Hapo nimekuekewa ndio mana mdg wangu R ukimpa kuku yaani wanataga kupata vifaranga na vinakua vizuri masha allah
@Zlfa-y2p10 ай бұрын
Tatizo maneno mengi unsmakiza bando langu tu we vipi
@rehemamshana83522 жыл бұрын
Ohh yes nimekupata..
@tunsumemwajumba71492 жыл бұрын
Asante kwa mafunzo mazuri
@bernadethamrutu7408 Жыл бұрын
Mfano mwenywe jina b yy Yuko kwenywe kundi lipi
@FrankFidelis-t8f5 ай бұрын
Ila punguza maneno mengi
@veronicahaule40163 жыл бұрын
Ni kweli tunahuruma lakini hatuna bahati nifanye je
@dismasmara93452 жыл бұрын
Nashukuru sana,ilabado naitajikua zaidi
@rashidiramadhani81983 жыл бұрын
Ahsante kwa kuendelea kuchambua heruf zet hasa R
@salomechikusi91603 жыл бұрын
Je mm mwenye jina la salome na weza kuolewa na mwanaume mwenye jina linalo anzia na herufi k
@khaiyamsimu-ko7rk Жыл бұрын
Maelezo mengi san kak
@peterwapesa79473 жыл бұрын
Asante sana somo zuri
@ufundinetwork86802 жыл бұрын
Stori kidogo point muhimu
@salomechikusi91603 жыл бұрын
Maana mm salome mume wangu anaitwa Kelvin
@veronicasabianus65353 жыл бұрын
Mmh nimependa ila unatoa maelezo mengi kuliko poit
@gshbnz43683 жыл бұрын
Asante sana sheikh wetu🙏🤝
@marialemi21772 жыл бұрын
Tatizo unaongea sana uelezi kilichopo kwenye kichwa cha habar
@rehemamalengas66773 жыл бұрын
Asante kwa somo
@hinduabdalla55642 жыл бұрын
Mm ni herufi N na mwenzangu ni A mambona tunapendana sana sasa unanishauri vipi
@godfreymaijophales88102 жыл бұрын
uko vizur kiongozi
@bahatimwamasika69882 жыл бұрын
Nimezali 11 /06 nifanyeje biasharagani
@carolinekasha93962 жыл бұрын
Mm amakwel
@RUCKY_2 жыл бұрын
Kweli kabisa💯
@mzurzamzam18772 жыл бұрын
Walikum salam warahmatullah wabarakatu📖🖊🌍
@mikidadirajabu135710 ай бұрын
Naomba namba ya ko
@restipaul42863 жыл бұрын
Daaah kaka kwenye R hapo umeongea
@ramsikhamis70833 жыл бұрын
Sio poa aisee
@sizzle_tz5 ай бұрын
Nikiongo hiki
@rahamrahma62593 жыл бұрын
Asante kwa maalifa
@bahatimwamasika69882 жыл бұрын
G na B zinaendana
@ybmtaakwamtaaofficial34152 жыл бұрын
Mashaalah
@hadijangina70253 жыл бұрын
asalamualekum
@restipaul42863 жыл бұрын
Daah
@magdalenaisrael34323 жыл бұрын
Asante
@mariabenedict3283 жыл бұрын
Tatizo unachukua mda kwenda kwenye point
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Tumelipokea
@asiangasa23723 жыл бұрын
Yn hadi bando linaisha
@mariabenedict3283 жыл бұрын
@@asiangasa2372 acha tu
@frankbujiku94962 жыл бұрын
Ok
@maliamhotimaliamhoti53023 жыл бұрын
Mimi ni M nifanye kaz gani
@fatumarashid51263 жыл бұрын
Mashaallah mm hapa nilikuwepo ofisin hapo juzi tu.
