Young Lunya - Freestyle Session 6

  Рет қаралды 464,847

Young Lunya

Young Lunya

Күн бұрын

Пікірлер: 1 900
@lazenbett5813
@lazenbett5813 7 ай бұрын
Mkenya wa kwanza hapaa🇰🇪 kufuatilia the season kama kawa
@chikaweabdalah280
@chikaweabdalah280 6 ай бұрын
Huyu mwamba ni Tanzania special one
@user-pb2jx5zm3k.MBUZIII
@user-pb2jx5zm3k.MBUZIII 7 ай бұрын
MBUZI 🐐 napendwa jince ulivyo iachia maick🎤 Unamaanisha Na yeye atoe tena free stelyle sission 6 out run
@abouskillskefea3413
@abouskillskefea3413 6 ай бұрын
Mi namkubali sn young killer... Ila hapa LUNYA kuna Jambo kafanya..👍 hp amekaza sana yn kila ukijitahd ufungue unaogopa unahc utavunja
@Ahmed-fr6le
@Ahmed-fr6le 7 ай бұрын
kwa 2naopenda muzik wa west side kwa hapa tanzania 2naupata kwa young lunya au mbuzi never disappoint us
@Aloysmalon
@Aloysmalon 7 ай бұрын
Lunya fire ukipend mwite mbuzi mweny nyam nyingi .unyam wotz yaani jaman mu like ndo lengo
@__its__gray3747
@__its__gray3747 7 ай бұрын
Anakwambia "sio kwamba sidate ila simwoni wa kumweexpose " Young killer kajibiwia hii si alisema "kwanza dgo demu wako hatumjui"🎶🎶🎶 good music from Mbuzi
@farajimahamudu2808
@farajimahamudu2808 7 ай бұрын
Mbuuzi
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 7 ай бұрын
Mbona verses nyingi tu kachanwa Killer, mfano "pisi yangu ww haikuhusu" izo kelele zangu ndizo zilizokupoteza ww " c kule alimwambia kua akitoa ngoma kelele ka za jenereta😂 pia kuna seem anasema "this is session 6, najua ushaickia ile nyengine ambayo n mbovu ila this is fixed" he si really got🎉🎉🎉
@NoelLeka-hy1ch
@NoelLeka-hy1ch 7 ай бұрын
Young king always on top GAOT at young age utengwe bro inabd tukatafutie mbuga yako mbuzii talent hi inajtenga na talent za ovyo oovyo uwez ka mbuga moja nao fake rapers
@yusuphmyinga
@yusuphmyinga 7 ай бұрын
Nashukur sijachelewa kuskiliza maunyama alo ya fanya mbuzii leo daaah hatariii 💪💪💪💪
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 7 ай бұрын
Huyu mtoto ni mshenzi kwa hii kazi wambieni hao wataenda sana kwa wa ganga lakini huu muda ni wa mbuzi❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 sitaki kukuaminisha uamini ninacho kiamini lakini angalia kazi zake
@Threefingers-ik3pk
@Threefingers-ik3pk 7 ай бұрын
Kusema kweli Unajua bro Wanao mkubali Lounya gonga like apa
@ismailmenk8188
@ismailmenk8188 7 ай бұрын
Lunya mbuzi umeshindikana wasikushindanishe na young killer ume muacha mbali sana.
@AbdulySaleh
@AbdulySaleh 7 ай бұрын
Is CASPER NYOVEST Well mannered??.. "I don't know any Rapper I just know Musicians".. Many LIKES To This TALENTED! BLESSED! CREATIVE CREATURE.. What A work of ART!!!
@dancunsteven7486
@dancunsteven7486 7 ай бұрын
Bars for bars, huge respect young Lunya 🇰🇪🇰🇪
@Prince-rafael
@Prince-rafael 6 ай бұрын
Waruka juu huwa atuogopi mabaunsa, ata uwe mjeshi kichura utaruka ukuuuh uku inapigwa kidole inanuswa hzo n nyama tu zipo ata kwenye sambusa😋😋✌️✌️@motra the future.
