Uko fiti Brother. Straight outta Kenya 🇰🇪. Hii ndio mziki ambayo tunapenda. Kazi safi.
@amadtraore35742 ай бұрын
Walio Rudi 2024 gonga like tu enjoy FIMBO 😎
@AngelMassawe-p2e2 ай бұрын
Niko apaa😂
@amadtraore35742 ай бұрын
@@AngelMassawe-p2e masawe 😂
@ramosmnyalukolo7 ай бұрын
Nan bado analikubali hili goma mpaka 2024 agonge like apo ndichi😂🔥
@nyaluboytz27074 жыл бұрын
Ingoma inanifanya na gombana na jirani maana siku nzima naisikiliza Mbuzi ipo siku nita fanya colabo na wewe nipo chini huku ulipo tokewa wwe oyooo lunya nakuomba like back
@crispinmsuha90893 жыл бұрын
Watoto wanalia sana DM sijui niwagongee
@eliaskashuku38314 жыл бұрын
Swagger nyingi smart Code ...blessed de Lunya
@lumierembilizi9664 жыл бұрын
LYRICS: Intro... (Chorus) Hawatuwezi Oooh Nana Wanangu Gang Gang Sana (gang gang sanaa) Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa) Tunakiwasha Ndoooo Mana (Heeeiya) Tunawakalisha Kama (FIMBO KAMA KAWA) Kawa (FIMBO KAMA KAWA) Kama ( FIMBO KAMA KAWA) Dawa (Verce 1) Wakija vibaya Wanakaa Wambea Vikao Watakaa Mawaki nafasi ya kuongea siwapi Huwaga Nawanyanyapaa Nimewapa Nasafi ya Kunijua Jina Wakataka na Nnapokaa Leo Napendwa Sababu Nnacho Nikikosa, Habari zitatapakaa Kung’aa Ndoozeetu Mambo wena Mfwetu Watoto kibao wanalia Dm Sijui Niwagongee Tuu Na nawawashia Full Hauzimi Moto wakiifuu Wanashanga kuona Rapper wakisasa mwenye pigo za kiold Skul Tatizo Hawajulikani Kwa Hivi Nnavyochana Nntabattle na Nani Kwa sasa Michongo yote ya Zamani Naipiga X Kama Petit Man Ni Mimi Tuu na Hizi Stimu za Mjani Chuki ni chuki kwani kitu Gani Acha Utani, Rapper Unayejaribu Kumdiss kwa sasa Hawezekani Si ndotunakimbiza Roho Tunawaumiza Napata kinyaa nikitema yai Sjui yai langu Viza Watu hawaishiwi Visa Ka Natoka Naumiza Kila wanaponiona Camera Kibao wakazani naigiza (Oh My) (Chorus) Hawatuwezi Oooh Nana Wanangu Gang Gang Sana (gang gang sanaa) Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa) Tunakiwasha Ndoooo Mana (Heeeiya) Tunawakalisha Kama (FIMBO KAMA KAWA) Kawa (FIMBO KAMA KAWA) Kama ( FIMBO KAMA KAWA) Dawa (Verce 2) There They Go wanga There they Go Na ukija Kwenye Mziki Mi kisiki U Better know Why Unaniombea Dhiki, dhiki dhiki mwenzakoo Maana ukija kwenye mziki Kila nnachofanya Ni Miracle Marapa Wadogo nawaonea Mi ni kama Gonjwa naenea wanaonijua kitambo wanaelewa Toka enzi za Uongo na Umbea Kwenye Beat hawakai wanaelea Na Ikawe Funzo Buure nawapea nawaambia Ukweli Sitowaongopea Nawaona Kama Choo ndomana Nawanyea Anayewakimbiza katima michano, Kama sio mimi ni nani mwengine Dundo la Paul likipata Verce ya mbuzi siku zote huwaga Mashine Mwendo haupoi Nawakimbiza speed kwenye Kona haishuki Uspime Idadi ya watu wasionikubari Imekuwa ndogo sana Nahitaji Wengine Wanaobana Nawataka wengine hata Wambea Najitaji Wengine Mana zama zimeshabadirika mpaka watoto wanapenda mashine so Ningependa Wachawi Wengine Hata wanoko nipate Wengine masnichii wenginewengine Labda Nkapata Challenge Pengine (Chorus) Hawatuwezi Oooh Nana Wanangu Gang Gang Sana (gang gang sanaa) Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa) Tunakiwasha Ndoooo Mana (Heeeiya) Tunawakalisha Kama (FIMBO KAMA KAWA) Kawa (FIMBO KAMA KAWA) Kama ( FIMBO KAMA KAWA) Dawa Outro...
@dandaniel8944 жыл бұрын
Trisha Sana mwamba
@najmahassan4783 жыл бұрын
Nakubariii
@bennylove60212 жыл бұрын
CnP
@jemaarsen6996 Жыл бұрын
Nakubali
@ramamanyama29444 жыл бұрын
Nan Ameon Young Lunya Ana Uwezo Mkubwa Wa Kufikir Gonga like apo Chin Twende Sawa
@pr2nmn7pjivsklsp404 жыл бұрын
Tnx bruh bd wanaumia
@FadhilJoseph7 ай бұрын
Ngoma bado inaishi xnaa Kwa sisi ambao tumedhaulika xnaa na Leo tupo on top
@mcsailas83284 жыл бұрын
Jamaa linajua kinoma twende tumuwekee like za asante kwa ngoma kali
@officialexpendable97054 жыл бұрын
Exactly
@anuarysiraji61933 жыл бұрын
Mamb mbaya got
@deniscrodivick98714 жыл бұрын
wangap wana-resume hii ngoma several times kama mimi....thumb-up
@fredyyohana26064 жыл бұрын
Young killer alikua anawaonea amekutana na beberu
@collinskegodizo65303 жыл бұрын
Trap kaliii san kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tumekubaliii sana
@RayDavid-i7p14 күн бұрын
Mi nimemjua lunya kwa sabab ya chief godlove
@RandyMwanaKin4 жыл бұрын
Congo 🇨🇩 tu naipenda 🇹🇿 🎶 🔥🤞🏼 #randykinamber
@mtu-pori4 жыл бұрын
This is my favorite rapper of recent times in TZ. He reminds me of late 90s and early 2000s rappers in TZ, Hard Blasters in particular.
@benjaminkimaro83484 жыл бұрын
Brow salute sana Mm nimekubalii Unyamaaa💣💣💣💣💣🎧🎧🎧🎧 all the time I'm here
@celokuhlefreeman9784 Жыл бұрын
have you listen to the whole track without understanding the language/Lyrics?.. that's me right now🥰🥰..and tell you what, I'm enjoying it
@vinchystyles16754 жыл бұрын
''Idadi ya watu wasionikubali imekua ndogo nahitaji nyingne"😀😀😀 Unyama💪💪💪 gang gang🔥🔥🔥🔥
@letionnews3103 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu kwa kutuletea rapa kama Young Lunya aiseee..coz anajua mpaka anajua tena
@kingkistar49483 жыл бұрын
Kama unaamini Young lunya mkali gonga like maan me haipiti siku bila kutazama hii ngoma......#FIMBO😢😢
@shebbyjuma66124 жыл бұрын
Kweli Zama zimebadilka Hadi watoto wanatak mashine🤔🤔🤔💪💪💪💪💪🤘🤘🤘🤘🤘lunya
@yonadenge55194 жыл бұрын
UNYAMWEZI SANA VIDEO SAFI VINA VIMEKAA MWANZO MWISHO NEXT LEVEL GONGA LIKE KAMA UNAMCHEK YOUNG LUNYA MDA HUU
@DonMooSTUDIO_Express4 жыл бұрын
👇🏻💖💖💖👇🏻 kzbin.info/www/bejne/oYjdqKhqn9tqa6s
@AgerLaw4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/lWPPh6qblq6po9k
@addy03wamfizow4 жыл бұрын
Omay lunyaaaaaaa gonga like kama umelewa ngoma
@frankmkula84674 жыл бұрын
Fimbo Kama fimbo king lunya 🔥🔥🔥🔥 nimewapa nafasi ya kunijua jina,wanataka na ninapo kaa. Young lunya🔥🔥🔥🔥
@yasiniisere34823 жыл бұрын
Bado nahic watu hawakuelewi lunya tembea na beat tutaeleweka mbele never give up rich gang is coming son
@pascalthegshow36434 жыл бұрын
Kenya should learn from this.....TZ wakali wa ngoma an video....👌💥🔥❤❤
@flashskaters4 жыл бұрын
"Idadi ya wasiokubali imekua ndogo sana, unataka wengine" masterpiece
