ZANZIBAR HAIWEZI KUINGIA OIC, FIFA TUTAKUWA TUNAUKIUKA MUUNGANO

  Рет қаралды 11,213

Zanzibar Kamili TV

Zanzibar Kamili TV

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@gangmore9091
@gangmore9091 Жыл бұрын
Ndio mana tunataka mamlaka kamili Zanzibar ndio mana hamutaki Zanzibar ipate mamlaka kamili munajua ikipata mamlaka kamili ccm mutaondoka madarakani one day free Zanzibar Insha Allah na mutaenda kujibu mbele y Allah insha Allah
@ramadhankheir4793
@ramadhankheir4793 Жыл бұрын
Tumekuelewa vizur kuwa zanzibar sio nchi
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman Жыл бұрын
Uo muungano hatuutaki wa kutunyima haki Zanzibar kwanini mung'ang'anie Muungano tu. Kila Anaezaliwa hufika wakati akajua Muungano hauna faida kwake. Tumechoka nao.
@dodwiedwin3944
@dodwiedwin3944 Жыл бұрын
SEMA wewe ndio huutaki huo muungano, siyo hamuutaki, hamuutaki na nani? Kuna wazanzibar wanafaidika na wanaendelea kufaidika nao kuliko unavyodhani.
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Hatuutaki Wazanzibar sote labda wakuja kwakuja kupiga kura kwa taarifa yako hatuutaki hayuko peke yake huyo tuko wengi
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
@@dodwiedwin3944 exactly!!
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
@@w4058 usiwasingizie wenzako, jisemee mwenyewe!
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Жыл бұрын
@@dodwiedwin3944 wee kafiri unasemaje
@shabankhamis5132
@shabankhamis5132 Жыл бұрын
Apa kweli Leo nimeamini zenji hamna raisi ila ubabaifu tuu na kula hela za raia
@hamoudbadrualbusaid2722
@hamoudbadrualbusaid2722 Жыл бұрын
Maslahi ya visiwa vyetu bora zaidi kuliko muungano hatuna haja nao
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 Жыл бұрын
Muheshimiwa bado swali la pili jibu lako hatujaridhika nayo, bali tunahisis ni ubabaishaji tu.
@ahmedhamad2410
@ahmedhamad2410 Жыл бұрын
Eti rais anakataa zanzibar sio nchi unatarajia maendeleo gan apo tena zaidi ya njaa ugumu wa maisha pamoja na wizi wa fedha wa wakubwa
@msabahaali758
@msabahaali758 Жыл бұрын
kiukweli hakuna chochote bila ya uhuru wetu kamili
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
Hakuna zaidi ubabaishaji tuu hawawezi kutoa maamuzi ila tuipate mamlaka kamili
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 Жыл бұрын
Haswaaa
@afropanorama4730
@afropanorama4730 Жыл бұрын
muungano sio mungu,wala sio dini
@nassorali4091
@nassorali4091 Жыл бұрын
Hana jipya ndio yaleyale
@shaabanmakame2690
@shaabanmakame2690 Жыл бұрын
Mwinyi hana maajabu bwan 2025 afany kukaa chocho kw1 ,awapishe wenye zanzibar yao
@sahimm4767
@sahimm4767 Жыл бұрын
Muheshimiwa mbona sisi tunakuelewa vizuri tu km zanzibar hakuna serikali wala nchi,niwaombe radhi wazanzibar wenzangu kwa kusema hivo,hapa tunaishi kwa mazowea tu kwa kuitana raisi,muheshimiwa,mwemyekiti ili hakuna kitu. Muheshimiwa Linda tonge lako likimaliza ushibe upumzike ila naamini hakuna kubwa kwa Allah.. muungano ni mdogo sana mbele ya maslahi ya mzanzibar tambua hilo mwinyi.
@jumammanga0297
@jumammanga0297 Жыл бұрын
Huna haja ya kuomba radhi umemnukuu mtawala
@noffelsalim830
@noffelsalim830 Жыл бұрын
Kwani huu muungano mumefaradhiswa nao,kwa io inamaana sisi mutufanya km ng'ombe mukiamua lenu ndio ilo ilo. Waskilizeni wananchi wenyewe nn wantk ,
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
Hahaha tumefaridhishiwa voo
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
Kama kujitoa kwenye Muungano kutaleta manufaa ni vyema zaidi lakini isiwe ni kutokana na ushawishi wa watu wachache walafi wanaotaka kuifanya zanzibar kama shamba lao kujinufaisha wenyewe natumai si hivyo....maana tushayaona kwa Sudan Kusini
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 Жыл бұрын
Asante mkuu wa Koloni la tanganyika
@adamyussuf1678
@adamyussuf1678 Жыл бұрын
Sasa wewe umekaa hapo kama nani rais wa Zanzibar au mkuu wa mkoa wa unguja mana pemba hatutaki muungano wenu ndio maana hakuna maendeleo yoyote badala yake kila miaka 5 linakuja jeshi kuuwa
@jumamuhd620
@jumamuhd620 Жыл бұрын
Mkuu wa mkoa wa unguja Pemba kl baada y miez 6 anaenda mara moja 1
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Mku wa wilaya khasa
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
@@jumamuhd620 maana uku wa mkowa pia mkubwa
@princefakamiomupovizurifak5929
@princefakamiomupovizurifak5929 Жыл бұрын
Tumekuelewa apo wala usitafune maneno
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman Жыл бұрын
Jamuhuri ya Zanzibar ni Nchi ya visiwa. Ndo mana ccm haitaki kuondoka madarakani kwa sabb wanajua muungano utakufa tu.
@sadraaly3410
@sadraaly3410 Жыл бұрын
Oic
@wakwetu2444
@wakwetu2444 Жыл бұрын
Kwani huo muungano ni lazima.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Muungano ni lazima kwa Kanisa.
@jumamuhd620
@jumamuhd620 Жыл бұрын
Tumekuelewa unamaanisha Zanzibar sio nchi lkn muombe huyo rais w nchi aturuhusu tujiunge
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 Жыл бұрын
Haiwezekanwi wakatoa pande zote mbili, toka mwanzo wanajilia wao tu hela za FIFA hakuna,
@salyali7807
@salyali7807 Жыл бұрын
Huyu porojo jingi tu.. bora akakojoe akalale kuliko kupoteza time za watu
@omarsaid6059
@omarsaid6059 Жыл бұрын
Nimekuelewa kwamba zanzibar sio nchi
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
Si muandamane itakuwa Rahisi onesheni kuwa hamuutaki muungano kwa vitendo lazima kama wananchi mupaze sauti kuwa mwataka kujitoa kwenye muungano ...haki hio mnayo....tatizo ni uoga
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 6 ай бұрын
Wewe,mwenda,wazim,kweli,hivi,Bora,muungano,k Kuliko,wanchi
@saidabdala4980
@saidabdala4980 Жыл бұрын
Kwani nani anaetaka huu mungano ..hebu waulize wanaanchi utapata jibu. Mara moja. MUNGANO.huu si mungano ...MUNGANO huu ni kama ulinzi wa chama tawala
@AhmedMohammed-vm2sf
@AhmedMohammed-vm2sf Жыл бұрын
Rais kutoa go ahead hawezi bado hajawa na mamlaka kamili umeona hio
@hajiameir8688
@hajiameir8688 Жыл бұрын
Bauseni we kula nchi tu matatizo ya zanzibar mazito watafute wenyewe wahusika lakini muungano sio ishu ya kuikwamisha zanzibar ukae muheshimiwa ukajuwa zanzibar ni taifa kubwa iko siku
@delasdiego6537
@delasdiego6537 Ай бұрын
Ndio maana tunataka mamlaka kamili embu elewa basi bwam dogo
@AhmedMohammed-vm2sf
@AhmedMohammed-vm2sf Жыл бұрын
OIC ni Ngumu umesikia hio
@azizihassan1613
@azizihassan1613 Жыл бұрын
TUMEKUELEWA na wewe msimamo wako ni kuwa ZANZIBAR SI NCHI.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Tunaambiwa msumbiji, Kamerun ni moja ya nchi wanachama wa OIC sasa tuambieni maendeleo Yao yakoje kama ikiwa kujiunga na umoja huo ndio muarobaini wa matatizo yetu?
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 Жыл бұрын
Wazanzibari mnafeli wapi znz sio nchi huo ni mkoa
@froma3732
@froma3732 Жыл бұрын
Tatizo kuelewa kweni ni mdogo kwa hivo haina haja ya kupoteza muda na watu kama nyie
@omarissamashaallahpresiden2920
@omarissamashaallahpresiden2920 Жыл бұрын
@@froma3732 we sio mtu
@salumasaa7933
@salumasaa7933 Жыл бұрын
Tuwe na subra akhera kitaeleweka
@rafaelmarquez9396
@rafaelmarquez9396 Жыл бұрын
Huyu ni mjinga mkubwa kwanini huweki wazi tu kuwa wewe mkuu wa mkoa wa pwani Rais huna Raia wewe ni Rais wa Wakaazi kijana wa mkuranga mkoloni wa tanganyika utakua na imani gani zanzibar? Wazanzibari fumbueni macho kuna nchi gani duniani iliokua haina Raiya?