@rehemamalengas66773 жыл бұрын
Ofisi zenu zipo wapi
@florakihwele91832 жыл бұрын
Isee unaongea nakurudia rudia. Point mwishoni
@reedycarl87613 жыл бұрын
Ubarikiwe
@rajabdihomber61463 жыл бұрын
assalam alaykum sheikh . ahsant kwa some , naitaji kujua mimi R mkewang Z VIP maisha yetu? yaan manufaa
@mzurzamzam18772 жыл бұрын
ZINAENDANA..👌
@denicchemba49523 жыл бұрын
mimi ni D nifanye kaz gan na nimuowe nan?
@rahmahamad27183 жыл бұрын
Asalam alaikum sheikh herufi R na S wakifunga ndowa inafaa
@muranisalim35722 жыл бұрын
R s hmm hatari
@salimajuma55303 жыл бұрын
Asante s n'a l nayo
@samiampawenimana343 жыл бұрын
Mimi jinaramgu rinanza na na E mume wangu naye ni I .naona unuanbie tunaendana na jw nyota ya zetu ni zaina gani na tunaweza vaa rangi gani
@raudhiamkwama39742 жыл бұрын
Tatizo unaongea saana njoo kwenye mada
@chibu7863 жыл бұрын
Kazi za afya je maalem
@aminafataki42633 жыл бұрын
Naitwa Amina nataka kujua niolewe na mtu Mwenye jina gani na nifanye kazi gani?
@beathalugoye69623 жыл бұрын
Je Kwa watu walio na majina mawili yenye herufi tofaut inakuwaje na ni mtu mmoja
@shawejiramadhani29223 жыл бұрын
Here we go
@shawejiramadhani29223 жыл бұрын
Maa Shaah allah..endelea kutupatia elimu
@floridahnaliaka85042 жыл бұрын
Nauliza watu enye herufi hizo wanaeweza kuowana
@nonolove13583 жыл бұрын
Naherufi N wanatakiwa kufanya kazi gani?
@mariambakari9963 жыл бұрын
Herufi H ipo katika kundi gani na inapendeza kujishughulisha na kazi zipi
@username-ey8qu3 жыл бұрын
shukran sanaa shekh Allah akujaze khery, endelea kutuelimisha
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Asante sana
@germainemariam6643 жыл бұрын
doctor mimi jina langu linaanza M ila bwana iko k sasa tutaishi ama nataka jibu
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
@@germainemariam664 mnaishi kwa changamoto sana ila herufi haziendani unaweza kuja ofisini kwetu kwa ushauri zaidi kumbuka lengo ni kuwapa maarifa
@abasiviguro35673 жыл бұрын
@@MAAJABU18TV mwalimu mim h wachumba wangu a na r yupi ananifaa
@chibu7863 жыл бұрын
Maalem kwa mfano Herufi R na F wakifunga ndoa inakuaje??
@felixyunji84892 жыл бұрын
Zinaendana ndoa itadumu vizuri kabisa
@rashidsalum11612 жыл бұрын
Jina langu laanzia na herufi R, mtarajiwa wangu aanzia na herfi m vipi hapo sheikh?
@marymolel616 Жыл бұрын
Pole maana haziendani kama mnapenda wote muombeni Mungu awajalie kheri
@salimahlokoh96993 жыл бұрын
Mimi nimeaza na s nimejaribu kuajiriwa kaziza nyumba sijaona faida.nmejaribu biashara bado. Kuolewa ata sijuu kunani
@MAAJABU18TV3 жыл бұрын
Unaitwa nani ?
@salimahlokoh96993 жыл бұрын
@@MAAJABU18TV naitwa saum wangeci
@hamisaramadhan46283 жыл бұрын
@@MAAJABU18TV ASLAMU ALAYKUM,MIMI NINA MAJINA MAWILI JINA LANGU LA KWANZA LINAANZA NA HERUFI (K)JINA LANGU LA PILI LINAANZA NA HERUFI (H) NAFAA KUOLEWA NA MTU MWENYE JINA LINALO ANZA NA HERUFI ZIPI?NA NI KAZI ZIPI NINAZO FAA MIMI KUFANYA NA ZIKANILETEA MANFAA KUTOKANA NA MAJINA YANGU,
@umibana67593 жыл бұрын
Naomba kujuwa M na K ndoa yao itakuwaje? Na wafanye kazi gani?