kaka upo juu nakubaki biti zako nina uwakika siku za usoni utakuwa top one rap bongo✌️✌️✌️
@zuberyaunda52635 жыл бұрын
Unakitu kizuri umegundua.... just keep moving more on this.... blessed
@MufasaAden4 жыл бұрын
Ikr That's My Boy
@SammySammy-bf9su Жыл бұрын
Wanangu wa Kenya comments kitu tuone Tanzania woyeeeeeee me napenda Sana kalikali 🎉❤❤
@saluboy35965 жыл бұрын
Mwamba jeshi makinikia mjuba uko gud mzaziii🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️
@kampatoroka70845 жыл бұрын
Ngoma Kali
@KB-do5sr3 жыл бұрын
Nitafika mpaka ulipo/fuata pesa zilipo/halluyah willy paul,,,,mob love from +254 🇰🇪
@sampaconnector28455 жыл бұрын
Bonge la ngoma...sitaki like yoyote!! Kuleni kona wazee wa like.
@Mbewevunjabei5 жыл бұрын
Father Country jiangalie sana huyu mwamba sio mtu kabisa😎😎😎😎😎
@kindlyhelpmereach10ksubscr874 жыл бұрын
All the way from Kenya. Nakukubali bro, #tembeleakenya upige collab na Khaligraph Jones #khalicarter naona hio ngoma itakua liiiit siomchezo #OG Kama mnakubali hii gongeni like 👍
@GodwinLeonce3 ай бұрын
"Biti ya HIPHOP, verse za taarabu." This is not the real nature of HipHop. Ninachosikia hum ni kujisifia t. "Mwana anakipaji Ila apunguze kujisifia"
@DurahRich5 жыл бұрын
vina vimepangiliwa MWANZO, KATI NA MWISHOOOOO💣💣💣💣💣
@balelewilliam91465 жыл бұрын
Duuuuh
@jimmyx84124 жыл бұрын
Mstari wake hauna uhalisia kwenye huu wimbo wake vina vimepangiliwa mwanzo Kati na mwisho....wakat ukiskiza hakuna Mahal kafanya ivo
@MataganeChristianPetro7 ай бұрын
Nyooooooooooooko unazingua
@willykhalid640 Жыл бұрын
This guy is so talented 🔥🔥🔥 still on this 2023
@Blackjesus99965 жыл бұрын
Young Lunya Eeh....Me mbn Nilishaga sema #Wewe_Ni_ProblEm_KubWA
@barakabahati43154 жыл бұрын
Nairudia hii session kweli mi mshabiki wa damu wa msimbazi simbaa
@BabuLodge2 ай бұрын
Maboy wa EASTLANDO Nairobi naomba muichukue hii kama darasa muache shembeten hatuwaelewi mazee machalii wa WESTIE ungemi kinoo pamoja sana
@UrbanCraftTv2 жыл бұрын
This still sounds clean in 2022. Top-notch talent. Crystal clear in Nairobi, Kenya.
@petroerinest27445 жыл бұрын
Naona lunya unaendelea kunya tu.....wanyeeeee hao mabwanyenye kwenye game
@fittyblack25495 жыл бұрын
C kwa Ubaya ila jamaa kachukua nafasi ya YOUNG KILLER kwenye michano ya HIPHOP much respect from +254
@cojicode42065 жыл бұрын
Motooo limebaki jivuu tu, umenyooshaa snaaaaa
@issanaseeb76995 жыл бұрын
Halafu huyu ndo anajilinganisha na #YoungKiller kweli daaahhh🤣🤣🤣😂😂😂😂😄😄😄😄😆😆😆😆😹😹😹😹🙆🏻♂️🙆🏻♂️🙆🏻♂️🙆🏻♂️
@manbebo44605 жыл бұрын
Hagahshggfhggagffgagghahahah
@heartmanbreven71865 жыл бұрын
#Youngkiller anajua hatukatai lakini siyo mbunifu kama #Younglunya jaribu kumfwatilia utajua hili hatukatai anachana lkn ubunifu hana
@issanaseeb76995 жыл бұрын
@@heartmanbreven7186 Unataka kusema #Killer huyo lunya anamzid Hip Hop sio
@issanaseeb76995 жыл бұрын
@@manbebo4460 😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂
@heartmanbreven71865 жыл бұрын
@@issanaseeb7699 sasa hilo unauliza unajijibu mzee wangu
@josephnassary90232 жыл бұрын
Oya we tunahitaji vibe kama hizi
@goodlucktemu31495 жыл бұрын
Oya ii kali kuliko zao, uyu kijana anaimba mziki wa miaka 30 ijayo Saivi amta muelewa ila tulieni dawa iingie👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@ericmwangi62372 жыл бұрын
Kazi safi bro
@petersyengo31844 жыл бұрын
I think this is the greatest rapper in TZ... If combined with Khali the OG, it can be a baaaaang!
