No video

Zahara wa Afrika Kusini si wa mchezo, ashangaza watu airport Dar kwa sauti yake tamu (Exclusive)

  Рет қаралды 18,124

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

5 жыл бұрын

Zahara wa Afrika Kusini ametua usiku wa Jumatano hii Dar es Salaam kwaajili ya kuunganana Lady Jaydee na Juliana Kanyomozi kwenye show ya Vocal's Night. Lakini, kilichowashangaza wengi sana ni uchangamfu wake na jinsi alivyotoa burudani kali hapo hapo airport na kuonesha uwezo wake wa ajabu wa sauti. Enjoy

Пікірлер: 100
@zaynsalma3466
@zaynsalma3466 5 жыл бұрын
Kumbe ndio wew Ulie imba Tutulaaa big up san
@kuluthummbegakulu7564
@kuluthummbegakulu7564 5 жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤love sns love zahara karibu bongo
@nunuuali5316
@nunuuali5316 5 жыл бұрын
Zahara I really love the girl!!!! Karibu sana Zahara
@kingswebe3251
@kingswebe3251 5 жыл бұрын
Zahara na mtangazaji mko guda
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 5 жыл бұрын
Ni Zahara wa uloliwe!!!!! Jamani my favourite song aisee!
@oliverlyimo1972
@oliverlyimo1972 5 жыл бұрын
I love this girl,Na pamoja na magumu na historia ya maisha yake inanigusa sana.
@rayrayroblox5663
@rayrayroblox5663 5 жыл бұрын
Huyu dada anaimbaka vizuri sana atawafunika wote
@zionafrikazanzibar5275
@zionafrikazanzibar5275 5 жыл бұрын
karibu sana dada Zahara...wawoooo
@geraldzson2033
@geraldzson2033 5 жыл бұрын
Dah mchesh kwer asee anajiachia hadi raha .....gonga like twende sawa
@salmaothman153
@salmaothman153 5 жыл бұрын
Karibu dada zahra karibu tanzania 😘😘😘😘😘
@isabellamethod1842
@isabellamethod1842 5 жыл бұрын
I love this lady 😍😍Welcome Tanzania
@mayungarichard7443
@mayungarichard7443 5 жыл бұрын
Zahara nina nyimbo zako nakukubali kinoma yaani💪❤❤
@sirjoel4228
@sirjoel4228 5 жыл бұрын
yan nmefulah sana zahara kuja tz couse nampenda hyu dada aisee 😗😗😗😗 love you too much unajua kuimba unasaut nzur 💋💋💋💋💋💋👠👔
@alikiba9723
@alikiba9723 5 жыл бұрын
She’s a natural and Good voice as well I like it for really wow 😲😍 +1
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
Mashallah, Zahara cute, huna Kiki mwaya 😘😍😍
@hamisihassan9018
@hamisihassan9018 5 жыл бұрын
She is cute, not like amber rutty
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
@@hamisihassan9018 Wallah, Amber rutty Mimi cmpendi, Alafu serikali haioni huu uchafu wa uyu mtu mitandaoni, wallah kuna watu cjui tayari wamelaaniwa, maana c kwa kukosa haya kule jamani.
@hamisihassan9018
@hamisihassan9018 5 жыл бұрын
Amber rutty maisha anayachukua na kifua sana
@sheytz9102
@sheytz9102 5 жыл бұрын
Love u Zahra karibu tz 🇹🇿
@mufasamufas6023
@mufasamufas6023 5 жыл бұрын
Zahara ni hatari sana aliingia kwa kishindo kikubwa sana kutokana sauti yake kali na nzuri album yake nyimbo zote ni nzuri sana huwezi kuchoka kusikiliza tatizo aliingia kwenye madawa ya kulevya ndio akapoteza mwelekeo ila nasikia ameacha sina uhakika kwa hilo
@ngatunin.p.4292
@ngatunin.p.4292 5 жыл бұрын
Dah .. What a talent ! Astonishing is understatement !
@tamalijafari8311
@tamalijafari8311 5 жыл бұрын
Wow! Beautiful voice ❤❤❤ Zahara
@raymondkaswaga5055
@raymondkaswaga5055 8 ай бұрын
Pumzika kwa amani Zahara.. R.I.P dada inauma sana
@jacobmwantepele7705
@jacobmwantepele7705 5 жыл бұрын
SHE is amazing am in favor with you mr chriss favous
@evadentaa9546
@evadentaa9546 4 жыл бұрын
I really love this lady.
@tahrinkessy7119
@tahrinkessy7119 5 жыл бұрын
Super ❤❤❤😁
@mourinerichard9297
@mourinerichard9297 5 жыл бұрын
kweli kila mtu kageuka duu sio kwa sauti hyo
@ummydaudi4940
@ummydaudi4940 5 жыл бұрын
waaaaaaoooooo what a gr8 vocal😙😙😙😙😙😙