@emariohjohn3743
@emariohjohn3743 7 ай бұрын
Young killer ......nìfichie tena huyuu mtoto wa bombom...
@yohana_yuster_authour
@yohana_yuster_authour 7 ай бұрын
Hapa Kwa young killer sijui atapona kweli
@vampiro7663
@vampiro7663 7 ай бұрын
+258🇲🇿 Mbuziiii 🔥🦅 Esperando essa vibração do outro lado
@josephfestus2551
@josephfestus2551 7 ай бұрын
Humu hamnaa rapper now,,my all time session is 3&4 after hapo naona lunya aachane na sessions coz kadili anavyozidi kwendaa mbele naona anaharibu
@warriomashaz5184
@warriomashaz5184 7 ай бұрын
Mboga zinataka nizile hata zikijua natoka nanani✌️✌️
@depsmilindi8424
@depsmilindi8424 7 ай бұрын
As usually the best rapper kwa generation hii... Wewe na Rapcha nawapaga maskiyo yangu kwa mda mrefu.... One love from🇨🇩✌️👌
@achukamwalimu1596
@achukamwalimu1596 6 ай бұрын
Mi ni mmoja ya Wakenya🇰🇪 wanaomkubali sana LUNYA. MBUZI!! 🐐
@ladslausemmer9577
@ladslausemmer9577 6 ай бұрын
Mnapenda vibovu
@achukamwalimu1596
@achukamwalimu1596 6 ай бұрын
@@ladslausemmer9577 kama yeye kibovu pia nawe kibovu. Same category
@davidmshighwa8444
@davidmshighwa8444 5 ай бұрын
@@achukamwalimu1596 awezi kuwa same category na mbuzi Ye huyo ni lofa.
@JordanSolomon-dy9pv
@JordanSolomon-dy9pv 7 ай бұрын
Mh hapa kama munatoka nje ya bara bara mbuzi ana roo ninaona kabisa anaanza kumuogopa muuaji hili dude kwakweli sijalielewa alafu kitu nimejifunza kwenye haya maisha unaweza ukawa wakwanza kila kitu ila ukachelewa kujua😊😊😊 huu mchezo hauhitaji hasira
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 7 ай бұрын
Choko wa young killer
@JordanSolomon-dy9pv
@JordanSolomon-dy9pv 7 ай бұрын
@@abumuhammad9615 waoooh nawewe ni wayoung kunya au vp mimi ninasikiliza muziki aina zote sinaga ufagio mzee nivile tu hujanijua hata kwakuniona siwezi kusema kwamba haunijui vizuri 0
@anuaryayoub1143
@anuaryayoub1143 7 ай бұрын
Hakuna kama wew mbuziii kweny hii new school hiphop ❤❤❤❤❤❤...
@jossonchauler1707
@jossonchauler1707 7 ай бұрын
I remember in my O level studies I used to escape from school.. Whenever I hear Mbuzi 🐐 Has released new song 🎉 My classmates used to call me Mbuzi too❤ Because I am the mad fan of young Lunyaaa❤🎉
@islamkarata9655
@islamkarata9655 7 ай бұрын
Sijasikia chorus aseee khaaaaaa
@KEVOSHIZO
@KEVOSHIZO 7 ай бұрын
Lunya ameweza anatisha sana! With Love from 254
@BrianAbanja-tq9rq
@BrianAbanja-tq9rq 7 ай бұрын
Wanao mkubali huyu bwana all the way from country 245🇰🇪 relax hapa guyzz
@Mkfamily89503
@Mkfamily89503 6 ай бұрын
Am 254 bt Tanzania hip hop for me.
@Barakajones7
@Barakajones7 3 ай бұрын
ukiskiliza ngoma hii utagundua muhuni anataja ngoma zake zote za kwnye album dogo ni hatari acheni majungu🔥🔥
@winniearaka8487
@winniearaka8487 7 ай бұрын
Tulioskia shoutout ya Nairobi weka likes hapa. Young Lunya never disappoints 🔥
@TushabeAmos-z9f
@TushabeAmos-z9f 6 ай бұрын
Welcome bongo, I love you❤
@winniearaka8487
@winniearaka8487 6 ай бұрын
​@@TushabeAmos-z9fasante...I'll actually be visiting in August ❤
@cyprianyinnocenty2002
@cyprianyinnocenty2002 6 ай бұрын
Daaah! Sina nen0 katika hii kitu 0yaaa baba UMEUWAAAA! Br0h! Y0ur Magic Br0h! Aaaaaah!! N0 Way 0ut 🎉🎉
@CarlyTexxy
@CarlyTexxy 7 ай бұрын
mbuzi mashien umetoka 5 now umenda 6 oy zote umetembea dakik Kam life str zinavuotak dakik 6 👋👏
@gasperkairon1663
@gasperkairon1663 6 ай бұрын
Kibongo bongo wachache sana lunya mshamba hawezi elewe waache chuki chuki 👊🏿usifagilie wajuaji
@HassanPacha-f9w
@HassanPacha-f9w 6 ай бұрын
Lunya kwa upande wangu mimi killer akikujibu ameondoka na kijiji
@saddybrezzy9777
@saddybrezzy9777 7 ай бұрын
Dah bado sana kwenye hip hop
@jaruloner
@jaruloner 7 ай бұрын
Mbuzi kwa ubora wake❤🎉....Showing love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@abuwjandal1198
@abuwjandal1198 6 ай бұрын
Huyu jamaa ni goat ndo maana wanamchangia.
@D_smarty8
@D_smarty8 7 ай бұрын
weeee mbuz umekua tishio kwa ma brother au basi ✍️✍️✍️💯💯💯💣💣🔥🔥
@erickhenry2619
@erickhenry2619 7 ай бұрын
Director scene ya box umeuaaa..very creative…akili hizi nazionaga ulaya..tishaaa sana
@Izoodaddy
@Izoodaddy 7 ай бұрын
Freestyle No 2 na no 5 ndo Ngoma kali
@86blizzo
@86blizzo 7 ай бұрын
Bado hapo Ki ukalii xanaa freestyle zote 1. Announcement freestyle 2.Freestyle session 4 3. Freestyle session 2 afu 4.Freestyle session 1 Ukitaka kuamini anza kuzsklza tena upya kw huo mtiririkoo📻🔥🔥🔥
@BockrineSimchimba
@BockrineSimchimba 6 ай бұрын
Kwako
@koonama14
@koonama14 4 ай бұрын
so much love from Cameroon #YungL. U are highly underrated bro, but your hiphop will inspire Tanzanian generations and young African rappers trust me. LET'S PUSH THIS DUDE GUYS.
@blook_maina
@blook_maina 7 ай бұрын
Rada safi nafisia watoto wa Nairobi ❤
@albertpike6208
@albertpike6208 7 ай бұрын
5:11 Rada ni safi navizia watoto wa Nairobi.....damn !!! Ulimanisha nini Lunya kama ni kuchana Nairobi rappers own hip-hop shit
@ShamilahSalum
@ShamilahSalum 7 ай бұрын
...kumamakeee kaingiaa mazimaa mleteni young killer wenuu . oii makelele yanguu ndo yalokuzimaa
@vema_tv
@vema_tv 7 ай бұрын
Humu namuona YOUNG LUNYA mpyaaa. Noma sana
@rejius11
@rejius11 7 ай бұрын
Nilichili kidogo kusikiza hip hop bongo jamaa amefanya nasikiza tena, this iz hit bro 🔥
@alexanderthegreat9704
@alexanderthegreat9704 7 ай бұрын
mbuziiii umetishaaaaa
@ramaar_the_baddest_
@ramaar_the_baddest_ 7 ай бұрын
big time GOAT 🐐 🙌🙌🔥🔥 tamba nikiwa sipo ila watambie fasta fasta 📌
