Anae angalia nyimbo hii leo tarehe 1/4 ikiwa imebaki siku mbili kabla ya pasaka like twendde pamoja akika yesu ni mwema , asante wana kagera kwa kaz nzuri
@thomasbutingo173 жыл бұрын
Kapotive nawapenda sana Me mkatoliki nyumban Musoma
@hezronmpinge33466 жыл бұрын
Ukataka nijipe moyo=.hongera Sana mukasa
@yassinmohammed93448 жыл бұрын
Praz God guys that is a nice song I loved cz inanibariki kwan Kila cku ninaisikiliza
@abelmgalla15338 жыл бұрын
kapotive singers thanks a lot for nice song stay blessed, keep it up and never give up.
@jovinkshumba503511 жыл бұрын
MUNGU ni muweza wa yote unapomwimbia katika roho na kweli katika ulimwengu wa roho kuna kitu kinafanyika na kumbuka MUNGU hukaa katika sifa waimbaji wote wa nyimbo za kumsifu na kumwabudu MUNGU mkijivika unyenyekevu na kumfanya NIKO AMBAYE NIKO yaani YESU kufahamika zaidi yenu ameahidi kuwakweza na kuwavuta wote wafikilie toba lakini mahali popote ulipo kumbuka YESU Yu karibu
@franciskamau89078 ай бұрын
Barikiweni na Mungu sana WanaKapotive..
@medardangelo358510 жыл бұрын
tuimbe tumshukuru mungu kwa kila jambo maana mungu yupo pamoja nasi ushilikiano katika kumtukuza mwenyezi mungu tulinde nyimbo ZA DINI shukrani zi waendee waandaji wote wa nyimbo za dini maana wanatuinjilisha kupitia nyimbo za dini nasema AMINA
@KAPOTIVE10 жыл бұрын
Medard Angelo Amina.
@KAPOTIVE8 жыл бұрын
+Medard Angelo Asante sana, na ubarikiwe.
@fatumanaliaka22105 жыл бұрын
Kweli Mungu BABA yetu wa mbinguni na azidi kuwainua na na aendelee kuwa bariki Kwa jina la mwanae Yesu Kristo aliye Mwokozi wetu Amen
@thomasbutingo173 жыл бұрын
Kupitia kapotive najikuta nawapenda wahaya na nataman kuishi Bukoba na kuoa Muhaya
@MussaLepani-fk9yj11 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@derickboymetuselajanjalo3994 жыл бұрын
Jamani yesu ni mwema ck zote akuna wimbo ninaoupenda kama uu
@MethewRobert-e5f2 ай бұрын
Yesu ni mwema kweli kweli
@machetakazambimatayo667112 жыл бұрын
ahsante Mungu kwa neema zako, tunabarikiwa kupitia waimabaji hawa. Naomba uendelee kwa kuwapa hekima, busara na maarifa katika utume wao
@erickjosephat10382 жыл бұрын
Amina sana koptive choir yesu ni mwema 🙏🙏🙏
@Justin1205713 жыл бұрын
Safi sana wadau.Ni remix iliyotulia na inastaili kuwa remix.Hongereni kwa hatua hii,songeni mbele.Kazi nzuri sana Mukasa, Claudi, Denis, Thed, Edina na wengine wote hapo.A m i n a
@mariethapesha28458 жыл бұрын
yaan niwashukuru je?kwa nyimbo zenu nzuri?naomba nyimbo zingine mlizo ziimba pale rinase nazipenda sana kama kunam2 anazo
@patricksimon97127 жыл бұрын
from dar es salaam Tanzania l enjoy much da songs from kaportive star singers.May God bless u more&more
@اسنتاسنيتو8 жыл бұрын
my name is Asneth wondurful guy's wow very nice song God bless you indeed kweli YESU NiMWEMA am watching you from Saudia arebia nice song God bless you all indeed be blessed in Jesus name amen I luv u all mmmmwah guy's Eeeeeee .
