang wees vir die twee opsommings nie, ons wil hê ons moet dit doen, so ek sal onder ons wees met die waarheid Soetheid van die bose, ons het jou 'n opvolger in die land gemaak. Diegene wat deur die pad van God mislei word, het 'n ernstige pyniging van wat hulle vergeet het op die dag van die rekenskap. , of ons sal maak Die wat veilig is, doen die geregtigheid in die land in die land Wat is die aanbidder, want hy is 'n wyk Met die sluier, het hulle geantwoord op my, so hy het geslaag
@bishopmmbando530
@bishopmmbando530 5 күн бұрын
Wewe unakosoa makosa na wew unafanya makosa makubwa zaidi.Unawaambia wafanye kazi ya Kuuza pombe,sigara na vilevi ili kupata Pesa. Kama umeamua KUNYOOKA,NYOOOKA NA NENO LA MUNGU SIO MAWAZO YAKO
@AfricaQueen
@AfricaQueen 4 күн бұрын
🤣😂🤣Tutawatumbua Na moto unawasubiri anayosema ni kweli 🤝
@CathelineMagawa
@CathelineMagawa 3 күн бұрын
Uko vizuri mno Mungu azidi kukupa busara na hekima
@user-cy4xf1eu3q
@user-cy4xf1eu3q 5 күн бұрын
Kivuli cha Agano la kale ...kiliwakilisha watu kutoa kafara za wanyama ...ila kwa kufa kwake Yesu sisi sote tumesamehewa
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 5 күн бұрын
Endeleatu kufanya zambi na uzidijuamini umesamehewa utajua hauajua lakini siku yamwisho utasaga meno
@Shalom2018
@Shalom2018 5 күн бұрын
Ni kweli kwenye Agano jipya Yesu alikufa pale msalabani na damu yake imetukombo tena inafanya kazi mpaka sasa,hatuhitajiki kutumia tena damu za wanyama,tuanaweza kutumia damu ya Yesu Kristo kwa kuitamka,hayo mambo ya kafara ya kuchunja wanyama na watu yapo kwa shetani.
@farajis3dtech306
@farajis3dtech306 5 күн бұрын
Fanya zambi ukijua umesamehewa maana ya kila mtu na msalaba wake naona huijui jichanganye ukifanya zambi utajua baadae
@MrMwadila
@MrMwadila 5 күн бұрын
Waebrania 10:1-4”Basi torati, kwa kuwa ni kivuli cha mema yatakayokuwa, wala si sura yenyewe ya mambo hayo, kwa dhabihu zile zile wanazozitoa kila mwaka daima, haiwezi wakati wo wote kuwakamilisha wakaribiao. 2 Kama ndivyo, je! Dhabihu hazingekoma kutolewa; kwa maana waabuduo, wakiisha kusafishwa mara moja, wasingejiona tena kuwa na dhambi? 3 Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka. 4 Maana haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi.”
@AfricaQueen
@AfricaQueen 4 күн бұрын
@@farajis3dtech306wacha asime ukweli 🫵🏾
@user-im7vi2yf2d
@user-im7vi2yf2d 5 күн бұрын
Nilikuwa nakuchukia Sana ipm, kutokana na yale uliyokuwa unayasuport, na binafsi niliona kitu kikubwa kwako lakini mpaka Sasa ukibadilisha tu kidogo, ntakapokuja dar, ntakuja kusalia kanisan kwako.
@FrankBororo-dk1fv
@FrankBororo-dk1fv 5 күн бұрын
Penye mzoga ndipo wakutanikapo ndege waitwao tai,brother. Ni kweli watu wanainuka kiuchumi baada ya upako na ndomana wanaweza kuhudhuria mara zote hizo na kutoa sadaka hizo mara zote hizo. Umati mnaouona kwa watumishi hao maisha yao yamebadilika na ndomana wanakua na uwezo wa kutoa kila wakati. Hawajaaminishwa,wanaona matokeo ndomana wanaendelea kwenda. Inashangaza kuona mtumishi wa Mungu anapoona miujiza anasema ni nguvu za giza! Hii tafsiri yake ni kwamba wanaamini shetani ndo mwenye miujiza mikubwa na sio Mungu. Mungu wao ana mipaka na matendo ya miujiza. Watu wameinuka kiuchumi sana na wao wenyewe ni mashahidi ndomana anaweza hata kutoa 50,000 kila wiki na alikua hata 2,000 hawezi kutoa. Watu wanakwenda ili kazi zao zifunguliwe na sio hawafanyi kazi,huo ni upotoshaji.
