Weka like nduguzangu kua Ruto ni msaliti kwa Wakenya nduguzang wakenya Ruto nikishada cha watu waulaya na marekani
@hilarymayende29 күн бұрын
It's about interest we support our president Ruto
@rumdeesonsoa181129 күн бұрын
Kwn ni lini wakenya walikwambia hawataki urafiki na Marekani?
@rajabdibwa641528 күн бұрын
TUMEUZWA!😢😢
@rajabdibwa641528 күн бұрын
You don't know Ruto! Sma you have to live with this guy to know him!😢
@alungaobuluu362628 күн бұрын
No good intrest Since colonisation?stay woke bro,personal intrest only@@hilarymayende
@aminmohammed424929 күн бұрын
Nakukubali sana DJ SMA ILA SOMETIMES NAONA KAMA UNACATCH FEELINGS NA INAKUA KAMA UNACHAMBA AU KUWAPA MAKAVU AUDIENCE… Being professional you need to ignore some few negative people in your audience…much love from CapeTown big bro!
@josephkate366429 күн бұрын
Kwenye NATO hapo kama sikosei analengwa Uganda kwani Uganda sio kibaraka wa Marekani wala Ulaya.
@Nasbakr29 күн бұрын
Upo wrong brother, hakuna tofauti ya Kenya, Uganda na Rwanda Hao ni watoto wa west
@kassimbayuu521729 күн бұрын
Kama una lenga mule mule
@kassimbayuu521729 күн бұрын
Kama una lenga mule mule
@JacksonMartin-pb2vq29 күн бұрын
Hii sio kwa uganda tu hata Tanzania hatutakuwa salama italazimika kuongeza matumizi ya bajeti ya Jeshi let hali si salama
@makhanguwakhutu240829 күн бұрын
Museveni ndio kiongozi wa vibaraka usidanganywe Kwa mdomo wake yeye ndiye ameweka Ruto na kagame
@lutherlewalle259129 күн бұрын
🇹🇿KK BILA KUSIKILIZA AU KUPITIA PAGE YAKO SILALI KBS YANI KILA DK 30 LAZIMA NIKAGUE UMEPOST NN👌
@markodaniel266229 күн бұрын
Poleni sana Kenya 🇰🇪 uyo Ruto ni Mnyarwanda na sio Mkenya.
@Nasbakr29 күн бұрын
Acha bhana??? Kwel??
@MrAslan4728 күн бұрын
wenda utafit ufanyike@@Nasbakr
@subrynerysegerow132328 күн бұрын
😂😂
@NkenguburundiKenny-xn8of27 күн бұрын
To be Rwandan what's the problem my friend?
@gtzrreception553229 күн бұрын
Ruto ni kibaraka mtiifuu sana na ukiona mtu mweusi anapenda na wale jamaa ujuwe kuna tatizo hapo
@mohdmohd842829 күн бұрын
Sns ajirini IT smart, mlipofikia acc yenu inaenda kutukuliwa😢
@GonaNzaro29 күн бұрын
Bro mm m Kenya but sijaridhika na hiii ziara
@karolialex573429 күн бұрын
mie mtanzania sijapenda kabisa
@JKQGAME27 күн бұрын
Utachagua uridhike au uhame nchi imepitishwa hiyo
@peterlove4g86929 күн бұрын
*Unajua mi nimeshangaa kumuona Ruto Marekani,yeye alikuwa wa kwanza kuwashawishi viongozi wa Afrika kutokubali mualiko wowote wa nchi za Magharibi kufuatia kile kilichoelezwa kwamba walidhalilishwa ile siku walipotiwa kwenye bus moja walipokwenda kwenye msiba wa Malkia Eliza.Walikubaliana kwamba watakapoitwa au kupata mialiko basi wawakilishwe aidha na mabalozi au mawaziri wetu wa mambo ya nje,sasa imekuwaje kula matapishi🤔*
@paschalsafari974729 күн бұрын
😅😅😅😂😂
@user-lt1bi5nr1x29 күн бұрын
Njaa
@zayumar295529 күн бұрын
😂😂😂😂 kwakweli njaa mbayaaa sana@@user-lt1bi5nr1x
@godfreyfrugence417627 күн бұрын
Umesahau ule msemo wa wazee kuwa afrika baadhi ya viongozi wao ndio wasaliti
@moriscollins449427 күн бұрын
Katika maisha yangu nilishajisemea siwezi muamini mtu mweusi na mlevi hata iweje
@brianbaltazar619828 күн бұрын
Dj smaa napenda sana makala zako ni nzuri mnoo..Hongera kwa sky kwa kumchagua dj smaa
@kassimbayuu521729 күн бұрын
Dj smaa uko very best, hongera sana mwalimu upo vizuri snaa kiongozi
@shabanmalala332728 күн бұрын
Kazi nzuri sana dj haswa kwa mimi mkenya ninaekufwatilia wakenya wengi hawaelewi siasa za dunia tuko nyuma i wish wangekuwa wanakusikiza
@bonifacewanyonyi355529 күн бұрын
DJ sm uko sahihi kapisa nakukupali sana pro
@trendz_254829 күн бұрын
Kazi safi sana. Love tokea Kenya. Sisi hatufurahii hii safari kiukweli. Inatuuma saana
@jmat8201228 күн бұрын
Kenya is a democracy. If they don’t like Ruto, they will vote him out. You have a president. If you don’t like Ruto, move to Kenya, get a Kenyan citizenship and vote.
@michaeljuma776429 күн бұрын
Then dj sma please, use the term the president of kenya but not Kenyans simply because the president has chosen his path which is against the view of the citizens. The president did it for his own benefits. No one in Kenya is happy for what the president has decided. A decision made without public participation.
@3erffeoui8628 күн бұрын
true
@frankub810729 күн бұрын
from Burundi God bless East africa
@benardmakori401229 күн бұрын
Hongera sana Dj sma.Hii nayo nimependa❤❤❤
@kimzymamy659428 күн бұрын
Mimi simkubali ruto ata kdogo jamaa msaliti lkn ukiwa na niambia na kenya yetu Allah atakuacha salama 😥
@emanuelidamiani294328 күн бұрын
Hata jumuiya ya afrika mashariki inaenda kufa siku si nyingi, maana kila nchi inajifanyia maamuzi yake tu binafsi bila kushirikisha jumuiya. Swala la kupokea wakimbizi jumuiya hailijui, swala la kupeleka askari huko haiti jumuiya hailijui. Ndio linakuja kutokea la kutokea nchi inaanza kulialia kuomba msaada kwa wanajuiya. Yaani waafrika Bwana sijui tumelogwa wapi sisi jamani😢😢😢😢😢😢.
@paschalsafari974729 күн бұрын
Dj sima uko vizuri..tumekuelewa...mimi nimekuelewa sana.
@thelonewolf442929 күн бұрын
RUTO NI ZELENSKY UMBWA UYU
@amriseleman939529 күн бұрын
Hahahahaha
@hafidhmiraji947929 күн бұрын
Kenya wamempata zelesky wao Kenyan ntakuwa ni fimbo inayotumiwa na US
@EmanuelMkongwi29 күн бұрын
Hahahah kweli
@user-qq6mv6vh3e29 күн бұрын
😂😂😂
@subrynerysegerow132328 күн бұрын
😂😂😂😂
@abdallahmwabungale28 күн бұрын
Ma Sha Allah,,,Mungu azidi kukubariki Dj Sma uzidi kutufungua Akili na Macho,,,Hakika Kiongozi wetu amechemka apo,,Ila Yajayo yanafurahisha
@Bama95928 күн бұрын
ila smaa unajitaidi lakini hapo kwenye Rwanda kupokea wakimbizi kutoka England,all east Africa community countries waliunga mkono hilo swala. East African community ndo wanawapa nato na marekani nafasi kubwa sana ya kuiteka Africa maana inchi kama Tanzania, Kenya, Rwanda na Burundi wote ni vibaraka wa USA kwa 100% ila hilo hamuwezi kusema. Nchi east Africa ambaye kibaraka cha USA ni Uganda tu ndo maana wanapinga sana ushoga. ila nchi kama Tanzania, Kenya Rwanda na Burundi wanajifanya kama kupinga ushoga ila kiundani viongozi wameunga mkono ushoga 100% maana the only who came out and said that hataki ushoga nchini mwake ni wa Uganda tu.
@mohayussuf205729 күн бұрын
Kenya inatumika
@chingaboy114929 күн бұрын
Mbona mda tu😂😂😂 kenya ndio chaka lawazungu
@zakazakazi-fn6zy29 күн бұрын
🧠 Yako iko smart sana nakukubali mnoo dj smaaa uko vzr sana big 👆
@africanmandetraveler284729 күн бұрын
Mi kama mkenya sijawahi mwamini Ruto jamaa ni msaliti toka kitambo,Kwanza alipoingia madarakani aliwahadaa wafrica wenzio wataibwaga dollar kumbe jamaa alitumwa ili marekani ajue maadui zake.
@ce-0828 күн бұрын
😂😂😂
@user-pn4gt7wf8y28 күн бұрын
Acha uongo we kila alieenda marekani mbaya mbona unachambua upande mmoja
@user-rl7ud2tw7y29 күн бұрын
You are right brother, love from 🇨🇩
@fatumahamadi137928 күн бұрын
Kw kweli maneno yko yapo sahihi yunaona mambo yanavyoenda Dj upo vzr ALLAH akufanyie wepes n Afya iwe nzr tujifunze vitu
@djsma25528 күн бұрын
Asante na amin kwa sote
@BLACK9INE6IX29 күн бұрын
AFRICA'S 🥺😭😭😭😭
@DaudiSaid-bj7dh29 күн бұрын
Ameenda kukubalina na matakwa ndipo apewe pesa maaana nchi imemshinda inabidi akubali chochote atakachoambiwa
@josephwilliam581329 күн бұрын
MOJA ya mkataba ni ujenzi wa express way KUTOKA Nairobi to mombasa
@subrynerysegerow132328 күн бұрын
@josephwilliam5813 toba
@user-tn4ny3ii2t29 күн бұрын
Ruto nimusaliti Kenya Rwanda niwasaliti mmejitolea kua vijakazi u s a
@user-gx4jx4gv9l28 күн бұрын
Kwani viongozi wa afrika mashariki hawanaga maazimio?kwamfano kuwa na maazimio kwamba sisi tutajilinda wenyewe hatuitaji ulinzi wowote kutoka nnje na kuwa na makubaliano kwamba ndani ya nchi zetu asikiuke kiongozi yeyote kumkaribisha mgeni kwenye mashwala ya ulinzi.
@hemedjackson226129 күн бұрын
Apo kweny East Africa ndugu yangu Tundu lissu km namuona😂😂, paka atafungwa kengele
@paschalsafari974729 күн бұрын
😂😂😂😂
@Nasbakr29 күн бұрын
Alisemaje tundu lissu??
@zayumar295529 күн бұрын
Ngoja ni share kwanza kabla sijamaliza kuskiza😢
@husseinhemedi931429 күн бұрын
Kenya ni washamba kweli
@sanjafarmmachinerystractor420529 күн бұрын
Kweli Kenya hapa ni 😮washamba Vipi nyinyi watanzani
@wgnckasarani29 күн бұрын
Weeeee😎
@aalyaali661929 күн бұрын
We koma c sio washamba mshamba ni uyo ruto
@WILLY_SKY129 күн бұрын
Umbwaaaa
@Jibambeshow254k28 күн бұрын
Sio wote ni huyu mtu mfupi jabakuli yamboga asie ona mbele ndio anatuaribia kapumbavu kaliibakura sasa anatumia serekali anavyotaka😂
@gynae840729 күн бұрын
Shida ya Africa mashariki ipo kwa Mkenya na Rwanda hawa ndio vibaraka
@braystuskibassa384229 күн бұрын
Kenya atatumika hata kutufuatilia mimi binafsi nadhani kuna haja ya kuwa makini saaana Afrika viongozi wetu wengi ni wanafiki saana
@OmmyJames-xn7ji27 күн бұрын
Well said DJ
@gervasshepi635129 күн бұрын
Asante sana kwa kutufahamisha
@abuuawalina262529 күн бұрын
Nikibaraka wa Marekani, yy anawekwa pale kwasababu Est African. Yy ndio atakuwa mbea wao mkuu
@hassansingano115028 күн бұрын
Wananunua silaha akapigane na nani?
@abkhamsalshamte42926 күн бұрын
Inasikitisha sana sana sisi kua upande wa shetani 😢 Tulidhani viongozi wetu wana maono, wapi tushakua upande wa Madui katika VITA HII 3 YA DUNIA WASHINDWE DAIMA NA MBINU ZAO OVU.😮
@-vw9yz29 күн бұрын
Ruto hana tofauti na vibaraka waliotangulia
@SM-fu1yv29 күн бұрын
Mta nikumbuka by magufuri
@frankub810729 күн бұрын
noma kabisa
@abkhamsalshamte42926 күн бұрын
Dah dj smaa uwe makini sana huko tunako elekea, wema wafa wabaya wabakia.
@daviddeus643728 күн бұрын
Ata kama ni wew ukipata dem wa kizungu anakuambia atakupeleka marekani uwez acha
@user-yh7zk8kp8u29 күн бұрын
Wanataka kuvuruga eneo zima la afrika mashariki.
@mtulivu-ir1nq26 күн бұрын
Mmarekani mjanja kusini mwa Africa wana misri na Morocco magharibi Djibouti na east Africa wana Kenya na Rwanda hawa watu wajanja sana na mote umo wameeka kambi zao na istoshe nchi hizo zote kazibananisha hawawezi kufanya jambo bila wao na lazima wafanye biashara na NATO ndio maana mmarekani kumuangusha inakua ni ngumu sana na shida kubwa Africa hatuna ushirikiano na misimamo🙌🙌🙌🙌🙌
@PatrickJulius-uy3yb29 күн бұрын
Asante sanaa smaa nadhan ruto ameshindwa kuhendo plesha ya marekan vp sisi hapa tupoje au ndio tupo tupo..
@alexmwanioti639028 күн бұрын
DJ SMA vipi kuhusu madhara ya hili kwa Muungano wa east africa mbona kama kuna moshi unafuka chinichini hapa
@onesmoaugustino276525 күн бұрын
Dj sma na wenzako mmekuwa chanzo muhimu cha kuunganisha nukta. Vyena sana
@AliNassor-qt6fm29 күн бұрын
Kenya, njaa inawasumbua 😂😂😂
@matukiotvonline636629 күн бұрын
Asante smaa🎉🎉❤❤❤❤❤
@benjaminekimanuka624029 күн бұрын
Mimi najuwa kati ya inch zilizo peleka vikosi somalia nipamoja na burundi
@hamzafishten956029 күн бұрын
Brother upo vizuri sana nakubali sana
@Brunotarimo1029 күн бұрын
Kutoka 254. Sipo 195
@WILLY_SKY129 күн бұрын
Ruto is smart he knows what he is doing I will vote for him again and again
@Beautiful-Place29 күн бұрын
Huyo Ruto angepinduliwa ingekua poa sana
@user-tn4ny3ii2t29 күн бұрын
Waliopeleka majishi somalia Kenya Uganda Burundi
@Nasbakr29 күн бұрын
Allah atulinde mana ni hatar
@Abdulrahmanhassan1828 күн бұрын
Shukran sana kwa maarifa
@hamzafishten956029 күн бұрын
Ni kenye ndio iliopeleka ma jeshi Somalia
@ajn908729 күн бұрын
Nilijua tu EAC hakuezi kosa msaliti, sina uhakika lakini EAC Inakuja kusambaratika kati ya rdc, tanzania, na burundi, lazima moja itajitoa kwa EAC.
@user-eo6ou4zd4d28 күн бұрын
Kujipendekeza sana kwa Marekani. Russia and African summit mwaka jana hakwenda. Baadhi ya viongoze east Africa hawana uajanja kwa American na Western.
@AdamKondo-so3cn26 күн бұрын
Mimi na waza sijui kama, mwalimu unaeleweka naomba Mungu akutie nguvu.
@salumally-jz5lj29 күн бұрын
Haijakaa sawa kwa mataifa aya kwa kutokuwa na msimamo mmoja na kwa manufaa tu ya mwafrica
@zaralsham325729 күн бұрын
Mungu ibariki tanzania na watu wake 🙏🇹🇿🌹,, Mungu ibariki Africa,, Mseveni Anahekim sana na busara Mungu mtunze kwa ajiri yawaganda 🙏.
@mwawekomiuda977929 күн бұрын
Tanzania mbona mko sawa na wakenya hilo usikwepe kabisa. Pia hamko salama.
@zaralsham325729 күн бұрын
@@mwawekomiuda9779 ndo maan nimesema Mungu Mungu ibariki africa na watu wake,, lbada njema inaanzia nyumbani
@Kelvinchristopher07229 күн бұрын
Uyo ni mshenzi anawauza wakenya. Poleni ndugu zetu wa kenya.🇰🇪
@MrTravellertz29 күн бұрын
Hakunaga kitu cha bure .... US huwa wanafanya vitu vyao kistrategic sana
@venancerutta687515 күн бұрын
Yapime maneno kabla hujaropoka rais wa kenya pongezi
@user-hx6ts5vl5g29 күн бұрын
"If one day you hear the Europeans praise me, know that I have betrayed you " ~ Samora Machel, former president of Mozambique.
@shukurumsebaloli29 күн бұрын
Uyo mzee uwanamfananisha namuuza makaa
@bakarinoor871829 күн бұрын
Kweli wa Rais Ruto anaimarisha usalama kenya na amefungua mashule mingi 2 kwa hiyo sehemu ya insecurity
@farajalivingstone294729 күн бұрын
Weka like kama unaamini kuwa kenya ni Masnich ...
@fatumamwalimu576529 күн бұрын
Uwe makini na unayoyasema, hao wakenya wote wanapinga safari hii na ndio unaona watu alioenda nao sio waliokua wamechaguliwa, ukifatia hii issue hadi amekosana na muandishi wa havari wakenya kisa maswali aliyoulizwa, kwani mpaka ulaumu? Amehaidi wakenya mangapi na hajatenda? Likikushinda tuachie tunajua pakumsika tutakutana nae debeni tu
@user-kr9kf8jr3q29 күн бұрын
Masilahi ndio muhimu kwanza.
@thesunafrican29 күн бұрын
West Africa wanawakataa East Africa tunawakaribisha!!!!!
@user-lt1bi5nr1x29 күн бұрын
Wapumbavu sisi eastafrika
@HorebuKasuku-zz8cj27 күн бұрын
East Africa ni tatizo tamaa
@venancerutta687515 күн бұрын
Kwanza nenda darasa rais wa kenya ninani awezaye alipofika afike
@peterlove4g86929 күн бұрын
Huyu raisi ni mjinga sana
@josephwilliam581329 күн бұрын
Utamuona MJINGA but wana gain kitu
@skonga310629 күн бұрын
Kama hujuwi nyamaza. Lile swali lilikua tactical questions, journalist aliyeuliza swali ni mkenya na swali lilijibiwa vizuri sana.
@atutweve416029 күн бұрын
Sana nliskia pia jamani
@omarybakunda255428 күн бұрын
Daa? Hatimae Kenya wamekubali ushoga laivu.
@Elizabeth-gq9kl19 күн бұрын
Kazinjema nafuraiya Nikiwa Kenya
@fidelfidel-jz4iw29 күн бұрын
Waafrica vichwa vyetu hamnazo wao wanaangalia maokoto ili wawapoze wananchi wao njaa tu inayotuingiza kwenye majanga wala hawaandiki ktk mtazamo Yao umaskini ni gonjwa kubwa.
@daviddeus643728 күн бұрын
Marekani ni marekani amuwez kushindana na marekani aliye watangulia mjini uwez shindana nae
@venancerutta687515 күн бұрын
Nampongeza rais wa kenya. Kwa juhudi zake nchi ya 19
@biasharaonline69326 күн бұрын
💪💪
@user-ny2cd9dt1d29 күн бұрын
Nahisi wataligawana bara Africa .
@user-qq6mv6vh3e29 күн бұрын
Dj smaa anatupa fact
@SM-fu1yv29 күн бұрын
Wa weke na base na ushoga east Africa
@elibarikimollel714928 күн бұрын
Inakera na kukatishs tamaa.. Kama Ruto ataikubalia America,basi kituo cha kijeshi cha Nato pale Mombasa kitaathiri nguvu za Rusia kuisaidia Afrika kuondokana na waMagharibi wanaotupangia watu wanaowaunga mkono ndio watuongoze ili kuendelea kuiba rasilimali zetu na kutukopesha bila kutaka!
@bongoflevamixhits23 күн бұрын
195
@jumamayonga891429 күн бұрын
Uuuuuwiiii.... Twafaaaaa..... .
@djafro872929 күн бұрын
Ruto ni mtu wa propaganda. ni mdomo tu . Hakuna action. Yeye ni mwizi . Maslai yake tu ndio anaangalia. Hakuna shule amefanya marekebisho
@eunicewamathioya803028 күн бұрын
So what we are proud of him
@antonyelias86628 күн бұрын
Nakubaliana na wwe kaka
@makaoyafutaa130228 күн бұрын
It's a matter of foreign policy, the two players that's USA and Kenya have different interests, let it be known that Kenya is a great ally to united states. Remember the former USA president Barack Obama is a Kenyan
@EzzyEddy-il3ce28 күн бұрын
Mi binafsi nahisi marekani amepata sehemu ya kutunzia siraha upande wa east africa,maana ukisema kenya kununua siraha za marekan kwa kwa pesa gani alonayo,au akapigane na nani sasa,kenya tayar ni USA military base kwa sasa ila wasitudanganye kenya hana uwezo wa kununua siraha mpya za marekani
@mahamudaideed692229 күн бұрын
Kenya imeisaliti china baada ya kuwekeza na kuijenga
@PROSKWEKA-ff2gd28 күн бұрын
Dj sma hebu tuambie mama amesign mikataba gani kwa wafaransa