No video

UTACHEKA..!!! MACHALII WA R WALIVYO TIMBA KWA NABII MKUU GEORDAVIE

  Рет қаралды 461,586

wispoti tv

wispoti tv

Күн бұрын

Пікірлер: 401
@fredymponji1423
@fredymponji1423 11 ай бұрын
Hizo sifa kana kwamba ni maadili ya kuigwa, now I understand Godbless Lema. Humo ukute kuna wanaoabudu na wana njaa na shida, ila kutafuta umaarufu.
@christophermakunzo4232
@christophermakunzo4232 11 ай бұрын
Hit ndiyo Injili ya wazi na kweli kuwasaidia wasio na uwezo na kuisaidia Injili. Kristo alilisha kundi kubwa la watu kwa sababu alikuwa nan uwezo wa kufanya hivyo. Napenda sana tu shida uwezo wangu mdogo....
@anatoryjames4128
@anatoryjames4128 9 ай бұрын
Hacheni kujaji sana kila mtu mungu kampa kipaji chake uyo nabii sio kwamba hajui kuwaongoza Sara ya toba bali kawasogeza kimaisha kuna watu wanjifanya ni watakatifu kumbe waovu wachenu hao vijapa wapambane na maisha yao bhana
@godlistenlaban9933
@godlistenlaban9933 8 ай бұрын
Wakatoke kimaisha bila kutegemea Mungu.... Wasahau hilo... Hapa wamejifunga tiyari.
@user-kt6ub3kh1l
@user-kt6ub3kh1l Ай бұрын
Mungu haziakiwi, badala ya kuwaongoza Sala ya Toba ameona hela ndo kila kitu kuliko kuwaokoa na jehanamu😢
@happynescostat7420
@happynescostat7420 11 ай бұрын
Mchungaji uyu abarikiwe Sana,Achagui Abagui Ni mfano wa YESU!
@user-allan448
@user-allan448 3 ай бұрын
Wewe Una akili kweli huyu unafananisha na Yesu?
@user-mi7yx8ew1k
@user-mi7yx8ew1k Ай бұрын
​@@user-allan448mpuuz uyo happy
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 9 ай бұрын
Wakabe? Waibe? Waue? Hapana, hawa wamejiongeza katika kutafuta riziki kwa namna yao, na Mungu lazima awabless kwa namna yake, kupitia alichokifanya Geordavie hao machalii wameweka akilini kuwa hakika Mungu yupo, sasa wengine jikaririsheni maneno na mawazo yaliyojaa chuki wakati kula yenu tu ni shida. Glory to God
@BelckEustace-di2md
@BelckEustace-di2md 11 ай бұрын
Linda sana moyo wako kuliko yote uyalindayo, Maana huko ndiko zitokako chemchemi za uzima. Itoshe kusema napoteza Imani ktk mienendo ya namna hii ndani ya makanisa. Ee Bwana okoa watu wako.
@charlesnyanhanga4382
@charlesnyanhanga4382 3 ай бұрын
Watu wanahitaji msaada wa kiroho munashindwa kuwaongoza sara ya toba wamujue yesu
@KelvinMahimbo-pc2wg
@KelvinMahimbo-pc2wg 3 ай бұрын
Sara ya toba sio jambo la haraka kwa mtu soma vizuri
@rosemaryikamba5288
@rosemaryikamba5288 Жыл бұрын
Ngurumo ya Upako is unique place ambayo huwezi ipata mahali popote Especially katika makanisa hawa vijana wametengwa kabisa kwamba niwahuni hawafai hata sogelea mlango wa kanisa Ni lazma wakaribishwe wakiwa karibu ni rahisi kubadilika Big hug Sana BABA yangu NABII MKUU GEORDAVIE
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Unique place for devil worshippers. Nonsense
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Wamekuja kuchangamsha kanisa 😂😂😂 ndio uamsho huo maana uamsho wa Roho Mtakatifu haupo
@mwinjilistiaristidesmeja1834
@mwinjilistiaristidesmeja1834 Жыл бұрын
Kwa kweli wamekuja kuchangamsha maana limepoa sababu roho wa Mungu Hayupo, kwa hawa wanaleta roho wa dunia na watu wamechangamka kweli, vizuri mmmhh
@misertz9633
@misertz9633 11 ай бұрын
Kumbe on baba yako waooo kazanA
@olivernyange2349
@olivernyange2349 11 ай бұрын
Uchawi makanisani,watu ni wavivu hamsomi neno hamyajui maandiko ndo mana hamuelewi maana ya kanisa.hiyo ni shivas no 2 na bado mtakomeshwa waabudu watu mpaka siku mtakapojua kufungua bible wenyewe na kusoma na kupata ufahamu.sasa hamtaelewa but later you will understand.l pray it won't be too late.