@yobrake5856
@yobrake5856 7 ай бұрын
Lunya's number one fane from kenya , I'm really jealous i arrived late for this masterpiece
@K.I.l.o.n.zo..boys.m.a.t.a.t.a
@K.I.l.o.n.zo..boys.m.a.t.a.t.a 7 ай бұрын
Oyaaaaaaaaah ikitu nyokoooooooooooh
@BarakaJum-hr9jm
@BarakaJum-hr9jm 6 ай бұрын
Namkubali luny moto kam pasi🔥🔥✌
@dyonkiing4010
@dyonkiing4010 27 күн бұрын
Goat com merito mas vellho sabe repar🇲🇿ww ni noma mpaka unapeleka jua london🔥
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 7 ай бұрын
Du huku young lunya kaimprove sana michano yake amekomaa
@tonygeniusofficial
@tonygeniusofficial 6 ай бұрын
Ila kusuka kidem kazingua😅😅😂😂😂
@MassudBejo
@MassudBejo 7 ай бұрын
Kwel mbuzi rap nikujigamba ila wey umefany zaid y kujasfu ila frsh maan yot niy 🎉🎉🎉🎉🎉kwl
@RobertRobertjoseph-i8i
@RobertRobertjoseph-i8i 7 ай бұрын
Mbeya boy like apa
@kelvinedward1405
@kelvinedward1405 7 ай бұрын
Huyu dogo nilikuwa simuelewi kbs ila kila siku anazidi kuniprove wrong huyu dogo ni moto🙌
@harmojunior3267
@harmojunior3267 7 ай бұрын
Waiting
@depoisongee
@depoisongee 7 ай бұрын
Mazaaa hii hatari lunya mwoto kama pasii 🫡🫡🫡
@JamesReuben-gt8up
@JamesReuben-gt8up 7 ай бұрын
Mbuzi huyuu jamaa wek mbalii na watoto
@REGINALJOHNIWOKER-fs8my
@REGINALJOHNIWOKER-fs8my 7 ай бұрын
Ngoma imepoah Sana mbuzi kapoa tusubil killer session 7🎉
@grizzboytz
@grizzboytz 7 ай бұрын
Weee Lunya Nyimbo zako zina vibes sana Congo🇨🇩 Ila hatuja waii kuku ona My Ideal💯 i like your punchline my Blood
@grizzboytz
@grizzboytz 7 ай бұрын
@FernandesKalokola
@FernandesKalokola 7 ай бұрын
Mtu akifanya kitu kizuri apewe maua yake Tz damu 1big up lunya
@lweshamagauni2459
@lweshamagauni2459 7 ай бұрын
Mbuzi kiwalani bombom
@MulababazOG
@MulababazOG 7 ай бұрын
Wapii kelelee za lunya Say ooo yoooo Say yoo yoo Yooh lunya you killed it this one saluute yooh 👊👊
@wabo_199
@wabo_199 7 ай бұрын
Team young kila njooni apa😮
@YoungskillsTz-c8y
@YoungskillsTz-c8y 7 ай бұрын
Karudia tena
@DimosoBarackswed
@DimosoBarackswed 6 ай бұрын
Dah huyu anapenda kujizifia yeye tu huyu mweupe hana kitu Young killer ni CD ingne kabisaa
@gabtubechanel9267
@gabtubechanel9267 6 ай бұрын
C'mon yall this 🥷been spitting 🥶😮‍💨😮‍💨😮‍💨mbuuuzi more love from 254 respect 🫡 your game
@lodybrown3045
@lodybrown3045 7 ай бұрын
Lunya one 1️⃣ Tunao sema mbuzi bongo hakuna wakumfikia🎉 Tem mbuzi gang 🐐 tujuane🎉🌵🩸
@youngnas7469
@youngnas7469 7 ай бұрын
Lunga kumamaakoo
@PatrickSanga-wt8tq
@PatrickSanga-wt8tq 7 ай бұрын
Kumbuka Kuna msodoki
@muduboy726
@muduboy726 7 ай бұрын
​@@PatrickSanga-wt8tqyoung killer ndo Eminem wa bongo
@VideoDirector-lj6bx
@VideoDirector-lj6bx 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bGe0ommIn910oKssi=GrQO24G2-XkRY0HW❤
@VideoDirector-lj6bx
@VideoDirector-lj6bx 7 ай бұрын
@tellaaxistz
@isayabendera
@isayabendera 6 ай бұрын
I like vile R's now zina tamkwa poa Big up.
