Yuko wapi Juma wa Juma? Mwinyi na Samia wadai hawana taarifa

  Рет қаралды 3,335

Hilmi Hilal 259

Hilmi Hilal 259

Күн бұрын

Пікірлер: 12
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Wallahi dunia tunapita kilamtu atavuna alicho kipanda Allah atupe mwisho mwema
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze Жыл бұрын
Zanzibar tuiyondowe ccm madarakani tuchoke kuuliwa
@wahdabintabilha3643
@wahdabintabilha3643 Жыл бұрын
Rais Mwinyi na Rais Samia naamini wakitaka kulimaliza hili ili ukweli ujulikane wanao uwezo huo
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv Жыл бұрын
Hii ndio sera za CCM maana hata huko Pemba huuliwa mara nyingi watu na midomo hufumbwa au kwa sababu Wapemba si watu katika nchini hii hawana haki au kwasababu nchi ya ubaguzi hawa ni Wapemba ni Wapinzani hawana thamani.
@mansourahmed7782
@mansourahmed7782 Жыл бұрын
Mm nadir si jamaa yangu wala si rafiki yangu namuona tu kwenye media lkn kwa hili nna hakika halimuhusu wala msilazimishe kwa kusema yy ndo mtuhumiwa no 1, ikiwa kweli munazo evidence toeni ili haki itendeke, Tatizo lenu Muna chuki na machotara nyie
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Жыл бұрын
What a nonsense are you talking? Nani alosema Nadir kafanya? kauli zake watu wanazitathmini, na wewe kama unayo evidence Nadir hakufanya lete
@solihanegier890
@solihanegier890 Жыл бұрын
Uyo kaka kasema Nikweli kabisa uyo nadir ndio akashitakiwe
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Жыл бұрын
Kwahiyo mwinyi na Samia ndio wanajua watu miliomi 62 walipo kila siku siyo? Wamekuwa walinzi wa watu binafsi? mbona mna vichwa vya habari vya ajabu.
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Rais sasa anataka kujiharibia
@mwanaishahajji6625
@mwanaishahajji6625 Жыл бұрын
Beka kwa kweli nchi yetu unaposema ukweli unakuwa wewe unamakosa na hukumu yake inakuwa kupotea kwenye mazingira ya kutatanisha au kuuwawa wangapi wamefanyiwa hiyvo hatukatai kusema wala kupinga matokeo kama hayo,je tujiulize tokea litokee hili na mengine nichombo gani cha habari kilichotangaza hilo na nikwasababu vyombo vya habar havina uhuru wakueleza matatizo ya wananchi kwa hiyo hata kama tuko tayari kushikiana ss wananchi serekali haijawa teyar kushirikiana na ss kwa hiyo hata tukisema mwisho wake ni kutekwa au kifo
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Kupotea kwa Juma wa Juma - Mabodi na Nadir wahusishwa
1:05:25
Hilmi Hilal 259
Рет қаралды 1,5 М.
COP29: Climate Finance at Scale for Global Decarbonization
1:23:54
E-axes Forum on Climate Change, Macro and, Finance
Рет қаралды 3,9 М.
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
1:54:07