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 2 күн бұрын
Hakuna kitu kama hicho, wengi ni choka Mbaya
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke 3 күн бұрын
Ubushakashatsi hamwe nisoko hamwe nabasaza Ntamuntu numwe, nyuma yawe, uri ghos, bityo tuzagororerwa guhumurizwa numuyaga Aho mubuntu bwanjye, Mana yanjye, nyereka ibitangaza byubushobozi bwawe, imbaraga, gukandamizwa , n'igitugu, yewe Mana Mana Mana, yewe Yahi Yaqiyam, Banyakubahwa Cyubahiro kandi benshi, ibi ni, kandi kubakuru b'ikuzimu, barasenze, bityo bazabe bamwe. Reka rero baryohe, ubushyuhe n'umwijima. Mana, hagarika abarenganya, abanyagitugu, n'abagome. Uyu muhengeri uraza hamwe nawe. Binjiye mu muriro , Nyagasani w'isi, kubera ubuhemu bwacu muri Palesitine, Gaza, Rafah, no mu bihugu byose bya Palesitine Bati: "Mwami wacu," watugejejeho ibi, byongera umubabaro we, kandi wikubye kabiri mu muriro baravuze bati: "Ikibazo ni iki kuri twe ko tutabona abagabo?" Twakundaga kubatekereza mu bantu babi gutongana hagati yabantu. Vuga uti: "Ndi umuburo gusa, kandi nta yindi mana ibaho uretse Allah, Umwe, Isumbabyose," mu ijuru no ku isi ndetse n'ibiri hagati yabo Oh, Nyirububasha, Kubabarira Mana, Amen, Mwami w'isi.☝☝🤲🤲☝☝
@PAULMNYANYI
@PAULMNYANYI 4 күн бұрын
Ubarikiwe mchungaji ni heri useme ukweli ili wanadamu tupate kupona na jehanam ,Mungu atakulinda kwa ukweli wako ,hutazurika na chochote.
@BennyCrisanto
@BennyCrisanto 5 күн бұрын
Apo sawa ipm .👏👏👏👏
@ShaurijulienMarandura
@ShaurijulienMarandura Күн бұрын
Mungu Akulinde mtu wa mungu
@victorngimbwa5558
@victorngimbwa5558 6 күн бұрын
Hujafanya utafiti ,Mungu akusaidie.waliofanikiwa Ni wengi mno.Na nani alikwambia wanaotoa mafuta wanawambia watu wasifanye KAZI.Jifunze bila Hila utajua Nini kinaendelea .Petro alipovua usiku kucha asipate samaki,shida ilikuwa Nini, na kwanini alipoambiwa na Yesu atupe nyavu alipata samaki wengi mpaka akaita watu kumsaidia.Yapo mambo mengi yanayozuia watu kufanikiwa licha ya kufanya KAZI kwa bidii.Mwombe Mungu atakufungua macho.asilimia kubwa ya wanaofanya KAZI kwa bidii ndio hafanikiwi wanapata mlo TU
@Petitejollie
@Petitejollie 5 күн бұрын
Endelea kubeba mafuta kwenye pochi kuna siku utatajirika 😂😂😂
@vicentamandus6149
@vicentamandus6149 4 күн бұрын
Yesu mwenyewe alimkuta petro akiwa anafanya kazi😂
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc 5 күн бұрын
Nikweli lakini hata wew hauna imani kabiza aloo sikukubali kabisa
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 5 күн бұрын
Nikweli nilishetani tosha tuu 😢😢😢
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi 5 күн бұрын
Tatizo ndio lo Iman ndio itakukomesha
@EstaDaffi-wg5cr
@EstaDaffi-wg5cr 4 күн бұрын
Hata yeye so salm japo anayoongea ni kweli.
@janealbert7901
@janealbert7901 4 күн бұрын
Waacheni wabongo wajinga sana. Watapigwa mpk wanyooke
@emmanuellukololo4427
@emmanuellukololo4427 2 күн бұрын
Mtu kusema kweli ni shetan? ​@@user-nb6yh2bn9y
@SHIJADAVIS
@SHIJADAVIS 19 сағат бұрын
Ukweli siku zote haupingani na Uongo. Huo ni ukweli.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Күн бұрын
Karibuni.ndugu kaaga dunia baada ya kutoka kwa Mwamposa na mafuta yake😢😢
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 21 сағат бұрын
Imani kitu mbaya sana kwa wale wenye uwezo mdogo wa kufikiri
@Barakadieudone-q8y
@Barakadieudone-q8y 21 сағат бұрын
ubarikiwe sana muchungaji siowengi wanaothubutu kuongea ukweli kamawewe (deo kosimas)
@LenardAmani-bc3sl
@LenardAmani-bc3sl 2 күн бұрын
Ao wote wanao Pinga mafuta na maji ni maajanti Wa shetani.
@abuhassan9552
@abuhassan9552 5 күн бұрын
SIWEWE PIA JAMBAZI TU ULIUZA MAFUTA YA GOLD WAJINUNULIA MAGARI YA KIFAHARI WEWE NA BIBI YAKO
@lucaslupaso5824
@lucaslupaso5824 4 күн бұрын
Amesahau
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 4 күн бұрын
@@lucaslupaso5824 alikuwa anafanya tafiti na hivyo amejiridhisha, na hivyo uwezi kuelewa jambo bila kwenda field, uwezi elewa uchawi bila kwenda kwa mchawi
@user-id1cg8ik1d
@user-id1cg8ik1d 3 күн бұрын
​@lucas😂😂😂😂😂😂😂😂lupaso5824
@mwajabukalage7824
@mwajabukalage7824 3 күн бұрын
Twendeni Kwa mwamposa udongo bule, maji buku tu na upako kama wooote
@AnthonyRuben-fi7cc
@AnthonyRuben-fi7cc 2 күн бұрын
Wewe mwenyewe muhuni nyie wote NI mbiz kasolo langi
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 5 күн бұрын
Keki, chumvi, mafuta, maji na kitambaa ni biashara ya kichawi. Serikali inafahamu na imekaa kimya matapeli wanawaua watu kwa kuwaambia wasitumie dawa za hospitali wameponywa. Yatima wameongezeka kwa ajili ya vibaka waliyojificha kwenye dini.
@moseshaule586
@moseshaule586 3 күн бұрын
Unaposema biashara ya kichawi hapo umedanganya. Ulishasikia mchawi gani anatumia sabuni na mafuta na maji ya upako.
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 2 күн бұрын
Wee ni uchawi tu hapo hamna kitu😮​@@moseshaule586
@user-pt6sr6fb9z
@user-pt6sr6fb9z 2 күн бұрын
Bora mwamposa wangu anauza buku mafuta maji buku kwakwel hapo atuna shaka nae
@SimonFire-ms2be
@SimonFire-ms2be 4 күн бұрын
Waoooooooo Asante Sana Mtumishi
@user-cf9sk4us6u
@user-cf9sk4us6u 6 күн бұрын
Umesema ukweli Mungu akulinde.
