Natamani Zanzibar hii inayoonekanwa hapa ingebaki kuwepo hadi leooo
@KadduCheikhAnta18 күн бұрын
in your dreams, OKELLO might come back
@alialamoudi97292 жыл бұрын
Mashaalla hi ilikuwa kabla ya uvamizi
@mrafm7285 Жыл бұрын
Mashallah ilikua amani na mji ulikuwa na neema na utu wa kweli kabisa picha hii inathibitisha kuwa kulikua na usawa Kwa watu wote
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Kabisa
@ALIKHAMIS-un4fv8 ай бұрын
Heee kumbe zanzibar ilikuwa nchi ya kiislamu daah😢😢😢
@sukaynaalyraza3973 Жыл бұрын
Happened just opposite our house, Riot broke up.
@hamadsalem87932 жыл бұрын
من هنا راحت زنجبار لما صارت الانتخابات واصبحت احزاب متنافسة حزب شيرازي وحزب القاف و وو.. واتبعت القومية العربية
@tarrasteno Жыл бұрын
يعني، أنت تتمنّى لو بقيت الديكتاتورية في زنجبار كما في الدول العربية المستبدّة لكي تبقي القومجية العربية تحكم رقاب الزنجباريين العجم كما حدث للأكراد و الأمازيغ و المصريين .... ؟ تخلّصهم من العرب هو أكبر هدية على الإطلاق. لو لم يتخلّصوا من العروبيين لأصبحوا الآن عربا رغما عن أنوفهم و قوما عربيا بدون إذنهم و بلدهم بلدا عربيا و أكلهم أكلا عربيا و مدنهم مدن الثقافة العربية و جيشهم جيشا عربيا و دولتهم دولة عربية و عالمهم عالما عربيا ... 😁😁😁😁
@utaani19 жыл бұрын
Raha utawala wa kizanzibar alikuwa hapigwi mtu
@mohamedsheikh6618 Жыл бұрын
Tusahau zanzibar tuongelee zanzibara, zanzibar is over forever
@khamisali9907 Жыл бұрын
Ndo basitenaa
@jaggerjack30 Жыл бұрын
Original swahili is brown. what was happening are people who wanted to maintain a status quo of being high class yet being few in number and foreigners. Sina maneno mazuri kwa maarabu… ubaguzi… na wana baguana wao kwa wai.. yaani waarabu weusi hawakaribishwi katika nchi za kiarabu
@ALIKHAMIS-un4fv8 ай бұрын
Hayo ni maono yako kwa ww waliwahi kukufanyia au nyinyi ndo wale nimeskia nimeambiwa uwache ujinga wa kuambiwa nakuskia
@ALIKHAMIS-un4fv8 ай бұрын
Mohammed shamte rahimahullah alikuwa anapendwa na wazanzibar
@jaggerjack308 ай бұрын
@@ALIKHAMIS-un4fv 🤣😂😅😅 wewe mwaarabu, sishangae na kauli yako…. Mswahili ajenge inchi yake sio kutegemea mwarabu, wao ni uarabuni, pia hapo hawapendi mweusi ni bora mwafrika ajitawale