@filimonisiwanda10984 жыл бұрын
Mungu awabarki sana ndugu zangj
@yohanapaul45411 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa kuimba vyema na hasa kaka mkasa hongera kwa karama ya uimbaji na utungaji mzuri wa nyimbo za kumtangaza kristo katika jamii inayotuzunguka kwa kweli YESU NI MWEMA SANA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@anodycosmas14545 жыл бұрын
mungu n mwema kwl ukimtegemea yeye pekee ake .mungu bariki watunzi wa mwimbo huu na,walioufaxilixha kwa hadhira mungu awe nanyi nyote kazi zenu nzuri Sana'a by annody Cosmas seyoya
@tosheats21185 жыл бұрын
Amina Amina Amina yesu ni mwema
@feyndunguru61138 жыл бұрын
Nafarijika sana ninaposikiliza nyimbo hizi mungu awabariki
@cypisterstanisilauskilelem56815 жыл бұрын
Asante kwa kaz nzur
@franciscamutua5446 Жыл бұрын
Wow, kweli Yesu ni mwema
@elickykibet30796 жыл бұрын
very inspiring especially when I'm faced with earth challenges may God's anointing and grace be upon you all forever till we see the new Jerusalem.....namsalimu sana huyo mama mkuu mmoja wenu kila nimwonapo kwa nyimbo zenu ni kama namwona mamangu mzazi
@ShabanWanje Жыл бұрын
Mungu awabariki nyimbo zenu mzuri sana hongera n sana
@mamatuishi-mamatuondoke88229 жыл бұрын
kwa kuwa umeniona asante"aaah nabarikiwa sana nikiwa lebanoni pongenzi kwa watanzania wenzangu:ameeeen
@mwezanephta11077 жыл бұрын
Hongereni saaana Mungu awabariki, hakika Yesu ni mwema
@danielnaibei32443 жыл бұрын
Ama kweli Yesu Kristo ni mwema
@edwinmayaba84309 жыл бұрын
kwa kweli wimbo huu unapendeza sana. nami sitasita kusema"YESU NI MWEMA"
@josephtai42444 жыл бұрын
Kweli,kaka,huu wimbo wafurahisha nafsi yangu
@impactospace9 ай бұрын
Yesu ni mwema ❤
@everinagodfrey52645 жыл бұрын
Sjawai juta kusema yesu ni mwema
@lulutrisha12 жыл бұрын
Sina la kusema ila mtunzi hongera sana na tunaomba utunge zaidi maana hii ndo njia ya kuwavuta wengi kuabudu hata kama hawaendi kanisani.
@renatusrwegoshora881212 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu.
@abelkauzeni50466 жыл бұрын
asanteni kwa wimbo mzr mungu awabrk sana mdumu ktk pendo lake.
@adelinaadoloph53116 жыл бұрын
hakika yesu ni mwema siku zote
@marthamnambiye81828 жыл бұрын
napenda sana kwaya
@mwezanephta11077 жыл бұрын
Mmenikumbusha ziwa Victoria, nimepamis mno
@ramlathchacha13106 жыл бұрын
kwr nimwema napenda San nyimb zenu
@otiabisah13 жыл бұрын
Good....God bless you and your families..
@elimuhai-tehama96938 жыл бұрын
Asanteni kwa wimbo bora wa sifa, Mungu awabariki
@drakejingu90666 жыл бұрын
mungu akubariki kupitia wimbk huu.
@philonchimbi073 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kapotive wimbo mzuri unaelimisha na unatia moyo sana! This is my all time favorite song!!!!
@laurinalaurenti286111 жыл бұрын
NYIMBO ZENU ZINELIMISHA NA KUBURUDISHA ENDELEENI HIVYO HIVYO
@ndyeko11 жыл бұрын
Mungu abariki kazi ya mikono yenu
@stadystady61676 жыл бұрын
Amina!
@paulmsape163 Жыл бұрын
Wimbo huu naupenda sn
@kapelmarygrace85455 жыл бұрын
beautiful thanks giving song. may the Lord bless you all my fellow singers. soo proud of this.
@magambojohn51656 жыл бұрын
Mungu awape maisha marefu na yenye amani, watumishi
@celyjawanla32829 жыл бұрын
Surely yesu ni mwema...even satan anamuongopa yesu...thnx so much 4 dat gd track, i like ua song it realy touch my heart...may God grand u en bls my brothers n sisters....Robbie wafula from kenya.
@kevinnjeru53856 ай бұрын
ngoma kali sana
@mussambossa7002 жыл бұрын
Kuna huyo mama kibonge kidogo ,,,,,,,hakuna mtu aliye barikiwa sauti kama huyo
@wabulegrace63352 жыл бұрын
Wonderful choir. Even my daughter visited you in Tanzania from Uganda Nsambya Kampala. Be blessed.
@zainabhamis28814 жыл бұрын
Yesu ni Mwema
@vascoesaumbilinyivascoesau847 жыл бұрын
hii imeimbwaa na mt kizitoooo makubuliiii sasa niwepiwalioaza kuipigaaaa
@gagagfasasa358612 жыл бұрын
god bless africa i wish africa can be happy always.
@ndegepaul54396 жыл бұрын
Touching song. I appreciate.
@elvinahmoraa59883 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu sana 👍❤️
@wigantaika31528 жыл бұрын
yesu n mwema kwl kla ck by..... simon sendwa
@shimbacharz73085 жыл бұрын
namushukuru mungu kwa yote sins budi kusema yesu nimwema by shimba t Charles
@elasmontambuka45297 жыл бұрын
Mmh! Gods able always nothing is best apart Ihave blessed even u2 4r!
@tukolivetv2023 Жыл бұрын
Hii mwaka wa 2023 Yesu ni mwema kwangu.
@emmanuelmdidi986310 жыл бұрын
Yaani kuna wakati unapata nyimbo unajiuliza 'hivi hawa ni malaika wanaoimba? Ama kweli ni binaadamu mliovuviwa na Roho Mtakatifu kufanya kitu hiki mlichokifanya. Mungu aendelee kuwapa afya njema kabisa muendelee kumtukuza na kutufanya nasi tumtukuze mungu katika kweli.
@KAPOTIVE8 жыл бұрын
+Emmanuel Mdidi Amina.
@marykalei81478 жыл бұрын
I.like all those song's sure
@greysonmichael44586 жыл бұрын
hii nyimbo ni zawadi yanii
@theprincejr1417 Жыл бұрын
Since standard 7 up to now Tz navy 🙏🙏🙏
@KAPOTIVE12 жыл бұрын
Asante sana kwa pongezi. Mungu aendelee kutubariki.
@neemasafixanakakamasuka12674 жыл бұрын
Nazi mzur xanaaaaa
@luciusedward339310 жыл бұрын
katonda abebembele ombutume bwanyu
@martinnkwama86059 жыл бұрын
Ok
@mamatuishi-mamatuondoke88229 жыл бұрын
amen yesu ni mwema
@annastanciakerubo14196 жыл бұрын
Very nice mbalikiwe sana
@charlesowuorganda57523 жыл бұрын
I just love your work. It's a true calling from God.
@nikkijubilant4 жыл бұрын
Very nice, God Bless
@addenthogan9920 Жыл бұрын
Best song
@dorahnjau99697 жыл бұрын
Good song
@mkoreamovieclips63833 жыл бұрын
So creative 🔥🔥🔥🙏
@marykalei81478 жыл бұрын
hii Kenya niwapi mpo
@KAPOTIVE8 жыл бұрын
+Mary Kalei Tuko Bukoba- Tanzania.
@marykalei81478 жыл бұрын
Am not in Kenya for now.soon I wll back
@renatusmatungwa68004 жыл бұрын
Tanzania bana😊😊
@muriungigeorge92127 жыл бұрын
nyimbo hizo are insipering
@KAPOTIVE12 жыл бұрын
Amen, be blessed too.
@emilychepkosgei22758 жыл бұрын
Kapotive singers your songs blesses me so much. where can I buy your DVDs? God bless you so much as you praise the Lord with your beautiful songs.
@ikkefullmenbeautiful9 жыл бұрын
Mambo! Ninaitwa Martha na ninatoka Norway. Tafadhali: mtu anaweza kuandika lyrics hapa? Nataka kujifunza wimbo huu, lakini najua kidogo kiswahili tu. Mungu akubariki.
@KAPOTIVE8 жыл бұрын
+Martha Ikkefullmenbeautiful 8. YESU NI MWEMA (B. MKASA) // Nimetafakari habari zako, Nami nashindwa kuelewa kabisa, Binadamu angenipa neema, Kesho angechoka kunipa zaidi, Lakini wewe hauna kikomo, Wala mvua yako haina majira, (Bwana) Waonyesha mvua, Bwana kwa walio danganya Wawasha jua, hata bahari (kweli) Bwana wewe ni mwema sana, // Nitasimulia mimi Yesu ni mwema Yesu ni mwema, Nitahubiri vijiji Yesu ni mwema Yesu ni mwema. III Nitayafafanua haya (Yesu ni mwema x 2 / Watu wote wapate kuyajua (Yesu ni mwema x 2) Nitasimulia nchi (Yesu ni mwema x 2) 1. Niliwaza kwa ubinadamu mpaka mwisho wa kufikiri, Ukataka nijipe moyo hisi kitu Kwa kuwa humtupi anayekutumainia Ukataka nijipe moyo hisi hofu kitu kamwe. Nitasimulia mimi ………………………… 2. Uzoefu wa mapito haya ukaninyima usingizi Ukataka nijipe moyo nisihofu kitu Adui za Dunia zikavunja matumaini Ukataka nijipe moyo nisihofu kitu kamwe. Nitasimulia mimi ……………………….. 3. Giza lililotanda mchana likanifunika usoni Ukataka nijipe moyo nisihofu kitu kamwe. Nikapiga keke hofu kuu ikanisonga Ukataka nijipe moyo nisihofu kitu kamwe. KIBWAGIZO: III Naimba hehe, naimba leo x2 mimi ulijua wazi kwamba mimi sikuwa na sitahili, Kwa sababu mimi mdhaifu mwili na Roho, ukaruhu nifanikiwe juhudi zangu, Makusudi ili nione ukuu wako, ndugu wanipenda, jamaa waniheshimu, marafiki Wanijali, wanisaidie, ndio maana leo mimi nakurudia, Utukufu ni wako milele, sifa na heshima ni vyako daima, wewe peke yako unastahili Usifiwe na uhimidiwe, III Nakushukuru Bwana (kwa kuwa umeniona asante, x 2) III Nakupa utukufu (kwa kuwa umeniona asante) III Milele na milele, (kwa kuwa umeniona asante)
@kastorykinunda35006 жыл бұрын
poa abaliyako
@arnoldkilaini7 жыл бұрын
AMEN
@enockkwesigabo31725 жыл бұрын
Hakika yesu Ni mwema
@marykalei81478 жыл бұрын
surely this kapotive singers how can i get them.to my wedding.pls
@KAPOTIVE8 жыл бұрын
+Mary Kalei Hi, we are based in Bukoba -Tanzania. Please we can communicate via our e.mail: kapotive@yahoo.com, stay blessed.
@nassiwanazzaifah67648 жыл бұрын
+KAPOTIVE mi to I want them cuz am to marry Catholic man though am amuslim
@KAPOTIVE13 жыл бұрын
@stiven55748 &Justine12057 Thank you very much for appreciating our work, please continue sharing it with others so that the Word of God reaches everybody. God bless you.