@mrsavage7603
@mrsavage7603 7 ай бұрын
Young killer itabidi ajibu hapa, the sooner the best 🔥😎🙌
@ivangreen7655
@ivangreen7655 6 ай бұрын
To be honest, 6:30 minutes of fluent rap is crazy 🔥🔥 Young Lunya ni mkali aisee
@pagallohumphrey722
@pagallohumphrey722 6 ай бұрын
I liked this mpaka nilipo sikia MEEH ya Toxic fuvu... nasubir majibu nione kama kweli tuna Goat
@SaidPesa-i6h
@SaidPesa-i6h 6 ай бұрын
Kelele za janareta😂😂😂😂
@ladslausemmer9577
@ladslausemmer9577 6 ай бұрын
Meeh yamoto man
@miserumipesa9511
@miserumipesa9511 6 ай бұрын
Meeh dude lingine lile uwez fananxh n huu uchafu😂😂
@bartmansweetbart4297
@bartmansweetbart4297 6 ай бұрын
Akijibu ile rudi hapa nakupa 25k hana iyo nguvu uyu ohhh my
@dullymusatz6561
@dullymusatz6561 6 ай бұрын
hahah na me ni kama ww yan
@iconiclife255
@iconiclife255 7 ай бұрын
Rama rama ra pajama.. shout out to that mbuzi😮
@edbertyustack1598
@edbertyustack1598 6 ай бұрын
Uyu nigaga anajua namkubl xn aiseee 🔥🔥🔥🔥
@nkaliedward1065
@nkaliedward1065 6 ай бұрын
Lunya anaiheshimisha RAP game,anastahili heshima for that and truth be told amemature kama fine wine ana rhymes kali and viburi flow.
@WityJr
@WityJr 7 ай бұрын
Lunya ni mmoja t❤️🔥🔥🔥
@Jacde6ix
@Jacde6ix 6 ай бұрын
Lunya lunya lunya unatuumiza mashabiki zako why kila msannni wa raper wakudisi jomba tunataka kichupa kingine kikali acha kujisifu waonyeshe kuwa tunapasuka hata bila kujisifu nakubali mbuzi
@is-mailh.makame5420
@is-mailh.makame5420 7 ай бұрын
You are muuufck best RAP after Vina its you my G.O.A.T....... #MBUZI
@cbegram6161
@cbegram6161 7 ай бұрын
Dizasta vina
@dullymusatz6561
@dullymusatz6561 6 ай бұрын
vina Is something else bro!🤞✌️
@GeofreyEmmanuely-tg5jg
@GeofreyEmmanuely-tg5jg 7 ай бұрын
Daaah weh jamaaa sio pow,.Aseeeh,,duuuh
@Ramaah17
@Ramaah17 7 ай бұрын
Normal😏 ngoja nimsubir Mwanangu Msodoki soon tunakuja kuzima kelele
@DimosoBarackswed
@DimosoBarackswed 6 ай бұрын
Tunakuja kufunga midomo ya watoto wa juzi😂😂
@nassorsuleiman9155
@nassorsuleiman9155 6 ай бұрын
Usisahau kumkumbusha msodoki aongeze dakika asije akaja na dakika zake mbili😂😂
@IamIbrah
@IamIbrah 7 ай бұрын
Wooooow 😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 the real goat umetisha lunya no one like this is a real session 6 ile nyingine ogopeni matapeli
@MuddyRojà
@MuddyRojà 7 ай бұрын
Kaaaa wan mpo motooooo mmexha ichekiiiiii
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 ай бұрын
MBUZI the GOAT kuna maboya wanajaribu kukudiss alafu only "OOOOH MY" inawafunika.
@NandoWaUsa
@NandoWaUsa 7 ай бұрын
Listening all the way from USA 🇺🇸 🔥
@AgapithLaban
@AgapithLaban 7 ай бұрын
Mim noma muulize hat tot bad .Noma xan blood respect for you.
