YITZHAK RABIN: Waziri Mkuu wa ISRAEL aliyeuawa kwa kuchagua AMANI na PALESTINA, Hiki KILIMPONZA

  Рет қаралды 20,693

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 110
@shebbylove3140
@shebbylove3140 2 күн бұрын
Niko wa kwanza kwa leo naomba likes zangu😅😅
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 2 күн бұрын
Wa 3 na sitaki like Ila napenda xana #makala360 Big up SKY na SNS #SNS ndio media pekee nnayo iamin 🙏🏿
@ce-08
@ce-08 2 күн бұрын
🎉🎉
@Leila-zp5co
@Leila-zp5co 2 күн бұрын
Leo nimeridhika na story ya yitzak rabin niliuliza Muda mrefu asante simulizi na sauti
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 2 күн бұрын
Karibu Leila
@swalehaltooq5233
@swalehaltooq5233 2 күн бұрын
Neno gaidi Mbona linatumika sana kwa Palestine 🇵🇸 tu
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 2 күн бұрын
Hilo ni neno na jina linalo tumika na watu wa magharib juu ya watu wema kwajili ya kuwachafua na kuhalalisha kumuuwa😢
@raymrash
@raymrash Күн бұрын
@@ayoublupande3007 wema upi walioufanya!? October 7?!
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w Күн бұрын
@@raymrash wataendelea kupigania ardhi yao inayokaliwa kimabavu daima!!!
@raymrash
@raymrash Күн бұрын
@@KhamisAli-r1w kupigania ndo waue raia na kuteka watu wasio na hatia
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w Күн бұрын
@@raymrash kuna uhalali ya kufa wachache ili wengi wapone!!! Siku zote tunasema haki hupatikana kwa ncha ya upanga, ulisikia wap uhuru wa nchi kiurahis ivyo!!!!.
@hirsirashid3741
@hirsirashid3741 2 күн бұрын
mzee ilove u story keep going bro am from Canada original Somalia
@jacksonseverin5670
@jacksonseverin5670 2 күн бұрын
Makala zinachelewa sana kaka fred😢
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z Күн бұрын
Asante sana bro 🔥🔥🔥
@Bahati47
@Bahati47 2 күн бұрын
Sema wa Palestine ni zaidi ya mashujaa wameamza kupitia magumu na machungu siku nyingi sana 😢 Nina Imani ALLAH atawalipa kilicho Bora zaidi inshaAllah 🤲🏿 hakuna siku nimehuzunika kama kuona video za wazee wa ki Israel wakielezea jinsi walivyokua waki waua wa Palestine kama kuku😢 wanaelezea kua wakiamrishwa kwenda kuuwa mtaa Fulani basi wakikuta mwanamke ana mimba wanampasua tumbo bila ganzi na kumtoa mtoto na kumkata kata km nyama 😢 jamani Hawa watu ni Wana roho mbaya sana
@raymrash
@raymrash 2 күн бұрын
@@Bahati47 khaa 😂😂😂 uongo mkubwa hakuna kitu hiyo
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 күн бұрын
Wana roho mbaya sn
@MauriceNyello
@MauriceNyello Күн бұрын
Iv Allah ni nan hana nguvu mpaka leo?
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 15 сағат бұрын
​@@raymrashwewe niwakala wamaovu hujui nini uovu wa wayahudi
@raymrash
@raymrash 15 сағат бұрын
@@khalfanmlala5093 waovu ni Wayahudi tu!?
@Gretnumz
@Gretnumz 2 күн бұрын
❤❤❤ pamoja sana
@aminaali792
@aminaali792 2 күн бұрын
Hichi kifo kilipangwa na natanyahu na wenzie wa western na sio huyo alomuuwa tu 🙄😡💔
@JacobernestMlula
@JacobernestMlula 2 күн бұрын
Hatari
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Күн бұрын
Wayahudi ndo wenye sabato yao na masinagogy yao na hekaru lao acha hawa wadengereko na wazaramo wanaojiita wasabato na waislam wakidai etyi sinagogy ndo msikiti wa wa waislam huku tanganyika , 😂😂😂😂 wakati wayahudi wanatumia masinagogy toka Zama za kale mpaka leo na wanaimba tourat humo , kwenye masinagogy
@brunoh_bx
@brunoh_bx 2 күн бұрын
Hapo ndo utagundua Israel ndo wanaoitaka vita, yaan wao kukiwa amani wanahis kama wanapoteza pride yao lakin mwisho wao upo tu, ni jambo la muda
@raymrash
@raymrash Күн бұрын
@@brunoh_bx acha kupindua stori kulikuwa hakuna vita mpaka October 6...na kulikuwa hakuna mabomu ya kurushiana mpaka ninyi mlipoanzisha October 7. Hamas wamewaua sio tu Wayahudi Bali hata watanzania wenzetu wameua kikatili. Kuna ubaya gani Israel kujibu mashambulizi!?? Hamasi wamejijengea maandaki kwa ajili Yao wenyewe na sio kuwahifadhi raia wakati wa vita! Wameweka na wanarusha Makombora Yao kutokea makazi ya raia.. Israel akipiga hayo maeneo analalamikiwa! Mnataka amani!? Acheni kuichokoza Israel, mnataka watu wasife acheni kujificha kati ya raia
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 2 күн бұрын
Nitanyahu ndo alo panga mauaji ya huyu mwamba palipo Na Nitanyahu amaisha hatoweka😢
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Күн бұрын
SNS for life.✌️
@byoseasolokoci7257
@byoseasolokoci7257 2 күн бұрын
Wow
@erickrakitic9113
@erickrakitic9113 Күн бұрын
#SKY🔥🔥
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 2 күн бұрын
Ww mkereketwa wa israel sio mtaka amani.kwa araka araka mtu asio kujua ataona vzur
@KinogeTz
@KinogeTz 2 күн бұрын
Tangu lini Nuru na Giza zikafanya mapatano ya amani?