@wanguwangu34
@wanguwangu34 5 күн бұрын
Uko sahihi IPM
@BENEDICTMwanga
@BENEDICTMwanga Күн бұрын
Mafuta yanakusaidia kuondoa vipingamizi kwenye maisha yako my be uchawi nguvu za Giza amefungwa Kila anacho Fanya afanikiwi kwahio mafuta yanamsaidia anacho kifanya afanikiwe
@amanimanase8799
@amanimanase8799 Күн бұрын
Mchungaji nimekupenda sana
@MordAlly-ng8jj
@MordAlly-ng8jj 4 күн бұрын
Huu ndio ukweli, ni wakati sasa serikali kubadilisha sheria kuanza kutoza kodi kwa wezi wa aina hii.
@AfricaQueen
@AfricaQueen 4 күн бұрын
🤝🤝🤝
@jumarajabngereza6713
@jumarajabngereza6713 14 сағат бұрын
👍🙏. Maashaallah
@FrancisMliga-pp7cp
@FrancisMliga-pp7cp 6 күн бұрын
Sema me ulinipiga lakimbili Mtumishi na hivo mbona na wewe huwa unauza kichupa Cha Asali kidogooo unasema hiyo Asali umeionbea ina Nguvu flani ya Mafanikio hicho kichupa Cha Asali unauza elf kumi
@rebecayenda6780
@rebecayenda6780 5 күн бұрын
😂kafulia kaanza kujisahaulisha
@harmonylogisticszimbabweli3294
@harmonylogisticszimbabweli3294 Күн бұрын
Afanye kazi ya mungu wake sio kukosoa wenzio. Kila mtu anaufunuo wake.
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 2 күн бұрын
Makanisa yamekuwa silaha ya kuwaumiza wananchi.Inakuwaje mtu anakusanya 800M.Lkn hata Kodi halipi,uwizi huo
@reginaaloyce4055
@reginaaloyce4055 3 күн бұрын
Hujui unaloseka kaka tafuta kazi nyingine ya kufanya, Yan hapo bado Mpaka useme😅😅
@fredrickkaaya6287
@fredrickkaaya6287 2 күн бұрын
Mtumishi hakuna mtume au nabii mwenye uwezo wa kuuzia watu Kwa maelfu vifaa vya kiroho kama unavyodanganya watu. Sikatai Kwamba Kuna wanaoigiza upako na wanajipatia pesa lakini si Kwa kiwango kikubwa kivile. Pia elewa Kwamba Kila nabii au mtume wa kweli lazima awe na ufunuo wake aliopewa na Mungu. Wewe ni vizuri ukashughulika na mambo yako uliyotumwa na Mungu wako. Sijui wewe ni mtumishi gani unayetumia usembe?
@user-gt4rp4bo8y
@user-gt4rp4bo8y 2 сағат бұрын
Mungu atusaidie sana ww mwenyewe hueleweki unasema tuuze sigara ktk biashara zetu je ni sawa?
@BlessedAnne-fh6lk
@BlessedAnne-fh6lk 4 күн бұрын
Makanisa yametushida paka tunakaa Kwa nyumba zetu..unanishidwa umwamini Nani??
@MkuuKuu
@MkuuKuu Күн бұрын
Mchungaji anaye hubiri kwa kunukuu vifungu vya quarani. Atutajie mstari kwenye Agano Jipya mtume aliye abudu kwa kutoa kafara ya wanyama. Na huyo reporter wa mchongo hana swali la msingi bali la kusupport ujinga!
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Күн бұрын
Huwezi kuwatajiri kwa mafuta ya upako au maji ya upako😮😮
@estamarodaofficialtz5233
@estamarodaofficialtz5233 2 күн бұрын
barikiwa sana baba shetani anatutenda kwaakili mungu atutetee
@BENEDICTMwanga
@BENEDICTMwanga Күн бұрын
Ipm mbona wewe unauza maji na mafuta unaonana na watu kwa pesa broo au umeacha umemrudia mungu kaka
@eliviraedward9466
@eliviraedward9466 4 күн бұрын
Kafala ilishia msalabani IPM Yesu alipokufa na kumwaga damu hiyo yote ilikuwa ni kielelezo tosha kwa kuacha kafala za wanyama.
@enockmarwa7635
@enockmarwa7635 3 күн бұрын
Una uhakika? imeandikwa kitabu gan sura ipi?