@evanccast6228
@evanccast6228 7 ай бұрын
Amina mchungaji katisha sanaa Hadi Baba aketiye juu mahala palipo inuka kafrai sanaakafrahiii
@user-hg1mb1gh2i
@user-hg1mb1gh2i 11 ай бұрын
Hats Yesu hakuja duniani Kwa ajili ya wakamilifu!
@user-po5nk4wd1c
@user-po5nk4wd1c 11 ай бұрын
Kweli kabisa
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 8 ай бұрын
Of course
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 4 ай бұрын
Inawezekana 😂😂
@Emmanuellobelo
@Emmanuellobelo 11 ай бұрын
Big up sana Nabii mkuu Baba GeorDevi ,hakika hii ni kazi ya mungu na kazi sahihi ya mungu sio tu kuwaita watu waliothabiti na wakamilifu kanisani ila Kanisa ni sehemu huenda wenye shida mbalimbali ili wakapate faraja ya moyo na kubadilishwa kuwa katika ukuu wa mungu
@desirengenerwasobanuka9015
@desirengenerwasobanuka9015 11 ай бұрын
Kazi ya Mungu gani iko hapa? Nawe umekuwa mjinga kama wengine. Haya unayasoma wapi katika Biblia wewe mjinga.
@bonabonala5559
@bonabonala5559 Жыл бұрын
kwa haya nabii mkuu nakuerewaga ira kwa kushabikiaga ccm hua nakuchukiaaga kumpa muuaji mkuuwakoa ambae leo nimbunge kwa sasa na kumpinga lema hua sikuerewi nabii nakuonaga kama mnafiki kama gwajima au mzee wa upako lusekelo niwatumishi wa shetana au watumishi wa pesa sio mungu
@boazimaganga
@boazimaganga Жыл бұрын
Malaki 2 7 : Kwa maana yapasa midomo ya kuhani ihifadhi maarifa, tena yawapasa watu kuitafuta sheria kinywani mwake; kwa kuwa yeye ni mjumbe wa Bwana wa majeshi. 8 : Bali ninyi mmegeuka mkaiacha njia; mmewakwaza watu wengi katika sheria; mmeliharibu agano la Lawi, asema Bwana wa majeshi.
@user-de3vn9vv3n
@user-de3vn9vv3n Жыл бұрын
Yani Mungu wa Mbinguni asimame tuu kututetea na afungue akili zetu
@fredrickmikera5998
@fredrickmikera5998 11 ай бұрын
Unajivika utikufu,Mungu alimwambia Musa kuwa hakuna mwanadamu awesome kuniona uso wangu akawa mzima na pia kutoka 20 anasema yeye ni Mungu mwenye wivu hawezi share utukufu na mwanadamu,ila wew mtoto wa ibilisi unajiita nabii mkuu.kati yako na Yesu ni nanj nabii mkuu
@charlesmbunda6759
@charlesmbunda6759 11 ай бұрын
Ee Bwana Yesu, nikumbuke mimi katika Ufalme wako!
