Anty Saly uyu mzee anatakiwa awe na Part 3 kabisa yani bado yuko na story ndefu sana... Salute kwake tunajifunza jins gan ya kuishi na familia na watoto wako, haso za maisha na meng..
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Umeona heeee!!!
@husseinbigga8021 Жыл бұрын
@@saumusalimuhassan2499 kabisa yan👍
@maabadmmanga2896 Жыл бұрын
Mashaallah Baba Ana Hamasa Sana Allah Amzidishiye Inshaallah👏
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
Ameen
@aceofspades3728 Жыл бұрын
Mzee 🧎humble Sana anathibitisha ule msemo"Life is a long journey"!
@hatuatv Жыл бұрын
Ukiweka kujifunza na uelewa mbele, nadhani hii ni sehemu muhimu ya kuchota kisichochoteka kirahisi KWA URAHISI ZAIDI. #Marifa
@daudifungo55215 ай бұрын
Hongera Sana Mzee Baba Nakumbuka Nyimbo yako ya Mashujaa Mkiwa na Kimulimuli Band
@musakaphu4581 Жыл бұрын
Mzee Zahir Ali Zoro anaonekana kumkubali Mejja saana
@noelbernard6390 Жыл бұрын
Interview hii kwangu Bora kabisa
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Salama tunamtaka tena uyu mzee, story yake ni tamu sana na nahisi hajamaliza kwakweli 😘
@mazartajmohamed14373 ай бұрын
Zahir unakumbuka ulitabiriwa na mganga msukuma anaitwa muzinza muchafu mwanankuli kwamba utazaa watoto watakuwa Wana muziki wote mimi shuhuda nilikuwapo pale bukene nzega unakumbuka.
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
Nice interview 👍👌❤🇨🇭
@eriqabisai3079 Жыл бұрын
This dad is very smart upstairs...
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Kila la KHERY mzee Wetu 🙏
@munampinda1888 Жыл бұрын
Wa pili leo wapi Likes zangu
@mussammbaga1376 Жыл бұрын
Request a interview with chid benz likes kama utamtaka
@kitonekantasha1687 Жыл бұрын
Salama anamjua mzee anaweza kuongea non stop amepiga interver 2 hapo moja kaiweka tu.
@abdulrahmanhassan5998 Жыл бұрын
Ilitakiwa iwe na part 3 maana nikama Mzee alikuwa na mengi ya kuingea sema umemkatisha.
@mostyhodari2145 Жыл бұрын
Nice interview
@jumawaziri8501 Жыл бұрын
salama misosi iko wap siku hizi samaki samaki wako wapi ???????
@liducakes2803 Жыл бұрын
😂 English ishakutokaa
@famorsn9834 Жыл бұрын
haka kakipande ka kusema rayvan anavaa kuliko wasanii wote, .. akikaona tumekwisha
@jeffersonmwabuponde1509 Жыл бұрын
havai kuliko wasanii wote ila anavaa original kuliko wasanii wote na hata ukiwatazama utajua ukweli