ZUHURA SHAABAN ENZI ZAKE JE UNAZIKUMBUKA

  Рет қаралды 7,941

Tifu Tv

Tifu Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 11
@fatmaabdallah1149
@fatmaabdallah1149 Ай бұрын
Vp naweza kupata nyimb ya zuhura kufushwa pete si kuolewa
@KhadijaMzuri
@KhadijaMzuri 2 ай бұрын
Kumbukumbu ulipokua mtoto mpaka unazeeka😂😂😂
@MuneerAbdu-v9e
@MuneerAbdu-v9e Жыл бұрын
Zuhura hoyeee❤
@muichorekishagani1751
@muichorekishagani1751 Жыл бұрын
Kuna wimbo.wa Zuhura siusikii plus hebu utafuteni mtuweeke. "Kitumbua"
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 Жыл бұрын
Watu wakizeeka ndo wanakuwa wazuri 😅😅😅
@othmanalnabhany3208
@othmanalnabhany3208 9 ай бұрын
Mashallah pengine nawewe ukizeeka utazidi kuwa mtamu na mzuri ukhty sorry lkn
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 9 ай бұрын
@@othmanalnabhany3208mtamu tena makubwa
@manumeni5057
@manumeni5057 10 ай бұрын
Yaani hawakua na hijab,kwani zama za kale watu waliishi bila kutafautisha mkristo na muislamu naona,mbona hakukua na mitandio,alafu vazi ni suti ndefu kma Kawa,kwani kulikuaje
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
Ilikua uhalisia wetu wa Kitanzania kwa sasa wanaiga waarabu mpaka uhalisia wetu unapotea
@MohdMohd-y4w
@MohdMohd-y4w 2 ай бұрын
Mnajidanganya uhakisia gani wa utanzania Tafautisha kati ya sehemu ya starehe na nyumbani hivi leo miaka hii wanaokwenda baa na wakiwepo nyumbani wanakuwa na mavazi sawa
@fatmaally5530
@fatmaally5530 27 күн бұрын
​@@darajalakidatukilomgi2362sio kuwaiga waarabu ni sheria mwanamke kujistiri kwa imani ya kiislam
Nani Zaidi - Zuhura Shaaban
16:32
SANDUKU LA DHAHABU
Рет қаралды 5 М.
AKUTUKANAE
16:13
Bin Seif
Рет қаралды 73 М.
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
ENZI ZA HADIJA KOPA MWAKA  1990 ULIKUWEPO
12:47
Tifu Tv
Рет қаралды 16 М.
POWA MOYO WAKO POWA
15:03
Bin Seif
Рет қаралды 115 М.
East African Melody Modern Taarab - Ya Mbayana Imemuumbua (Official Video)
14:14
Taarab: Hakuna buzi
15:29
Swahili Taarab
Рет қаралды 70 М.
Kunionya Sikatai - Fatma Issa  Feat Leyla Rashid with East African Melody
12:56
WEMA UKO WAPI - ZUHURA SHAABAN THE BEST SONG EVER
10:38
dolphin tv
Рет қаралды 56 М.
Una Didi Dadi (Live) - Zuhura Shaaban
13:45
SANDUKU LA DHAHABU
Рет қаралды 10 М.
Sifedheheki Zuhura Shabani Taarab lyrics
12:56
Chamazi Music
Рет қаралды 22 М.