@ahmedabbas1587
@ahmedabbas1587 Жыл бұрын
Dah sema twendeni tu inshaallah ipo siku ipo siku inshaallah mtaiacha tu hii nchi ya Zanzibar mwinyi jiwani kama kobe waona sifo mwinyio sema haya😥😥
@ahmedseif9461
@ahmedseif9461 Жыл бұрын
Ubabaishaji tuu
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Жыл бұрын
Tatizo la Zanzibar ni jamaa wa kiunguja ndio hawajielewi na mababu zao ndio walioigawa Zanzibar kwa Tanzania bara.
@amourtinted1521
@amourtinted1521 Жыл бұрын
Ni kweli kaka Wala si uongo
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 6 ай бұрын
Ani,unazunhumza,upuuzi,atawasiwasi,huna
@fakimbarak1538
@fakimbarak1538 Жыл бұрын
Nlikua naomb km up uwezekan mpost press nzma ILI n sisi tupate kufaham yote yaliozungumzwa
@ZanzibarKamiliTV
@ZanzibarKamiliTV Жыл бұрын
Sawa. Tutaweka
@hajiameir8688
@hajiameir8688 Жыл бұрын
Hm muungano
@misscoast3174
@misscoast3174 Жыл бұрын
Huu muungano wanaulinganisha na oxygen?🙄
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
😅😅Khatari
@salyali7807
@salyali7807 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@misscoast3174
@misscoast3174 Жыл бұрын
@@nailamohd7693 naona imekua kama tukiukosa tutakufa sote
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Wacha kuruka vihunzi wewe
@abdulfatahkhamis437
@abdulfatahkhamis437 Жыл бұрын
Hivi wenzetu ndio mpaka Leo hatuelewi kama znz sio nchi hebu wenzangu Kaeni mulete tafakari ya kina hivi nchi katika huu ulimwengu alioumba Allah kuna nchi yenye mambo yake ikawa na wakaazi badala ya raia na katika hii dunia kuna raisi mwenye wakaazi badala raia Kaeni mutafakari mujiulize halafu mutapata lakini Sahi vichwani mwenu kama Zanzibar ni nchi au la
@rashidsalim7078
@rashidsalim7078 Жыл бұрын
Tunakuombea uweze kuwalingania watu wa z'bar
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Katu Kanisa halitokubali Zanzibar wala Tanzania kujiunga na OIC kwa kisingizio cha ati Nchi haina Dini (Sekula), ingawa Uganda, Gabon, Cameroon ni za Kisekula na Kikatoliki ni wanachama wa OIC.
@stonetown578
@stonetown578 Жыл бұрын
Tuzidi kuvuta subra zanzibar yenye Mamlaka kamili inakuja 😎
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@@stonetown578 Zama za Rais Abeid Karume (1964-1972), Wazanzibari waliambiwa wavute subira nchi changa. Wengine walisema: "Mstahamilivu hula mbivu" kumbe "Mstamilivu hula uwoza"
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
@@stonetown578 naam hakuna kukata tamaa ipo siku kwa uwezo wa Allah.
@salyali7807
@salyali7807 Жыл бұрын
@@khatibal-zinjibari6956 🤣🤣🤣
Namuheshimu sana Maalim Seif - Amani Karume
3:50
Weyani Tv
Рет қаралды 29 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
Chomsky's Philosophy
Рет қаралды 6 МЛН
VUTA NIKUTE YA HOJA UKODISHWAJI VISIWA ZANZIBAR- JUSSA NA RAIS MWINYI
19:03
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 621 М.
DR.MWINYI AING'ARISHA MICHEWENI
8:32
OFISI YA RAIS IKULU PEMBA
Рет қаралды 4 М.
MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR NBS & OCGS
3:35
Nbs Tanzania
Рет қаралды 8 М.
RAIS MWINYI APITA ROUND  MICHENZANI.HUKU DRIFT ZINAENDELEA.
9:13
RVS Online Tv
Рет қаралды 2,1 М.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН