No video

ZIJUE ALAMA ZA DASHBOARD YA GARI YAKO NA MATUMIZI YAKE

  Рет қаралды 51,786

TMN Portal

TMN Portal

Жыл бұрын

#howto #read #car #dashboard #alama #za #dashboard #ya #gari #drivingskills

Пікірлер: 57
@ngusakabinza9238
@ngusakabinza9238 6 ай бұрын
Unajua kupresent 💯
@yourportal
@yourportal 6 ай бұрын
Karibu sana Ngusa, Shukrani sana na Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
@lucyasava9266
@lucyasava9266 13 күн бұрын
Asante sana
@yourportal
@yourportal 13 күн бұрын
@@lucyasava9266 Karibu sana, Tunajivunia wewe.
@drvidah7030
@drvidah7030 3 ай бұрын
Aisee unaelezea vizuri sana nimekuelewa kuliko mwalimu wangu anaenifundisha driving😂
@yourportal
@yourportal 3 ай бұрын
Karibu sana, Usisite kushare na wale unaowajali pamoja na KuSubscribe Channel yetu pia. Ahsante.
@Samwelsamwel1152
@Samwelsamwel1152 Жыл бұрын
Asante Santa Kwa mafunzo yako
@yourportal
@yourportal Жыл бұрын
Karibu sana Anna, Tunajivunia wewe.
@machanohaji9841
@machanohaji9841 5 ай бұрын
Asante bro mimi nataka unifanyie mipango nije unifubdishe binafs than baadae nataka niende chuo nikasomee kuendesha ila natakanikienda niwe nnaelewa baadh na mambo
@yourportal
@yourportal 5 ай бұрын
Karibu sana.
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika Жыл бұрын
Nilisha uliza mafundi sana swali hili. Gari yangu natoka Arusha hadi dar lakini mshale wa maji inapanda nafasi moja nikipita moshi inashuka mpaka c kama gari aitembei na inapoteza ngurumo kabisa.lakini mshale wa spidi unapanda mpaka 100,220,80. Lakini nikizima kula nikija kuwasha mfano korogwe inapanda tena kidogo nikifika Segera inashuka tena mpaka c na kukata sauti kabisa. Gari ni piston 6 ya petroli. Tatizo nini?. Nikifika rejeta niya baridi. Nikiweka ic joto kinapanda hadi nusu badae inashuka lakini aifiki kwenye c. Je kuna tatizo?. Barikiwa. Amen.
@yourportal
@yourportal Жыл бұрын
Karibu sana Uweza wa Mungu mkuu, Kwa mujibu wa maelezo yako mtafute fundi bingwa aangalie maeneo haya; 1. Atizame sensor inayopima joto la engine kama ipo sawa kwani ndio inayo control ule mshale wa maji/joto la engine kuwa katikati. 2. Atizame ufanyaji kazi wa Pump ya maji ambayo ndio husukuma maji yaliyopoozwa kutoka kwenye rejeta kwenda kwenye engine and vice versa. Kama maeneo yote hayo yapo vizuri, jaribu kuingia online na udownload user manual na car specifications kulingana na aina ya gari yako ili ujue kama imeundwa na mfuno wa kipekee au la! Karibu sana.
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika Жыл бұрын
Amen amen.sawa. lakini gari aikosi nguvu hata kwenye milima.mfano nilitoka mwanza mlima Sekenke ilipanda na 80. Aichemshi kabisa wala misi akuna. Mwaka jana nilienda njia ya iringa Kitonga nilipanda na 60,80 . Tatizo langu ni mshale wa maji kushuka mpaka c ninapo kwenda kuanzia kilomita 80 na ngurumo kupotea kabisa kiasi kusogelea bila kushika bodi tena kwenye bonet uwezi jua gari ajazimwa. Yote mema nitajaribu. Amani barikiwa nyote kwa darasa lenu. Amen.
@daiskilemele9088
@daiskilemele9088 11 ай бұрын
Mtaalam katka suala la taa ya betry kwa kuongezea hiyo taa ikibakia imewaka solution sio kwenda dukani na kununua bettry bali yafaa ufanyike ukaguzi wa mfumo wa kuchaji bettry katika gari mfano ; autonetor, fenbel, autonetor fuse nk
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 4 ай бұрын
Gari lako halina thermostat nunuwa weka mpya
@SiyaleoNdaba
@SiyaleoNdaba 4 ай бұрын
Kupitia ww naweza kujua kuendesha gari unajua sanaa
@yourportal
@yourportal 4 ай бұрын
Karibu sana. Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 3 ай бұрын
Na ile ABS ikiwaka ndo nn
@yourportal
@yourportal 3 ай бұрын
Karibu sana, inaashiria kuwa mfumo wa break za gari yako unahitaji uchunguzi zaidi (maranyingi tunaanza kwa kuangalia sensor za ABS kama zinafanya kazi ipasavyo).
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 3 ай бұрын
@@yourportal Na gari yng imeanza kutoa moshi sana mpka inakuwa kero barabarani.Ukikanyaga msfita tuu inatoa but ukitulia hautoki
@yourportal
@yourportal 3 ай бұрын
@@sebastiankatalle2732 Tafadhali nenda kacheki piston ring huenda zimesha isha ubora, ama linkage ya oil kwenda kwenye sehemu ya uchomaji mafuta au linkage ya Coolant kwenda kwenye sehemu ya uchomaji mafuta...ikiwa pamoja na mfumo mzima wa exhaust system.
@manenoabdallah1036
@manenoabdallah1036 6 ай бұрын
Nimependa sana jinsi ya kujua usalama wako kwenye dashboard
@yourportal
@yourportal 6 ай бұрын
Karibu Maneno, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
@fabianemmanuel6253
@fabianemmanuel6253 Жыл бұрын
Ahsant kwa darasa
@yourportal
@yourportal Жыл бұрын
Karibu sana Fabian, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 4 ай бұрын
Teacher umechemka alama ya oil cyo kupunguwa tu oil inaweza ikawemo na hiyo taa ikawaka hapo umechemka tafuta jibu sahihi unapoamuwa kuelimisha watu, suara la alama ya better unaweza ukaweka jipya bado hiyo alama ikawaka napo tafuta jibu upya jipange kabla haujaamua kuelimisha watu.
@yourportal
@yourportal 4 ай бұрын
Karibu sana Ndugu Mashimba, Tunajivunia wewe. Hoja yako ina mashiko na ni nzuri sana. Tafadhali zingatia YAFUATAYO: 1. Jitahidi wakati wote unapotaka kuchangia hoja katika platform kama hizi dhamira iwe ni kuongezea uzoefu ulio nao SI kuuonesha umma kwamba wewe ni Bora! La ha sha! Kwa sababu wapo wengine ambao pengine ni bora kushinda sisi sote. 2. Unapotoa hoja ya kuwa Muelimishaji "AMECHEMKA" tafsiri yake ni kwamba Amepotosha Umma kwa ujumla, Kitu ambacho SI SAHIHI na ni Uchochezi. NB: Muelimishaji ameeleza kuwa ishara ya taa ya oil kuwaka inaashiria upungufu wa oil katika tanki la oil ambao unaweza sababishwa na factors mbalimbali kama kuvuja kwa tank lake ama kutobadili oil kwa muda mrefu ...'NA HIYO NDIYO MAANA KUU YA ILE TAA KWA MUJIBU WA WATENGENEZAJI WA VYOMBO HUSIKA'. Sasa Ungetumia Busara kidogo kujenga Hoja yako Ungesema hivi... {kwa kuongezea, taa ya oil pia inaweza kuwaka kama pump yake ina misbehave au sensor ya oil ina misbehave hivyo kushindwa kupeleka taarifa sahihi kwenye control unit ya gari.} Hivyo hivyo katika Betri, Taa yake Maana Kuu kwa Mujibu wa Watengenezaji NI KUASHIRIA KUWA BETRI YAKO INA TATIZO HIVYO IFANYIE UCHUNGUZI...sasa hizo factor zingine sijui hata ukiweka betri mpya taa inaweza kuwaka pia TUNAITA minor factors ambazo kwa vyovyote vile huwezi kuziorodhesha kwa video ya dk 8 na lazima uzingatie technical awareness ya wale unaowapa uelewa. 3. Unatakiwa Ufahamu kwamba Video ina serve kusaidia wahitaji kupata COMMON BASICS za Ujuzi wa kutumia chombo cha Usafiri na sio Kumfundisha Mtu kujua Kutengeneza Gari au Kuliunda Gari. NB: Hivyo, Unaposema Muelimishaji 'AJIPANGE' tafsiri yake una hulka ya kupenda 'ARGUMENT' na sio 'DISCUSSION' (you better prefer finding out WHAT IS RIGHT than WHO IS RIGHT). 4. Hata Tukikupa wewe nafasi UJIPANGE kama unavyosema, Utuletee Darasa...Kamwe huwezi kuwa bora kushinda wengine na hivyo utahitaji mawazo mapya na watakao kupa hawatakwambia 'UMECHEMKA' au 'KAJIPANGE' kwa sababu wana Busara. 5. Usisahau KUSUBSCRIBE Channel Yetu Hii ili Ufikiwe na Maudhui mengi zaidi na Uweza KU-COMMENT Kwa sababu Tunazihitaji Hoja zako nyingine nyingi ambazo ni Muhimu sana Kwetu. Ahsante.