@phibiojaxbrand4 жыл бұрын
Sana kama una mkbali lunya ..like ihusike kwa wana woteee🔊🔊🔊
Ma young young weng lkn c 2namojua young moja......YOUNG KILLER
@HamsoNuru8 ай бұрын
Mkuu am your big fun from Kenya 🇰🇪 254.napenda flow ❤ zako
@kanolemstafa44874 жыл бұрын
This is the best you are the best keep up going on more and more
@kelvinchaula74314 жыл бұрын
Maana zama zimeshabadilika mpka watoto wanapenda mashine
@jochrischriss95904 жыл бұрын
YOUNGLUNYA WE NI NOUMAA SANA HAUJAWAI KUNIANGUSHA 🔥🔥🔥 FIMBO NI HATARY SANA 🌍
@robertmolla86204 жыл бұрын
Mwanzo walituona loko Sana, Sasa tunawakalisha ndomana.💥💥💥💥💥💥💥
@Tiscobabylon6 ай бұрын
Unyama mwingi apoh lunya wataelewa japo kuwa kiloho mbaya
@Mandugudigitalify4 жыл бұрын
Lunya, YOU know this one is beyond dope!!!!
@adamsdaud92684 жыл бұрын
Idadi ya wasionikubali ni ndoqo nahitaji nyinqine, hata wambea nipate wenqine 👍👍 Jombaa anajuaa hadi keloo
@stevemoshy5254 жыл бұрын
Gumbo kama Gumbo
@charliekawiche89014 жыл бұрын
Young lunya,young killer and conboi they will gonna change Tanzania hip hop
@chibzeric6794 жыл бұрын
Mwenye ata change hiphope ya tz ni mex cotez na young lunya.. Utakumbuka hii comment
@issaoyaya6357 Жыл бұрын
This man is enough when it comes to young rappers in Tanzania...people wont forget this era
@mnyamilyomary25184 жыл бұрын
Kifupi lunya unajua sana👍 Noumaaaaaa🔥🔥🔥🔥
@christophermwakisyala17174 жыл бұрын
Kama unkubali lunya gonga like basi
@nkaliedward1065 Жыл бұрын
Kwendraaa,cheap likers
@tomchedy-nw3bg Жыл бұрын
saf mastear
@AmirJabir-s7z Жыл бұрын
Okay
@mwanaidiissa58636 ай бұрын
Lunya
@ThesmartSmart3 ай бұрын
Kamau na niku bal laiker hap 3:21
@dayson84584 жыл бұрын
Lunya is a beast in tz love from Kenya
@musason16803 жыл бұрын
Ngoma noma kabisa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥂
@ramseythozzy52582 жыл бұрын
sure mwanangu lunya goma liko swa mpka leo yni
@FredySemkiwa-or7kn5 ай бұрын
Nikiskiliza hi ngoma nasjkia vizur san🔥
@saidinanyani30194 жыл бұрын
KILLER RAPCHA CONBOI MBUZI new era of HIP HOP TZ
@janembawala60094 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eZCWdIybYrmgjNU
@willinjowritter2064 жыл бұрын
Lunya has grow man..dope af.. much love and blessings from KENYA 💯
@rogermillar16962 жыл бұрын
mOJA kALI... maupendo kutoka mombasani
@officialmohtz794 жыл бұрын
King of hip pop lunya big up bro 💪💪
@mrgentle32574 жыл бұрын
🙌🙌 umeuaaaaaaa hatariiiii sanaaa🔥🔥🔥🔥
@simoncine2554 жыл бұрын
World Wide man "Mwanzo walituona local sana, Tunakiwasha, Tunakalisha"
@selemanihamisi-fm9uw Жыл бұрын
Duu young lunya namkubalo sanaa🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@dilaizer31964 жыл бұрын
Ngomaaaaaaa fire mzeee wangu duuuuh like za @YOUNG LUNYA
@kingrasdee4454 жыл бұрын
Ngoma imesimam na n ya kimbele zaid, anaeamin ivo gonga like.
