ANAPOISHI LULU WHITE/SEBULE INA TV YA MILIONI 12/ SIKUPENDA KUWA MGANGA

  Рет қаралды 47,936

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Пікірлер: 368
@Vee-w3x
@Vee-w3x 19 сағат бұрын
Saleh hongera umejua kuvumilia hayo mate.Kwa kinyaa changu mimi nisingeweza kukaa hapo pembeni asee😅
@RichAuntie-g6s
@RichAuntie-g6s 7 сағат бұрын
Sa mtu mjazito unafanyaje
@AiraSaid-f9w
@AiraSaid-f9w 7 сағат бұрын
Kama ni mwanamke yakimkuta mbona hata ona kinyaa​@@RichAuntie-g6s
@YasminOmary-m9g
@YasminOmary-m9g 15 сағат бұрын
Leo Saleh Kaz unayo nakopo la dada lulu dada lulu upo vizuriiiiii nakupendaaaa
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje 6 сағат бұрын
Yan angekuwa mkewangu huyu ilitakiwa nimzabe vibao maana ni kama muhindi yan anatuma sana hata kama ni ujauzito hapana🎉
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 сағат бұрын
😂😂😂😂 Leo Salehe hujala kwa mganga umeambulia epo tu😂
@JasminiAhmad
@JasminiAhmad 11 сағат бұрын
Kwa mswahili ni mswahil lkn mm nadhan nimemuelewa kty k1 katumia kaul yakusema kwmb chumba chake hakiingliw kwasababu co kl mtyu lzm ajue unapolala na mumeo swala lakuonysha chumb unacholalala na mumeo kwakila mtu cdhan km niadabu so mm nmemuelewa kiivyo❤
@rosemery3017
@rosemery3017 10 сағат бұрын
Kweliiiiiii kbsaaa kikwetu watu wa Tanga ni mwiko mtu Baki kuingia chumbani kwako kama umeolewa
@JasminiAhmad
@JasminiAhmad 9 сағат бұрын
@@rosemery3017 mm.pia wa huko huko my
@aminamatumbo2519
@aminamatumbo2519 3 сағат бұрын
Una upeo mkubwa wa kuelewa ❤
@emmykidot1844
@emmykidot1844 2 сағат бұрын
Upo sahihi
@winnieseba2257
@winnieseba2257 21 сағат бұрын
Ila huyu dada japo ndio mimba mate unapaswa kutema kiusiri na aio kwa interview khaaa😂
@BerthaModest
@BerthaModest 20 сағат бұрын
Ana mimba wala ashuo tu
@SamidahNamas
@SamidahNamas 8 сағат бұрын
Unativinzuri kubwamashallah🎉🎉🎉🎉ndanikwako.pazuri.mashallah achanana watu kazikusema tuyawe nzao🎉🎉🎉🎉🎉
@MariamMganga-ss9mm
@MariamMganga-ss9mm 2 сағат бұрын
Fanya unachoona kina faaa bora usimuuzi mwenyezi MUNGU,, siwezi kukuchukia wakati unafanya maisha yako,, hongera umejitahidi maisha mazuri
@Habibtyjojo
@Habibtyjojo 22 сағат бұрын
Luku white huna tofauti Diva kwa masifa 😂😂😂
@OfficialA83640
@OfficialA83640 7 сағат бұрын
@@Habibtyjojo Yaani anaongea sana hd kero anamuiga jike shupa vile alivyokuwa anamtumikisha Salehe🤣
@user-princs
@user-princs Сағат бұрын
Da lulu yo made my day wallllaaaaah 🎉🎉🎉😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@MaisaraKebelo
@MaisaraKebelo 23 сағат бұрын
Huyu wangemuajiri wasafi mbadala wa marehemu dida maana anajua kuchambaa haswaaa
@djhajiztz
@djhajiztz 21 сағат бұрын
umenena
@SabrinaBon-pu8st
@SabrinaBon-pu8st 21 сағат бұрын
Kweli umejuwaje
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 20 сағат бұрын
hana vitu vingi vya Khadija dida hana wa kufanana nae kwanza alikuwa wa town kabisa , mitkasi ya maisha anaijua sana , alikuwa naa uchumi mzuri pia hawa hawana vitu vingi, waswahili sana
@utaani1
@utaani1 16 сағат бұрын
Akafundishwe kazi za lgbtq na yeye kisha aanze kuvaa pampas
@oman1oman179
@oman1oman179 21 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ manshallaah kumbe wewe ni wa kwetu burundi
@Ayshermaki
@Ayshermaki 9 сағат бұрын
She seems to be very contented with what she has and that’s the beginning of true happiness.