@noelmwaya6783
@noelmwaya6783 Ай бұрын
@@yourportal hongera mkuu watu kama hawa hawakosi hata wasipohitajika na yeye kashindwa kuelewa kuwa hili ni darasa mtandaoni sio kila mtu anaweza kuchukua muda mrefu kuangalia video hizo pia wengine ni wajuaji sana hata kama hujakosea atataka akosoe tu
@yourportal
@yourportal Ай бұрын
@@noelmwaya6783 Karibu sana Noel, Asante kwa Mchango wako chanya kabisa. Tunajivunia wewe.
@user-el8gn8sk5u
@user-el8gn8sk5u Жыл бұрын
Thanks
@yourportal
@yourportal Жыл бұрын
Karibu sana! Tunajivunia wewe. Usisite kushare na unaowajali.
@luckysichone6705
@luckysichone6705 Жыл бұрын
Nashukulu Sana kiongozi wangu MUNGU akubaliki sana
@yourportal
@yourportal Жыл бұрын
Karibu sana Lucky, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali ili Tubarikiwe sote🙏
@luckysichone6705
@luckysichone6705 Жыл бұрын
@@yourportal Amina kiongozi wangu
@user-su3lv7ov6v
@user-su3lv7ov6v Жыл бұрын
Naishi kwenye sehemu ya michanga mingi sana kila siku nakwama
@khalifasaid0047
@khalifasaid0047 Ай бұрын
Unapatikana wapi kuongozi nataka ujuzi wa gari
@yourportal
@yourportal Ай бұрын
@@khalifasaid0047 Karibu sana Khalifa, kwa sasa tupo Dodoma na Dar.
@khalifasaid0047
@khalifasaid0047 Ай бұрын
@@yourportal duuh sasa m kiongozi nipo znz sasa huduma hiyo nitaipataje
@yourportal
@yourportal Ай бұрын
@@khalifasaid0047 Karibu, Tutafanya mawasiliano.
@khalifasaid0047
@khalifasaid0047 Ай бұрын
@@yourportal basi naomba namba yako ya whtsap
@issaselemani491
@issaselemani491 11 ай бұрын
Gari yangu muda wote inawaka hiyo check engine na ninamaliza safari ya km.200 hadi 260 bila tatizo.Hii inamaanisha nini?
@yourportal
@yourportal 11 ай бұрын
Karibu sana Issa, kuna mambo 2; Moja, huenda senser inayopeleka taarifa kwenye dashboard ina misbehave kwamaana ya kwamba haiko accurate kudetect hali halisi ya engine. Mbili, huenda Senser iko sawa ila wewe dereva umeshindwa kuitafsiri hiyo taa inaashiria nini kulingana na aina ya gari husika. Kwa ushauri angalia mifumo yote ambayo inahusiana na engine moja kwa moja kama vile: Uwepo wa oil ya kutosha(hakikisha hakuna sehemu inayovujisha oil au KAMA oil imeganda kwenye sample ya tank), Hakikisha uwepo wa Coolant ya kutosha(maji) au KAMA maji yapo angalia mfumo wa Pump kama inasukuma maji vizuri ili yazunguke kwenye ingine ipasavyo. Kitu kingine ni Mfumo wa Feni, cheki vizuri Huenda senser inayocommand feni izunguke haiko active. Mwisho ni Risk Kubwa Kutembea wakati Check engine inawaka! Ukiona imewaka usichukulie poa, pack gari pembeni ita Fundi mpaka agundue nn tatizo na sio akuzimie taa ya cheki engine...Hakikisha anagundua Tatizo kwanza.
@user-su3lv7ov6v
@user-su3lv7ov6v Жыл бұрын
Asante sana tumejua,naomba kuuliza kuna utaalaam wowote kupitsha gar kwenye barabara yenye michanga mingi,kama haina four weel?
@yourportal
@yourportal Жыл бұрын
Karibu sana! Kwa kawaida Sehemu zenye Michanga huwa Tunatumia Low gear, kwenye gari yenye automatic transmission Kuna Gear inaitwa 'L' so unaweka hiyo ili gari iwe nzito iweze kupita mchangani.
@robytechnicalservise
@robytechnicalservise Жыл бұрын
Vizuri mkuu
@yourportal
@yourportal Жыл бұрын
Karibu sana Roby, tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
@drvidah7030
@drvidah7030 3 ай бұрын
Mfano unanunua gari kwa mtu.,,,atleast iwe imetembea kilometer ngapi ili na wewe uweze kulitumia kwa muda bila kuharibika
@yourportal
@yourportal 3 ай бұрын
Karibu sana, Tunajivunia wewe. Kitu cha msingi sana kabla hujaangalia idadi ya kilometers, ni namna Gari lilivyotunzwa vizuri na mmiliki husika. Naamanisha, unaweza kuta Gari ina kilometers nyingi lkn aliyekuwa anaitumia alikuwa anafanya services kwa wakati na alikuwa anazingatia uendeshaji wa kistaarabu...hivyo utatambua kuwa gari ilitunzwa kupitia ukaguzi wa engine, gearbox na suspension system nzima ya Gari. Lkn kigezo cha kilometers pia ni muhimu na husaidia kujua ni wakati gani ufanye overhaul ya engine (kuisafisha engine kwa ujumla kila baada ya kilometers 100,000) ili kuendelea kuliwega gari lako ktk hali nzuri, bora na salama wakati wote uwapo safarini. Lkn kiujumla watu wengi hupendelea kununua gari ikiwa kabla haijafika kilometers 100,000 (laki moja) ili hata kama ataitunza vizuri yeye mwenyewe ndio awe wa kwanza kuifanyia overhaul kwa mafundi wanaoaminika ktk utalaam wa mfumo wa engine. Ahsante.
@user-su3lv7ov6v
@user-su3lv7ov6v Жыл бұрын
Naishi kwenye barabara za michanga sana kama kuna utaalaam wowote nielekeze pliz
@yourportal
@yourportal 5 ай бұрын
Karibu sana, Jitahidi kutumia gear namba 2 au L
@FredyKimale
@FredyKimale 3 ай бұрын
Asante kwa mafunzo mazuri! Naomba tuletee mafunzo ya namna ya kukagua injini na gear Box pls
@yourportal
@yourportal 3 ай бұрын
@@FredyKimale Karibu sana Fredy, Tunajivunia wewe. Hivi karibuni tutaleta tutorial kuhusu Engine na Gear box. Ahsante.
@ziadaskitchen5060
@ziadaskitchen5060 Жыл бұрын
Nini nifanye ili nifaulu kwa haraka maana kilanikijifunza sielewi asant
@yourportal
@yourportal Жыл бұрын
Karibu sana Ziada, zidisha tu umakini lazima utaelewa.
@user-su3lv7ov6v
@user-su3lv7ov6v Жыл бұрын
Majibu yangu sijapata mkuu
@AnnaYohana-mj3vw
@AnnaYohana-mj3vw Жыл бұрын
Mimi naitaji kujifunza gari
@yourportal
@yourportal Жыл бұрын
Karibu Anna, Tunajivunia wewe.
JINSI YA KUTUMIA GEAR NAMBA '2',  'L' NA 'N' KWENYE GARI YAKO
8:22
UKAGUZI GARI
13:04
NFDC TV
Рет қаралды 3,6 М.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 34 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 35 МЛН
MICHORO NA ALAMA ZA BARABARANI
5:21
LatraTV
Рет қаралды 16 М.
JFUNZE KUENDESHA GARI AINA YA SCANIA R420 KUPTIA SIMU YAKO
8:30
MAYO ONLINE
Рет қаралды 41 М.
UCHAMBUZI WA MITIHANI YA UDEREVA
7:49
Diego film pro
Рет қаралды 23 М.
USIPOFANYA HIVI GARI LAKO LITACHEMSHA/UTAUA INJINI
15:13
5gear official
Рет қаралды 8 М.
Mtanzania Daktari Bingwa USA 🇺🇸 aliyesoma Harvard University
12:55
USAFIRI WANGU
11:59
KYANDO MOTORS TV
Рет қаралды 26 М.
JE? ENEO GANI SAHIHI KULIPITA GARI LA MBELE YANGU? (OVERTAKING)
6:55
Katoto Driving School
Рет қаралды 5 М.
Usalama barabarani
6:22
Masjid Mufti Issa Shaaban Simba
Рет қаралды 90 М.
ZIJUE ALAMA ZA USALAMA KWENYE GARI LAKO
14:55
KYANDO MOTORS TV
Рет қаралды 74 М.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 34 МЛН