@raymrash
@raymrash 2 күн бұрын
@@KinogeTz Mwenyewe alishajua anakwenda kufa maskini
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z Күн бұрын
🇰🇪🇰🇪
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 2 күн бұрын
Hao majamaa ni mashetani hawamjui Mungu kabisa wayahudi
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Күн бұрын
Hata waliwakataa mitume na manabii , wengi waliwafunga jela na wengine wakauawa
@raymrash
@raymrash Күн бұрын
@@saleemsuleiman2220 wewe unamjua Mungu!? Kila jamii hapakosi watu wa msimamo mkali...kama nyie kwenye Uislamu
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 2 күн бұрын
sky knows
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 2 күн бұрын
Netanyau afungwagi mota Mzee..hatari sana .....😂😂
@Barakaclassic
@Barakaclassic 2 күн бұрын
Hamasi walifanya makosa sana kuishambulia Israel kipindi cha huyu netanyau Yan ndio walio letea wa palestina balaa lote 😂😂
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm 2 күн бұрын
Bila hivo mijadala wa kupatikana kwa taifa la PALESTINA ulikuwa unakufa.Tangu waishambulie Israel Sasa mijadala wa kupatikana kwa taifa la PALESTINA umefufuka na nchi zinazoitambua PALESTINA kama taifa zimeongezeka.Mfano,Hispania, Switzerland,Norway na Latvia zimeitambua PALESTINA.Wakati huohuo Kuna nchi ziko karibu sana kufikia hitimisho la kulitambua taifa la PALESTINA.Harakati za kuupigania Uhuru ni lazima Muwe tayari kufa.Fuatilia historia.Mfano,Afrika kusini,Msumbiji,Angola.Hata hapa Tanzania wazee wetu walipoamua kupambana na mjerumani Kwa kutumia maji maji walikubali kufa.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 күн бұрын
Ukichunguza vzuri utagundua magharibi na kibaraka wao Israel, hawana chaguzi yeyote pale mashariki yakati tofauti na kumwaga damu, na ikitokea wewe umeingiwa na hoffu ya mwenyezi uhai wako utakua sadaka ya usaliti,
@juliusdominic-uk4bu
@juliusdominic-uk4bu 2 күн бұрын
Amani kati ya Israel na Palestina itakuja kupatikana pale Afrika itakapo ungana na kuwa Super power .ndio itatoa tamko na taifa lolote litakali pinga litaangamizwa
@raymrash
@raymrash 2 күн бұрын
@@juliusdominic-uk4bu Africa haitakuja kuungana sahau hiyo kitu
@magorymara5515
@magorymara5515 2 күн бұрын
Siyo kizazi chako cha wajinga anaongelea kizazi kijacho ​@@raymrash
@KraudiJinioro
@KraudiJinioro 2 күн бұрын
Tup
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 2 күн бұрын
IDF imewauwa macomando wote was Hezbollah uku nyie munaleta Habari za zamani? Ndiyo breaking news Pro Israel sio ma cry babies ndiyo mana
@HeboniBabu
@HeboniBabu Күн бұрын
Kk ukiona nzii wanakufata sana kichwani ujuwe akiri mavii uislamu sio DINI yakutunga kule loma
@jonasmrema8550
@jonasmrema8550 2 күн бұрын
Hakuna kufanya Amani na magaidi
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 2 күн бұрын
Magaidi ni akina nani
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 күн бұрын
Pia sisi hapa tz hatuongozwi na makafiri ndio mana viongozi makafiri mwenyezi kawauwa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 күн бұрын
U CANT CLAIM STOLEN PROPERTY FOR LONG 😢😢😢😢MGALATIA AMKA
@raymrash
@raymrash 2 күн бұрын
Period
@raymrash
@raymrash 2 күн бұрын
​@@OmmyJames-xn7jiunamaanisha nini!?
