ZAHIR ZORRO alianza UBISHOO zamani, utacheka SIMULIZI yake, kwanini aliandika wimbo CLEOPATRA Part 2

  Рет қаралды 22,437

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Пікірлер: 88
@jerusalemsuccess4562
@jerusalemsuccess4562 Жыл бұрын
Mxee Zoro okoka. Mpokee Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wako. Yesu Kristo anakuhitaji anaihitaji Roho yako. Mwambie Yesu Kristo akusamehe dhambi zako zote. Hakuna Jina lipasalo wanadamu kuokolewa kwako isipokuwa Jina la Yesu Kristo.
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 8 ай бұрын
Mzee Zorro ana photographic memory kali sana.Storyteller mahiri.Singer great sana
@hamisidale2704
@hamisidale2704 Жыл бұрын
Brother pole sana nimeiona hii interview kwa kweli nimeumia sana pole kaka mkubwa sikuidharau sim yako,ila majukumu yalinizonga sana, nitakupigia mungu akuvue hayo" Hamisi Dale Boston USA
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Allah bless you Baba, nakusikiliza kwa makini sana.
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 Жыл бұрын
Ahsante Zahiri Big Zii dk15.24 kweli we mzee una sauti ya pekee lazima wasitake kukusikia ukiimba
@AhmedAdan-po5ps
@AhmedAdan-po5ps Жыл бұрын
Mwambieni huyo mzee hanze kwenda msikitini ameshachoka harudi kwa mungu
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
Ni kweli kaka
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Жыл бұрын
Story teller .. akili kubwa nimependa sana sana once again Mungu akutunze Baba..
@DUL69
@DUL69 Жыл бұрын
Nakukubali Sana My Brother. Ubarikiwe Daima. Wewe ni Muimbaji Bora Sana. 🙏🙏🙏
@albertkimaro1656
@albertkimaro1656 Жыл бұрын
lpl
@colmannyange9046
@colmannyange9046 Жыл бұрын
Kimulimuli ngoma
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Daah, dunia hii, kweli life is all about death. Tulikuwa naye Johns corner Mafinga JKT enzi hizo. Alikuwa bonge na mzinga wa mwanaume. Tangu nyakati zile alikuwa diabetic. Amepambana nayo muda mrefu bila shaka mpaka hivi. Namshauri kwa sasa ajikite ktk Kuswali kwa dhati na bidii kubwa.
@Vessojr
@Vessojr Жыл бұрын
Mzee Zorro anajua sana 🎉
@ulayaz
@ulayaz Жыл бұрын
Mrudie mungu wako acha hayo yashakupita
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Baba Angu Achana Na Hayo Mambo, Afya yako pia Bado si Nzuri, Mungu Akufanyie Wepesi Uwe Sawa, Ila Mrudie Mungu🙏.
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 8 ай бұрын
Aache nini sasa? Amrudie Mungu una hakika hana Mungu ktk maisha yake?
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 Жыл бұрын
Umenikumbusha mbali sana,mzee machimu Kenda,mzee wakona ya bwiru,mwarabu
@AllyIssa-k5k
@AllyIssa-k5k Жыл бұрын
Fanya ibada mzee acha ubishooo
@amraniramadhani4148
@amraniramadhani4148 Жыл бұрын
Kaka yangu Sasa muda umefika, achana na hayo ma cheni na Hilo kofia, vaa kanzu na kofia uanze kuswali hujachelewa
@hasani565
@hasani565 Жыл бұрын
Kwani alivyo vaa kunatatizo gani...sasa Kanzu na kofia Yani ndio nini sasa ..we unadhani mungu anapokea rushwa..he is just real 💯 Hana unafki
@mayungavicent6104
@mayungavicent6104 Жыл бұрын
Mzee anasauti sana
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 8 ай бұрын
Yuko open sana mzee ktk simulizi zake nampendea hapo.
@cocorita8367
@cocorita8367 Жыл бұрын
Pole dad
@aishatarimotarimo2689
@aishatarimotarimo2689 Жыл бұрын
Allah ampe shifaa jaman
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 Жыл бұрын
Amin thumma Amin
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 Жыл бұрын
Whoops mzee Zahoro nakumbukaEmbassy hotel👍👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏❤️
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Жыл бұрын
Wee bba. Fanya ibada. Umli umeenda. Achana mambo ya dunia bba
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
🤣🤣 mtoto wa mjini huyu mzee
@magazimahushi6417
@magazimahushi6417 Жыл бұрын
Mzee Zahir kweli anaumwa, Daa tumwombee apone haraka. Najua akiba anayo maana ameanza muziki miaka mingi mno
@viatorykashabizi2538
@viatorykashabizi2538 Жыл бұрын
You are really still a singer Mzee Zahir
@godfreyngowi6434
@godfreyngowi6434 Жыл бұрын
Nice memories
@stephanomkumbwa162
@stephanomkumbwa162 Жыл бұрын
Sky🙌
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 Жыл бұрын
Mzee Zahir nimekumbuka mwimbo kitongoji Cha Nyamanolo pamoja na miti mirefu jamaa igoma na Kirumbaa wamenieleza Majirani Ooo
@rukaiyamayoga5700
@rukaiyamayoga5700 Жыл бұрын
Mzee yuko🔥
@KHALIDKIRAMA-iq6en
@KHALIDKIRAMA-iq6en Жыл бұрын
Ewe mwenyezimungu, mzindue huyu Mzee aanze safari ya kukurudia, atubu na aanze kuingia msikitini Yarabi, na siku ya kufa kwake, umfishe Hali yakia ni muislamu
@georgembise7234
@georgembise7234 Жыл бұрын
Old is gold!!
@viatorykashabizi2538
@viatorykashabizi2538 Жыл бұрын
May Mighty God bless you abundantly !
@imabango
@imabango Жыл бұрын
mzee nakusifu pale kwenye sakina.
@bakarininga4100
@bakarininga4100 Жыл бұрын
Hahaha mnyamwezii Mzee wetu
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Ana asili ya Wamanyema wa Kongo DR pamoja na akina Shusho, etc. Wamanyema waliweka makao pale Uvinza. Waliingia Tanganyika enzi za biashara ya utumwa na kukimbia vita kule kwao DRC.
@mohamedjuma1878
@mohamedjuma1878 Жыл бұрын
Hayo macheni Si yatakuangusha 😮😮
@geofreybarama4000
@geofreybarama4000 Жыл бұрын
Namkubari sana mzee zahili zoro
@RichWise671
@RichWise671 Жыл бұрын
#Fredrickbundala #Skywalker Jus turn on #Harmonize burns Australia 🌏
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro Жыл бұрын
Author wa Kabwe Makanika na Mafia Mob💪💪
@cocorita8367
@cocorita8367 Жыл бұрын
Mzee mshua sana huyu banana Mlee mzee pls funny papa mcheshi
@sponsor7882
@sponsor7882 Жыл бұрын
vijana mjifunze final uzeeni
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 Жыл бұрын
Jamani Zamora na kukumbuka Enzo ya osterbay hotel live band
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Ajuae bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama.
@shuwanaliloka3816
@shuwanaliloka3816 Жыл бұрын
Hosipitalini Leo tunawapa pole.
@MshokelaMtoka-mg3jq
@MshokelaMtoka-mg3jq Жыл бұрын
Huyu mzee nilimkuta Mafinga JKT,akiwa ofisa wa jeshi mimi nikiwa kruta(jkt kwa mujibu wa sheria) baada ya kumaliza form six.Alikuwa mtu mzuri sana
@rodrickmwankenja6263
@rodrickmwankenja6263 Жыл бұрын
Anaumwa huyu!!
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Huyu tena sio bishoo ameshapita katika ubishoo ni tozi
@elizabethkisogole34
@elizabethkisogole34 Жыл бұрын
😂
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😝😝😝 hatari
@PrettyMasha-cs8iv
@PrettyMasha-cs8iv Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
mzee Zorro babangu usivae hizo cheni tena wewe ni muislam
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 8 ай бұрын
Hebu muache Zorro wetu
@nailaniyonkuru2560
@nailaniyonkuru2560 Жыл бұрын
Problem nothing 😂😂😂
@bonifacekiwia5257
@bonifacekiwia5257 Жыл бұрын
Kumbe cleopatra aliimba yeye? Duh hatari sana
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Mbavu zangu Mungu akutunze Baba yetu.
@amiribakari2528
@amiribakari2528 Жыл бұрын
Juzi tu apa nilikuona ulikua mzima mzee nn tenaa
@hassanimussa5776
@hassanimussa5776 Жыл бұрын
Aaah mzee alipiga ametupanga hapo kuwa amelala naye hajafanya kitu
@Donald22ist
@Donald22ist Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@aishatarimotarimo2689
@aishatarimotarimo2689 Жыл бұрын
Huyu mzee bado ni mgonjwa sana
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
Ni kweli Mwenyezimungu amponye inaonekana toka amefiwa na Maunda hajakaa vizuri!
@muznarashid6301
@muznarashid6301 Жыл бұрын
@@subirajohn728 .. kweli na mm nahisi kifo cha maunda kimemuumiza mno
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Жыл бұрын
Kifo Cha mwanae kimemuumiza sn hata hivyo anajikaza tu
@andrewkissavah8272
@andrewkissavah8272 Жыл бұрын
Nikushauri mzee zahil zoro mkimbilie YESU akuokoe yeye ndiye pekee mwenye hatima nzuri nje na hapo mzee mmmmm sijui okoka tubu dhambi mwamini YESU achana na dini mpate YESU mathayo 11:28Yohana3:16
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
@erastonicholas5589
@erastonicholas5589 Жыл бұрын
Alafu mtangazaji mkubwa kama wewe kua huku KZbin unapoteza ebu jipendekeze huende kwenye machanel makubwa bwana hilo bass sio la KZbin
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 Жыл бұрын
Hakika Bora wazazi kutangulia kuliko watoto kutangulia.Mzee Tangu mwanae atangulie Mbele ya Haki Amekua akidhoofika kila Siku iendayo
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
✌️🙏👊.
@daslamonline4665
@daslamonline4665 Жыл бұрын
Chuma imepata kutu
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 Жыл бұрын
Dah nafkiri ungetafuta tasbihi na mswala maana mwaka huu sijui km tutamaliza uache vingeleza vingi mrudie mungu
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 Жыл бұрын
Acha upumbavu wewe mjinga uta anza kufa wewe kwanza uki muombea mwenzio baya kwanza lina anza kwako unge kua muislam kwel usinge ongea upumbavu ou uta zikwa wwe na ukoo wako kwanza
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Hajue bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama.
@ttss7716
@ttss7716 Жыл бұрын
Kwani we ndo malaika wakutoa roho😢
@georgembise7234
@georgembise7234 Жыл бұрын
Old is gold!!
@Isabella-ww8ks
@Isabella-ww8ks Жыл бұрын
Unaweza anza kufa wewe yeye akabaki tena akaish miaka mingi zaid nani kakwambia ukizeeka unakalibia kufa tena sasahv vijana wanaondoka wazee wanabaki Mungu hua hafati matakwa ya binadamu
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
Atubu tena maana sura imesha elekea hiyo 😢
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Жыл бұрын
Ww umetubu,utakufa ww utamuacha kufa niahadi nakila mtu atakufa
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 Жыл бұрын
🙄🙄🤔 Mwenyezi Mungu akusamehe sana .
@hasani565
@hasani565 Жыл бұрын
Huyu mwingine ..eti atubu wewe ni Nani Una judge ...pambana na Yako
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
@@hasani565 shetan wa pili 😂kutubu lazima mnampa moyo wakat mtu mzima ukweli apewe atubu tu
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu Жыл бұрын
​@@rukiauwonde7062hujaamboo Rukia? Umesema kweli maana kaburini pabaya saaana tena saaana Rukia,upo wapi?
@rahelmwasyoge8586
@rahelmwasyoge8586 Жыл бұрын
Nenda kwa mtume mwamposa utapona ukiamin
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,1 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 31 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
Mhafamu CLEOPATRA, Malkia mrembo aliyeitikisa MISRI
19:33
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 209 М.
Rebirth of Les Wanyika: 'Afro' hitmakers comeback plan | HISTORY MAKERS
50:07
Standard Digital Videos
Рет қаралды 11 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН