MAAJABU; ONA MAPACHA WALIO MCHANGANYA MWANAMKE MMOJA, MAPACHA WA KUFANANA

  Рет қаралды 50,755

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 123
@RemmylinaLauzi
@RemmylinaLauzi 3 ай бұрын
Mapacha tuko wapi tuwape maua mapacha wenzetu,kuzaliwa pacha jamani raha ❤❤❤
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 3 ай бұрын
Quna qaraha yaqe pia unaweza qupewa qesi ya mwenzio pia
@DeodataSimbewa-zp6ec
@DeodataSimbewa-zp6ec 3 ай бұрын
kuwa mapacha raha kweli❤❤❤❤
@FatmaMohammed-ry8yo
@FatmaMohammed-ry8yo 3 ай бұрын
Mashaallah mtangazaji huo uvaaji wastara kwa mda wote nakupa asilmia zako Mashaallah uwe unavaa hivyo hivyo nakupenda kwaajili ya Allah
@HusseinAlly-rk1ol
@HusseinAlly-rk1ol 3 ай бұрын
Dada umependeza Kwa shungi uliova jitaid kuva Ivo Ivo hongera Sana dada
@JoanMponda
@JoanMponda 3 ай бұрын
Kwani anavaagaje 😢😢
@jokhasalim9670
@jokhasalim9670 3 ай бұрын
Ni kweli kbsa yn Allah amjaalie aendelee hivohivo kujistiri Nami pia nampenda kw ajili ya Allah❤
@evelinemose9959
@evelinemose9959 2 ай бұрын
Wamenifurahisha Sana vile wanajibu na kuongea apo wako na utatanishi wa maongezi, kisura waah naomba Anibariki na mapacha ka hao. Amen
@SrKaran-j4h
@SrKaran-j4h 3 ай бұрын
Aisee nimemmiss pacha wangu😢yaani sku yaharusi yake tulipambwa wote mume akaambiwa apite achague mkewe😂maskini alihangaika sana maana tunafanana sana
@FatmaSaid-zg1vy
@FatmaSaid-zg1vy 3 ай бұрын
Vijana wazuri MashamaAllah nawausia muwe wenye kumcha Mungu pia ili mumshukuru kwa kuwapa neema hizo
@عاملهمنزليه-ي8ض
@عاملهمنزليه-ي8ض 3 ай бұрын
Mapacha me naiomba san hiyo nje nipate siku moja inshallah ❤❤❤
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 3 ай бұрын
Duu poleni wanangu ninao hao uwaone hivyohivyo mmoja anakua machachali sana kulia kwako ndio matatali
@Aisha-o4v
@Aisha-o4v 3 ай бұрын
Alhadllah nimewapenda hawakaka palewalipo sema wana hofu ya muugu Nawaombea kwa Allah azidi kuwa hifadhi mm pia nina pacha wangu ilatuja fan ana kihivo niseme shukran ❤
@CharlesMs25Daghaly
@CharlesMs25Daghaly 2 ай бұрын
Oh kumb Mungu awape ujacri wa zaid lkn hta kma upaswaj kuna mmo1 alichukuliwa kabla ya mngin achen kutupig na kitu kizito vijana kufanana ndio lkn sio ivo kwakufanana point za mitihan sawa lkn sio kimawasiliano apana sio kwel
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 3 ай бұрын
Tupo jamani mapacha sisi wanawake watupu na tumefanana hatr mmoja akikopa anadaiwa mwingine Hahaha 🎉
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 3 ай бұрын
😂😂😂
@Naw89
@Naw89 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@HarunaFursana
@HarunaFursana 2 ай бұрын
Dadaaa sioo ote kweli kabisaaa kunapacha apa watafute nikupe noo yao. Dada. Uliza apo dar. Na dadaangu pacha ndugu zangu pacha watoto pacha
@HappinesPaul
@HappinesPaul Ай бұрын
Mko vizur Sana mapacha wa kufanana mung ashukuriwe
@KuluthumuMsuwakollo
@KuluthumuMsuwakollo 3 ай бұрын
😂😂ila wako tofaut kdg feythal ana uso mwembamba kdg faudh uso wake mpana kdg 😂nawapenda mungu awalinde
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 3 ай бұрын
Unadhani wafananaga qwa qila qitu bc lzm qunaquwa na tofauti
@KuluthumuMsuwakollo
@KuluthumuMsuwakollo 3 ай бұрын
@@fauziasultanikilewa7602 ni kwel kabisa
@mariapeter9711
@mariapeter9711 2 ай бұрын
Mmoja ana mwanya mwingine hana
@paulinaobiria9649
@paulinaobiria9649 2 ай бұрын
Haswa
@paulinaobiria9649
@paulinaobiria9649 2 ай бұрын
Ninao mapacha mmoja mfupi kidogo watu wanawachanganya ila sisi Nyumbani tunawajua
@AWADHIHEMED-y1c
@AWADHIHEMED-y1c 2 ай бұрын
hawa wata gongeana mademu
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 2 ай бұрын
Mtangazaji kanichekesha inawezekana wao wakawa wakubwa ww mdogo hao wanaonekana mapacha mbona wao ndo wadogo kuliko ww mtangazaji wao warefu tu lkn ww mfupi lkn unaonekana km mkubwa kwao
@abcdoman8739
@abcdoman8739 3 ай бұрын
Wanafanana ila utamjua yupo mkubwa unawajua vizuri tu
@majaliwagessler4443
@majaliwagessler4443 3 ай бұрын
Waa mimi tulizaliwa watatu , ila nyumbani tulikua twapigana sana 😂😂😂,ila tukitoka nje twapendana balaa ...alafu siku ya mtihani twajaziana haki hadi walimu wakagundua sasa tukabadilishwa darasa.
@mwajohari4385
@mwajohari4385 3 ай бұрын
Mashallah,nampenda huyu mtangazaji akiwa hivi anapendeza sana na mapacha Masha Allah
@FocusNyari
@FocusNyari 3 ай бұрын
ila dakika 5 zinahesabiwa kaama sekunde
@maryamedi9141
@maryamedi9141 3 ай бұрын
Mashallah wamekuwa wakubwa nakumbka kipindi tunasoma chuo walikuwa wapolee jmn😂😂😂😂
@HarunaFursana
@HarunaFursana 2 ай бұрын
Nipem namba yaw ili napacha wengine niwapen
@RaimamomedSaidi-wz1yu
@RaimamomedSaidi-wz1yu 3 ай бұрын
Mengine wameongopa,inategemea na mapacha wengine wanapendana nawengine hawapendan,na wengine kila mmoja na akil yake,wengine shule wanafaham namwenzake faham yake ni ndogo,ila suala la kuumwa na uchoyo wakiroho wote wanakuwa hivo.ila hao wanatabia moja ya vituko ila wengine wanakuwa sirias sana na wenzao.
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 3 ай бұрын
Sasa kunyoa hivo huko kichwani ndy nin?
@CharlesMs25Daghaly
@CharlesMs25Daghaly 2 ай бұрын
Mtangazaj wangu ila uko vzr sana
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 2 ай бұрын
Ila mashallah dada mtangazaji beautiful 😍 cn una umbo sura nzuri huto zeeka haraka dada hiyo ndo sifa yko
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 3 ай бұрын
Nawapenda Hawa vijana natamani wawe watoto wangu Mimi naomba namba zao wallah nimewapenda
@tztanzania2262
@tztanzania2262 2 ай бұрын
Allah akujaalie upate mapacha
@LouiseEbasomba-g6w
@LouiseEbasomba-g6w 3 ай бұрын
😂😂😂 wemm amka😂😂😂
@SoudShuraim
@SoudShuraim 3 ай бұрын
Walimchanganyaje
@teddysananga
@teddysananga 3 ай бұрын
Wamenenepa kidogo
@MeshackLibelio-uq1bb
@MeshackLibelio-uq1bb 2 ай бұрын
Kwenye ulezi
@selinaingado1523
@selinaingado1523 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 spare my ribs oo 😂
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 2 ай бұрын
Mapacha nawakubali sana pia huwa naomba kwa Allah anijalie nije nipate pia matangazaji maua yako 🎉🎉🎉 huwa nakufatilia sana
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 ай бұрын
Mashaallah, mungu mkubwa. 🤗🤗
@mwamvuamagongo8163
@mwamvuamagongo8163 3 ай бұрын
Wana utofauti kidogo
@Neema-m6s
@Neema-m6s 3 ай бұрын
Ni kweli hata urefu
@NikolaiMwambene
@NikolaiMwambene 2 ай бұрын
Waongo hao
@mariamuhamisimwamrezi4832
@mariamuhamisimwamrezi4832 3 ай бұрын
😂😂😂
@MoTalentTz
@MoTalentTz 3 ай бұрын
Ukipiga unauwa brand😂😂😂😂
@mcnyoka
@mcnyoka 3 ай бұрын
Mmenimalizia mb zangu, mnajadili upuuzi
@fideliafaida1247
@fideliafaida1247 2 ай бұрын
Wamenenepa😂😂😂😂😂
@Maua-mj7pm
@Maua-mj7pm 3 ай бұрын
Nimecheka 😂😂😂 ety anatuonabkama makatuni
@habibamura5255
@habibamura5255 3 ай бұрын
Mashallah ❤❤
@SophiaMoses-jk4cv
@SophiaMoses-jk4cv 23 күн бұрын
mashallah
@JulianaSamwel
@JulianaSamwel 3 ай бұрын
Wawoooo ❤❤❤❤❤
@Naw89
@Naw89 3 ай бұрын
Daah mapacha wamenichekesha hawa
@MuhammedFoum-kr5kc
@MuhammedFoum-kr5kc 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 homa
@fabssaleh7273
@fabssaleh7273 2 ай бұрын
ALLAH AWANUSURU NA ZINA. OWENI MSINGIE KWENYE MITIHANI YA UTOVU WA MAADILI.