@olivemuthoni15884 жыл бұрын
True
@millymajjy2053 жыл бұрын
U no nothing about tz music .shut the fuck up.!!
@kelvinchuhila37802 жыл бұрын
Dizasta vina
@muuflow4 жыл бұрын
nomaaaaaaaa sana bro
@petermoshi69205 жыл бұрын
Nakubali Sana Yana, Duh!🔥🔥🔥
@DearMama-vw9gy Жыл бұрын
Oya young killer uko sawa bro me pia ni rapper na umeniispire one love from Kenya bro
@imanbrettyjohn3795 жыл бұрын
Duuuuuh......the best Young Rapper yaan kila Freestyle...session u kill it bruh more lovee nakubali sanaaaa
@Cryptocurrency_Tanzania5 жыл бұрын
ekheeeeeeee hawa binadamu wa hivi niliamini waliishaga zamani walikufaga..... ila huyu sijui young lunya ndio kaja sasa kutupa tunaojua music(hiphop) ilivyo... congrats
@angelmichael98235 жыл бұрын
👐Young lunga This is your time to shine .... Patience comes with blessings
@tommyflavour17725 жыл бұрын
Ndio ndio....nakuon mbali mwanangu...hili beat umeliumiza sana ...swag flows
@kennedykala71785 жыл бұрын
Panya, paka kafika nachokushauri chimba... - Lunya 2019..🔥🔥 Kid is fire
@procazorla20275 жыл бұрын
Duuuuh we mjingaaa unajuwa adi unakeraaaa chiiiiii
@alfabraxton4 жыл бұрын
I am here after kuona cover yako ya yes bana challenge imepostiwa na Khaligraph Jones. You are good bro, keep up the good job. From 254
@kenzocyrax49604 жыл бұрын
Ase young killer mziki umelala lunya we piga trap zako tu
@mohammedjuba2605 жыл бұрын
My favorite young tz rapper......lunya umetishaaa🔥🔥🙌🏾🙌🏾
@mosamossile91135 жыл бұрын
Khaa uyu blood Hapana moto wa mbalii izi levo hakuna Atakaezishika apo next Big up Young Lunya michano hatar sanaa
@mosamossile91135 жыл бұрын
From south Africa
@danielkiprop44164 жыл бұрын
New fan from Kenya 254. Young Lunya ur going places son.
@kibokongurai44885 жыл бұрын
huu ndiyo mziki wa hiphop siyo wale wengine wanjiita wana hip hop kumbe taalabu tuu hii ndiyo no chorus safi sana mwanangu lunya
@enocknyagawa35134 жыл бұрын
Young killer noma uyu dogo haiingii kama tupo sawa gonga like
@dauditheking13125 жыл бұрын
Wow Young Lunya umetisha sana...we ni Mc Mkali kuliko
@alexander_nyimbi4 жыл бұрын
Jamaa kwa flow na mistari yake ktk hili dundo ni 🙌🏽🙌🏽. Hii freestyle itakaa sana kwenye game maana ni 🔥🔥🔥
@cryptolord75155 жыл бұрын
wakenya hamjafika hapa +254 love,piga pini pande zote halleluhya willi paul
@patricksamweli9535 жыл бұрын
Bado season 2 ni best kuliko zoteeee
@heartmanbreven71865 жыл бұрын
Sikiliza tena alafu rudia tena msikilizishe na mwenzio harafu msikilize atasemaje harafu na wewe nenda getto rudia tena pumzika rudia tena alafu njo u comment nafikir utakuwa najibu.
@patricksamweli9535 жыл бұрын
@@heartmanbreven7186 broh lunya fundii but me ndo naona ivyo season two ya Moto ad madem wanaimba
@heartmanbreven71865 жыл бұрын
@@patricksamweli953 mzee wangu mademu kuimba siyo tatizo angalia vina vilivyo pangiliwa angalia jins anaichezea yani beat haimpelek yeye anaipeleka beat
@heartmanbreven71865 жыл бұрын
@@patricksamweli953 humu kachanikaa Sana'a yani zote nzurii
@officialkdee355 жыл бұрын
Patrick Samweli hii Kali kuliko ya pili hii flow n atar mistar ni mikali mpangilio unaua hii wataimba mpak mabibi na watoto
@alexmlugu47105 жыл бұрын
Kwa mangoma haya watangoja sanaa nilijuatu young lunya huwezi kuniferisha hii niliingoja sana session 3 nooumaaaa..
@rahimhamidu60065 жыл бұрын
Mzigo umetsha mwamba Respect🔥🔥🔥🔥🔥
@deusdeditmanyama49785 жыл бұрын
Your definitely Young King.......mwambie tyu brother Country akupatie
@bryanjonathan63125 жыл бұрын
Mdogo ang hizi punchline ni WORLD THREAT sasa hip-hop needs this
@willrickraymond38195 жыл бұрын
sure😎😎😎
@HASSANISOLE6 ай бұрын
huyu ni Moto anaweza namkubali sana
@rickvanzwish90524 жыл бұрын
Binafsi, siwezi ingia utube bila kuisikiliza session3, 🙌ah hii ngoma sio poa🔥, this is my 100+ times listening to it in two weeks time, young lunya big up, more success to u bro #✊we shouldn't compare u with any rapper in tz, actually in east africa
@twahirmjeda45805 жыл бұрын
wao wamemchukua contry ngoja sisi tu deal na huyu dogo young lunya ##wcb4life tumchukue dogo uyuu
@paulambrose20555 жыл бұрын
Hii kwanin haina Million+ viewers ... Kali Sana 🇹🇿🇹🇿🎵🎶
@abelbehumble2553 жыл бұрын
Namkubali sana huyu .mshikaji
@mzungushbobo54303 ай бұрын
Aaaaaa jaman lunya wamuache na mziki wake atawauwa
@restyjaffer9794 жыл бұрын
Bro umetisha aisee. Im in love with this song. Keep it up.
@namzam13894 жыл бұрын
Nyie maslay queen mie so danga msinigombe msinigombe !!!!
@zaheerabbasmehdi97544 жыл бұрын
Nimekuku Bali sana lakini ninge penda unge piga song moja Na young killer pamoja Na dogo d mtatisha sana Na stamina bila kusahau kaza nakuku Bali una pumzi sana
@ticoyoung53515 жыл бұрын
me sio shabiki wa rap ila kwa uyu jamaa ni fire ni moto ni hatari ni matatizo ni hafai ni hatari kwa afya 😂😂😂😂💥💥💥💥💥ata usipolike fleshi tu ila @young lunya ni fireeeeee
@josephmwinula79945 жыл бұрын
young lunya zaid ya young killer bhanaaaaaa ngonga like
@anordjoseph85395 жыл бұрын
Huyu jamaa Mbwa sana kwanza Bit yake tu Nomaaaaaaaaaaaaaaaaa we ni zaidi ya yuda
@macozjouder35434 жыл бұрын
Luny una moto broo sema piga mawe si tupo
@anthonymchilika32245 жыл бұрын
Dahhhh we jamaaa sio poa unaua sana
@libra25 жыл бұрын
" Mi nataka kile kiti kilichoka liwa " Chamaro🙌🙌🙌🙌 fighting for my life to live
@abuurashid77084 жыл бұрын
🙌 lunyaa noma sana yan hujavamia kpaj maan kama kuimba unaimba bro kubal saana
@KingOrongoro5 жыл бұрын
Y'a Kibabe hiiiiii Love From 🇧🇮🇧🇮
@clementmikiko50645 жыл бұрын
Kingorongoro Official Mwamba njoo uombe collabor mzee baba.Halafu umekaa kimya
@jamec4real.mnyamamkalii4735 жыл бұрын
ngom kalii
@KingOrongoro5 жыл бұрын
Kimya Kimya Sio Ujinga Nacungulia tuuuuu 😂💪
@barowsumera69534 жыл бұрын
Mwanangu wew bingwaa akuna bongo kwa sasa mzee namba moja 1 mPaka 9 kumi rapcha hiiyo ndo kumi bora yanguu
@bandanahmiqassa5 жыл бұрын
So proud of my day uno G bless up sana YL POPPA
@rayzonevic40412 жыл бұрын
This guy doesnt even rest abit..lunya is the best
@faithajikon81595 жыл бұрын
I heard someone listening I just had to listen everything by you You got talent❤
@digonzakeimbe8435 Жыл бұрын
Hoya 🐐🐐🐐Ni🔥🔥Anayebisha simlazimish..
@musubidavid60595 жыл бұрын
King Lunya on this again. Respect fam
@georgemtui26094 жыл бұрын
Lunya unatiishaa Unajua
@blessedtillah5 жыл бұрын
Nifanyeee hii kama sifanyi tens kudadeki😂😂😂
@deserteaze35967 ай бұрын
Huyu ni mkenya walahi kudadeki ni ya kanairo mafucka😂
@LusajoJohn-b4v Жыл бұрын
Nakubali kaka wewe ni mbuzi kweli
@guyemant51375 жыл бұрын
This is rap. This is talent.
@mountaincoffee75 жыл бұрын
Unajua afu umeuwa kinoma sijawai Ona Hongera zako young
@kuyengamkama77855 жыл бұрын
Mnyamwezii wa kizaramo 🔥🔥🔥
@daudibrandMakeseni26 күн бұрын
Nandy nihatari yani hadi sichoki kuskiliza hii ngoma pamoja na hile ya njiwa njiwa aliyo imba na wilipoze
@kingrasdee4455 жыл бұрын
We jamaa mkal. Hip Hop is ma favorite.
@ashrafadam46294 жыл бұрын
nouma snaa my young brrrrrrrr
@abelamos38854 жыл бұрын
Young lunya noma sama bro unatisha👊👊👊👊👊💪💪👏👏👏
@juliusmrimi86325 жыл бұрын
Young lunya! The TrueYoung Hip hop artist 👏👏👏👏🤙🏽🤙🏽💥💥💥🔥🔥🔥🔥
@shadiluck90155 жыл бұрын
huyu Kijana ....namuona mbali sana! ...kama atapata attention anayostahili!
@jofreytzjoph31845 жыл бұрын
uyu jamaa ni fund sana wanaemkubali kama mm gonga like
@allwhitelord4 ай бұрын
Still coming here, time and time again after 4 years! Timeless
@kimwerimwerondo7085 жыл бұрын
Young LUNYAA de baddest massive blood💥💥🔥🔥💪🏻
@ringoaskali76255 жыл бұрын
Young lunya mkali sana Kwani hakuna mtu wa kumshinda bongo anaimba mziki wa kisasa
@sellah46035 жыл бұрын
Km ynakubal hii ndiyo hip hop gonga like sasa🙌
@yuvenalalphonce59785 жыл бұрын
Mm na wanangu ni kama samata na #genk. Nishawahi lala studio ..nikitamani pakuche. Leo mambo safi gheto mashuka maeupe. ...best lines Lunya for international and morden rap..
@deadfriends41555 жыл бұрын
Mein this shii is 🔥🔥 much respect from Rwanda 🇷🇼 ✊
@officialbabron32725 жыл бұрын
Uyu jamaa bana mungu amueke tu...on top bro...#omgforlife
@enock14445 жыл бұрын
Let me say "Lunya is underated rapper" this is Hit