Worship in another level 🎉❤..... Kenyans weka like tukiabudu na huu wimbo🇰🇪
@suzannzuki695110 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@margaretnjoki945110 ай бұрын
Powerful. God bless you
@DianahKepha10 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Kajoba9 ай бұрын
@@margaretnjoki9451qq3
@jamesbarasa8086 ай бұрын
From Kenya we accept this art.Utukufu pokea bwana❤
@mwalimuanoldjonas129010 ай бұрын
Sauti ya Zoravo 😭😭😭 ,Mungu awezi kunyamaza ..kaka unaimba
@praiseandworship629310 ай бұрын
I don't know what you've been praying for or what has soaked your pillows with tears, but God has heard your prayers. Everything is going to be okay, and this is your confirmation. Right now, God is making a way for you.
@petergithinji22010 ай бұрын
Amen 🙌
@rahelkiula19889 ай бұрын
Amen😢😢
@ElizabethSaenyi-l5v6 ай бұрын
Amen 🙌
@dorothychepngetich50572 ай бұрын
Amen🎉🎉🎉
@djlegal2544Ай бұрын
@@dorothychepngetich5057 in
@nethanmapesa710910 ай бұрын
This is so powerful 🙌🙌 wapi likes za kenya 🇰🇪
@pastoryemmanuel543710 ай бұрын
❤❤🙌🙌🙇♂️ utukufu, heshima na shukrani zote anastahili Mungu wetu pekee
@omegawilliam10 ай бұрын
Nyie kizazi chetuu kitamwabudu Najivunia kuzalia kwenye kizazi hiki Ambacho Bwana Ameachilia Uamsho wa Sifa na Ibada ndani yake 🙌🙌🙌🙌
@njeriwamugoiri10 ай бұрын
Amina. Natambua hili na niliposkiza nilimshukuru Mungu kwa kupenda kizazi hiki.
@finiascharles916310 ай бұрын
😢😢 Asante YESU ambae umetukumbuka katika kizazi hiki cha Uovu😢😢....ila Rehema yako imeachilia Mioyo ya Ibada ndani yetu...ooohhhhh... Halellujah 🙌🙌🙌
@John-pv1xr10 ай бұрын
Hakika Bwana anaburudika asikiapo watoto wake tunamwimbia sifa katika Roho-UTUKUFU UPEWE BWANA
@irenepaul978910 ай бұрын
Hakika huu ni wimbo wa heshima kwa Mungu🙌 Tunaungane na wazee ishirini na wanne na wenye uhai wanne kukwabudu Bwana,pokea utukufu,heshima na sifa za mioyo yetu🙏
@christianmwabukusi81329 ай бұрын
Dhabihu ya Mungu ni roho na moyo wako uliopondeka
@Rosieyahaya10 ай бұрын
God bless you. Nyimbo zako zinanobariki sana san zinanifanya na mimi nipige hatua moja kwenda nyingine
@enemtv463710 ай бұрын
Wow god is full awesome imagine tuna madhambi mengi lkn raha that joyful from within..ooh thanks my lord
@ednasteven898310 ай бұрын
this is BEYOND .....UTUKUFU, HESHIMA, SHUKRANI pokea BWANA.
@jesintawanjiku320810 ай бұрын
Thank you Zoravo for yielding yourself, and allowing God to use you in this generation. Indeed He deserves all our worship. All glory, honour and power belongs to Him.
@eliyakiyogera9 ай бұрын
Oooh my God Utukufu Umezidi kwangu. Mungu Awabariki sana
@user-lg3vf7mf6r10 ай бұрын
Man of God.. broo Zoravoo Mungu aendelee kukungeza zaidi❤💪
@yudellezion96159 ай бұрын
Kenyans we agree 🇰🇪
@purityatienobunyasi776110 ай бұрын
You are not part of my life God, you are all that I want God😢
@oscarmvuyekule188510 ай бұрын
Hakika utukufu na heshima anastahili BWANA JEHOVA. nahisi kububujikwa na machozi wimbo Mkubwa Sana huu❤️❤️❤️🇹🇿👏👍🔥
@mukiilillian57110 ай бұрын
Wow....Wastahili Bwana wa mabwana🙏🙏 Wewe ni kila kitu kwangu Bwana🙏🙏
@veronicawavinya-n9c9 ай бұрын
Utukufu heshima shukurani...🎉❤
@RoseUrio-bl3dm10 ай бұрын
Utukufu,heshima, shuukranii Pokea BWANA ❤❤❤❤❤
@UpendoMbawala-cd7bz9 ай бұрын
MUNGU ni mwema kweli utukufu apokee yeye maana anastahili🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲
@morrismkuba57559 ай бұрын
Ameeen, soo deep worship any Kenyans in the house??,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏.
@alicejumaa8910 ай бұрын
Zoravo this is good bro continue with the spirit. I get you in kenya
@fredmutuma15949 ай бұрын
In this section of Scripture, the whole nation of Israel had turned its back on God and Elijah stood apart and all alone. His concern was for his people and that they should be following God. In this example, Elijah feels totally abandoned. No one shared his faith in God or stood for what he believed.
@peterlawrence47110 ай бұрын
another level of gospel music to the world ❤❤❤
@kipkiruigillie433210 ай бұрын
Zoravo you're highly favoured with good voice & good lyrics..... choir are on top.God bless you guys in extra ordinary ways...more love from Kenya 🇰🇪 mmnapendwa sana.. Bassist apokee salamu za kwangu wakiwa na lead keyboard 🔥🔥👍
@kamanapeter475110 ай бұрын
JESUS IS NOT JUST MY PART IS EVERYTHING TO ME.
@Bdesigner95_Fashions10 ай бұрын
🙌Mkono wa Mungu uzidi kuwa nawe Brother__Anastahili kwel yeye
@georgedavid83589 ай бұрын
🙏Hii ni Ibada kubwaa ndani yangu 🙌
@Wanzioka10 ай бұрын
The best song of the year,we give God all de Glory.
@lewandowskbrodas236010 ай бұрын
Always you are my model between singers in Tanzania #Zoravo.🇹🇿
@astoneluoga987010 ай бұрын
Utukufu heshima shukran pokea bwana
@anneharryson907710 ай бұрын
Woow the presence of God is so heavy in my house
@ibradokanbwoi247210 ай бұрын
Sina NENO zaidi Yesu atukuzwe #ni hatarii#ogopa
@monicahwarimumucheru-hakan43569 ай бұрын
Niko na kiu wa neno la Mungu , maombi na nashukuru Mungu naipata kutoka kwa this humble man full of humility!
@stannygeorgesp147910 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ALMIGHTY GOD YOU DESERVE ALL THE GLORY AND HONOR🧎♂️🧎♂️🧎♂️🧎♂️🧎♂️
@NzwallaNzwalla-t9v2 ай бұрын
Kama unajisikia kububujika au kutokwa machozi kama mimi LIKE hapa tujiungamanishe na ibaada hii🙇🙇🙇🙇
Powerful words ,,,very scriptural and articulate ,,,,MOG Zoravo God vless you
@victoriamoki834810 ай бұрын
Lord receive my praise, honour... You deserve it all...😭😭
@faithmwihaki-l9b9 ай бұрын
Powerful song...blessed hango is also a powerful minister
@stellamulenga753210 ай бұрын
Hallelujah..utukufu ni kwa Bwana
@DianahKepha10 ай бұрын
Thankyou Jesus 😢😢Amen🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
@NtunganeEric9 ай бұрын
Be blessed may lord continue strengthening you for worshipping him in truth and spirit
@TERESIAMTOLIHELA2 ай бұрын
Ubarikiwe sawa mtumishi wa mungu zoravoo❤❤
@isaacgara35289 ай бұрын
This song is God breathed❤❤❤
@lucymwaisela98836 ай бұрын
Wimbo mzuri kasoro kuchana kumeharibu wimbo
@mujowa532810 ай бұрын
Nami pia naungana nao wote mbele ya Kiti chako chako cha enzi mfalme mkuu nakuabudu 🙌🏿😭🙌🏿😭🙌🏿😭🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@rebeccaushind10 ай бұрын
Wooow your such a blessing to the Nations I thanks God to live up the fine man that loves Jesus uwinuliwe yesu
@Ministerlawrencesamwel10 ай бұрын
Nice song love you bro❤
@GastonMapenzi10 ай бұрын
That is an awesome shorship . all the glory to God
@keithmwambungu66259 ай бұрын
Waooooo powerful song and full of annointed
@purityatienobunyasi776110 ай бұрын
Such a worship. ❤ from Kenya
@puritymuthoni94619 ай бұрын
Wow amazing may God bless you man of God
@Palmtasteslove3 ай бұрын
From Toronto canada 🇨🇦 ♥️ ❤️
@Sinziful9 ай бұрын
So blessed by this worship to our great God!❤️❤️❤️❤️
@njeriwamugoiri10 ай бұрын
You are anointed to raise a sound for God and His kingdom. So powerful. More grace to you
@annejerine-fz2oy9 ай бұрын
You are not just a part of my life you are my everything oooh God
@PltLuckyGedion10 ай бұрын
Another Spirit filled worship song. He deserves all our praise and worship. More Grace Sir. Always Blessed by your songs.
@shadracklihawa2 ай бұрын
GOD bless you Brother, Be calm and be patient But keep it up, I love the way you used to Ministry
@FaithAtieno-er7eq7 ай бұрын
Upcoming GUC of Nigeria 😢😢😢thank you Lord.
@monicahwarimumucheru-hakan435610 ай бұрын
Oooooo shaleee shaleeee nimebarikiwa kweli kweli
@jeremiemukubi663710 ай бұрын
Mfalme Mkuu 🎉🎉🎉 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Glory, Honor, Tanksvings .. Receive oohhh Lord❤❤
@alicebukachi73717 ай бұрын
Thank you for being a vessel of revival in our times Sir Zoravo,God keep using you for His glory.
@shadrackmazige159310 ай бұрын
Mtumishi Haruni Great work, Great anointment Keep it up
@robertomonditv7 ай бұрын
Glory to God,naabudu nikiwa Nairobi,Kenya.
@mercywamunga296510 ай бұрын
Nakuabudu Mfalme Mkuu. Asante Yesuuuu❤ God bless this team and all lovers wa Zoravo.
@bestinashadrack708510 ай бұрын
🔥🔥🔥mfalme mkuu, unastahili Bwana😭😭🧘
@jacklinekiptanui2 ай бұрын
Utukufu na heshima ni zako bwana
@DorotheaMajenda10 ай бұрын
Jehovah you deserve all the glory
@yolitah529910 ай бұрын
So nobody's talking bout how smart they look❤!
@MagrethJackson-t1n8 ай бұрын
toa ujinga wako shetani ww
@jacklinekiptanui2 ай бұрын
But to be honest they look good❤❤
@Josh-mr8fp10 ай бұрын
Watching from Kenya.
@Ministerlawrencesamwel10 ай бұрын
Wa kwanza hapa
@ersenrwen70612 ай бұрын
now...this is a yes... the content is lit🔥
@phaynesschristopher70862 ай бұрын
Fañrc ujawai kutu angusha❤❤❤
@EliudHare2 ай бұрын
Hiyo rap imetoa uwepo wa hio nyimbo.... Watu wako deep in prayer en wanasikia sauti y rap stanza wat kind of worship....brooo zoravoo bravo u a kind of my role model singer continue serving the almighty God.
@lwimboderick74792 ай бұрын
yes.. hii rap imeharibu
@simplytafadzwa10238 ай бұрын
@Zoravo when are you coming to England??????? ahhhhhhhh this is God on earth indeed! the kind of fire God is pouring in Tanzania, I want to be part of it and if i have to fly to Tanzania, i will