@peterfrank5582
@peterfrank5582 7 ай бұрын
My brother is a rapper but he ain't writing his own verses now but singing ur verses everyday ....back on days I was taking u for granted but for this shit...u kill it goat
@ibrahimsadick6137
@ibrahimsadick6137 6 ай бұрын
Uyu ndo Mbuzi mwacheni
@fundiseif1096
@fundiseif1096 7 ай бұрын
Young Lunya umetisha sana 🔥🔥🔥💪
@EvanceNdyetabura-z8j
@EvanceNdyetabura-z8j 7 ай бұрын
tofautisha utamu na kusikia uloda......🥶🥶 mamaeeeeeeeeeee 🔥🔥
@abdulkarimchongs
@abdulkarimchongs 7 ай бұрын
All the way from 🇰🇪..love brother 🔥🔥
@stevenbosco255
@stevenbosco255 7 ай бұрын
Ay wakwanza Kwa Kila kitu mzee unapenda jisifia Kwa vitu vingine ambavyo sidhan kama katika uandishi wako ulipaswa kuviweka
@visa-Tech
@visa-Tech 7 ай бұрын
Meeeeee🎉
@Mpwangaselemani
@Mpwangaselemani 7 ай бұрын
Mbuziiii🙌🙌🙌msukumaa bishoooo
@RamadhanKessi
@RamadhanKessi 7 ай бұрын
Wakanza naomba like zangu kama unamkubali lunya
@mtare8942
@mtare8942 7 ай бұрын
This is your resume Broh....Bora wa Mda wote, M.B.U.Z.I, G.O.A.T
@NelsonMandela254-wu8vy
@NelsonMandela254-wu8vy 6 ай бұрын
🔥🔥🔥tz best rapper kwa sasa
@husseinliwali
@husseinliwali 7 ай бұрын
YL MBUZI MKALI MBUZI MNGATA WATU S006 IS ON FIRE 🔥 BIG UP SANAA
@yusuphkacc6232
@yusuphkacc6232 7 ай бұрын
hey siri anamaaaanisha dizasta vina 🙌🔥ndio siri ety
@jbsilulatv4513
@jbsilulatv4513 7 ай бұрын
Kila mtu anaradha zake ktk mziki so tusimlist dizasta...
@kennedymafole
@kennedymafole 7 ай бұрын
siri ni program such ipo kwenye iphone unauliza kituchochote online na inakujibu, acheni ushamba😂
@ottiefx255
@ottiefx255 7 ай бұрын
Dizasta mtu mwingine lunya hawez kwea
@cbegram6161
@cbegram6161 7 ай бұрын
Hawezi kumsogelea kwa talent, lakini kila mtu na ladha yake
@nelsonmandela8749
@nelsonmandela8749 6 ай бұрын
From kenya....Young Lunya amevuruga hyo beat mbaya sana
@presenter_Piesqa
@presenter_Piesqa 7 ай бұрын
"Pisi yangu haikuhusu coz she is mine😂"...Mwamba kavimba ...kenya tushaikubali🎉🎉
@khamishumba6511
@khamishumba6511 6 ай бұрын
Huyu jamaa sio level zao
@emmanuelomokola
@emmanuelomokola 7 ай бұрын
Dear God. We thank you for your son Young Lunya. We thank you for this gift. Make this talent take him to the world and at the end, glory and honor shall come back to you. AMEN.
Young Lunya - Freestyle Sessions 5 (Official Video)
5:26
Young Lunya
Рет қаралды 1,2 МЛН
Young Lunya - Freestyle Session 4 (Official Video)
4:59
Young Lunya
Рет қаралды 742 М.
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 40 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 105 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 38 МЛН
Sinaga Swagga Session 7  - Msukuma Mjanja
5:50
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 201 М.
TOXIC - Meeh
2:33
Toxic
Рет қаралды 170 М.
Dizasta Vina - Nobody is safe 5
6:07
Dizasta Vina
Рет қаралды 136 М.
Stamina Shorwebwenzi - Msanii Bora Wa Hip Hop (Official Video)
3:28
Stamina Shorwebwenzi
Рет қаралды 324 М.
Young Lunya - Freestyle session 3
4:13
Young Lunya
Рет қаралды 1,8 МЛН
Nikki Mbishi - Da Vinci Codes Pt.2 [ROMAnza] Official Video
3:19
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 51 М.
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39