@alfredizabdieli6226
@alfredizabdieli6226 Күн бұрын
Acha unamfki mtumish wapo wenye matatzo mengi na sio wote wanataka utajr
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Күн бұрын
Utajiri zaidi ya serikali Mwamposa 😢Waumini wake na hasa masikini 😢😢wanasikitisha.Serikali ifuatilie.Rwakatale alikuwa hivyohivyo.Watanzania amkeni. Mimi ninamkubali huyo ndugu sana.Mwamposa stop stealing from poor people😢😢
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 2 күн бұрын
Prophet IPM ubarikiwe sana kwa ukweli wako nafwatiliya kabisaa pia Na mimi nimewahi kununuwa shule ya Tanzania kwenye kanisa ya SUNGUYE na Mafuta ya upako sijaona hata kitu kufanyikiwa hahahaha Mungu tusamehee kweli
@user-yc7dk4vy7v
@user-yc7dk4vy7v 3 күн бұрын
Facts bro I appreciate you.
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke 3 күн бұрын
Ondersoek met die mark en die bejaardes Niemand van my nie, na jou, jy is die spoke, so ons sal beloon word vir die troos van die wind Waar in my genade, my God, wys my die wonders van u vermoë, krag, onderdrukking , en tirannie, o God O God, O Yahi Yaqiyam, liewe Eerbewyse en die meeste, dit is, en vir diegene wat die oudstes van die Hel is, het hulle gebid, sodat hulle dieselfde sal wees, so laat hulle dit proe, die hitte en duisternis O God, stop die onderdrukkers, die tiranne. Hierdie golf kom saam met hulle , O Heer van die wêrelde, vir ons verraad in Palestina, Gaza, Rafah, en al die Palestynse lande hulle het gesê: "Wat is die saak met ons dat ons nie mense sien nie?" rusie tussen mense Vuur Sê: "Ek is net 'n waarskuwer, en daar is geen god behalwe Allah, die Een, die Allerhoogste," in die hemele en die aarde en alles wat tussen hulle is O, die Magtige, die Vergewensgesinde God, Amen, Here van die wêrelde.☝☝🤲🤲☝☝
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 6 күн бұрын
Tunashukuru kwa somo Suri mtumishi
@EstaDaffi-wg5cr
@EstaDaffi-wg5cr 4 күн бұрын
Wivu tu wa idadi ya wafuasi wa hao manabii wanawatu wengi sana.japo mimi simwamini hata moja ila nawewe kinachokutesavni mafanikio yako
@emmanuelmanga3478
@emmanuelmanga3478 6 күн бұрын
Vinavyo patikana kwa miujiza vinapotea kimiujiza,vilivyo patikana kwa upepo wa kisurisuri vita potea hivyohivyo
@joshuatituslusinde1260
@joshuatituslusinde1260 Күн бұрын
Nakupa kongole Prophet
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg Күн бұрын
Kweli kabisa watu wamechanganyiwa kwa sasa hawamtafuti mungu
@judithmasele9451
@judithmasele9451 2 күн бұрын
Ni vizuri ungesimamia kwenye wito wako kuliko kubeza huduma za wengine
@Habarizacongo
@Habarizacongo 17 сағат бұрын
Ulikuwa unauza mafuta before. Labda Kama umetubu....
@GelardSanga
@GelardSanga 5 күн бұрын
Wewe ni machine
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 3 күн бұрын
YESU KRISTO ATUSAIDIE NA WEWE SIKU NYINGINE MTANDAO UNAKAMA SIKU NYINGINE MTANDAO UNAKATA YESU KRISTO UTUREHEMU MAANA WAJINGA NDIO WALIWAO
@bridgetphiri5663
@bridgetphiri5663 2 күн бұрын
Amen 🙏 it true 💯 you have to work hard 🙏🙏
@hermanfrank6727
@hermanfrank6727 17 сағат бұрын
Wow,ukweli utabaki na uongo ni wa muda mfupi
@innosentimugarula8625
@innosentimugarula8625 5 күн бұрын
Wewe umetoa hoja nzuri sana Ila hakuna binadamu asiekosea umekosea kumlinganisha yesu na babu
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 3 күн бұрын
Wajinga hawaishagi Tena wasomi ndo wengi kwenye mafuta
@user-me5qu5kw4u
@user-me5qu5kw4u 6 күн бұрын
Jpm hilo la hosp ni kweli ss arusha tumejenga selian arusha na atutibiwi ni pesa kwenda mbele
@stephanSandika
@stephanSandika 4 күн бұрын
Haiseeeeee mtihani unaweza Kuta anaacha kwenda kanisani
@MarcheloNdale-lj2zi
@MarcheloNdale-lj2zi Күн бұрын
Imani ni lbada ya mtu binafsi moyoni sio physical calculation but spiritual
@ManoniKanumbu
@ManoniKanumbu 3 күн бұрын
Mathayo 5:34_36 "lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu; wala kwa nchi, kwa maana ndiyo pa kuwekea miguu yake; wala kwa Yerusalemu, kwa maana ndio mji wa Mfalme mkuu. Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi"
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 2 күн бұрын
Aisee Mungu akubariki sana
@nicodemshello163
@nicodemshello163 4 күн бұрын
Binadam akili ziko tofauti ndio maana hata kwenye mtihani Kuna wa kwanza na WA mwisho
@gracesamson3675
@gracesamson3675 3 күн бұрын
Funzo Zuri sanaa wa kuelewa aelewe wasioelewa Mungu awape ufahamu waelewe
@braysonshayo5266
@braysonshayo5266 11 сағат бұрын
Baba nipo klm nikija dar naja kukuona upo vizur mnoo now i believe u
@Nerialulambo
@Nerialulambo 4 күн бұрын
Sasa na maji ya dhahabu ni mma.na yeye ndio walewale tu.hubilini injili ya kweli watu wamjue Mungu wa kweli sio mimaji yenu ukaona utokelezee kivyako ukaita maji ya dhahabu
@nikusamwel3434
@nikusamwel3434 4 күн бұрын
Duh hongera mtumishi
@robertrobert9470
@robertrobert9470 4 күн бұрын
AMENI KUBWA KAKA
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 5 күн бұрын
Maji na mafuta ni biashara za watu.
@SimonLiwawa-ux5cq
@SimonLiwawa-ux5cq 22 сағат бұрын
Uzaonga sana mtumba
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 21 сағат бұрын
Good
@bilid4128
@bilid4128 Күн бұрын
😂😂😂😂 hapo kwenye unyayo wa yesu 🙌🙌🙌
@SimonFire-ms2be
@SimonFire-ms2be 4 күн бұрын
🙏🙏🙏👏👏👏
@phiriminalyimo3119
@phiriminalyimo3119 3 күн бұрын
Mimi namuunga mkono asilimia mia moja 💯👍
@YusterBahati
@YusterBahati 3 күн бұрын
Umeongea ukweli mtupu aisee..Mungu atupe kulijua neno lake lisilogoshiwa
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 3 күн бұрын
Waache wanunue mujiza unakuja Kwa imani
@michaelabrshamsaidimu367
@michaelabrshamsaidimu367 2 күн бұрын
Ndyo maana kila siku natamani serikali izinduke iende huko ikachukue Kodi yake iendeleze nchi
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 16 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 54 МЛН
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 44 М.
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 44 М.
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 38 М.
Mtume Boniface Mwamposa aelezea story yake ya lockup .
15:56
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 57 М.
Такие сладости мама точно разрешит
0:22
Даша Боровик
Рет қаралды 4,7 МЛН
1000000❤️ #shorts
0:18
北出 大周 Kitade Taishu
Рет қаралды 23 МЛН
КАК ВЫЖИТЬ В АВИАКАТАСТРОФЕ✈️
0:25
MEXANIK_CHANNEL
Рет қаралды 4,9 МЛН