@MwanaishaMande
@MwanaishaMande 4 сағат бұрын
Hapa tuko waswahili
@LazandaSweety
@LazandaSweety 21 сағат бұрын
Shida lulu anaongea sana bwana ana boa sana
@GiftAbduly
@GiftAbduly 10 сағат бұрын
Majigambo tuh hujambo 😂😂 nyumba nzur hongera ilq kuongea n to much lol na hio mate ad kinyaaa🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@NahimanaAisatah
@NahimanaAisatah 14 сағат бұрын
Nakupenda dada lulu❤❤nimefurahi
@serianjamal8254
@serianjamal8254 Күн бұрын
Lulu you are so cute and funny 🤣🤣🤣🤣🤣🇬🇧
@AishaGau
@AishaGau Күн бұрын
Nakupenda da lulu niko mara
@kalucheray
@kalucheray 23 сағат бұрын
Uyu dada anavy jisifia iyo kazi ya uganga 😊😊 walioo kuwa n D MBILI wataelewa
@SashaRamadhani-uu1wv
@SashaRamadhani-uu1wv 12 сағат бұрын
😂😂😂😂 nimecheka hacha
@GiftAbduly
@GiftAbduly 10 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂hatar
@justinmbangukira7034
@justinmbangukira7034 10 сағат бұрын
Kwahiyo maana yake anadanga?
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 5 сағат бұрын
​@@justinmbangukira7034sasa kama mtu muongo hapo je hizo dawa. Tv milion 12 by foot
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 сағат бұрын
Utapel mtupu 😂
@UmmyJumaa
@UmmyJumaa Күн бұрын
Ila huyu dada nampenda😂
@juliejaph3331
@juliejaph3331 12 сағат бұрын
hii nyumba kwa nje unaweza idharau ila ndani ni kutamu sana. mwambieni atengeneze na mazingira ya nje yapendeze zaidi
@OfficialA83640
@OfficialA83640 7 сағат бұрын
@@juliejaph3331 mchafu huyo anaonekana 🤣🤣🤣
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 сағат бұрын
Ndo anatengeneza alianza ndan kwanza 😂
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 сағат бұрын
​mafund wanatengeneza ndio mana waona vululuvululu
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 16 сағат бұрын
Ukishalewa ndio unasali😂😂
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 48 минут бұрын
🎉❤
@ETt-r3e
@ETt-r3e 23 сағат бұрын
Mashallah hata mie nilikua hivyo natembea na kopo la mate
@aishabakari8040
@aishabakari8040 22 сағат бұрын
Alhamdulillah haijawahi nitokea kuchafukwa na moyo kila saa 😊
@AblahmanJuma
@AblahmanJuma 6 сағат бұрын
Uwo ni uchafu ukijiisi mate machungu tumia udogo au ubuyu machungwa sasa mtu akiwa anatembea na kopo anaona kawaida sio mimba ya kawaida uchafu asiliyako nikwambie tu
@joycejoes
@joycejoes 4 сағат бұрын
Ukijitahidi kumeza hayo mate hio hali inakata. Mi mwenyewe nilikua yakijaa nameza wiki tu ikakata. Kujiemdekeza
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p Сағат бұрын
Da lulu nimependa😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@NajmaRajabu-y8b
@NajmaRajabu-y8b 7 сағат бұрын
Iyo kofia alovaa dalulu sh ngapi jaman nazipenda🥰
@SeifSaid-q1s
@SeifSaid-q1s Күн бұрын
Nakupend da lulu Allah akulinde wallah
