SIRI NZITO NDANI YA MBINGU SABA | SHEIKH MSELEM BIN ALY

  Рет қаралды 26,927

Adil TV

Adil TV

Күн бұрын

Пікірлер
@LatifaAley
@LatifaAley Ай бұрын
Allah akuridhie insha Allah Sh Msellem...Aameen
@bakariomari9778
@bakariomari9778 Ай бұрын
Sheikh afuan. Allah akupe afya njema na umri kwa kutuelimisha .amiin amiin
@athumaniUmbwinde
@athumaniUmbwinde Ай бұрын
Allah azidi kukuhifaz na atuepushe na husda uzidi kutupa darsa
@roddybob6871
@roddybob6871 4 күн бұрын
Mashaalah walikutesa na kukufunga bure kwa ajili ya imani yako na kusema ukweli mungu akubariki n akupe pepo tukufu inshaalah
@AbdiNdayishimiye
@AbdiNdayishimiye Ай бұрын
Uyu sheikh ni bingwa kwa dawa kweli Allah akuhifadhi scheikh wetu
@KisakaShimbo
@KisakaShimbo Ай бұрын
Yaaa allah nakuomba umuhifadhi mzee wetu mwali mu wetu na shari za viumbe wabaya
@MwakaMosi
@MwakaMosi 12 күн бұрын
Amiin
@hanifa9153
@hanifa9153 Ай бұрын
My favourite 1 all the time be blessed❤❤❤
@ALIHASSAN-dx7ie
@ALIHASSAN-dx7ie Ай бұрын
Allah Akbar Sheikh wetu mungu azidi kukupa ufunuo utuelimishe Insha Allah 🤲
@MwanaidiKarenzo
@MwanaidiKarenzo Ай бұрын
Asalamualaykum kutokaburundi shekhe munguakuhifadhi akupeafyanyema aamin
@ALIHASSAN-dx7ie
@ALIHASSAN-dx7ie Ай бұрын
Mashallah Sheikh mchambuzi mzuri sana Mungu Amuifadhi Amiin 🤲
@angle3600
@angle3600 Ай бұрын
Mimi hujiangalia mimi mwenyewe vile nilivyo kutoka kichwani hadi kwenye ukucha wa kidole cha mguun, nikajua kweli uwezo wa Mungu niwa ajabu.
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 Ай бұрын
Asante sana kwa Darssa Shekh. Nimejifunza 🙏
@AbdallahMbena-t5k
@AbdallahMbena-t5k Ай бұрын
Barakallaah fiQ.
@abiomar1652
@abiomar1652 Ай бұрын
Mashaallah shukran sheich
@hamisially-c4x
@hamisially-c4x Ай бұрын
Mselem ndiye shekh bingwa na anaeleweka zaidi
@stellahmungure
@stellahmungure Ай бұрын
Mashaallah jazakallah kheir
@AbdullahisaBongole
@AbdullahisaBongole Ай бұрын
ALLAHUAKBARU MWENYEZI MUNGU ATUNUSURU
@RashidiIddi-nl3ep
@RashidiIddi-nl3ep 29 күн бұрын
Shekh Allah kampa ufasaa sana akulipe mwema.
@fikirigenda4044
@fikirigenda4044 Ай бұрын
Tabaraka llah Ahsan lkhaaliqina
@IbnHaroun
@IbnHaroun 21 күн бұрын
Allah Akbar Allah akuhifadh san
@NassormohamedNassor
@NassormohamedNassor Ай бұрын
Mungu ambarik sheikh wetu ni hazina yetu iliyobakia
@SalumKinye
@SalumKinye 2 күн бұрын
Kweli ww ni mwalimu ss wanafunzi tunakuelewa mungu akupe pepo inshallah
@ahmadjuma6083
@ahmadjuma6083 28 күн бұрын
Mashaa allah sheh
@butoyimariambutoyi1903
@butoyimariambutoyi1903 Ай бұрын
Allah akuzidishiye ilmu ya kheir tuzidi kupata faika Na Allah akujaliye mwisho mwema na waislam wote Aamyn ya Rabilalamin
@najmayahya21
@najmayahya21 16 күн бұрын
SubhanaAllah
@KisakaShimbo
@KisakaShimbo Ай бұрын
Semeni aamin
@idrissansereko6403
@idrissansereko6403 Ай бұрын
Sheikh Mselem nilikua sijakufatilia sana Japo nilikua nakuona nakuona kwenye KZbin Shukran sana Sheikh wangu umetupa elimu mkubwa Allah akujaze heri Mimi Nipo Rwanda nakuomba namba Yako ya WhatsApp tuna mswali tunaomba utuelemisheWabillah taufiq
@MussaBakil
@MussaBakil Ай бұрын
Mungu akujalie
@JumaSaidy-d5n
@JumaSaidy-d5n Ай бұрын
Alhamndullhah /alha akupe umr mref
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 5 күн бұрын
Allah Akbar
@fikirigenda4044
@fikirigenda4044 Ай бұрын
Aamin 🤲🤲🤲
@KhamisAbdallah-n3e
@KhamisAbdallah-n3e 17 күн бұрын
Aamiin kwa sote
@MohdOmar-j3p
@MohdOmar-j3p 15 күн бұрын
Ni kweli kabisa ni hakika maneno yako
@Hashim-p4d
@Hashim-p4d Ай бұрын
Mashaallah lahaula walaquwata ila bilaaa 😢
@MwakaMosi
@MwakaMosi 11 күн бұрын
Mja wa Allah huyu
@zamilmohammed2297
@zamilmohammed2297 Ай бұрын
ALLAH hu Akbar
@Juma-qd5eq
@Juma-qd5eq Ай бұрын
Fundi ,, usipomuelew huyu shekh bac huend ukapat tabu sana ,,shekh mselem fundi haswa wa kuifafanua Qurani ,, Ya alwah mpe pepo ck ya kiama inshallah
@FernandesPaul-v4u
@FernandesPaul-v4u Ай бұрын
Amin
@HusseinKibwana-y7f
@HusseinKibwana-y7f 21 күн бұрын
Sanaaa yan anaemchukia sheikh mselem bc akapimwe akili
@MwakaMosi
@MwakaMosi 12 күн бұрын
Yaani huyu shekhe nimejifunza mambo meng kutoka kwake alhamdulillah
@UmmyLubna-rp6rv
@UmmyLubna-rp6rv Ай бұрын
Tabaraka Llah
@LovelyEucalyptusTree-ui1cp
@LovelyEucalyptusTree-ui1cp Ай бұрын
Allah
@HassanSaid-p2l
@HassanSaid-p2l Ай бұрын
Huyu shekh anajua
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua Ай бұрын
Swali lngu wale wanaoenda mwezini je kweli halafu mwezi na mbingu ipi iko mbali hapo bado sipati picha
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Ай бұрын
In Shaa Allah fatilia kisa cha Miaaraj unaweza ongeza kitu
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua Ай бұрын
@jaffjeff6912 nauliza kuhusu Hawa wazungu ni kweli mwezini wanafika
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Ай бұрын
@HassanRamadhan ungeuliza hivi Mwezi upo mbingu ya ngapi na jua lipo mbingu ya ngapi
@WentExtinct
@WentExtinct 27 күн бұрын
Kasome suratul maarij Aya ya kwanza hadi ya nne utafahamu​@@jaffjeff6912
@AyoubMeja
@AyoubMeja 17 күн бұрын
Hakuna chombo chchte kitachoweza fika japo mbingu ya kwanza mpka kiama
@MustafaMagala
@MustafaMagala Ай бұрын
Naflai san mwalim
@AbdiNdayishimiye
@AbdiNdayishimiye Ай бұрын
Uyu sheikh ni bingwa kwa dawa kweli Allah akuhifadhi scheikh wetu
@zamilmohammed2297
@zamilmohammed2297 Ай бұрын
ALLAH hu Akbar
UTAKUJA KUJUTIA WAKATI WAKO UNAOUPOTEZA// SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:18:04
arkas online tv
Рет қаралды 43 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
KISA CHA WATU WA PANGONI
1:01:14
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 1,3 М.
BAADA YA MAUTI - SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:21:20
Arahman Tv Online
Рет қаралды 181 М.
KISA CHA NABII MUSSA NA HARUN | SHEIKH MSELEM BIN ALY
1:22:14
Adil TV
Рет қаралды 1,2 М.
HANA SALAMA MTU ASIYE SWALI MBE YA MUNGU | SHEIKH MSELEM BIN ALY
1:34:15
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН