Sikiliza hapa shida ya wapiga kura kuandikishwa bila kuwa na sifa na wenye sifa kuandikishwa bila kuwa na sifa huko Zanzibar #habari #actwazalendo #tanzania #zanzibar
Пікірлер: 9
@w405815 күн бұрын
Kweli kabisa
@salyali780715 күн бұрын
Nikweli kabisa ... kila muda wageni wanapewa birth certificate na wala sio wazanzibari
@mwanangusana14 күн бұрын
Kwan dhambi kutoa birth certificate ?? Shida iko wapi kwan ?
@salyali780714 күн бұрын
@mwanangusana shida ni kua watu hawakuzaliwa zanzibar wanapewa birth certificate kama kwamba wamezaliwa zanzibar
@mwanangusana14 күн бұрын
@@salyali7807 🤣🤣🤣 sasa wewe wakipewa unapungukiwa na damu mwilini ?? Au riziki yako ulopangiwa inapungua ?? Sasa kama vyeti vya kuzaliwa tu roho inakuuma..... Je wakipewa misaada ya pesa c ndo utapasuka kwa roho mbaya 🤣🤣🤣 ??? ... Hebu tumieni akili msipende kupelekeshwa na siasa maji taka ... Kuna jamaa zetu kibao wapo nchi za watu wamepewa na uraia kabisa sembuse Watanzania ndani ya Tanzania yetu . Kila mtu na riziki yake tuacheni roho mbaya 🤣🤣 maisha ndo yalivyo kila mtu anapata alichoandikiwa na Allah tena bila kujali sehem au wakati ikiwa wameandikiwa riziki yao waipate Zanzibar huna la kufanya sasa wewe toka mizizi ya shingo kwa siasa za kindezzzzzzz 🤣🤣🤣.... Hata mtume wetu alitoka makka akaenda madina sembuse sisi ?? Hebu pelekeni sera za maendeleo kwa wananchi .... Msihubiri agenda za kibaguzzzzzzz, agenda za kutaka kugawa watu 🤣🤣🤣🤣
@w40582 күн бұрын
@@mwanangusanatatizo kubwa sana kwasababu sio wazaliwa wa Zanzibar
@mwanangusana2 күн бұрын
@@salyali7807 kwan ukiwa umezaliwa Zanzibar ukifa huozi ?? Au wanachukua cheti chako wanampa mtu mwengine ?