@SoudShuraim
@SoudShuraim 3 ай бұрын
Unaweza kuwatafautisha kwsbb mmoja mnene kdg
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 3 ай бұрын
Hapo kwenye kuwaza😂😂😂😂😂😂
@HhosnaRashid
@HhosnaRashid 3 ай бұрын
mashaallaah wapo wazuri
@SusanJulius-cu8xp4vx4m
@SusanJulius-cu8xp4vx4m 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 aki wamekuweza mm pia nina twins ila hawajafanana kama nyie haaaa nyinyi hatari sana
@aboudijaaboudija
@aboudijaaboudija 3 ай бұрын
saiv wamenenepa sana Masha'Allah
@mellenondieki6329
@mellenondieki6329 3 ай бұрын
Please one to wear ring to small finger to safe journey of girlfriends,musiwachanganye wasichana, DO that,,to small finger ring or one to put mark on the side chick of the face, you look handsome boys,separate yourself with the mark, any mark you can allow on your face with totootes,,or Weka Alama,hili,musichanganye,wasichana., l wish you the best l in USA 🇺🇸
@ChancelineCatherine-bj6jd
@ChancelineCatherine-bj6jd 3 ай бұрын
Nikama Hussen na Hassan ❤❤❤ yaninyie uuuuuh hinoma ❤❤❤😂😂
@abcdoman8739
@abcdoman8739 3 ай бұрын
Mmoja mwembamba mmoja mnene
@jorinekanisio
@jorinekanisio 2 ай бұрын
Waaaooh mmetisha San matwns❤❤
@nassoromwinyinassoro
@nassoromwinyinassoro 3 ай бұрын
Mimi bwana nilijua sio mapacha bali komedi kumbe mapacha kweli
@KalelaTV
@KalelaTV 3 ай бұрын
Dada mtangazaji uko vizur sasa yani Mungu akujalie sahizi mavazi yako yananipa imani kubwa nakumbuka tangiapo mwenzi mtukufu wa ramadhani huku vizur endelea hivyo Mashaallah
@agnessntiburella8816
@agnessntiburella8816 3 ай бұрын
Nimecheka kwa sauti hilo jibu aliloulizwa, eti kama makatun😂😂😂😂😂
@SakinaSakinat-qd9rs
@SakinaSakinat-qd9rs 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 wanavituko hawa jmn wamenichekesha
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg 3 ай бұрын
INNALILAH WAINNAILAH RAJIUN pacha wangu 😭😭😭😭😭😭
@AnnaJoseph-oq9ul
@AnnaJoseph-oq9ul 3 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭why kaka
@RajabuHayyan
@RajabuHayyan 3 ай бұрын
Mmoja sura duara na mnene mmoja mwembmb na sura nyembmba
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 2 ай бұрын
Unavaa vizuri dana dada Mashaallah❤❤❤❤
@Princescynth
@Princescynth 3 ай бұрын
Wow kumbe n twins wa ukweli nilifikiria nafikiria n
@mamanabdoul4397
@mamanabdoul4397 3 ай бұрын
Maa shaa Allah.banafanana saana
@FocusNyari
@FocusNyari 3 ай бұрын
Mapacha wanafanaana vityu vingi ila Kuna asilimia nyingi awa jamaaaa wanatupiga sana kwa uwongo
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 3 ай бұрын
Lkn mbona unajua kuwabagua Hawa vijana mmoja kidogo kibonge
@AihmAli-d8x
@AihmAli-d8x 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@SamuKassim
@SamuKassim 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤nimecheka sana maoacha nyie😂😂😂😂
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab 3 ай бұрын
Ndungu mtangazaji hao ndio mavazi Bora na sahihii
@aziza9093
@aziza9093 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 3 ай бұрын
We mtangazaji, huboi
@jannetkarisa1749
@jannetkarisa1749 3 ай бұрын
Mapacha tupo ila mbona mm hatujafanana
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 ай бұрын
Hongera
@MTUMZIMADAWA
@MTUMZIMADAWA 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@aziza9093
@aziza9093 3 ай бұрын
❤❤❤😂
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 3 ай бұрын
Maashallah ❤❤❤
@narutonaruto4303
@narutonaruto4303 3 ай бұрын
mashallh
@SalamaTaura
@SalamaTaura 3 ай бұрын
😅
@RithaOmari-np8je
@RithaOmari-np8je 3 ай бұрын
😂😂
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 3 ай бұрын
Mashaallah mapacha mung awabariki ila pia mung ambarik mama
@BintiMweluhanga
@BintiMweluhanga 3 ай бұрын
Wakooo poaa san
@NuruNdegwa-yg2bm
@NuruNdegwa-yg2bm 2 ай бұрын
Pia mm naomba nipate mapacha😊
@evancemoevt8597
@evancemoevt8597 3 ай бұрын
Hawa Jamaa Ustaa Umegoma!!!
