#ZaNdaaani

  Рет қаралды 61,851

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 80
@josephkapinga652
@josephkapinga652 2 жыл бұрын
Mtoto kwa Mama hakui Simba ni mtoto wetu.... Tunamjua nje ndaniiii
@tanzaboy4824
@tanzaboy4824 2 жыл бұрын
Kumbe yanga mama hongereni mama zetu
@gladysonyango7
@gladysonyango7 2 жыл бұрын
Comeback nzuri sana kwa Yanga, takwimu zimebobea kweli Mzee wa Kudere
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 жыл бұрын
Kiufupi KOLO Sasa kishakua MKE wetu MAZIMAAA....maana Tumempiga mara tatu mfululizo...kama Kombe si ni letu Moja Kwa Moja....!
@noahemanuel7015
@noahemanuel7015 2 жыл бұрын
Ndio maana walikuja na coaster mbili😂😂😂😂
@habarikiswahili
@habarikiswahili 2 жыл бұрын
Namkubali saana huyu mwamba😂😂😂😂
@josephkapinga652
@josephkapinga652 2 жыл бұрын
Sisi Yanga tunajua sana kufunga kwa dakika mechi za moja bila za mwaka jana na juzi zote ni dakika ya 11.
@alfredymalata269
@alfredymalata269 2 жыл бұрын
Byuti Byuti 💛🔰💚
@hassanihamisi7629
@hassanihamisi7629 2 жыл бұрын
Yanya niwachawi kwanini walingilia lango wa nyuma kama wanajiamini wasiloge waone
@ludgersimonmbinga1602
@ludgersimonmbinga1602 2 жыл бұрын
Hiyo come back iliwahi kutokea mwaka 1974 pale Nyamagana Stadium
@paulhollela9493
@paulhollela9493 Жыл бұрын
Ni 2001 sio kwenye ligi ni nyao ya jamii
@djfiremoto3429
@djfiremoto3429 2 жыл бұрын
Mzee Wa Kudere Noma Sana🔥
@robertadolf562
@robertadolf562 8 ай бұрын
hiv mbona hawakuleta mvua
@hamisijuma6475
@hamisijuma6475 2 жыл бұрын
Duh
@cotridajosephmwingira751
@cotridajosephmwingira751 2 жыл бұрын
Wamecheza na Kalenda kwa kurudisha nyuma majira ya siku saa na dakia.
@stellasteven3208
@stellasteven3208 2 жыл бұрын
Duuh kazi ipo kwenye huu mpira
@princekarani7836
@princekarani7836 2 жыл бұрын
Eti ndimi mbili hazionekani🤣🤣🤣🤣🤣🤣,ilaaa
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 2 жыл бұрын
Du! Miaka 21 mbona mingi Sana
@dairahally5471
@dairahally5471 2 жыл бұрын
Na kmataifa wafanye ivy ivy
@mohamedmatewele9185
@mohamedmatewele9185 2 жыл бұрын
Yanga bila uchawi amfungi simba
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 2 жыл бұрын
Za Ndani
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 2 жыл бұрын
Mmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh uchawi kumbe ulihusika daaaaahhhhhh
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 2 жыл бұрын
Sisi Simba Baraza la wazee tulilivunja kule tupa kule HATUTAKI UCHAWI kwetu wafanye wenyew ndo maana KIMATAIFA wanafungwa na vitimu vidogo tuuuu Simba nguvu moja HATUTAKI UCHAWI ss
@angelicamichael1750
@angelicamichael1750 2 жыл бұрын
💪💪💪🦁🦁🦁❤️
@gladysonyango7
@gladysonyango7 2 жыл бұрын
Daaah ndimi hazikuonekana 😂😂
@ney4121
@ney4121 2 жыл бұрын
We kaka simba kwa hyo hutupi tabu endelea kutafuta uongo acheni dawa iwaingie🤪
@lovely709
@lovely709 2 жыл бұрын
Yaani wewe chizi kweli Kwahiyo Yanga wameroga kupata ushindi unauhakika au supu ulikunywa wewe shenzi kweli wewe
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 жыл бұрын
Achana nae Bwege huyu
@daniyotv4947
@daniyotv4947 2 жыл бұрын
lakini mayele iyo ni lingala mahana yake polepole kaka mkubwa ilaunajuwa sana
@raphaelsikumbi5517
@raphaelsikumbi5517 2 жыл бұрын
Ni hatari
@arnoldlusambo3921
@arnoldlusambo3921 2 жыл бұрын
mzee wa kudere😀😀😀😀 nakubali sana
@clementiddi5708
@clementiddi5708 2 жыл бұрын
Duh history huijui mzee, huo ni uongo mtupu.
@hassanimwenyeheli9407
@hassanimwenyeheli9407 2 жыл бұрын
Duh uchawi upo
@reggezawady4994
@reggezawady4994 2 жыл бұрын
Kufungwa jamaiii🤣🤣🤣
@jacobmbeta5612
@jacobmbeta5612 2 жыл бұрын
huyu mshirikina sana
@bakariswaleh7563
@bakariswaleh7563 2 жыл бұрын
Yanga kweli wachawi jamani
@HopeRyan16
@HopeRyan16 2 жыл бұрын
Mwanamke jinga hii
@fessie101
@fessie101 2 жыл бұрын
Mnataka tuwafundishe uchawi?
@lamecanton7523
@lamecanton7523 2 жыл бұрын
Ila ndugu zetu yanga kwa Mambo haya he atuwawezi
@angelicamichael1750
@angelicamichael1750 2 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔
@saidsalum6101
@saidsalum6101 2 жыл бұрын
Uchawi huo watu mpaka kupitia nyuma yamlango
@husenimambo6487
@husenimambo6487 2 жыл бұрын
Ndio maan wachezaji waliku wazito
@dbwaxvevo5780
@dbwaxvevo5780 2 жыл бұрын
Hahaha kudere mnafki uyuuu daah 🤣🤣🤣🤣
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 2 жыл бұрын
Na wale bila makafara hawaendi popote
@shadkyando1418
@shadkyando1418 2 жыл бұрын
Ricardo momo una mbwembwe hahaha
@ofreyking5975
@ofreyking5975 2 жыл бұрын
Ndomanaa walipita mlango wa nyuma
@Vibelauswazi
@Vibelauswazi 2 жыл бұрын
Uongo huo
@paulhollela9493
@paulhollela9493 2 жыл бұрын
Uwongo wapi umefuatilia?
@beatman1
@beatman1 2 жыл бұрын
HOW TO MAKE BONGO FLEVA BEAT NI FL STUDIO 2022 kzbin.info/www/bejne/sJOVhqihm8imj6c
@kassimjuma429
@kassimjuma429 2 жыл бұрын
Mayele mchawi juzi kufika uwanjani tu kajimwagia maji mwili mzima
@paschalurassa6648
@paschalurassa6648 2 жыл бұрын
Kawaida yake ashawah kujimwagia mpk yakapenya puan kama ni mfuatiliaj wa soka la bongo huwez kusema hiyo sababu
@kapondamsita476
@kapondamsita476 2 жыл бұрын
Mayele hatari
@aisha.abdallah.3979
@aisha.abdallah.3979 2 жыл бұрын
Huyu nae Ovyoooo kazi uongo inamana yanga haiwezi kufunga cmba.
@darkplatnum9006
@darkplatnum9006 2 жыл бұрын
Kam inauwez kwann ilipitia mlango usio rasmi
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 жыл бұрын
@@darkplatnum9006 ngao iliyopita tulipita mlango wa mbele
@hamidangitu227
@hamidangitu227 2 жыл бұрын
Yanga wachawi wakubwa sanaaaa
@denismugisha2
@denismugisha2 2 жыл бұрын
Sasa hiyo kufurahisha genge, Kwani kwenye ngao ya jamii iliyopita si walifungwa tena? Mzee wa kudere umeishiwa unataka kutuletea ramli kwenye soka
@abuusufian6506
@abuusufian6506 2 жыл бұрын
Hahaha
@abdulabdallah9688
@abdulabdallah9688 2 жыл бұрын
Umemuelewa hiyo ni Comeback Yani yanga kutokea nyuma ya mchezo na kushinda
@paulhollela9493
@paulhollela9493 Жыл бұрын
Wewe nae kichwa mbovu badala ufuatilie unasikiliza maneno yake alafu unaenda kurukaruka tu
@njitemm4044
@njitemm4044 2 жыл бұрын
Hiyo story Sio kama imetoka hapo Hilo kombe kwanza limeanzishwa mwaka gani mpaka momoo useme ww history unaijua ww kwani wasafi tv imeanza lini mpaka nyie muwe na story kama hyo
@aliabdallah8908
@aliabdallah8908 2 жыл бұрын
Momo muongo🤣🤣🤣
@husseinmwita9642
@husseinmwita9642 2 жыл бұрын
Ina maana Simba huwa hawana wachawi???
@robertadolf562
@robertadolf562 8 ай бұрын
unasahau mvua zao
@husseinmasangya1272
@husseinmasangya1272 2 жыл бұрын
😂😂😂
@alsaadyalsaady6838
@alsaadyalsaady6838 2 жыл бұрын
Mayele kabla ya mechi kuanza alipewa chupa ya maji akanawa mikono yote miwili na uso ndipo aliingia uwanjani nilimuona kwa macho yangu mawili yanga ushirikina kwao ni kama chakula. Lakini wanajitoa ufahamu wanasema simba ndio wachawi ilihali wao uto ndio ma ajent wa haya mambo ushirikina wanaupenda sana yanga na mtafika mahala utakugeukeni huo utakutafuneni mchana kweupeee
@robertadolf562
@robertadolf562 8 ай бұрын
kolo unateseka ukiwa wap, zile mvua zenu vip
@JohnPaul-ch5mw
@JohnPaul-ch5mw 2 жыл бұрын
Hahahaha...MOMO bhana hahahhq
@onanarosse9657
@onanarosse9657 2 жыл бұрын
Hahahaha Mzee wa kudere mmbeya wewe
@paulhollela9493
@paulhollela9493 2 жыл бұрын
Lakini ile ya 2001 hajakosea
@z.osterzulu6899
@z.osterzulu6899 2 жыл бұрын
Unalolote ucjinate apo wewe mbimbu tuu
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀
@winfridapeter9455
@winfridapeter9455 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@josephkomba7129
@josephkomba7129 2 жыл бұрын
Acha bwenwe wewe izo rekodi za dakika umezitowa wap
@tezuramziray8700
@tezuramziray8700 2 жыл бұрын
Radio zina promoti mambo ya ulozi tutafika kweli
@mbasastunna1592
@mbasastunna1592 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah
@misojibahati6110
@misojibahati6110 2 жыл бұрын
Hahahahaha
@danielsanga8730
@danielsanga8730 2 жыл бұрын
😂😂😂
@derickdastan8868
@derickdastan8868 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@nacetsiringa1334
@nacetsiringa1334 2 жыл бұрын
😂😂😂
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 53 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 47 МЛН
0CTOBER 31,2016 ZIARA YA MH RAIS MAGUFULI NCHINI KENYA PARTY ONE
56:16
MTOTO ANAYETANGAZA MPIRA KWA KINGEREZA TABORA
10:42
Millard Ayo
Рет қаралды 229 М.
#zandaaani/ MZEE WA KUDERE ATOA ZA NDANI KUHUSU PRINCE DUBE
8:49
Wasafi Media
Рет қаралды 132 М.
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 53 МЛН