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 2 күн бұрын
SNS🔥🔥🔥🔥🔥
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Күн бұрын
Inchi yako hujaitaja Tanzania 🇹🇿 zanzibar kwa kuliwa rais wa zanzibar aman karume
@damaschosen
@damaschosen 2 күн бұрын
Wee jamaa sauti yako ndani yako inafaraja kama una piga kinanda
@ELIFASMADEBHO
@ELIFASMADEBHO 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@HeboniBabu
@HeboniBabu Күн бұрын
KK UKIONA NZII WANA KUFUATA SANA KICHWANI BASI UJUWE AKIRIMAVI
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Күн бұрын
Maana hata huyo anayepanga mauwaji ya wengine na yeye pia atakufa tu
@KhalidiBoaz
@KhalidiBoaz 2 күн бұрын
God bless Israel 🇮🇱, Amen,🇮🇱
@HeboniBabu
@HeboniBabu Күн бұрын
Ubaguzi mkubwa kwa mbwa wale magaidi watoa loho wa kisiraer
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 күн бұрын
Ila muwajemi aliona mbali dunia nzima nchi pekee iliyo baki ikiusumbua ubeberu unaowanyima usingizi watu wa mataifa ya falme za kiarabu ni Iran, napenyewe ni vile washiha waliona Mbali wakaamuwa wafanye mapinduzi maana serikali ya kipindi hcho ingeshawishika kama tunavyo ona kwa mataifa mengine
@raymrash
@raymrash 2 күн бұрын
Kwa hiyo unasapoti ugaidi wa Dola la Kiislamu la Irani
@ce-08
@ce-08 2 күн бұрын
Ni sawa ila jitahd kuchimba zaidi utakuja gundua hata hayo mapinduzi wahusika wakuu walikuwa hao hao magharibi sema jamaa alipopata nafas akabadili gear angani shughuli ikawa hiv unavyoona sasa lakin alipewa msaada mkubwa sana na hao magharibi
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 2 күн бұрын
​@@ce-08sio kweli,utawala wa kifalme ulio pinduliwa ndio uliekuja utawala wa kibaraka
@msarama5406
@msarama5406 2 күн бұрын
​@@ce-08magharibi wangempinduaje mtu wao bana unatulisha matango pori
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 2 күн бұрын
​@@raymrashnini maana ya ugaidi
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 9 сағат бұрын
Makala Three Sixty??? Kwa nini usiseme MAKALA MIA TATU SITINI????
@ZeProDJay
@ZeProDJay Күн бұрын
Don't make a deal with terrorists
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc 13 сағат бұрын
Wa Jews Wanawajua Vzr wa Arab Wanajua Njia Zao zote Wa Arab wamepata kiboko yao 😂😂😂
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 2 күн бұрын
Idara ya ujasusi ya israel ndio chombo hatari zaidi duniani na ndio usalama wa israel
@JumaNgeni-ld5yb
@JumaNgeni-ld5yb 2 күн бұрын
inawezekan ila bila marekani mosad ni saw na kichaga
@JumaNgeni-ld5yb
@JumaNgeni-ld5yb 2 күн бұрын
mosad walimshindwa OMARY MULA wa afaghan stan tafuta hii makali
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 2 күн бұрын
Marekani bila Israel haiwezi kuitawala ​dunia@@JumaNgeni-ld5yb
@alexjohn7361
@alexjohn7361 2 күн бұрын
​@@JumaNgeni-ld5ybuhodari haupimwi kwa kushindwa mashindano machache kati ya mengi yaliyofanikishwa. USA mwenyewe alifeli mission nyingi mfano ile dhidi ya taliban ila bado ndo nchi inayofahamika kuwa ni hodari mkubwa ktk operation za kijeshi
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI Күн бұрын
Kweli
@PHPJSP
@PHPJSP Күн бұрын
Mda mwafaka sasa kumwona frank lachman
@HeboniBabu
@HeboniBabu Күн бұрын
KK UKIONA NZII WANA KUFUATA SANA KICHWANI BASI UJUWE AKIRIMAVI
Rais Magufuli asimulia sakata la utoroshwaji dhahabu
5:46
Azam TV
Рет қаралды 96 М.
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 28 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 32 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 34 М.
The Sound Narrative: The Preservation of the Qur'an in Sunni Islam | Dr. Ali Ataie
3:02:21
Muslim Community Center - MCC East Bay
Рет қаралды 219 М.
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 28 МЛН