@twahacharles1894
@twahacharles1894 5 жыл бұрын
Ur so lovely zaharaa welcome again again
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 жыл бұрын
Kalibu zahara😍😍😍
@husnajohn7466
@husnajohn7466 5 жыл бұрын
She's very cute good voice j'aime'ca
@salummkugwa7004
@salummkugwa7004 5 жыл бұрын
We dada noma
@kkhamis3024
@kkhamis3024 5 жыл бұрын
MAGNIFICENT VOCALIST ZAHARA
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 5 жыл бұрын
Waoo sio kwa saut hiyo naimani kesho pata wakati moto voko voice 3 dadaz
@evankya1955
@evankya1955 5 жыл бұрын
She's amazing!
@mirajikinuke6636
@mirajikinuke6636 5 жыл бұрын
Ebana eeeh cjaipata hii, namkubari sana uyu Zahara sema sikuipata hii.yani daaah nimekosa show
@jaguarpaw113
@jaguarpaw113 5 жыл бұрын
i love you zahara
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Basata wangekuwa kibit saiz wanalima
@ftmat2805
@ftmat2805 5 жыл бұрын
Wow! coming soon😍😍
@christinetimothy5805
@christinetimothy5805 5 жыл бұрын
Congratulations ur so cute
@goodluckleonard1581
@goodluckleonard1581 5 жыл бұрын
Sema Broo nawewe sio wa mchezo mchezo, na sauti ya Zahara nayo sio ya mchezo kwa sie wapenda live music
@judithpaul9013
@judithpaul9013 5 жыл бұрын
Rangi flan #konkii #Zahara #Loliwe, krb Tanzania
@nabintukadende2388
@nabintukadende2388 5 жыл бұрын
Wenye sauti zao.. sio Kama ya shishi
@arunamwaholi1351
@arunamwaholi1351 4 жыл бұрын
Dada nampenda uimbaji wake balaa
@albertvenance2650
@albertvenance2650 5 жыл бұрын
We love you Zahara
@zclassicfashionz1573
@zclassicfashionz1573 5 жыл бұрын
nice voice Zahara
@christinetimothy5805
@christinetimothy5805 5 жыл бұрын
Jamani mbona waandishi wahabari sijawaona hapo siokawaidayenu tatizo kinge au?? Poleni
@ngulathfundikira4205
@ngulathfundikira4205 5 жыл бұрын
Christine Timothy kinge
@husnajohn7466
@husnajohn7466 5 жыл бұрын
Christine Timothy umeonaeee yule dem simuoni
@sadickmagwiza8045
@sadickmagwiza8045 5 жыл бұрын
Hahahahhahaha tatizo kinge
@husnajohn7466
@husnajohn7466 5 жыл бұрын
Lugha tatizo na umbea wao wamekoma
@NamuwayaShirat-ej3xk
@NamuwayaShirat-ej3xk 8 ай бұрын
Rip zahara
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 5 жыл бұрын
Kaka nice 👌👌👌👌👌👍👍
@MichaelMwakibolwa
@MichaelMwakibolwa 8 ай бұрын
R.I.P ZAHARA
@marinamooh4055
@marinamooh4055 5 жыл бұрын
Love😍😘 Zahar
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 5 жыл бұрын
Wooow saut nzur asee haraf amalizie kusuka hizo nywele
@hyzuhuranaombanoyakoplzhus3326
@hyzuhuranaombanoyakoplzhus3326 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂jamani siatakimbiza watu hapo jmn
@kulsoomkulsoom8897
@kulsoomkulsoom8897 5 жыл бұрын
Zahara ❤ you
@najma3268
@najma3268 5 жыл бұрын
Hadi machozi yamenitoka kwa furaha saut inavyopigaw maskion 🤣wallah raha
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 5 жыл бұрын
Love Zahra
@amanijolam4140
@amanijolam4140 5 жыл бұрын
namkubali sana zahara
@juliusfrank7546
@juliusfrank7546 5 жыл бұрын
Mr presenter big up
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Wangekuwepo wasanii watatu kma huyo bs basa saiz wangekuwa kijijin kwao mana bongo kusingekuwa na ishu.cz huyu dd yupo sawa kila idara nyimbo zake sio za akina amba rut
@sakinaomar301
@sakinaomar301 5 жыл бұрын
Zahara karibu Tz
@richardphilipo312
@richardphilipo312 5 жыл бұрын
#confidence kama zote......loliwe loliwe....dudu laaa
@sylviamollel9692
@sylviamollel9692 5 жыл бұрын
Welcomen Tz Zahara
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 жыл бұрын
Ha ha ha kweli kimechafuka airport sauti kama yote Mashallah watu na vipaji vyao watu wote wametamani aendelee
@superwomen233
@superwomen233 5 жыл бұрын
waoooo😚😚😚😚😚
@davidmbunda2017
@davidmbunda2017 5 жыл бұрын
Nouma saana
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
Kimeisha Anza kuchafuka hapa hapa Airport!!😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 жыл бұрын
Wow anafuraha hadi raha
@izackshindanobalzack1858
@izackshindanobalzack1858 5 жыл бұрын
Wow
@fredysamizi9877
@fredysamizi9877 5 жыл бұрын
mamaaa wa destiny....my story
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 5 жыл бұрын
We don't have locations in Tanzania.....
@zahraramadhani6253
@zahraramadhani6253 5 жыл бұрын
Wajina😍😍😍
@fatmamajuu5255
@fatmamajuu5255 5 жыл бұрын
😘😘😘
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 жыл бұрын
Nimecheka sana huyu dada pia cha Arusha kinachangia
@ladybilionaire379
@ladybilionaire379 5 жыл бұрын
Daaah kweli Zahara kauvaa uhusika wa usanii sio mchezo
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 жыл бұрын
KATISHA KATISHA LIVE KAMA ZOTE
@gracejoseph5843
@gracejoseph5843 5 жыл бұрын
Ana mzuka kama yemi Alade
@tonywilliams8819
@tonywilliams8819 5 жыл бұрын
Waandishi wa habari Tanzania jifunzeni kiingereza vizuri!!
@mangofish9079
@mangofish9079 5 жыл бұрын
I agree with you Tony badhi ya vitu lazma ukae darasani ndio uvitambue. Nadhani he shouldn't have used the verb respect in progressive form. Sijui kwa upande wako umesikia kipi makosa ili namie nijifunze kitu kukosoana ndio kufundishana.
@fallymetoo191
@fallymetoo191 5 жыл бұрын
Wwwwoow!!
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 5 жыл бұрын
yan hawa ndo wasanii jmn... jamaniiii wish nngekuepooo
@richardrobert1032
@richardrobert1032 5 жыл бұрын
Karibu lakini uwe makini na wanaume wa dar wana umber ruty
@gambinonyalys3357
@gambinonyalys3357 5 жыл бұрын
Zahara chiz mziki,anajua kinoma
@jaybchaponda6886
@jaybchaponda6886 5 жыл бұрын
Atari
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 5 жыл бұрын
wa nje wa nje tu c tukienda kwaotunakuaga washambaaaa... chec wao hadi raha jaydee hue unaleta hawahaw wabongo ujinga tu
@evamasinde8026
@evamasinde8026 5 жыл бұрын
Analiwasha air port.
@hyzuhuranaombanoyakoplzhus3326
@hyzuhuranaombanoyakoplzhus3326 5 жыл бұрын
Ameingeuza Airport kua mahali kwaku piga kelele
@victoriachesco35
@victoriachesco35 5 жыл бұрын
Wacha wivu ww hun ht hy kwan hapo ni ICU au mfyuuu kusema atawakera wagonjwa sikiliza saut hy zamwamwa we
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
We mkaka mkali
@jumachabai2874
@jumachabai2874 5 жыл бұрын
Dawa yake Rubby tu kutwa mara moja tunaita OD
@ericklaiton2763
@ericklaiton2763 5 жыл бұрын
loliwe
@thegirlfromafrica5726
@thegirlfromafrica5726 5 жыл бұрын
Amenifanya ninunue tiketi ghafla
@kobajumakuziwa9976
@kobajumakuziwa9976 5 жыл бұрын
Huyo sio mwimbaji wa kubongo popote sauti yake ndio hiyo hiyo wabongo ni studio tu live tunawaona wanapiga makelele tu kwenye show wanakwambia wewe mtazamaji piga kelele halafu anakuelekezea Maicrophone uimbe wewe
@mohamednjegeka1178
@mohamednjegeka1178 5 жыл бұрын
tanzania hakuna wanamusic kama hawa
@michaelramadhan9466
@michaelramadhan9466 5 жыл бұрын
Uloliweee
@devybernardlaizer7713
@devybernardlaizer7713 5 жыл бұрын
😂😂😘😘😘
@abbassyhussein2565
@abbassyhussein2565 5 жыл бұрын
loliwe
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 54 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 23 МЛН
An Intimate Session With Zahara
20:37
Zahara South Africa
Рет қаралды 149 М.
Zahara, Live Performance of Loliwe in Kigali
4:59
IGIHE
Рет қаралды 265 М.
Zahara performs ‘Sinda Mphefumlo’
4:57
Expresso Show
Рет қаралды 371 М.