#ZoomZanzibar

  Рет қаралды 3,217

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Күн бұрын

Mjadala wa wiki hii kwenye Gumzo la Ghassani ni kumbukumbu ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuangazia nchi ilipotoka na inakoelekea.

Пікірлер: 26
@adamyussuf1678
@adamyussuf1678 Жыл бұрын
Yaarabbi watilie nuru ndani ya makaburi yao waislamu wote waliodhulumiwa roho zao na nafsi kutokana na mauaji ya 12/01/1964 inshaallah
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Shukrani tena kwa kutudhihirishia ukweli wa taarekh ya Zanzibar iliyofichwa kuhalalisha Vita Vya Msalaba na sababu ya Tanganyika kuitawala Zanzibar baada ya Ukoloni wa Uingereza. Munamfuata Mtume Muhammad (SAW) kwa sababu zama zake, Watu wa Kitabu (Mayahudi na Wakiristo) walificha ukweli mwingi kuhalalisha lengo lao na Allah aliteremsha aya ifuatayo: "Enyi watu wa Kitabu (Mayahudi na Wakiristo)! Amekwisha kufikieni Mtume Wetu (Muhammmad), anayekudhihirishieni mengi mkiyaficha katika Kitabu." (Qur'n; 5:15). SABABU ZA TANGANYIKA KUTAWALA ZANZIBAR Mtoro Rehani Kingo, Mziguwa wa Tanganyika alikuja Zanzibar na akwa Mwana Muzeka. Alianzisha gazeti la AFRIKA KWATU na kuwa Mhariri wa kusambaza siasa za Propaganda, Chuki na Ubaguzi dhidi ya Wazanzibari na Zanzibar isiwe huru baada ya Ukoloni wa Kiingereza: 1) Zanzibar katu haitotawaliwa na Wazanzibari. 2) Lazima Zanzibar itawaliwe na Watanganyika baada ya Uhuru Kamili wa Zanzibar. 3) Watanganyika wanapinga Serikali ya Umoja wa Makabila ya Kitaifa. 4) Lengo la Watanganyika ni Serikali ya Waafirika (Watanganyika) kama Gold Coast (Ghana). Hayo yalifafanuliwa kwenye gazeti la (Waafirika (Watanganyika) walioishi Zanzibar: "Sisi (Watanganyika) kunawahakikishia wale wote wanaojiita Wazanzibari kwamba Serikali Huru ikipatikana kwenye Himaya hii (Ya Waingereza), hakuna chochote kitakachokubaliwa kisichokuwa Dola ya Kiafrika (Kitanganyika). Pia (Watanganyika) tunapinga Serikali yenye makabila yote hapa Visiwani. Tunataka Zanzibar kuwa Dola ya Kaifrika (Kitanganyika) kama Gold Coast (Ghana). Kwa hivyo, marafiki zetu (Washirazi, Wahindi, Wangazija na Warabu) wasisahau kwamba lengo letu (Watanganyika) ni kuwa na Serikali ya Kiafrika (Kitanganyika) na sio Serikali ya Kizanzibari." (AFRIKA KWETU; Mei 5, 1955). Godfrey Mwakikagile alimnukuu Andrew Nyerere, mtoto wa Julius Nyerere kusema ya kwamba "Rais Nkwame Nkrumah wa Ghana na Mfalme Haile Salassie wa Ethiopia waligharamia Mapinduzi ya Zanzibar." (Source: Godfrey Mwakikagile (2005).Nyerere and Africa: End of an Era. Protea Publishing. p. 5]. BAADA YA MAPINDUZI 1) Baada ya Vita Vya Msalaba (Mapinduzi Matukufu), Mtoro Rehani Kingo alikuwa Meya wa Kwanza wa Zanzibar. 2) Kadhalika baada ya Vita Vya Msalaba (Mapinduzi Matukufu) Skuli ya Sekondari ya Beit Rais iliyojengwa kabla ya Uhuru wa Zanzibar (1963), ilibatizwa kuwa Nkrumah College. 3) Skuli ya Sekondary, maarufu Ean Smith Madrasa (ESM),iliyojenggwa kabla Vita Vya Msalaba (Mapinduzi Matukufu) ilibatizwa kuwa Haile Selassie Secondary School. TUTAENDELEA INSHALLAH
@buchbeats5337
@buchbeats5337 Жыл бұрын
Mjadala miaka 59 ya Genocide Zanzibar honestly.
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 10 ай бұрын
Kila la moja ataulizwa alichokichuma
@h77-f8m
@h77-f8m Жыл бұрын
Zanzibar inapigwa vita Kama Somalia kwasababu ya Dini yake hilo halina mjadala
@iddyramathan4507
@iddyramathan4507 Жыл бұрын
Tiki
@moa4122
@moa4122 Жыл бұрын
100%
@venslausblaise507
@venslausblaise507 Жыл бұрын
Kwan Somalia kuna Waislamu wengi kuliko Saudia? au Iran??
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
Shukran sana
@h77-f8m
@h77-f8m Жыл бұрын
Professor ameaongea maneno mazito na ni kweli tupu
@salyali7807
@salyali7807 Жыл бұрын
Hilmi napenda fikra zake na mchango wake
@gangmore9091
@gangmore9091 Жыл бұрын
Mwambieni babu duni na wezake kuhalalisha hayo mauwaji kila kwenye mkutano anasema mapinduzi yamefanywa kwa ajili y kuleta usawa wambieni ACT wamseme ukweli kuhusu Mauwaji yalofanyika kwenye mikutano yao coz wanakutana n watu wengi Babu duni n wezake waache kuhalalisha mauwaji naomba hi message yangu uwambie hilmi n wezake wapo karibu n viongozi wa ACT waseme kwa viongozi wambie wananchi ukweli
@h77-f8m
@h77-f8m Жыл бұрын
Mauaji hayana utukufu
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Maelezo ya Profesa Ibrahim yana ukweli mtupu unaofichwa kuhalalisha Vya Msalaba ili Tanganyika kuitawala Zanzibar na lazima kufichuliwa. Wabara walioishi Zanzibar hawakujjnasibisha na Zanzibar wala Tanganyika bali Wahamiaji wa Afrika. Walianzisha African Immigrant Workers Association (AIWA) na wengi ni Wakatoliki kutoka Tanganyika: 1) Herbert Barnabas (Rais) 2) Adrian Benjamin Boyd (Katibu) 3) Augustino Ramadhan 4) Henry Kereza Sheldon 5) George N. Masudi 6) Precenton Atufigwere 7) Paul Seme Sindi 8) Sgt. Athumani Juma (Zanga) 9) Mwajuma Majaaliwa (Koja) 10) Henry Shaabani 11) William Nobel Limo 12) Bibi Daria A. Billy 13) Rajab Abdulla 14) Bakari Nora Florian 15) Grace R. Limo 16) ibi Salima Mtumwa Hassan (Source: Juma Duni Haji. U-AFRIKA AU U-ZANZIBARI) Rais Herbert Barnabas alijiuzu baada ya Waingereza kumwambia aeendelee kuwa daktari wa vidonda au awache Chama na kikawa African Association (AA), Abeid Amani Karume , Mzaliwa Wa Nyasaland (Sasa Malawi) akawa Rais na Mtoro Rehani Kingo Mzeguwa, mzaliwa wa Tanganyika akawa Makamo: 1) Abeid Amani Karume (Rais) 2) Mtoro Rehani Kingo (Makamo) 3) Abdullah Kassim Hanga 4) Ibrahim Sadala Akida 5) Bakari Jabu 6) Mtumwa Borafia 7) Rajab Suwedi 8) Ali Juima Seif 9) Saleh Matepe (Source: Juma Duni Haji. U-AFRIKA AU U-ZANZIBARI TUTAENDELEA INSHA ALLAH
@venslausblaise507
@venslausblaise507 Жыл бұрын
Tumekusikia Mzanzibar kutoka Oman
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
1) Wakati wa Rais Abeid Karume (MAPINDUZI BABA) 2) Kupinduliwa kwa Afro-Shirazi Party (MAPINDUZI DAIMA) 3) Kupinduliwa Umakamo wa Kwanza wa Muungano kwa Salmini Amour (MAPINDUZI MATUKUFU) 4) NINI KITAFUATIA BAADAE?
@iddyramathan4507
@iddyramathan4507 Жыл бұрын
Hizo ndio huwa kila baada 5
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 Жыл бұрын
Màtatizo ya ZANZIBAR NI mfumo wa MUUNGANO na Sera za CCM
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@mwigaadam1179.Tatizo ni MUUNGANO.
@venslausblaise507
@venslausblaise507 Жыл бұрын
Kusema sherehe za uhuru wa Zanzibar zilikuwa zenye kufana na kupendeza ni za uongo na kupuuza kabisa
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Wanasherehekea kutekwa kwa Zanzibar kwa faida ya Chama Cha Kanisa (CCM) na Tanganyika.
@venslausblaise507
@venslausblaise507 Жыл бұрын
@@khatibal-zinjibari6956 Ndo akili zako izo zilivyo!
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@@venslausblaise507Muislam na Mzanzibari kindakindaki ana akili hizo kwa sababu Zanzibar ilikuwa nchi peke yake ya Kiislam katika Afrika Mashariki na Makao Makuu ya Pan-Islamism (Kabla ya Pan-Africanism) mpaka kupinduliwa na Wafuasi wa Afro-Shirazi Party (ASP), iliyoundwa na Mkatoliki Julius Nyerere kwa faida ya Ukiristo na Tanganyika: "The aim of ASP to sell this country to Tanganyika, bring Christianity into Zanzibar and destroy the Islamic religion." [Michael F. Lofchie (1965). Zanzibar: The Background to Revolution. Princeton University Press. pp. 207-208].
@venslausblaise507
@venslausblaise507 Жыл бұрын
@@khatibal-zinjibari6956 Kwan Kuna muislam amezuiwa kwenda msikitini hapo Zanzibar? Hata uku Tanzania Bara?
@venslausblaise507
@venslausblaise507 Жыл бұрын
@@khatibal-zinjibari6956 Tena uwa mnasema wamakonde wa kipumbwi ? Mngesema tu Waislamu wa Mtwara
لماذا تحريرها كلها ممكن؟ - بودكاست مع تميم
3:46:56
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 44 МЛН
«Кім тапқыр?» бағдарламасы
00:16
Balapan TV
Рет қаралды 187 М.
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 27 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
MUDA scam, Modi in USA, Trump vs Harris | Hafta 504 FULL EPISODE
2:06:21
TUFUNUWE KITABU (SILSILA 28): Revolution in Zanzibar cha Don Petterson
1:28:36
The Sound Narrative: The Preservation of the Qur'an in Sunni Islam | Dr. Ali Ataie
3:02:21
Muslim Community Center - MCC East Bay
Рет қаралды 218 М.
Pitio la Kitabu: Baraza ya Majestic na Machinjioni kwa Bamkwe
44:03
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 13 М.
TUFUNUWE KITABU (SILSILA 12): Revolution in Zanzibar cha John Okello
1:03:39
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 44 МЛН