@poolboypoolboymanstrong85704 жыл бұрын
#SIO UTAn mzee hit juu hit 💣⛽💪🏾
@augustinmalipo33578 ай бұрын
Nakubali kaka yani una kishwa kigumu kama ulivyo mungumu kwenye rapu Like from Congo
@Kemdraphael4 жыл бұрын
"maan zama zmebadilika hadi watoto wnapenda mashine" lunyaaa
@williambundala87504 жыл бұрын
We are taking bongo rap 2 De next level with young lunya appreciate
@timothykaiza3274 жыл бұрын
Goma kalii, Young Lunya anajua na nusu ila Corous tu imepoa
@yusufumbwene56692 ай бұрын
Brother wangu Ney ni mkomavu kifikra Allah akulinde inshaaallah
@zappe55284 жыл бұрын
Lunya, Rapcha, Con Boi na Salmin Swaggz.. The new generation of Bongo Rap. Respek ✌🏾️✌🏾.
@janembawala60094 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eZCWdIybYrmgjNU
@africanasplumbing4 жыл бұрын
Umemsahau MOTRA THE FUTURE
@africanasplumbing4 жыл бұрын
Umemsahau DIZ AFRICANAS
@kingkendrickk4 жыл бұрын
Real hip-hop artist from Tz 🇹🇿
@Sincerelykentrell0384 жыл бұрын
Mbuziii❤❤🔥🔥🇰🇪🇰🇪🌠💯💯💯🎶🎶
@charlesmpendahaki66352 жыл бұрын
Noma sana nagombana na watu kisa nikiwekaa hii ngoma ya fimbo
@jumanuri18494 жыл бұрын
Kali xanaaa MBUZI big up xanaa bro ur in an international level watoto wa bongo sio aliye ligi yako jay jux all da from Dubai
@japhethmwanisawa72704 жыл бұрын
asee fanya unavyoweza kufanya na sisi tunakubali
@ambrosesulley27884 жыл бұрын
Banger rite here... Good Music with such creativity.
@shariphidrissa47963 жыл бұрын
mbuzii naombo kamaaa nakubalii pia mimi mbuzii nomaa sanaaa semaa unajuh nini naombo kamaa mbuzii fanya kitu na conby
@BakarBakar-md1rp7 ай бұрын
old school vition umebak wewe tu mnanya lunya
@jipozeonline39834 жыл бұрын
Hii kitu ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@pmpmediatz97524 жыл бұрын
Kama unaifaham money heist💰💰 gonga like hapa🔥🔥🔥
@idrisangalagila57104 жыл бұрын
Daaah bro nakubali
@exveljaden87824 жыл бұрын
Love from America 🏳️🇱🇷🇱🇷 he sing like d smoke
@jcudi_ke63964 жыл бұрын
wangapi wanakubali nifanye collabo na lunya kzbin.info/www/bejne/apfJoIqCq8Z6gdU
@patrickpeter87934 жыл бұрын
Brother wewe ndio Hip pup Man in the world ninakukubali Sana brother hata siku yangu ya kufa nitaacha usia waweke nyimbo yako ya fimbo I love you so much brother
@selemanimkupe12253 жыл бұрын
Mimi Ni Lunya fan but I wonder you ...does Lunya sing hipp hop ?
@sirpworldwidefitness73644 жыл бұрын
"There they Go south side there they go" I can feel nasty C over there 🦅
@eliasaismail61354 жыл бұрын
Sikiliza vizuri na ujue kutofautisha puta
@luwaluwachampionboy59664 жыл бұрын
Jamaa katisha
@DonMooSTUDIO_Express4 жыл бұрын
👇🏻💖💖💖👇🏻 kzbin.info/www/bejne/oYjdqKhqn9tqa6s
@enlightenedoness22283 жыл бұрын
Ni kawaida kwenye mziki labda hii ndo ngoma yako ya kwanza skiliza.
@lorahjames34273 жыл бұрын
Rapa wa xx mwny pigo z ki-old xcull😍😍😍😍😘
@ciraofficial83653 жыл бұрын
Locked in from Nairobi Kenya. Nilipenda sana ile sample uliyotumia kwa Announcement freestyle. Kali sana. Fimbo nalo limeshaa ua
@khamishamza65504 жыл бұрын
Mi nashangaaaa comment ninying kuliko views jmn tuongeze views bx
Kwasasa young lunya runs the Tanzanian hip-hop... Ukibisha ntakuona mchawi tu
@norpogang2814 жыл бұрын
Verse ya mwisho 🔥🔥
@johnsonchonja40324 жыл бұрын
Mbuuuuuuuzi 🔥🔥🔥
@IsakwisaMwaiseje-o2lАй бұрын
Hapa ndipo naona mziki ni ulisi wa dunia
@mcallande13173 жыл бұрын
Beast mode🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥
@giftmoses97323 жыл бұрын
Ita wakadinali wafanye kitu na huyu
@atanasimbalinga10884 жыл бұрын
M2 mbadi LUNYA MAFIA
@rashidkassim21714 жыл бұрын
Duuuuh!!!! Noma sn big up.... Nakubal✌✌✌✌
@AdamAlly-o7w Жыл бұрын
Mbuzi Kama mbuzi🔥
@beautifulprogram53174 жыл бұрын
They are THE moment. Most talented young artists out there.
@nurdinmsangi73513 жыл бұрын
SALUTE MBUZI....STAY BLESSED
@emistoramisto32344 жыл бұрын
another one✌🔥🔥🔥
@mandelizer30 Жыл бұрын
Omaah🗣️🔊
@shaniganguma50004 жыл бұрын
This is more than fire ...big up
@MohamedHassan-hb9ii4 жыл бұрын
Mrithi wa ngwea. Kama unakubaliana nami gonga like za kutosha.
@mcsailas83284 жыл бұрын
Like 10 Tu kwa wana ambao hatupingi kuhusu uandishi wa Young Lunya Like hapo chini 👇👇👇👇👇👇👇
@janethlucas14822 жыл бұрын
Napenda sana ngoma zako am sush a huge fan of you napenda sana mziki wako a huge fan of you
@shaffichembe20222 жыл бұрын
🔥🔥🔥 lunya kill it
@dazedconfused55944 жыл бұрын
Dude built a prison with this one, Bars after bars. 🔥 🔥
@sirpworldwidefitness73644 жыл бұрын
Lunya de professor got so many plans for us all we better stay humble 💥🦅
@ShabanijumaMangola-sj4zh Жыл бұрын
Natamani uimbe hivi young lunya, ila usijisifie sanaa hii kaz imeenda Sana jitahid usimdis young killer kwasabab wote mnajenga nyumba moja Haina haja ya kugombania Fito. By the way young killer wa kitambo Sana wewe Fight na kizazi chako killer atakupoteza we mpe heshima yake tu, maan tumeanza kuskiliza ngoma za young killer since haupo kwenye game