@nancyg8664
@nancyg8664 3 ай бұрын
mbona sisi tunawajua
@mwajohari4385
@mwajohari4385 3 ай бұрын
Asa hivi huyu mmoja kanenepa
@golimbilinyi134
@golimbilinyi134 2 ай бұрын
Mapacha shkamoo😂😂
@sungaradjaburadjabu3626
@sungaradjaburadjabu3626 3 ай бұрын
Mtangazaji wewe nakupenda sana kwa uvaaji
@SoudShuraim
@SoudShuraim 3 ай бұрын
Mmoja mnene mwengine mwembamba,kichwa kikubwa na kidogo,kifua kinene na chembamba
@فاطمهال-ص7ت
@فاطمهال-ص7ت 3 ай бұрын
Ila wamefanana sanaaa haki hawa
@KhadijaNkya
@KhadijaNkya 3 ай бұрын
Jamani wamefanana sana
@sungaradjaburadjabu3626
@sungaradjaburadjabu3626 3 ай бұрын
Sauti yao iko tafauti kidogo
@JulianaSamwel
@JulianaSamwel 3 ай бұрын
Mey nawapendaaa❤❤❤❤❤❤
@CharamKabul
@CharamKabul 3 ай бұрын
Hapo kwakuwaza waongo kweli
@agnessntiburella8816
@agnessntiburella8816 3 ай бұрын
❤❤❤ tupo
@Najuma-yk7vn
@Najuma-yk7vn 3 ай бұрын
Mambo
@DxbYae
@DxbYae 3 ай бұрын
Nawapenda pacha
@narutonaruto4303
@narutonaruto4303 3 ай бұрын
dad nakupenda sana
@Rahmaismail-y9u
@Rahmaismail-y9u 3 ай бұрын
Mashallah dada unajitambua haujieki uchi kama wanavyo fanya wengine alaf wajiite wao n waislamu hongera kwakweli nahao mapacha allah awahifadh wazid pia kupendana nifuraha kwakweli
@muhamadabdalla6930
@muhamadabdalla6930 3 ай бұрын
Mh zipo interview nyengne kavaa nguo za uchi
@dalilaabdulkarim4458
@dalilaabdulkarim4458 2 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤
@saumuchikove
@saumuchikove 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza 3 ай бұрын
Basi niwazuri nawanajuwa kbx
MAPACHA WACHANGANYA WATU, 'CHENCHI' KAPOKEA MWINGINE | HIVI NI KWELI
31:51
MAPYA, MWIJAKU AFICHUA UCHAFU WOTE, DIAMOND NA P DIDY, KALIWA
10:05
Ozoda - Lada ( Ko’k jiguli 2 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 16 МЛН
BREAKING NEWS :SHINYANGA MWANAJESHI AMVUNJA MGUU  MTOTO WA OCD MSTAAF
1:36
JAMBAZI SUGU LILIVYOULIWA
7:39
RobbyMedia
Рет қаралды 654 М.
MROHO WA BIRIANI | MAPACHA #twinsnation #mapacha #asmacomedian
11:11
TWINS NATION TZ
Рет қаралды 41 М.
Ozoda - Lada ( Ko’k jiguli 2 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 16 МЛН