@christaeletlawe
@christaeletlawe 11 ай бұрын
Amen Amen I mtumishi Mungu akubariki mno Naona ni Kama njia yan gu inaenda kufunguka natamani Mungu anipe kibali Mungaji huyo anisaidie Ada ya mtoto wangu naamini Mungu Ana njia nyingi
@user-mk2sm4pw6r
@user-mk2sm4pw6r 11 ай бұрын
Kwani Huna mikono utafute pesa
@idrisssaidi4530
@idrisssaidi4530 Жыл бұрын
kweli Miskiti ni Nyumba Ya Mungu uwezi kuta upuuzi kama uuwu
@ellgodfather282
@ellgodfather282 Жыл бұрын
Roho Mtakatifu ndiyo jibu njue Yesu
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Жыл бұрын
Acha upuuzi wewe Imani ndio kila kitu hakuna Cha msikiti Wala kanisa,alafu angalia matendo yako usiyaangalie yamwingine.
@babydlagwen9446
@babydlagwen9446 11 ай бұрын
Kanisani ni mahali pakufurahi
@thomasndewa4797
@thomasndewa4797 11 ай бұрын
Takbirrr
@thomasndewa4797
@thomasndewa4797 11 ай бұрын
Poleni Tanzani mumefungwa ufahamu wa kutambua fake pro
@EmmanuelWaisse-s5e
@EmmanuelWaisse-s5e Ай бұрын
Watu watu jamani waache mizaha kwa lord tuache ku support mamb ya ajaabu
@EmmanuelTate
@EmmanuelTate 11 ай бұрын
Mathayo 24:5 [5]Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi. For many shall come in my name, saying, I am Christ; and shall deceive many.
@hollymore4904
@hollymore4904 Жыл бұрын
Hii Ni Churchill show..Hakuna kanisa
@IgnasGregory-ed1lu
@IgnasGregory-ed1lu 11 ай бұрын
Kweli mkuu ✔️✔️
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 Жыл бұрын
Ukiwa unasali ,Sali kwa kweli na uwe na uwakika umeokoka na jehanamu , na kuona ufalme wa mungu si kilahisi watu wanavyozani ni hata sadaka usiweke mahalo popote unanapo , lazma ujue inaenda kufanya nini
@barakaomari8899
@barakaomari8899 11 ай бұрын
Allaah awahurumie sana , Alihamdulilahi tobe born as Muslim, huwezi kuta upuuzi kama huu msikitini
@victorianganyagwa2467
@victorianganyagwa2467 11 ай бұрын
CYO wkrist wote wanafanya hvy hilo ni dhehebu Tu Roman Catholic Aglican KKT uez kukut km hvy Hao waliokuja n kujiita manabii nd wanaouchafua Ukrto kw kujfich ktk ukrito
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 10 ай бұрын
Siyo makanisa yote lkn
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 10 ай бұрын
Hawezi kukosea mmoja alafu wakaitwa wakrito wote wakp hivyo hapana,niwao tu
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 4 ай бұрын
Umesikia kuwa nyie waislam mmekamilika?😮😮
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 11 ай бұрын
Ipo cku,moja hiyo NEMA ya miracle money itanipata mil 100,mtumwa WA Jehova,nataka na mm niwe na canta langu na coaster yangu kama super woman,I trust in God,lv u nabii
@alexisannick
@alexisannick 11 ай бұрын
Imana iguhezagire caaane
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Genge la waabudu mashetani at work. Kufanikiwa bila Yesu moyoni ni sawa na kufanikiwa kwa wapumbavu hakika kutawaangamiza.