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz Күн бұрын
😂😂😂😂 kazi kweli kweli
@MaoAkizimans-to4ls
@MaoAkizimans-to4ls 7 сағат бұрын
MashaAllah ❤
@saidindizeye2206
@saidindizeye2206 19 сағат бұрын
Dah yani leooo… aiseee…🙌🏽
@Zainabuabdalah-vw1xw
@Zainabuabdalah-vw1xw Күн бұрын
Wadigo oyeeeee❤❤❤❤😂😂😂
@maninisamwel8657
@maninisamwel8657 20 сағат бұрын
Wadigo wamefanyaje tenaa
@AishaHamisi-s1b
@AishaHamisi-s1b Күн бұрын
da lulu nimecheka jamni😅😅😅😅😅
@MnyamaniTatu
@MnyamaniTatu 5 сағат бұрын
Nakubali sana ❤❤❤❤
@LeylatHemed
@LeylatHemed Күн бұрын
Yani hii interview sijaipenda ata kdg uchafu tu mikelele kibao😢
@fatumamwenda5132
@fatumamwenda5132 15 сағат бұрын
Kaipania sana, ktk interview mbaya ni hii na ya jike shupa. Mbaya mnooo
@monsad_268
@monsad_268 11 сағат бұрын
Anaongeaa mh
@FatmaaFatoom
@FatmaaFatoom 7 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@MagretySenserah
@MagretySenserah 10 сағат бұрын
Kama ww unanyumba nzuri twaambiye bora ya dalulu nakupenda bora unaishi kwako wanaokubeza achananao wanaishi nyumba za watu piga kazi rafiki yangu
@aishatest4451
@aishatest4451 10 сағат бұрын
nakumpenda sana dada❤❤❤
@BEDORESI
@BEDORESI 15 сағат бұрын
Swalehe nakupa onyo ukiendelea kujichubuwa nakuita salma mcharuko wa buza😅
@RayChausa
@RayChausa 7 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Сағат бұрын
Anajiharibu rangi yake naona ananunua mkorogo kwa lulu😂
@FaudhiaMohamed-m1t
@FaudhiaMohamed-m1t 7 сағат бұрын
Mama mtamu sana nime umia ulivyo sema hivyo , pole my dear
@ZainabAbdullah-bc6pu
@ZainabAbdullah-bc6pu Күн бұрын
Salehe Leo kapatikana😅
@aishatest4451
@aishatest4451 8 сағат бұрын
kweli dada Asante
@FaudhiaMohamed-m1t
@FaudhiaMohamed-m1t 7 сағат бұрын
Pole my dear kwa changamoto ulizo pitia
@irenemichael
@irenemichael 12 сағат бұрын
Nimeipenda 😂😂😂😂😂😂 sema da lulu loho wao
@embeothman3631
@embeothman3631 23 сағат бұрын
Swaleh kweli umejichubua sana uso umekuparama..yani umekuwa kama huna adabu
@naah884
@naah884 23 сағат бұрын
😂 😂😂
@BerthaModest
@BerthaModest 22 сағат бұрын
Kwann adabu😂
@estertiffa-ew5id
@estertiffa-ew5id 22 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@taseleli9181
@taseleli9181 22 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@HawaAkida
@HawaAkida 22 сағат бұрын
😂😂😂
@khadijasaleh898
@khadijasaleh898 15 сағат бұрын
Lulu white Nakupenda
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj Күн бұрын
Anamimba hongera mi nilipokuwa na mimba nilikuwa natembea na kopo la mate ni mateso
@sajdatomar6025
@sajdatomar6025 22 сағат бұрын
😂😂 kutembea nalo hapana kwakweli mi nilikuwa nikitoka natafuna bigje mpk narudi
@winnieseba2257
@winnieseba2257 21 сағат бұрын
​@sajdatomar6025 hali zinazidiana wewh hata big hutoboi tena kama mie ndio inanichefua kabisa
@hizzersamwel2838
@hizzersamwel2838 Күн бұрын
Nakupenda dada yangu Lulu Mungu akuwe
@SaudiSaudi-n7p
@SaudiSaudi-n7p 8 сағат бұрын
Nampenda da lulu mim jameni
@shubianan
@shubianan 2 сағат бұрын
Interview za hivi siwezi kuangalia mtu muongo na ni msahaulifu eti mlimani city hovyoooooooo
@Luckyme-b4i
@Luckyme-b4i 59 минут бұрын
😂😂😂
@HidayaAmiri-l2x
@HidayaAmiri-l2x 12 сағат бұрын
Amna..mjamzito apoooo..mate makavu km pumba😂😂
@user-princs
@user-princs Сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@AmnaAmna1-xs3rx
@AmnaAmna1-xs3rx 12 сағат бұрын
Jamani kumbe nimtoto Wetu ❤❤❤❤ mashaar
@halidhemed7524
@halidhemed7524 21 сағат бұрын
Lulu ana sofa kama zngu hd Rangi ❤
@ummyrashid-c3k
@ummyrashid-c3k 8 сағат бұрын
Mganga muongo 😂😂😂tapeli pesa anazo tapeli watu ndio kejengea nyumba mfyuuu
@AnnaUrio-x1b
@AnnaUrio-x1b 4 сағат бұрын
Duuuh pole my niliwah kutema mate kwny kapu la mtu sokoni mhmateso
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 9 сағат бұрын
hahaa ila Lulu nampenda anachekesha sana,kwake kuzuri sana
@Zuhuranadadoita
@Zuhuranadadoita 8 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂Nyie wasafi safisheni kwenu da lulu mwacheni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mimi Nampenda
@ZaynaAdam
@ZaynaAdam 23 сағат бұрын
Salehe bhana eti unaskia kichefuchefu pole dada lulu yani mimba zangu nne zote nilikuwa natembea na kopo
@TumainGeras
@TumainGeras 12 сағат бұрын
❤❤
@MwadawaMohamed
@MwadawaMohamed Күн бұрын
Kazini kwa salehe kuna kazi
@صالحالصوافي-غ5و
@صالحالصوافي-غ5و 13 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@UpendoKimesu
@UpendoKimesu 5 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@LeylaHamisi-qh3kb
@LeylaHamisi-qh3kb Күн бұрын
Hii interview ya Leo uchafu uchafu 😂😂😂 mate mala kutapika taflani
@LutfiaRashid
@LutfiaRashid Күн бұрын
Yaani vurugu mechi😅
@AminaAli-g8i
@AminaAli-g8i Күн бұрын
Watanzania kwa maneno hamjambo😂😂😂😂
@Maryam-s6e
@Maryam-s6e 12 сағат бұрын
Kweli mchafu tofaut na ukimuona 😂
@AminaAli-g8i
@AminaAli-g8i 10 сағат бұрын
@@Maryam-s6e 🤣🤣
@MaryamMgawe
@MaryamMgawe 12 сағат бұрын
Pole dada❤
@Fahad-m1c
@Fahad-m1c Күн бұрын
Kumbe dam yetu ya Burundi ❤
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 15 сағат бұрын
Hamna mburundi wa hivyo acha kutuchafuliy kabila
@Siasia209
@Siasia209 13 сағат бұрын
​@@SuleimanKhdijawapo kibao tunawajua wanaongea sana km wamemeza CD
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 11 сағат бұрын
​​@@SuleimanKhdija chefu ss waburundi tume mkubali labda ww ambae hajielewi😏
@MariamNyanje-x7x
@MariamNyanje-x7x 14 сағат бұрын
Kwann nyumba ya muislam ijae tembo sebuleni mpka kwa fridge hata kama wewe mwenyewe hutumii kumbuka hamuingii malaika wema.
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg 9 сағат бұрын
😅😅mhhh dad uo ni urembo tu midol yenye umbo la binaadam ndo mibaya
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 сағат бұрын
Kwa hiyo tembo ni urembo au hujui maana ya tembo?😂😂😂​
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 13 сағат бұрын
Mihela wanatunza jmn,sitaki kuongea mm🙌
@Teeplus_tv
@Teeplus_tv 12 сағат бұрын
😂😂😂
@Vee-w3x
@Vee-w3x 19 сағат бұрын
Saleh usijichubue bhaana utakuwa kituko.Unapendeza sana na ile rangi yako halisi
@NeemaSungura-w1w
@NeemaSungura-w1w 10 сағат бұрын
Umeona Kama mm
@DxbYae
@DxbYae 23 сағат бұрын
Huyo ndio lulu bwana makavu live
@FaudhiaMohamed-m1t
@FaudhiaMohamed-m1t 6 сағат бұрын
Dumu la sukari bei gani da lulu? Uncle wangu ana sumbuliwa sana na sukari naomba unisaidie ili apone
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 20 сағат бұрын
Mbona anatuma sana😂😂khaa
@aurathandrew1959
@aurathandrew1959 Күн бұрын
Ila Hii interview ni hekahekaa 😂😂😂
@joycenakembetwa9095
@joycenakembetwa9095 13 сағат бұрын
Mmmmh
@NeemaMpika
@NeemaMpika Күн бұрын
Uyu ni mswahili ukiwa muongo uwe na kumbukumbu alishajichanya Mara chumba changu haiiingii mtu mara ingia kanichukulie hela 😂kakumbuka tena acha😂😂😂😂Sawa bana
@saeedahhenry711
@saeedahhenry711 22 сағат бұрын
😂😂😂
@Vee-w3x
@Vee-w3x 20 сағат бұрын
😂😂😂asee
@GloryRaphael-n3i
@GloryRaphael-n3i 17 сағат бұрын
Muongo kweli uyu dada😂😂
@lamarsalim_
@lamarsalim_ 17 сағат бұрын
😂😂😂
@SashaRamadhani-uu1wv
@SashaRamadhani-uu1wv 12 сағат бұрын
😂😂😂😂
@Baday_8
@Baday_8 10 сағат бұрын
Leo da luluh ameongea kiupole sana😂😂😂
@azizakiswili9063
@azizakiswili9063 6 сағат бұрын
Wee Lulu mweeh kweli😅😅😅😅😂
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 10 сағат бұрын
Sifaaaaaa
@aishaally4571
@aishaally4571 3 сағат бұрын
Hahahahahaha hao n mapacha daaa lulu
@FaudhiaMohamed-m1t
@FaudhiaMohamed-m1t 8 сағат бұрын
Nime cheka kwa nguvu wallah 😂😂😂da lulu we kiboko ufichi kitu😂😂😂
@AsmaAbdalah-v7e
@AsmaAbdalah-v7e 11 сағат бұрын
Lulu namkubali sana ila kachetuka mno hadi kanikeraaaaaaa
@RehemaSamwel-h8n
@RehemaSamwel-h8n Күн бұрын
saleh kwel kwenye kazi kuna kazi dada lulu mhh
@eve3894
@eve3894 Күн бұрын
LULU NAKUPENDA SANA TOKA LONDON IS 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧❤🇹🇿. LOVE YOU BABY GIRL
@MwanaidyMgonja-ek5ls
@MwanaidyMgonja-ek5ls 9 сағат бұрын
Mwanamke anaongeaa sana puuuh
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 9 сағат бұрын
Interview nzuri
@hallydaktari4370
@hallydaktari4370 23 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂Saleh leo umepatikanwa
@reginamluviji9405
@reginamluviji9405 13 сағат бұрын
ninavomuonaga najuaga msafi kumbee woiiiii jmni
@ranessatravels4386
@ranessatravels4386 10 сағат бұрын
ila lulu daah weee kiboko nakupenda bureee,,....love you so much
@fadya-w5s
@fadya-w5s 13 сағат бұрын
Hah da lulu unavituko swaleh leo umepatikana
@user-princs
@user-princs Сағат бұрын
😂😂😂😂,,,,,,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 acha nicheke mie Da lulu hoyeeeeeew
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 10 сағат бұрын
m12 siunamalizia nyumba iyo jamani 😂😂😂
@fellybonny5618
@fellybonny5618 23 сағат бұрын
Makochi yako mazuri lulu nimeyapenda tupe jina la alokutengenezea mama tumtafute
@magrethmathayo2800
@magrethmathayo2800 Күн бұрын
haki leo umenivunja mbavu 🤣🤣🤣🤣🤣
@PiliSalehe-lt9ul
@PiliSalehe-lt9ul 10 сағат бұрын
Me ndy ningekua uyo doto nishajitokea zangu njee kuzurula angeita mpaka😢
@KhadijaAmbua
@KhadijaAmbua 23 сағат бұрын
Mumewe anachepuka balaaa
@BabyCappuccinoBabyCappuccino
@BabyCappuccinoBabyCappuccino 23 сағат бұрын
Weee yakweli ayo😂😂😂😂😂
@BabyCappuccinoBabyCappuccino
@BabyCappuccinoBabyCappuccino 23 сағат бұрын
Mikwala yote hio mume haogipi
@Nailaty564
@Nailaty564 22 сағат бұрын
Mganga hajigangi
@estertiffa-ew5id
@estertiffa-ew5id 22 сағат бұрын
Acha bhasiiii
@sajdatomar6025
@sajdatomar6025 22 сағат бұрын
Utarogwa shauri yako😂😂😂
@PilliPilli-r8g
@PilliPilli-r8g 11 сағат бұрын
Unajiharibu sarehe, unakuwa na rangibkama papai😂😂
@rosemery3017
@rosemery3017 10 сағат бұрын
Bondia mwenyewe yuleeeee anapigwa kila siku kama ngoma😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃
@farahali6041
@farahali6041 9 сағат бұрын
😂😂
@rosemery3017
@rosemery3017 9 сағат бұрын
@farahali6041 🤣🤣🤣✋
@JanethMadios
@JanethMadios 22 сағат бұрын
Jikoni kuchafuuuuuuuuuuuuuuu😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 maneno mengi una mapepe sana dada punguza mcharuko umechangamka kuputa maelezo
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 19 сағат бұрын
Tupaone kwako
@Siasia209
@Siasia209 13 сағат бұрын
Mnapenda kukosoa watu sasa pale kuna uchafu gani au chuki tuuu
@rahmasalim5252
@rahmasalim5252 5 сағат бұрын
Na ww jiko uko nalo au kubwata tu😂😂😂😂
@AnnaMushi-o8t
@AnnaMushi-o8t 22 сағат бұрын
hii inter leo haijapendeza anakelele sana havutii kumsikiliza kwanza anauongo mwingi
@neemamrisha8222
@neemamrisha8222 Күн бұрын
Ndugu kbs na Esha
@Suburo767
@Suburo767 Күн бұрын
Wasita 😂😂 jmn mm like zenu
@pudensianaosward
@pudensianaosward 16 сағат бұрын
Neema siku ingine weka kitu kwenye sahani ndio uumpe mgeni sio kupeleka umeshika mkononi
@dwsamuel9279
@dwsamuel9279 22 сағат бұрын
Warundi mko wapi 😂😂 dada yetu huyu 🇧🇮 🇧🇮
@ScheillahAmissiPosho
@ScheillahAmissiPosho 5 сағат бұрын
Tuko apa😅😅
@nunnyissah7027
@nunnyissah7027 13 сағат бұрын
Mbona hii nyumba ni tufauti na ile ingine
@NanaMilfath
@NanaMilfath 13 сағат бұрын
Imelekebishwa hiyo
@Faizamusa8187
@Faizamusa8187 Күн бұрын
MashaAllah 😂😂😂❤
@AgathaPhilips-w4j
@AgathaPhilips-w4j 9 сағат бұрын
Hivi uyu ni mganga kweli wa nyota nani ana ushahidi afunguke hapa kwenye coment
@ummyrashid-c3k
@ummyrashid-c3k 8 сағат бұрын
Tapeli😂😂
HOUSE GIRL EP 46  | S3 | LOVE STORY 💞💕
30:44
BUSATI TV
Рет қаралды 58 М.
Far from Civilization: Inside the Life of a Family Living in the Mountains
42:46
Food Around The World
Рет қаралды 3,8 МЛН
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
ANAPOISHI BABU WA TIK TOK/ NAISHI KWETU  NA MMBWA/NINA MIAKA 60
48:35