Shukran Mhe. Ismail kwa kutuzindua na kuijua nchi yetu na kumjua Bw. Mshangama.
@azizamri15222 жыл бұрын
Ninawashukuruni sana kwa kuweka wazi njama za makhabithi wa Kingereza na kibaraka wao. Mwenyezi Mungu ndiye anaelipa.
@KassimUmeya2 жыл бұрын
Alhamdulilah Mashaalwahu Allah Subhana Wataala Awajaalie Kula la Kheri na Awape Afya Njema Inshallah Ameen Yaarabbil Alaamin.Hongera ISMAIL JUSSA na Mohamed Kwa Elimu hii Muhimu , Allah Subhana Wataala Awape Hifadhi na Subra Muendelee na kazii hii Muhimu.Shukran Saum Makbul na Ramadan Kareem.
@Suleimansalum2 жыл бұрын
Asanteni kwakutusogezea kitabu chengine cha maulid mshangama. Mimi ssubiri iishe ni download napenda sana kuzirudi kuskiliza, najifunza mengi
@innocentman59542 жыл бұрын
Natamani kujua neno " Tanganyika" lilianza kujitokeza mwaka gn... Ntashkr sana
@ismailjussa76442 жыл бұрын
Inasemwa kuwa ni 1920
@saadnaim55182 жыл бұрын
Namtamani bwana riyadhi Abuu Said Allah Subhanahu Wataalah akubarilieni na akulindeni
@saadnaim55182 жыл бұрын
Maalim ghasan tunafaidika sana na tfunue kitabu hakika kitabu ni bahari ya elimu
@buchbeats53372 жыл бұрын
Ahaaa kumbe sababu ya watanganyika kuja kufanya Genocide ZNZ 1964 na hatimaye ZNZ kugaiwa kwa watanganyika ilikua Mistri!!! GOOD TO KNOW
@salimmasoud12532 жыл бұрын
Huyu a anafaa kuwa wakili wa serikali ya wazanzibari wala sio serikali ya mabeberu waliopo hivi sasa waliopewa na hao Waingereza.
@LovelyBubbleTea-vz4ol24 күн бұрын
Hila Al Busaidi Mct oman BADO JUSSANA GHASSANI MADO HATUJA MSIKIA SHEKH IBUN SALEH MIMI NAKUMBUKA AMAMISHA GARI LAKE AKANISAIDIA KUNICHUKUA MPAKA NYUMBANI KWETU AMPAPO PALIKUA MKUNGU NGWACHANI KAMA AMEFARIKI MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA AMEEN
@zingzong39282 жыл бұрын
Kumbe tatizo letu SI bara Bali ni khiyana za waingereza.
@LovelyBubbleTea-vz4ol24 күн бұрын
TUFUNUE KITABU INAEĹIMISHA JAMII YA WAZANZIBARI
@zingzong39282 жыл бұрын
Kumbe lengo lilikuwa ni empire ya Zanzibar ambayo ilikuwa ni tishio kwa mabeberu Hawa wa Dunia. Na inaonekana lengo lao ni kufuatilia mbalini empire hiyo ya Zanzibar. Ambayo ilianzia Oman hadi Mozambique.
@suleimanbadru819 Жыл бұрын
Kumbe huu ujinga wa kuwadhalilisha wazanzibari kuwapeleka bara kuwafunga ulianza zamani
@kassimhaji11412 жыл бұрын
Saivi Kamal Abdul nassir hayupo kwanini Hawa waengereza hawatuachi huru Mana Kuna shinikizo lao bado ndo Mana Kila miaka mitano tunashinda uchaguzi na ushahidi unakuepo lakini hatupewi na hata ukiwashtakia wao hawasemi kitu
@saadnaim55182 жыл бұрын
Wala hafai kuhadithi habari zilizoita bilakuzisoma
@shaabanmohammed26112 жыл бұрын
Ok well well well. Kama hali ilikuwa au bado iko hivo sasa nini tufanye? Tumeunganishwa ili tunyimwe tunyang'anywe tunyanyaswe na kudhulumiwa na baya kuliko yote ni kwamba hatuna wa kumshtakia. Tulieunganishwa nae ni akhas mkorofi zaidi na anatumia hiyo fursa alopewa ya kutudhibiti. Nini tufanye ili tutoke hapa tulipo?
@salimmasoud12532 жыл бұрын
Mm nauliza kati ya hao mabeberu yupo alie hai mpaka sasa?
@ismailjussa76442 жыл бұрын
Katika hao tuliowataja humu kupitia kitabu hichi ZANZIBAR: THE LAST YEARS OF THE PROTECTORATE cha Sheikh Maulidi Mshangama, hakuna aliye hai sasa.
@salimmasoud12532 жыл бұрын
@@ismailjussa7644 shukran sana Allah akuhifadhi
@yassirhkingyassirhking67202 жыл бұрын
Histor ipo vzur ila kwangu inaniumiza moyoni Allah awahifdhi woote viongozi wetu walio tangulia
@hilalal-busaidi40072 жыл бұрын
Namkumbuka Msshangama Kisiwani pemba
@jumaissaali27742 жыл бұрын
How can I get my copy?
@ismailjussa76442 жыл бұрын
Uagizishie kutoka Muscat kilikochapishwa au ununue kutoka Amazon 😂😂😂
@nassorkhamis70912 жыл бұрын
@@ismailjussa7644 atakwenda uyo ndio kwao ukoo namjua mm😄
@nassorkhamis70912 жыл бұрын
juma habar kaka umepotea
@jumaissaali27742 жыл бұрын
Nipo @nassor
@shaabanmohammed26112 жыл бұрын
Kwanini tusichagize madai ya Katiba mpya kubadilisha Mfumo wa Haki na Uwendeshaji wa Muungano tulionao? Kwanini tusipaze Sauti zetu kudai Haki zetu ndani ya Muungano. Ni wakti huu sasa SUK idai maslahi yake ndani ya Muungano bila kutetereka.