@sarahmshanga9224
@sarahmshanga9224 11 ай бұрын
Usiseme nigenge lawaabudu mashetani kama hauna hakika, Mungu pekee ndio anamjua Kila mmoja moyoni mwake nayeye ndiye atamjibu Kila mmoja kutokana namatendo yake
@user-mk2sm4pw6r
@user-mk2sm4pw6r 11 ай бұрын
Mungu ndiye ajuayeee tusihukumuuu
@evaristkobelo3936
@evaristkobelo3936 9 ай бұрын
Wasaka tonge hawana mpango wa ibada
@oscarmbilinyi
@oscarmbilinyi 9 ай бұрын
Ngoja nichore tatuu ya nabii mkuu nipate mamilioni
@Vj_hAnss
@Vj_hAnss 8 ай бұрын
​@@user-mk2sm4pw6r na io ndio falsafa waliyotujaza ndio tiwape nafasi ya kutufanya watakavyo.,tafakari
@user-xw9wo7nh6c
@user-xw9wo7nh6c 3 ай бұрын
Chuga moja kila chuma icho makonda hapa kz hipo ndugu yng😅😅😅😅😅
@user-ec4br4pd3o
@user-ec4br4pd3o 3 ай бұрын
😂😂😂
@felixsamford4168
@felixsamford4168 9 ай бұрын
Baba jo devi barikiwa sana mmi ni na shauku ipo ciku nitakuja kukuona kwa sasa nipo tanga baba hakika wewe ni mtetezi wa wengi
@loner_wolf
@loner_wolf 10 ай бұрын
Mchungaji angekuwa na imani ya mungu kweli kweli na mcha mungu wa dhati kutoka moyoni mwake hakika hao vijana angewapa mawaidha na wangewaidhika na kuwa waumini wa kweli , lkn amewapa pesa na kuwaombea tu waendelee ktk uendawazimu wao .
@EmatashiTashi
@EmatashiTashi 9 ай бұрын
Uwezi kuzuia kipaji Cha mtu
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 Жыл бұрын
Kuna namna mungu huwatoa watu kwenye giza😅😅😅 be blessed prophet
@charliechikopa5414
@charliechikopa5414 Жыл бұрын
Mbn amefanya jambo lamaana tu maaana kajua wanahitaj msaada wakifedha so nibora awasaidie kwakuwa yy amejaaliwa kwan pesa si kila kitu hapa dunian hao wkiamua kubadilika wataamua kwa matakwa yao ila amewaeleza kabisa kuwa kile kizazi hakitambui
@saimonmuhando
@saimonmuhando Жыл бұрын
Hi nikali san sio kitu chakawaida😅😅😅,duh mungu na atusaidietu mwenyewe
@abdallahamiri8527
@abdallahamiri8527 11 ай бұрын
Mkiingia ivyo msikitini mtapigwa bakora nyingi xana🤣🤣😂😂
@user-dq3fk1xn1e
@user-dq3fk1xn1e 10 ай бұрын
😅😅😅
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 4 ай бұрын
Kwamba nyie mmekamilika au ndo xjaelewa?
@user-mi7yx8ew1k
@user-mi7yx8ew1k Ай бұрын
​@@user-bt3wt6nt4zkwamba nyumba ya mungu haichezewi kiasi hicho kbs mchungaj katulia msiifanye nyumba ya mungu kuwa kambi ya wanyanganyi
@sofiasofia7557
@sofiasofia7557 9 ай бұрын
Kwani huyu jamaa yy anapata wapi hela nyingi kiasi hicho🙄🙄
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 9 ай бұрын
Tunatoa sadaka 😂😂😂
@joycenganyule3231
@joycenganyule3231 2 ай бұрын
Sadaka watoazo waumini
@raymondmagere4696
@raymondmagere4696 11 ай бұрын
Kusaidia nijambo jama sana maana mungu humtumia mtu mtumishi kuja kukusaidia sasa mungu naomba nikutanishe na mtu mwenye kunishika mkono
@Vj_hAnss
@Vj_hAnss 8 ай бұрын
😂😂😂 truly, poverty is deep
@user-kf8hc5rt7k
@user-kf8hc5rt7k 10 ай бұрын
Barikiwa nabiii
@pendokatonge3926
@pendokatonge3926 8 ай бұрын
Mmmhh ngoja ninyamaze.😭😭😭Dunia imefika hapa vioja tunvyoviona leo na bado
@amanihare21
@amanihare21 10 ай бұрын
Hapa niuongo mtupu! Hakuna Mungu ndani yake!! 👉Hivi🤭🤭!!
