Asante sana mtangazaji asante sana mchambuzi urusi atashinda hii tenda
@biasharaonline69326 күн бұрын
Sadly Serikali ya Nchi yetu Tanzania huwa iko slow katika mambo kama haya, always😢
@noelmarapachi180828 күн бұрын
Hii ndo mipango sasa! I think this is the way to go! Rain is almost unpredictable kwa sasa
@RamaTraceur28 күн бұрын
mchambuzi mzuri sana huyu, Tujitahidi sana kufikiria kwa haraka sana na tuwe makini na kila malighafi zetu, tusiwe watu wakuona frusa za kuuza uza mali zetu. Je tunaweza kuzifanyia nini na zikatusaidia sisi wenye watanzania(Africa). hii frusa ya ku uza uza iwe ya mwisho kabisa . Pesa tunahitaji tufikiri kwanza, Wazungu wanja sana, Tusije tuka uza vijana wetu huko baadae na hao ndo taifa lenyewe. Taifa ni watu wenye afya njema na uwezo wa akili. Africa tunaongoza kwa kuwa na vijana wengi wenye afya njema na Akili. Ni Mawazo yangu tu.
@SM-fu1yv28 күн бұрын
Ghana watampa marekani hii tenda na mjua huyu mzee wa Ghana
@SAMA-jw4fr20 күн бұрын
Tanzania ubadhirifu mwingii Nime notice Mawaziri wetu hawataki maendeleo bali wanataka wizi tu
@Brunotarimo1028 күн бұрын
Kaka sky upo visuri . Karibu crown media
@hatibumohamedi347128 күн бұрын
😂😂😂Kichogo ka mwiko kwenda huko o na meno yako ya kuungua saruti mzee baba doto mandinga🎉🎉
@user-qq6mv6vh3e28 күн бұрын
😂😂😂@@hatibumohamedi3471
@EmmanuelSima-qz1gd28 күн бұрын
Ally:-huyu jamaa anaweza kukuchambua Toka kuzaliw mpk Leo na changamoto zako zote ndo utajua ujui😂😂😂😂
@user-sr8tc8ke6q28 күн бұрын
😅😅😅
@HassanMlozi23 күн бұрын
1😊1111. 2 QA😊😊 as
@mrshazychannel335928 күн бұрын
Nataka kujuw Ally masoud amesomea nn?? Maana anachambua vzr.san
@allahisone638628 күн бұрын
TUPO WENGIN SANA KBS
@AinekishaNyakato27 күн бұрын
Angali video ya nyuma sns wapo na Sky Dj Smaa Ally na kaka mwingine jumla wapo watatu na Sky wanne kipindi ni GPS walijitambulisha wote na taaluma zao na huyu Ally alijitambulisha vizuri tu utamuelewa.
@tumainielmaruwa314828 күн бұрын
Watoto wa Kwame Nkuruma wanaonyesha kipaji Chao kwakuwa moja ya Taifa lenye nguvu za kinyukilia ktk Africa itakuwa nchi ya pili nadhani
@musajosephmotte422228 күн бұрын
Asante kwa uchambuzi
@hedwigkimario699328 күн бұрын
Masubi aisee uko vzr sanaa
@allahisone638628 күн бұрын
ZAIDI YA SAAAN KBS
@user-sr8tc8ke6q28 күн бұрын
Ally Masubi ntakupa Dada 😅😅😅
@user-wi9et9yl1v28 күн бұрын
Masubi uchambuzi wako inaeleweka sana thanksss
@domajosep379728 күн бұрын
Good
@fatimasaid946928 күн бұрын
Me china or urusi na noth Korea. Hawa wengi wanakuja kuwatumia vibaya tu. Mara wanapiganisha miaka ya mbele
@allahisone638628 күн бұрын
Nikweliiiii kbsaaaaaa
@fidelfidel-jz4iw28 күн бұрын
Serikali inaweza Jenga prant moja kama vile morogoro Dodoma na mwanza pili Tanzania inaweza kuuza Europe na USA Canada Japan India na Dubai
@Gulfnas128 күн бұрын
Hapo kwa morogoro muweke Dar, Dom na Mwz
@deusmauka827028 күн бұрын
Apewe Mrusi, katusaidia vita vya ukombozi kusini mwa Afrika, kwanza anaweza kazi.
@josepheriah597728 күн бұрын
La marekan
@HajiKlein-so1rk28 күн бұрын
🇷🇺❣️
@user-wb4fg8je4v28 күн бұрын
Tanzania umeme hamna
@davidwalalason763028 күн бұрын
They should give it to russia
@DafiMohamed-dz8xk28 күн бұрын
Kwa hao wote USA, France na South Korea wasiwape kwa upeo wangu maana hao wote lao moja
@allahisone638628 күн бұрын
KIDUKU&PUTIN WAPEW ITAKUA BOR ZAID
@Hillary_Daudi_Mrema28 күн бұрын
Natumai kwa Tanzania katika Mradi wa kufua Nyukilia katika Mkoa wa Ruvuma watapewa wa China au Russia ili kuchochea ukuaji wa Uchumi wa Viwanda au tumeridhika na Mradi wa Nishati wa Nyerere Hydro Power Plant.
@kamanapomo702928 күн бұрын
Kaisha chukua mrusi
@allahisone638628 күн бұрын
AAAH KWEL KBS?
@user-qp4fz1jw5r28 күн бұрын
Sema ikitoke akashinda urusi wataanza kutafutiwa sababu
@allahisone638628 күн бұрын
Ndiooo_🤦🏿♀️
@issalyanali411928 күн бұрын
Urusi atashinda
@kaittheleast28 күн бұрын
Tanzania tuna Uranium kama mapambo bado hatuwezi kuitumia 😢
@allahisone638628 күн бұрын
RDCONGO WASEMEJEEE?
@yasiniyamamoto817428 күн бұрын
Hawa watu wana akili kubwa hatRi
@PatrickJulius-uy3yb28 күн бұрын
Samahan bratha Ally naomba kuerewa vinu ivi kaziyake nikuzarisha umemetu au kuna uwezo wakutengeneza nyuklia bom silaha za maangamizi naomba kuerewa Ally masubi
@asyajey347928 күн бұрын
Inauwezo pia wakutengeneza bomu nyuklia pia aliwahi elezea hapa hapa sns fuatilia interview zake zote
@paschalfausitine710828 күн бұрын
Urusi na china sawa
@batuelcharles248926 күн бұрын
Rais wa ghana anaupunga fulani ivi apo atashawishi baraza la mawaziri wammpe mmarekani au mfaransa....nakuacha kumpa mrusi😎
@MasterOil-qm6vw28 күн бұрын
Ghana iwape urusi au china au korea kaskazini marekani na maghaibi wanaweza kuweka vitu vya kuuzima umeme msipo wafuata
@Maxpaul-oi8pw28 күн бұрын
😂😂😂
@allahisone638628 күн бұрын
😅😅Ndiooo_🤦🏿♀️ 😅😅
@barrynzeyimana627028 күн бұрын
Marekani haiwezi Pata tenda hilo kwakua Wana bei kubwa
@allenanase816128 күн бұрын
Hakuna mwenye viwango vya rosotom
@lameckraphael374328 күн бұрын
Hahahaha hapo n wamagharib ndo wanachukua maana ghana n watu wao
@jumamussantuiche28 күн бұрын
Mageuzi
@fahadfaraj647428 күн бұрын
Raisi wa ghana ni kibaraka wakutupwa hata akiongea kiingereza anaongea lafudhi ya British, alienda msemea rais wa Burkina faso kwa waziri wa mambo ya nje ya marekani Kua anawaita warusi Burkina faso, ivyo ni ikibaraka tu
@mwawekomiuda977928 күн бұрын
Watachukua wamagharibi bila shaka. Ni kweli ni watu wao .
@husseinhemedi931428 күн бұрын
Rostom ndo habari ya mjini aachane na mashoga
@kamanapomo702928 күн бұрын
🎉🎉🎉
@josephwilliam581328 күн бұрын
KUMBUKA HATA hii KZbin ni ya wamarekani unaowaita mashoga
@husseinhemedi931428 күн бұрын
@@josephwilliam5813ni saw kama wanasapot uxhoga tuwaitje
@AbdillahRashidi28 күн бұрын
Waifute itapatikana ingine
@josephwilliam581328 күн бұрын
@@AbdillahRashidi 😂😂umeitwa kuitumia? Walibuni utumie wewe si ni shobo zako? Na bando unanunua
@papaamasauti197328 күн бұрын
Urusi ndio baba WA nuclear
@jamilaathumani548128 күн бұрын
Kaka Ali Kwan hii sio machafuko ya mazingira? Umeme wa nyukria
@atutweve416028 күн бұрын
SANA TU NI VILE VIONGOZI WAAFRIKA WATAKUBALI 😌, TENA HATARI MNO IKITOKEA HAWAJATUNZA VIZURI CANCER ITASAMBAA AFRICA YOTE 😌
@alikibwana465728 күн бұрын
Putin apewe
@pujimontanapachino495827 күн бұрын
Tanzania nchi ya 7 duniani kuzarisha madini ya uranium, lakini tumeshindwa kuyatumia sisi kwa kutengeneza vinu vyetu tutumie madini yetu tumeenda kutengeneza bwawa la maji 😂
@BushashaSwitch26 күн бұрын
Lakin cha kushangza ndugu yangu lakin sio kwaubaya Bali siku za nyuma hapahap Sns warutuambia kwamba Niger ndio inchi ya 7 duniani kuzalisha uranium tena kwasasa eti ni Tz 😢 jamani