Allah awaongoze wote wanaofanya ibada hizo za kichawi na kishirikina😢😢😢😢😢👐👐jaman Amal gani hizi wanazofanya wenzetu Hasbunallah waniimalwakil
@ruthnimi21654 жыл бұрын
Amen Kwa Damu ya Yesu Kristo washindwe Kwa Jina la Yesu Kristo, Mungu awalinde na Damu ya mwanao Yesu Kristo munapo omba wachawi wakashindwa na kufa Kwa Jina la Yesu Kristo, Amen
@bintsalimalbimany53404 жыл бұрын
Lailahaillallah jaman mim niko huku naona tu basi mwil unasisimka cjui nyinyi mlioko huko😢😢😢Allah awalinde shwkh Salim na wote mliok kwenye msafar na sheikh Sheikh Salim Allah akuhifadh Subhanallah mim ata niambiwe nitapewa nitapewa mali ya aina gan siji huko Allah akbar kunatisha😩😩😩😢😢😢😢Allah azikubali dua zaks sheikh Salim Ammin ammin ammin👐👐👐
@longjuly2394 жыл бұрын
Amin amin amin
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin yarabal alamin
@king-am4 жыл бұрын
Mashallah sheikh Allah akuhifadhi inshallah na akuhifadhi kwa sote inshallah..
@IssaBacar-i2i3 ай бұрын
Allah akhbar mola mlezi kwa wote Allah awaandalie mwisho mwema inshallah.
@ayshaswalekh91974 жыл бұрын
Inatisha Allah atulinde na shari za wanga na wachawi na mashetwan wa kijin ameen in shaallah
@anitacizaa4134 жыл бұрын
Subuhanallah Allah akbar Shekhe Allah akulipe kheri kwajitihadayako . nasisi atuepushe na shari zawashirikina atuepushe.
@longjuly2394 жыл бұрын
Amin amin amin
@salmasaady37204 жыл бұрын
😲😲kumbe giningi ndio huko masheikhe hamuogopi panatisha sana allah anikinge nizidi kufanya ibada tu
@ahmedissa78824 жыл бұрын
MashaaAllah shekh Salum unamoyo sana
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Mashaa allah tabarakallah watamama umepotea Sana
@alimatambwe3402 Жыл бұрын
Allahu Akbar,Lailaha Ilallah Ma sheikh wetu Allah azidi kuwakinga InshaAllah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Leo wapili mashaa allah
@osamashakeeb71944 жыл бұрын
Allah awalinde masheikh wetu🤲
@ruthnimi21654 жыл бұрын
Amen🙌🙏🙏🙏😇
@aishasaid67494 жыл бұрын
Aamiin
@longjuly2394 жыл бұрын
Amin amin amin
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Lailahaillah Muhammad rasululah subhanallah mungu waangamizi wachawi wote
@longjuly2394 жыл бұрын
Amin amin amin
@ffed1876 Жыл бұрын
Subhana lmaliki l Quddus Mola atuhifadhi na mambo yao nawe akunusuru na ubaya wowote Aamin.
@furahamossi31994 жыл бұрын
Subuhanallah Allah akbar, duniani kunamengi,Allah akuongoze katika harakati zako akupe afya njema
@longjuly2394 жыл бұрын
Amin amin amin
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh
@saeedsaeed73814 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh Mardhia you went deadliest region may Allah grant you his fully protection Ameen yarab...Subhallah this region so creepy, scared, weird 😦🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@mohamedsiadi81444 жыл бұрын
Leo wa kwanza asante salum 🙏
@thuglifeforever70423 жыл бұрын
Subhaanallah dah turudi kwa Allah naona wengine ndo tunakimbilia kuswal baada ya majanga Kama haya
@vitukotv95604 жыл бұрын
Asnt sana kwa kutufungua kichwa chetu
@hawaosman43163 жыл бұрын
Masha Allah Allah akulinde sheikh wetu salum mardhiya Allah akujazie ilm na akupe qair in shaa Allah
Subuhanallah jamani kunawatu hawaogopi azabu za Mungu daa Allah atuepushe ALLAH ATAWALIPA KWA YOTE
@safiasaleh6692 жыл бұрын
Naona jamaa katoka mbioo ,KAZI ngumu io ila biiznillah shehe wetu Allah atamsaidia na atamlinda ktk pirka zake
@ummulkurthumabeid29144 жыл бұрын
Subhanallah wallah siku ya Kiana kunatisha wallah maan dah inasikitisha
@nasirshekhi60703 жыл бұрын
Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️
@salmasalim60554 жыл бұрын
Subhannallah 😭😭
@MesalimRashid Жыл бұрын
Amelaaniwa mwenye kumtumikia sheitani.laana z Allah ziwapate wanga wote.
@abdallahdulla35194 жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe nguvu zaid
@saudarasul96604 жыл бұрын
Sbhnaallah mwenyz mngu atuking na madhila ya mashetwan
@longjuly2394 жыл бұрын
Amin amin amin
@1964AliK4 жыл бұрын
Tunawashukuru. Tunaomba hili zowezi liwe endelevu mpaka giningi zote zimalizike Unguja na Pemba.
@salmasalim60554 жыл бұрын
Live giningi 😳 subhannallah
@aishasaid67494 жыл бұрын
Toba roho yangu
@msimbarashidkassimmsimbara40682 жыл бұрын
Shekhe si kweli kwamba wagagna wote wanaotumia vitamba vya rangi hizo ni washirikina na wana mahusiano na wachawi tusome elimu ya tiba tuwache kupotosha watu.
@yussufsuleiman19774 ай бұрын
Wewe ndie wa kusoma
@mulhazinzibar69124 жыл бұрын
Inalilahi wainailahirwajiun
@aishaaisha46953 жыл бұрын
Allah awayayushe washirkina wote Kwa utukufu wako
@ayishaayisha80533 жыл бұрын
Mungu atunusuru na majini
@ismailjuma36924 жыл бұрын
Soma iyyooo
@lutfiarashid87704 жыл бұрын
Na wallah mungu afanikishe mutokomeze maana dunia imekua chungu kwa sababu ya hao watu
@fatimaf52842 жыл бұрын
heee subuhana awa washawi jamni mihani
@barnabasanga75523 жыл бұрын
We unajuaje shekh au nawe umo
@aliamar44224 жыл бұрын
Shukraan
@maimunabakari16543 жыл бұрын
Looh kweli panatisha
@jumabeka12713 жыл бұрын
shekh kuna mtaa unaitw magogon kigambon dar es salaam njoo tunasumbuliw san na hao wachaw
@salmasaady37204 жыл бұрын
Kumbe giningi nikwenye mashimo uko nilijuwa giningi nikama uko fumba au nungwi kumbe nikwenye majani namashimo hamna uwoga 🙆🙈
@Namanda4254 жыл бұрын
Misukule je?inaishi Humo?
@watuhuru61283 жыл бұрын
Hii sehemu ya mizimu ya jadi aj sehemu ya uchawi tufanunulie
@TeamKRX4 жыл бұрын
Mimi uko na gari na nyumba mnipe mguu kichwani 🤣🤣🤣🤣siendiii kunatisha jaman
@chamikhamis4564 жыл бұрын
Mhh tumedanganywa leo kumbe giningi ndio huko duh cwez kuamin
@mtongajuma84352 жыл бұрын
Sheh kituo cha tiba kipo wapi?
@khadijaa8154 жыл бұрын
Mh naangalia huku tu nasisimka mwili sendi apo ninfekusubiri ukoo
@malota21383 жыл бұрын
Hahaha naend usiku hapo nasmama na vesp usiku kma mda wa saa4 ivi hamn chochote apo
@ayishaayisha80533 жыл бұрын
Umesha sema watakuja tena hapo.omba kimya wakija wande
@ameryharoun72233 жыл бұрын
Sasa kwa nn hutaji sehem
@JackSparrow-bu8tj4 жыл бұрын
Kiboko wa subiani kweli huyo
@malota21383 жыл бұрын
Shekh unazingua giningi iko pemba jipange uje uku ndo kuna magwiji kwamagwiji uku
@omaromy65834 жыл бұрын
Hio giningi ipo sem gani Unguja/Pemba/am tz bara? Mbona hamsemi kitu
@aishasaid67494 жыл бұрын
Hii ni Unguja naona kam sehemu za pwani huko
@malota21383 жыл бұрын
Pemba chambani
@ashashaphy94133 жыл бұрын
Heh mpk kuogop jamanii
@mayaindeed48644 жыл бұрын
Kwaninavyo ogopaga mm nahisi mngenikuta kwenye gari 😃😃😃 hakuna namna
@rahmaomary51343 жыл бұрын
😁😁😁😅😅
@hassanturky75114 жыл бұрын
Sasa Kama mshaijua si kapigeni rukya. Muwauwe tu hao majini wanadhukumu watu tu
@AM-xi4sy4 жыл бұрын
hapa wapi? si machomvi cave hii dimani
@abburakkaan56943 жыл бұрын
Hapauzwi hapo?
@mariamaussi4683 жыл бұрын
Sasa ulijuaje kma wanakaa hapo
@aishasaid67494 жыл бұрын
Subuhannallah
@msimbarashidkassimmsimbara40682 жыл бұрын
Usiunasibishe uganga na uchawi acha upotoshaji mganga kweli hana urafiki na wachawi ni maadui wakubwa kabisa mganga ana tibu na mchawi ana sibu kama unaongea mada ya shirki fafanua watu wakuelewe sio kupotosha
@fatmaabdalah70073 жыл бұрын
Wachawi wanaumiz watu hatuendelei tumechok
@abdullahalhabsi93323 жыл бұрын
Kwa nini mnawacha makao yao salama? Kwa nini msichome hivyo vitambaa vyao vya rangi nyeupe na nyekundu? Kwa ni nini msiipige moto hiyo sehemu yao ya kufanyia uchawi na wanapokutania? Inaonyesha bado mnawalinda na mnawaogopa !
@fatmanassormohd80713 жыл бұрын
Nenda ww
@hamisiomari66454 жыл бұрын
Ukija kwetu pemba tunakumaliza na ww
@saidkipaji62854 жыл бұрын
Kumbe mchawi na wewe una mmaliza nani
@hakimhakim96313 жыл бұрын
Kumbe nawe ni chawi
@Awatee3 жыл бұрын
Subhallah Allah atufihadh na atulinde hakiwezi kufanyika kitu bila ya ALLAH msiba