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 11 ай бұрын
Suprise nzuri sasa msali na my brothers
@myself4128
@myself4128 7 ай бұрын
baba Tumeona Ufalme wako😂😂😂 hii ni Misukule Inamuabudu Jamaa bila Kujua! hapo hakuna Atakayepona!malango ya Kuzimu
@ellymartin9343
@ellymartin9343 11 ай бұрын
Huyu mtu anachochea sana mmomonyoko wa maadiri, yeye pia ni kizazi cha ajabu sijawahi kuona wala kusikia. Mambo ya Mungu yupo mbali nayo mno.
@Excel-Elevation-School
@Excel-Elevation-School 8 ай бұрын
Me naona hachochei soma biblia vizur mfano Hosea 3:1 uje na Majibu Nabii Mkuu anachochea nn.
@hamadmohamedy
@hamadmohamedy 7 ай бұрын
Hatar kanisa limekuwa 😂😂😂😂 rege imbaaaaa ooo imbaaa yellloooo imbaaaa
@lucasmabuli4786
@lucasmabuli4786 7 ай бұрын
😢😢😢😢Inauma saana tuombe sana MUNGU atufumbue macho
@janethedward4631
@janethedward4631 Жыл бұрын
Mimi naona kafanya jambo la msingi tu maisha magumu ajara akuna sasa jamani km mtumishi wa MUNGU kaguswa lazima atoe kutoa ni moyo na si utajiri wchungaji wangapi wapo Tanzani ata kusaidia watu akuna binafsi Mtumishi wa MUNGU mimi nakuombea MUNGU akupe Maisha marefu yenye Amani na Upendo km moyo wako ulivo na unavo toa akuzidishie mara 💯
@sasiNJ
@sasiNJ Жыл бұрын
Awa machaliii hatariiiii😅😅😅
@GraceCelestin-ln3dp
@GraceCelestin-ln3dp 3 ай бұрын
Kwani nyinyi hamuone ? Tupo katika siku za hatari, yesu hukaribu
@user-qo9dg4xk6j
@user-qo9dg4xk6j 9 ай бұрын
Nimejikuta nalia😢kwafuraha mungu anawatow watu waishi kwaajili ywwengine
@EliaMwashibanda
@EliaMwashibanda 9 ай бұрын
Kanisani ni mahali pa matengenezo nikama gereji mwache Bwana atengeneze watu wake
@fainedamwai8156
@fainedamwai8156 8 ай бұрын
❤nakupenda buru nabii
@odalomary5446
@odalomary5446 11 ай бұрын
Kanisa la maokoto ila mbona waumini wake..awapi ayo maokoto 😂😂😂
@user-js5io7sf5f
@user-js5io7sf5f 9 ай бұрын
Ama kweli hii sio sawa
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 11 ай бұрын
Hili kanisa sikuwahi kulisikia wala kuliona kipindi cha Yesu. Shetani amevuruga vichwa vya watu
@user-nb5hy1jn2u
@user-nb5hy1jn2u 10 ай бұрын
😂😂😂hii imeenda Tena imeinda kwel kwel Yan sehem yakumuabudu imegeuka video show
@zawadijuma9681
@zawadijuma9681 9 ай бұрын
Wamepata ya bangi😮
@DeboraNgura
@DeboraNgura Жыл бұрын
Huyo mwenye kofia nyekundu anapepea kma mwenyeji😂😂
@AbdullaSeifKhamis-se9sc
@AbdullaSeifKhamis-se9sc 2 ай бұрын
Amakweli hii dini Ya Pesa tu 😂😂 mwenye macho haambiwi tazama
@immasoi384
@immasoi384 Жыл бұрын
Kemea mapepo yawatoke. Sio kuwapa hela ambazo hazitawasaidia kwa ufahamu walio nao.
@HildaAkili-wt3sd
@HildaAkili-wt3sd Жыл бұрын
Akiba haiozi
@IsaacMahenge-mi4jz
@IsaacMahenge-mi4jz 11 ай бұрын
😅huyo kukemea pepo sidhani kama anaweza fanya ivo ila kugawagawa vijicent hiyo ndo fani yake
@jacklineiman8131
@jacklineiman8131 10 ай бұрын
Hakuna kuwahubiria kuokoka watoke huko waliko umeacha kondoo warudi vile walivyokuja kweli ee Mungu wangu hawajaokokaa
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 11 ай бұрын
Nyoka 🐍 uyu APA yaaan ibilisi live🤣🤣🤣🤣🤣
@FelisterDuway
@FelisterDuway Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂ndo maana sahivi siitwi ireen tena😂😂jamani mie naitwa sumaira sijuti kusilim makanisa ya leo hayaeleweki😢😢
@Najdi358
@Najdi358 11 ай бұрын
Yaan mie mpaka nacheka, yaan huyo jamaa anae jiita nabii anawapotosha watu tu,
@happykibiki2883
@happykibiki2883 11 ай бұрын
Wew ndouelewe mungu yupo popote pale n SS wote ni watoto wake
@FelisterDuway
@FelisterDuway 11 ай бұрын
Dah kwakweli simhukumu ila hapo kwenye hiyo kanisa hapana.. naijua sana na nilishaingia sana tu yaani ni mauzauza
@Abdul-rn5zj
@Abdul-rn5zj 11 ай бұрын
mashaalwa
@pulikisia7963
@pulikisia7963 11 ай бұрын
Umependa tu kujipoteza,kwani kanisa ni Hilo tu?? Makanisa yote yako hivyo??
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Shetani mkubwa hakuna kanisa hapa
@anesansibert2968
@anesansibert2968 Жыл бұрын
Bora wew umeliona hilo
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Mungu wetu ni anayegusa maisha ya wahitaji...mimi sio anayeamini kwa Kanisa hilo,lakini kuwajali na kuwakaribisha vijana kama hao ni jambo jema
@mwinjilistiaristidesmeja1834
@mwinjilistiaristidesmeja1834 Жыл бұрын
Siku nyingine leteni na mashoga na wasagaji maana mamiss tayari mmeisha leta
@heritier5119
@heritier5119 11 ай бұрын
​@@mwinjilistiaristidesmeja1834 Awazuiliwi kuingia Kanisa Kanisa ni kwa ajili ya wenye dhambi
@erickbenjamini8154
@erickbenjamini8154 11 ай бұрын
Nabii Mkuu hao vijana Mungu kawaleta kwako waokolewe waombee Toba baba
@HalunaSilwamba-gd6cn
@HalunaSilwamba-gd6cn 11 ай бұрын
namba za nabii mkuu naomba nisaidie nashida
@africanmitindo2160
@africanmitindo2160 11 ай бұрын
Devil at work 😢😢😢
@KifmboKifimbo-qh2ze
@KifmboKifimbo-qh2ze 11 ай бұрын
Mungu waongoze man tunajuwa kam Hujuw unacho kifanya
@ndalandefutv
@ndalandefutv 11 ай бұрын
Naomba namba ya mchugaji huyo
@richtarimo4470
@richtarimo4470 11 ай бұрын
Nabangi iuzwe bei rahisi😅😅😅😅 chuga
@user-bo3nt4ji2c
@user-bo3nt4ji2c 11 ай бұрын
Khaaaa nimecheka paka bas😅😅😅😅
@EsterShirima-vr7cv
@EsterShirima-vr7cv 3 ай бұрын
Uhakika nimekukubali nabii
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 8 ай бұрын
Wanadam ukiwafanyia mambo mema sana sana wanakugeuza kuwa kama mungu wao, kwa maana hiyo mtu huyu afanyacho sio sahihi
@olivernyange2349
@olivernyange2349 11 ай бұрын
Ukiingia deep sana utaonea waafrica huruma,kigezo cha dini mmmmmh
@Karromia-vq5vw
@Karromia-vq5vw 9 ай бұрын
Hapa hakuna kanisa ( wenye akili watajua)
@HumphreyNyamoga
@HumphreyNyamoga 2 ай бұрын
Jaman mpaka kanisan
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 Жыл бұрын
MUNGU akubariki Sana Nabii,kwa kuwaona nakuwajari.nahili liwefundisho kwa serikali kuwawezesha vijana wasio na Ajira waweze kujitegemea.
@rasuliathumani1599
@rasuliathumani1599 Жыл бұрын
Acha usenge akuna nabii hapo
@ombeniruvubika5392
@ombeniruvubika5392 Жыл бұрын
​@@rasuliathumani1599 😂😂😂😂 Nakwambiya nihatari man... tutaona mengi sn kwenye hii Generation
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 Жыл бұрын
Kuwajali wahuni, we hizo Ni nguo gani na miviatu gani, sasa hapo una-support nini Kwa mfano...hiyo ni Sanaa gani?😊
@kingruvako7590
@kingruvako7590 11 ай бұрын
​@@omarymnuru8746acha upimbi huo sio uhuni ni ubunifu wa kutafuta ridhiki kwahiyo ulitaka wakaibe hiyo ni sanaa km sanaa nyingine ww mshamba wa wapi
@thomasndewa4797
@thomasndewa4797 11 ай бұрын
Upuzi wenu muache, ogopeni Mungu ata kidogo basi.
@benjaminkiwandaimbise4985
@benjaminkiwandaimbise4985 Жыл бұрын
Kifupi tu ni Yesu yupo karibu sana😔
@ikabako2454
@ikabako2454 Жыл бұрын
Yesu ni muongo sana. Hajawahi kuwepo na wala hatarudi
@Levimico
@Levimico 6 ай бұрын
Nyie pokea tu ipo siku mtamwona mwenye mapembe mawili akiwakalibisha kuzimu munaandikwa kuzimu hakuna cha mungu hapo 5:09
@seiflugendo7141
@seiflugendo7141 11 ай бұрын
Vijana hiyohela nategemea nitawakuta na K vant,bar.
@user-jr1bd1wx5k
@user-jr1bd1wx5k 11 ай бұрын
Ume nigusa Sana nabii lkn wapigia sm mbona hamni fatilii jaman napenda uduma zenu
@kateadam8204
@kateadam8204 11 ай бұрын
hii nchi kweli inavituko haya tuseme kwa pa1 Vituko viendelee😂😂😂
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Khaaa 😂😂 kwa mwamposa hakuna ujinga huu watu wanacheza kwa kumanuka kisa milion moja? Hawana hofu y Mungu n comed tu hapo mana wapp watu wenye uhitaj mkubwa wa pesa mnawapa watu wanaojichetua jmn " unadhan watakuja kusali tena hao
@paulkidula1663
@paulkidula1663 Жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂chugga kama chugga
@bennysanga2873
@bennysanga2873 11 ай бұрын
Hivi Kwa nini hii misaada asiende kutoa Kwa wenye uhitaji mahospitalini?
@vitaliskiondo1598
@vitaliskiondo1598 8 ай бұрын
Uyu ni mtumishi wamungu tu jamani acheni roho mbaya
@saitotimeshilieki1217
@saitotimeshilieki1217 Жыл бұрын
jamani siamini mm kama leo vijana hawa wanasifiwa kwa hii staiili na kupewa hela kana kwamba ni jambo jema wakati wenzao watatu jana waliuwawa na kuchomwa na kuaga dunia,jamani hii sio kabisa wabadilike na kufuata torati iliyokuwepo mwanzo na kujieshimu
@leskarmeikok8956
@leskarmeikok8956 11 ай бұрын
Lazima wavutwe karibu badae wabadilishwe.
@christinachilongani9586
@christinachilongani9586 11 ай бұрын
Wakati uliokubalika ni leo na saa ya wokovu ni sasa@@leskarmeikok8956
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 11 ай бұрын
FAIDAN KANISANI WAPI,,,HAO WASHAJICHUKULIA CHAO WANASEPA
@adieljoshua640
@adieljoshua640 11 ай бұрын
kanisa la maonesho ya saba saba na maigizo kama zilipendwa Oooh! my God Dunia imeisha hawa manabii wamezidi kubuka na kumea every where like a Mushroom
@eliyahango4278
@eliyahango4278 11 ай бұрын
Hii Ni Safi ,hawataacha kuja tena😂😂😂
@rehemaakyoo
@rehemaakyoo 7 ай бұрын
Hata yesu alikuja ulimwenguni kwa kile kilichopotea nasio kile kilichokamilifu
@barakakiwangaog
@barakakiwangaog 11 ай бұрын
Noma
@mussacharlescharles3329
@mussacharlescharles3329 Жыл бұрын
Huyu nabii huwa anatoa wapi pesa???au ni freee
@KibwanaShomali-yi6gq
@KibwanaShomali-yi6gq Жыл бұрын
Kwani free Mason wanatoa wapi
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 11 ай бұрын
😂😂hili sio kanisa ni jumba la maigizo
@user-tc1cw6un1b
@user-tc1cw6un1b 11 ай бұрын
That's amazing stely
@shetanoathumani2904
@shetanoathumani2904 11 ай бұрын
Huwa anajifanya hajui chochote huyo mchungaji kumbe huwa anawaandaa. Huwa ni huni tu Hilo chitu
@SiriackSadick
@SiriackSadick 7 ай бұрын
Nielekezen hili kanisa liko wapi niende na Mimi nilambe hizo milion
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 11 ай бұрын
god have mercy of this churchu we are on the end time
@amanijampion3045
@amanijampion3045 11 ай бұрын
And you should remember God has got no definition
@marymwanziamary6623
@marymwanziamary6623 11 ай бұрын
MUNGU wahurumie hawa watu na uwaokoe kutoka katika hili shimo la kuzimu kweli hawajitambui.
@filbertdamiani101
@filbertdamiani101 10 ай бұрын
Sikia mnamjua huyu mtu ninani? Mafarisayo walimuuliza yesu, kwanini una na kula pamoja na wenye dhambi? Naye kawajibu mwana wa adamu hakuja kwa ajili ya wakamilifu, Bali alikuja kuokoa waliopotea.
@mosesndimgwanko1079
@mosesndimgwanko1079 11 ай бұрын
Awahubirie habar ya kwenda mbinguni na cyo kuwagaiwia pesa tu
@DONALDYOWAS-rr7tz
@DONALDYOWAS-rr7tz 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 siopw kàbisa
@joh113
@joh113 Жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa
@millicentanyango526
@millicentanyango526 11 ай бұрын
Kabisa
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 11 ай бұрын
Tunakula laana hapo hamna imani fumbuen macho wana wa mungu tunaelekea jehanam
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 11 ай бұрын
Wagonjwa makaisani, yatima, wagane na majeruhi kibao wamekosa msaada wanateseka leo unadapoti majizi kweli
@KelvinDickson-cd6tr
@KelvinDickson-cd6tr 6 ай бұрын
Aiseeeeeee🎉
@nellymarylucas
@nellymarylucas Жыл бұрын
Mungu awape mafanikio mema chugas boy
@NeemaSanga-qo2cn
@NeemaSanga-qo2cn 11 ай бұрын
Nikwer
@nellymarylucas
@nellymarylucas 11 ай бұрын
Aaamin
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 26 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
Riding Handmade Scooters in Congo
19:26
TEKNIQ
Рет қаралды 32 МЛН
NDARO HUYU NIWANGU WEWEEE STEVE STEVE
16:16
Mweusi Family
Рет қаралды 1 МЛН
CHEKA UONGEZE AFYA-VUNJA MBAVU, AFYA COMEDY
16:36
AFYA COMEDY
Рет қаралды 561 М.
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН