Tatz la Simba kuamin majina ya wachezaji😢 na sio kazi anayoifanya mchezaj uwanjani inakera sana
@AlexMkude7 ай бұрын
Sio wanajifanya Bali wanawataka kwel ila wanashindwa
@KelvinMasoud7 ай бұрын
Wasaf sikuiz ni waongo kila mnachokisema kinakuwatofaut taften sources za uhakika
@AidanDidace7 ай бұрын
Wakt ni wakt tu...!! 😅😅😅
@NeemaAkyoo-s4s7 ай бұрын
Yanga wanawajaza upepo viongoz wa simba tu wanajifanya wanamtaka mchezaji kumbe hawana hata mpango nae alf simba nao bila kufikiria wanaingia mfukoni kutoa pesa kumbakisha mtu kama kibu denis msim mzima goli 1 sasa akisajiliwa yanga ataenda kumweka nani bench pale?? Wachzeji wa simba wanawatumia yanga kuwafanyia promo ili kupandisha dau lao
@mwanangusana7 ай бұрын
Acheni dharau nyie ..... Kashkash za kibu ni Bora kuliko Fred anaefunga
@athumanmsuya26887 ай бұрын
Simba sio wajinga chama ni mmoja TU tz.Hata yanga Huwa wanammezea mache Kila msimu,unaumia kumkosa yakooooo
@HOLINESSPIUSE-gv8ud7 ай бұрын
Mwambie chama wanampendaga mno yanga Ila wanajitia uzegwe zengwe2 eti kibu hawamtaki kumbee wanamtamania mnoooo
@elicktilia44307 ай бұрын
Mwamba unamaono y mbali lkn watajifanya awajui😂😂😂😂
@CikeTanzania6 ай бұрын
Mnamtaka sana tuu.😂😂
@LdStal-oj1mm6 ай бұрын
Chama bora aondoke tu simba
@idatonymassawe7 ай бұрын
Mnachambua kinafiki sanaa hasa huyo kapanki honyo kabisaa
@LeoniaLyimo7 ай бұрын
Hawa siyo wakusikiliza hawana uchambuzi ni wapiga debe tuu. Tatizo Simba hela hawatoi ni maana hasemwi viziri. Tuuuachie Simba yetu.❤❤❤❤❤
@jewtv17327 ай бұрын
😮
@jewtv17327 ай бұрын
😅😊
@mrliverpoolynwa76417 ай бұрын
Hakuna mchezaji mkubwa kuliko club,wamwache aende hata kibu alibaki wa nn#SIMBA nguvu moja
@LeoniaLyimo7 ай бұрын
Niwangapi wameondoka Simba na Bado ipo imara kwani tushuka daraja mpaka mapovu uanawatoka hivyo .Au na nyie ni wale wale. Simba❤❤❤❤❤