SHK/SALUM MSABAH /YALIYOMO KWENYE MAULIDI YABARAZANJI TUNAMSWALIA SANA MTUME SIKWAKUJUWA MWENGEJUWA

  Рет қаралды 59,091

Adil TV

Adil TV

Күн бұрын

#AdilAbdallah #DarsaLaShekhShahran #SheikhMselemBinAly
Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza. Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246

Пікірлер: 103
@adeshrostom9905
@adeshrostom9905 2 жыл бұрын
Allah SW akulipe jazaa Kwa daawa unayoifanya, Allah atupe Pepo sote
@yayananajota5838
@yayananajota5838 2 жыл бұрын
Sichoki kumsikiliza shekhe wangu allah akulipe mema yote🙏
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 3 күн бұрын
Shehe cha pombe
@kherimakame212
@kherimakame212 Жыл бұрын
mashallah sheikh wetu nakufaham vizur mung akuoe umri mrefu uzid kutup elimu
@makapaabdallah7937
@makapaabdallah7937 2 жыл бұрын
Allah akulinde, akupe afiya na umri mrefu
@yahayaali7970
@yahayaali7970 2 жыл бұрын
Mashaallah ninakupende kwa ajilii ya aallah
@aliabdalla9236
@aliabdalla9236 Жыл бұрын
M/Mungu akupe umrimrefu tuweze kupata mafanikio makubwa katika maisha ya kiislamu waumini wote inshallah
@Chemba67
@Chemba67 2 жыл бұрын
ARBAAFOGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.....SHEIKH MSABAH UPO VIZURI SANA NA UMEISHI BARA NA KUPATA EXPERIENCE KUBWA MNO NIMEGUNDUA HILO KUPITIA MAWAIDHA YAKO......
@IbrahimNtirenganya
@IbrahimNtirenganya 4 ай бұрын
Allah akuongoze nivizuri kutojiziwiya kuendeleza kunogesha Ilimu ungeza kuzidisha kutafuta Ilimu umekoseya sana kusema kama sote pamoja na mashia nikitu moja ( nazani kulani walio Riziwa na Allah kwakudai kama kuriziwa kwao hakufai je ? Watu hao ni katika sisi)
@mariamsefu825
@mariamsefu825 11 ай бұрын
Maa Sha allah shekhe wetu
@ishakafaki3501
@ishakafaki3501 2 жыл бұрын
Mwambie shekh tunapendaa anavoo elezeaa na anavo wapa nafasii wauminii mwambieni aendeleeee hivo hivoo au zaid
@ishakafaki3501
@ishakafaki3501 2 жыл бұрын
ALLAAH AMLIPE KHERI NA MALIPO YALIO MENGII NASISI PIA TULIOHUDHURIA ELIMU HII
@talibsaid8081
@talibsaid8081 2 жыл бұрын
MashAllah MashAllah
@hajimuhidini1903
@hajimuhidini1903 Жыл бұрын
samahani irudie hadithi imeanza kila mmoja katika umawangu wataingia peponi isipokua atakaekataa ,,,,,,, kwahivo hiyo sehem ya mwisho ishaelezewa mwazo ndiomaana mtume swala llahu alaihi wasalama amemalizia atakaeniasi amekataa sasawewe unasema mtume hakusema ataingiamotoni wakati hadithi ishasema illa man abaa
@jumafaki2891
@jumafaki2891 11 ай бұрын
Kwani hufahamu kua wengine watakua kwenye ukingo ,aaraafu wamkosoa shekh vipi
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Suala la kutiana motoni tunalipenda sana badala ya kuombeana dua Allah atuongowe sote
@mussaissa6796
@mussaissa6796 2 жыл бұрын
Kumbi kumbi ni tofauti na senene Sheikh sio KItu kimoja
@ummuammar7680
@ummuammar7680 2 жыл бұрын
Ustadh mashia ni makafiri kwa ushahidi wa vitabu vyao wenyewe
@issaali7669
@issaali7669 2 жыл бұрын
Ndio kwanza leo nimuone sheh Musabaha akivaa kofia (Baragashia).
@omarykusah9719
@omarykusah9719 2 жыл бұрын
Mtume mhd (s w s) alipigwa mawe !!akaulizwa na Malika tuwafanye nin alicho jibu mtume aliwasameh huwenda haw vizaz vyo wakaw waumin Ila haw wezetu kanzu za cptula moton hay nenden nyny
@abaafarhat9191
@abaafarhat9191 2 жыл бұрын
Tafadhali usiandike jina la mtume hivyo ni haramu kwanza jina lake lenyewe umefupisha haileti maana bado kumsalia pia ufupishe
@jamalimakwega908
@jamalimakwega908 2 жыл бұрын
Maashallah
@jimjam4148
@jimjam4148 2 жыл бұрын
MASHA ALLAH.
@mohammedsaid4365
@mohammedsaid4365 2 жыл бұрын
aA
@yahayaali7970
@yahayaali7970 2 жыл бұрын
Mashehk wetu huwatia moton masehk wengine kwadabubu tu ya ndevu subhannaallah
@MohammedAli-zx6yh
@MohammedAli-zx6yh 2 жыл бұрын
Katik dini tunahitajia mashekh aina hii
@aliy3303
@aliy3303 2 жыл бұрын
Allah akulinde
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Жыл бұрын
Mashia si wealam
@sabraham5308
@sabraham5308 2 жыл бұрын
Jee Sheikh wetu adhimu,tunakuomba tukujue,wewe katika maoni yako,upo wapi katika upande wa maulidi,tunajaribu kukutafuta katika mahafali haya maulidi hatukuoni,au upinzani wako upo baridi,au huku wataka na kule wataka,naomba jibu sheikh wangu.
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 Жыл бұрын
Litakusaidia nini sasa... Chukua elimu inatosha
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
@@sadiqselengu4197 Sasa kama hukuuliza utachukua elimu vipi,kuuliza si ujinga,Ndo kupata kufahamu,tunataka kujua analolifata yeye,ili tupata kuelimika,kama hafahamiki anayoelezea katika kipi tukifuate,hiyo itakuwa ni elimu gani vipande vipande isiyokamilika,isiyokuwa na jibu?,unayoifahamu wewe?,Suala linakuja tena,jee yeye msimamo wake,anamsimamia Mtume kwenye maulidi?tunauliza ili tupate elimu, na tuifuate njia ya haki.
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 Жыл бұрын
@@sabraham5308 Kwan akiwa mtu maulidi huwezi kupata elimu kutoka kwake au akiwa mtu asihamasika na maulid huwezi pata elimu.. Hakuna elimu nyingine zaidi ya kumjua mtu ni wa maulid au wahabi??? Nw hana kosa..... ila Unataka ujue itikadi yake ili akiwa tofauti na wewe ili umkosoe.. na Huo jahili jamaa yangu badili fikra zako na ufuate nini mtu anatoa ktk elimu yao sio kumjua mtu nini anafuata ktkt minendo na itikati yake.
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
@@sadiqselengu4197 Sasa unatoka nje ya mada,sasa unanilisha dhamira kwa fikra na mawazo yako,kutafuta elimu kwa kuuliza,ikiwa unaitafuta njia ya haki,sifikirii kama ni vibaya,,watu walimuuliza mtume masuala ya kila aina,na haikutokea ikawa vibaya,na hio ndio sifa ya Uislamu,kipi kifichwe,kwa nini,kuitafuta haki ya kuifuata,nadhani labda kwa wewe kutokana na upeo wako wa elimu na kujifahamu ndio tatizo,na unaelekea katika fikra au dhana mbaya,mimi Ninachotaka kwa sheikh,.Nuru au mwongozo wa haki kutoka kwake,hilo sio kosa,narudia kuuliza si ujinga.
@samwaoo995
@samwaoo995 8 ай бұрын
Mtume ana sema tuswali kama yy alivyo swali je mashia wana swali kama mtume kama kweli wana mtaka
@KhubeybJandaal-uz4oo
@KhubeybJandaal-uz4oo 11 ай бұрын
Jahannam inawangoja wazushi
@leonardmbonea4117
@leonardmbonea4117 2 жыл бұрын
kaendelee na siasa we kopo unayepinga addawatu assafiyah
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Shekhe taratibu senene tena😳
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 2 жыл бұрын
Hiyo Hadithi ya mwisho ninaomba irudiwe darsa yake!
@Manyanyatv8551
@Manyanyatv8551 2 жыл бұрын
Wewe saidi haji haujasoma vzr Kwani Qur-an haijawatakasa maswahaba??? Mtu akiwatukana nakudai kwamba wali ritadi huyo hajaipinga Qur-an?
@mahmoudrubeya7876
@mahmoudrubeya7876 2 жыл бұрын
Mbona wenda kinyume na maana ya "kugoma". Uliifasiri kukataa katakata. Sasa wasema Mashia ni katika wa peponi, na mpaka leo wanaitakidi Quraan haijakamilika. Imam wao wa 12 ndiye alonayo hio.
@yahayaali7970
@yahayaali7970 2 жыл бұрын
Uliwah kua shia jarib kufuata mrengo wao n tofauti na inavyojazwa fitina na watu
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 2 жыл бұрын
Alosema ni ya uongo?
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 2 жыл бұрын
Je mashia wanamkubali Abubakar r.a, umar r.a, othman r.a kama ni maswahaba waongofu?? Vp kuhusu Aisha r.a na Hafsa r.a wanawakubali kama ni wake safi wa mtume s.a.w
@dazzwazenji
@dazzwazenji Жыл бұрын
@@Yu-jr9uf na mtume kasrm atawatukan maswahaba zake no km kamtukan mtume asa itakuwaj wawe waislam haw mbin Wanatuchanganywa
@awesusaid102
@awesusaid102 2 жыл бұрын
Hata Hawa vipepeo baadhi ya maeneo Pemba wanaita popo
@mdungikona1968
@mdungikona1968 2 жыл бұрын
Ndio hao watu wenye asili ya kigunya na kidigo
@trucking2298
@trucking2298 Жыл бұрын
Chizi
@kaslali2039
@kaslali2039 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nIavaKyZa5iafqs hukumu ya mke kumuekea sharti mumewe asiowe mke wa pili. arabic
@hudhairfaki1217
@hudhairfaki1217 11 ай бұрын
Hata iblisi kasoma sanaa lakini Leo yuko hali gani, na wewe sheikh umesoma lakini kwa ajili ya kuwaridhisha watu ili usionekane mbaya ila Bora uwe mtumwa wa haqy kuliko kuwa kiongozi wa batwili.
@jumafaki2891
@jumafaki2891 11 ай бұрын
Shekh unamuelezea hivo weye je kushajijua humshindi ibilisi Kwa chuki ulizo nazo
@hafidhsalum9149
@hafidhsalum9149 2 жыл бұрын
Shee ubwabwaa
@khubeybjandal7435
@khubeybjandal7435 2 жыл бұрын
Mashia makafiri boya ww, wanawatukana masahaba, pamoja Na kuivunja nyumba ya mtume, usipoteze watu, dini ni ya Allah, sema Haki
@ashamtumwa7226
@ashamtumwa7226 2 жыл бұрын
Bora shia kuliko ww
@musashelufumo3532
@musashelufumo3532 2 жыл бұрын
Mashia nimakafiri usitumike shekhe
@kherimkose3669
@kherimkose3669 2 жыл бұрын
Wewe ndio Kafiri, wangekuwa sio waislamu wasingeruhusiwa kwenda Hija.....Kwa sababu mji wa Makkah na Madina hawaruhusiwi kuingia wasio waislamu...ukafiri wao ataamua Allah sio wewe.
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
Kwani mtu akiwatukana maswahaba anakuwa kafiri ?? Km huna elimu bora unyamaze kimyaa ..... Kuwatukana maswahaba ni ufasiqi na ni ktk madhambi makubwa . Wala sio ukafiki . Na kuivunja nyumba ya mtume km unakusudia kwa maana ya udhahiri wake bas pia sio ukafiri .. Itakua ni uafiri km mtu ataipinga qur an km vile kumsingizia mama Aisha kuwa amezini kwa sabb atakua kaipinga Quran iliokuja kumtakasa ... Waislam tusiwe wepesi kuwahukumu watu na kuwatia ktk ukafiri kwasabb km sio kweli ukafiri unamrudia yeye mwenyewe ... والله أعلم ۔۔
@Manyanyatv8551
@Manyanyatv8551 2 жыл бұрын
@@ashamtumwa7226 Kivp?
@kherimakame212
@kherimakame212 Жыл бұрын
sheikh salum simtu wa maulid na anayafaham san maulud na ten kahifadhi milango yote na mtu akiend na kitab hicho anamfundisha na akialikwa mauludin anahudhuria vizur tu lakin yy simtu wa maulud lakin hawakataz watu wasisome
@ramadhankheir4793
@ramadhankheir4793 2 жыл бұрын
Ahlu bidaah
@MajutoRajabu-r9v
@MajutoRajabu-r9v 4 ай бұрын
Mjifunze maana ya AHLU bidaa,,maana yake ahlu nnari,, maana yake wewe ni ahlu jannatt.
@Manyanyatv8551
@Manyanyatv8551 2 жыл бұрын
Wewe shekhe mwanzo nimekuona kama wamaana ulipo ingia kwa mashia nimeona kua unatetea maslahi Aliekwambia kua shia ni muislam nani? Hivi wewe unaelim kushinda wana wachuoni kama ibun taymiya na othaymiin na ibun baazi nk. Walio wakufurusha mashia? Au unatetea maslahi wewe mzee allah akuongoze nasipia.
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
Wacha fitina Zako za uwahabi. Hao mashekh uliowataja wameshatolewa makosa na wenye elimu. Kwa hivyo usitie watu kwenye ukafiri. Allah ataamuwa na funguo za Pepo hawako nazo mashekh zenu kina Albany na wengineo.
@AbuuKhayraat
@AbuuKhayraat 2 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 Nani Waliowatoa Makosa Kwenye Hilo liliolezwa Na Huyo Akhy?
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
@@AbuuKhayraat Kazi yenu mawahabi ni kujibandika majina ya "Abu " Jina ulilopatiwa na wazee wako hulitakiTena ? Kukujibu suala lako Lita chukuwa muda mrefu na wakati huo wakukujibu Hao mashekh waliowatowa mashekh wenu makosa sina . Kama wewe ni msomi basi fanya utafiti. Kama wewe ni walee watu wanao fuata upepo kama bendera bakia katika ujinga wako . Maana nimegundua wafuasi wengi wa kiwahabi hawakusoma ni madebe matupu yasio kwisha kupiga mayowe.
@AbuuKhayraat
@AbuuKhayraat 2 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 Kwanza Nataka Nkuulize Swali:- Kwa Hiyo Mtume Naye Abal Qaasim Na Mkewe Ummu Abdillah (Japo Hakubarikiwa Kupata Mtoto) wamejibanfika Hawa? Au Kosa Letu Liko Wapi Kujiita Baba Fulani Baba Aisha Baba Zainab Baba Fadhili? Au Abuu Ndio huitaki wewe ianze kwayo? Usiandike Comments kwa Chuki Zikakusukuma Utapotea Na Utachukia Kitu Usichokuwa Na Elimu Nacho. *TANABAHI*
@AbuuKhayraat
@AbuuKhayraat 2 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 Ndugu Yangu Misingi Ya Ki Usoul Mbona Unaikiuka? Wewe Si Umeleta Tuhuma? Sasa Kipi Kinachokukwamisha Kushindwa Kuweza Kuzithibitisha au Tuhuma Zako Za Uwongo? Mbona Unaongea Kama Sio Msomi Uanombwa Ushahidi Unaanza Matusi Na Maneno Ya Kuingiana Maungoni. Usijivue Nguo zako Mbele za Watu Kaka Yangu. Jibu Hoja Kisomi.
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 2 жыл бұрын
Hiyo Hadithi ya mwisho ninaomba irudiwe darsa yake!
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 49 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 114 МЛН
ALLAH ATAONEKANA KWA WAUMINI TU SIKU YA QIYAMA
44:32
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 6 М.
NANI MUUMINI WA KWELI NOOR 62 - 64 SHEIKH SALUM MSABAH BIN MBAROUK
1:15:11
KISA CHA SAAD BIN WAQAS// SHEIKH OTHMAN MAALIM
39:35
arkas online tv
Рет қаралды 47 М.
WAJUE MAADUI WA UISLAMU: NASAHA ZA UST. #ILUNGA
18:25
Hudatz Tv
Рет қаралды 85 М.