KIMENUKA; DR.SULE ACHUKIZWA WANAOMWITA MSHIRIKINA ATOA SOMO KUBWA KUHUSU VIUMBE VYA AJABU

  Рет қаралды 51,914

Maks Media

Maks Media

23 күн бұрын

Пікірлер: 634
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b 11 күн бұрын
Huuni mwisho wa DK sure kulingania uisilam AU mnaonaje like tujuwanr
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 7 күн бұрын
Ww sio mungu kusema ni mwisho sule kutangaza dini sawa hakuna atalike ujinga kama huu unao usema chunga tumeletwa dunia kumuabudu Allah binadamu na majini na binadamu aweza mtumia jini kwa njia ya sawa soma bro
@suleim505
@suleim505 7 күн бұрын
mawazo ya kijinga, ndiyo unafaidika nini
@OmanOma-xi3hm
@OmanOma-xi3hm 5 күн бұрын
Hatutak dini na masheytwani mashekhe wapowengi wenye elim
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 5 күн бұрын
@@OmanOma-xi3hm wataka dini na nani quran Allah kasema tumewaumba majini na binadamu kumubudu Allah sasa kama hutaki dini na majini hatukuelewi mana majini wamubudu Allah kama ww vile unavo swali nao wanaswali na kuna majini wengine wakiristo waenda kanisani hujui ww
@raymrash
@raymrash 5 күн бұрын
@@saba-gv3mj hakuna majini wakristo....hakuna Hilo jambo kwenye biblia ni huko huko kwenu
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 16 күн бұрын
Jini humuoni unajuaje kama huyu ni mzuri na huyu ni mbaya acha kutudanganya we sio nabii suleiman
@shukurually8769
@shukurually8769 10 күн бұрын
Ukisoma utaelewa iyo ni kazi watu wanasomea omba mungu yasikukute ila uchawi upo na mchawi anamtumia jini
@shawwalmsati3405
@shawwalmsati3405 8 күн бұрын
Wasemaje kuhusu aya iliyomo ktk surat albaqarah هو الذي خلق لكم ما السموات وما في الأرض ALLAH NDIYE ALIYEKUUMBIENI VYOTE VILIVYOMO MBINGUNI NA ARDHINI. Maana yake ni kwamba vyote vimeumbwa kwa ajili ya kumnufaisha mwanadamu. Malaika huwaoni lakini wanakunufaisha, upepo huuoni lakini wakunufaisha. Sasa kwa nini jini asikunufaishe utapohitaji kumtumia?¿ Muogopeni Mungu kuattack msvyovijua. Kwani sule haogopi Jahannam mpk ajiingize kwenye ushirikina?? Anaogopa sana pengine zaidi yako, ila anaendelea kufanya hivyo kwa sababu sheria yamruhusu kutokan na utaratibu unaotakiwa. Nyinyi ndo mnaowahukumia waislam tena WANACHUONI WAKUBWA wanaabudu makaburi kisa tu eti wameenda kumuomba mungu ktk maeneo ya makaburi.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 16 күн бұрын
Bado hajapatikana mtu sahihi wa kumuhoji. Kuna follow-up questions nyingi sana humo katikati, mtangazaji unahama na kurukia sehemu nyepesi, lakini zilikuwa sehemu nzuri za kupata ukweli zaidi wa anachokitetea. Dah!!!🤔
@habibiddy8096
@habibiddy8096 14 күн бұрын
Huyu janja janja nyingi hawezi kuruhusu watu sahihi kumhoji atakambilia tu kwa wasiojua wanaotafuta likes na viewers tu basi
@user-xz8mm5kt5m
@user-xz8mm5kt5m 14 күн бұрын
Kama kuna wakati alimtaja jina huyo anayemhoji (12:12), kumbe anaitwa George, sasa unategemea mtu kama huyu anajua misingi ya shirki kulingana na uislamu?
@NMJAsaid
@NMJAsaid 12 күн бұрын
Kwa sababu anaemuuliza hana ilimu ya kile sule anachokiongea, anahitaji aulizwe na msomi wa kiislamu. Huyu ni daktari wa wadudu
@tawfiqhamis
@tawfiqhamis 15 күн бұрын
unatakiwa utubie kwani kujinasabisha na kuzungumzia dini ya kiisilaam hali ya kuwa unalingania katika kufru na shirki hii ni hatari na upotoshaji na haya ni matunda ya watu kuacha quruan na sunna kwa ufahamu wa wema walio tangulia mwisho wake mnawapoteza watu katka njia ya sawa allah akuongoze ewe sule
@shawwalmsati3405
@shawwalmsati3405 8 күн бұрын
SOMA KWANZA KISHA UTOE HUKUMU. USIHUKUMU KWA KUKARIRISHWA
@tawfiqhamis
@tawfiqhamis 8 күн бұрын
Wee mweyewe utakujua mjinga ujui tawhiyd kama sule ndo maana unatetea uchawi na hii ni ishara kuwa uko mbali na quruan na sunna na aqual za ulamaa qadiyman wa hadiytha الله المستعان
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 6 күн бұрын
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
@yusufyusuf-br5qk
@yusufyusuf-br5qk Күн бұрын
Mtihan xana aisee Allah atunusuru atupe mwisho mwema yarabb
@user-wf9tx7yj6b
@user-wf9tx7yj6b 17 күн бұрын
Mzee sisi tunakupenda tunakuombea urejeye kwa Allah
@user-mr1sl6dd7g
@user-mr1sl6dd7g 11 күн бұрын
Sule utammiliki vipi jini pasina ya kua mshirikina jibu swali????
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 7 күн бұрын
Jini waeza miliki na usiwe mshirikina hata bin taymia alikua akitoa majini wabaya msome sheikh wenu ibn taymiyah
@FadhilKassim-qj8tc
@FadhilKassim-qj8tc 20 күн бұрын
Dr sule masala ya nyota pia niushirikina rasullullah amtufunza adhkar za asubuhi na jioni unakuwa strong mchana na jioni unaropokab2 huna Aya Wala Hadith
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 7 күн бұрын
Ahh na ukiwa baharini umepotea ukitumia nyota utakua umemshirikisha swali nijibu nijue kidogo
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 6 күн бұрын
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
@WitimaliTunduru-ho1hd
@WitimaliTunduru-ho1hd 2 күн бұрын
Fact
@aliali-ji9ym
@aliali-ji9ym 13 күн бұрын
Hii ndio hasara yakua mnafiq kwenye dini. Hatima yake mungu humuacha mkono na huishia vibaya
@user-iz7qw3iw5b
@user-iz7qw3iw5b 2 күн бұрын
Nakukubali dk Sule, asnt kw ufafanuz
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 20 күн бұрын
Yaani unajichanganya sana mala nawatuma majini mala wengine wabaya mala huwa nawatumia majini kweli wewe mtumwa wa majini unayahubili majini kuliko. Mungu mungu wa mbinguni hutuma malaika kutusaidia hatumii majini
@mussakarata6650
@mussakarata6650 15 күн бұрын
Mungu anaweza kutumia chochote akitakacho kwenda kwa mtu yoyote amtakaye na kwa mda wowote autakao sababu yey ndo kawaumba wote na hajiwekei mipaka kwenye kuwatumia ila tofaut ya malaika na binadamu ni kuwa malaika wao wapo na utiifu pekee juu ya mungu ila majini na binadamu tumepewa uhuru wa kujichagulia iwe tumuabudu mungu au tuasii. Mwishowe ktk Dunia binadam ndo kiongoz wa viumbe vya dunian so jiongez
@mwendajumbe6816
@mwendajumbe6816 18 күн бұрын
Huyo sio sheh wala hana ilimu ya dini anachojua ni ushirikina na udanganyifu ila mungu atamuumbua
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i 9 күн бұрын
Ndio jini yyte anaeishi ndan ya mwili wa mwanadam uyo anamuasi Allah ,,,
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 19 күн бұрын
Hivi waislam wenzangu hata kama hatujapata elmu ya kutosha vipi ikiwa katika maisha yetu kila mtu anatmia jini katika kutafuta kwake rizki? Namaanisha kila mmoja wetu awe na jini ambae anamtumia katika mambo yake hii dini itakuwaje ndugu zangu! Ni ushirikina ushrikina ushirikinaaaaaaaa
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 15 күн бұрын
Pole sana ndugu angu Yesu anakupenda
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 15 күн бұрын
@@charlesboniphace2249 Na mi nampenda pia kwasababu ni Mtume wa Allah ambae alimtuma kwa watu
@ibnhamduun3173
@ibnhamduun3173 15 күн бұрын
Kuna tafauti gani kati ya muabudu majini na wew unaemuabud mwanaume mwenzio​@@charlesboniphace2249
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 15 күн бұрын
Nyinyi waislamu ni washirikina
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 15 күн бұрын
Jini Super hili
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 15 күн бұрын
Tuombeni sana mwisho mwema. Huyu bwana sikuwahi kufikiri angefikia hapa
@user-vg6gp3bz1f
@user-vg6gp3bz1f 4 күн бұрын
Aaaamina ya Rabby 🤲
@zahranahmed4263
@zahranahmed4263 20 күн бұрын
Tumuombee arejee kwa Allah anakoelekea pabaya
@shadrackgwamwanza4987
@shadrackgwamwanza4987 20 күн бұрын
Ongera kwa kuona Muislamu mwenzio anavyopotea
@AbrahammamoMuda
@AbrahammamoMuda 17 күн бұрын
makosa sii yake ni qurani enyewe
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u 15 күн бұрын
njooo kwa yesu
@BinAliy
@BinAliy 15 күн бұрын
Kosa la Quran liko wapi????​@@AbrahammamoMuda
@ibnhamduun3173
@ibnhamduun3173 15 күн бұрын
​@@user-tz8zu2gt6u kuna tafauti gani kati ya anaemuabudu jini na anaemuabudu mwanadamu anaekula na kukidhi haja . Hatuwezi kumuamudu kiumbe mwenzetu sawa ni jini au yesu. Hamjielewi wakristo haifai kuabudu kiumbe jini au yesu
@NassoroomariPore-px4hs
@NassoroomariPore-px4hs 14 сағат бұрын
Kweli kabisa Dr sule
@nasrymashauri3559
@nasrymashauri3559 20 күн бұрын
Sio kweli huo,huyo ni mshirikina tu
@suleimanhemed9543
@suleimanhemed9543 22 сағат бұрын
Mzungu kaiba teknolojia kwa mungu duuuuuuuuuuh
@ManShube
@ManShube 15 күн бұрын
Uwongo mtupu dhwalimu
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 16 күн бұрын
Inna lillah wainnaa ilayh raajiuun.. Dr.SULE UMEIPOROMOSHA HESHIMA YAKO KABISAAAA.. HAKIKA UMETELEZA NA NAMUOMBA ALLAH AKUREJESHE KATIKA NJIA YA SAWA UEPUKE NA USHIRIKINA AMBAO UMEJITANGAZIA POLE SANA KAKA HUJACGELEWA TUBU KWA ALLAH TUNAKUSIHI NA KUKUNASIHI TUBIA DR.SULE NAKUSIHI NIJATHMINI UPYA HUJACHELEWA TAFUTA ILMU KAKA BADO UMRI NA AKILI VINAKURUHUSU SOMA TAUHIDI SANA KAKA NASUKITIKA SANA KWAKUA ULIKIA KIPENZI CHA WAISLAMU WENGI AKIWEMO MIMI ILA KWA HILI ULILOKUJA NALO NA USHIRIKINA WA WAZI KAKA ALLAH AKUO GOZE NA AKUOBESHE TENA NJIA SAHIHI AAAMIIN
@maulidi8479
@maulidi8479 16 күн бұрын
Tatizo unafiki umewajaaa nyie waja. Kwani uchawi hakuna? Kwani majini hakuna?
@aminasaid6555
@aminasaid6555 13 күн бұрын
​@@maulidi8479mnafki no moja ni wewe
@mohamedkeref9589
@mohamedkeref9589 12 күн бұрын
Kwenye hoja yake hiyo amekuaje mshirikina
@mohamedkeref9589
@mohamedkeref9589 12 күн бұрын
Tuitafute Elim ndio tuhukum maana mnamkufurisha sule ila mkiuliza ukafiri wake uko wapi hamna majibu .......halyastawi lladhiiiya ya alamuuuna walladhiiina laaa yaalamuun.jibu ni hapana na ndio kinachooonekana hapa
@BakariSilimu-im2qv
@BakariSilimu-im2qv 8 күн бұрын
Unajua kila mja anajiona yeye Yuko sahihi anasahau ukionyesha vidole viwili kwa mwenzio vitatu vinarudi kwako
@abuutwalha8796
@abuutwalha8796 2 күн бұрын
Mtume Muhammad Swallaallaahu alayhi wasallam ndio kigezo chetu na ndio tunamfuata lini alitumia jini kwa ajili kusaidia ktika kitu fulani vita vilikua vikali hkutaka misaada Kwa majini wala katika shida yoyote hakutaka msaada kwa majini bali alitaka msaada kwa allaah pekee
@adnaankhanbhai7057
@adnaankhanbhai7057 7 күн бұрын
We mshirikina mkubwa mja laana we sura kaa tundu la matako
@user-kr7ux2dw5l
@user-kr7ux2dw5l 15 күн бұрын
Kweli ukitaka kujua tabia ya mtu ngoja apate viela. Na kweli mbwa ukimjua kina hakupi shida. Du hahaha ha ha 😅😅😅😅
@sonofmary-ro2bt
@sonofmary-ro2bt 19 күн бұрын
Sule Wacha kuzunguka ww ni mshirikina TUbu uko na nfsi
@BON357
@BON357 8 күн бұрын
Docita sure nimekuwerewa xana
@anwardamnan3616
@anwardamnan3616 17 күн бұрын
Sule rudi kwa Allah kabla ya kifo .maisha ya dunia ni mafupi na kumbuka Allah ni mwepesi wa hisabu
@shifaaplusherbalmedicine
@shifaaplusherbalmedicine 15 күн бұрын
Usifanye ghinadi weye unajua wapi shetani mzuri vyovyote muogope Allah dicta sule uo Ni ushirikiana acha kutaka sofa kujiona unajuwa Jina tokea lini akampa MTU utajiri acha ushirikiana uo
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 19 күн бұрын
SHIDA,ukishashirikiana na MAJINI,kisha ukaupata utajiri wa KISHIRIKINA,wanakuzidishia KIBRI,ili ufe na KUFRU zao!
@OmarAli-wr1ti
@OmarAli-wr1ti 20 күн бұрын
sule nakwita ndugu yng Rudi kwa Allah uislam hauko ivo majini wazur hawawezi kushirikuana na binadamu Kubali umekosea omba maghufira Hakuna muislam yeyote atakaekuelewa na Uongo wako
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 10 күн бұрын
Allah atuongoze yarrabh. tumuombeni Allah sana
@salehekinui2975
@salehekinui2975 19 күн бұрын
Huyu jamaa ni mchawi Allah akuongoze
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 13 күн бұрын
Mshirikina Wewe unae Kufanya wewe ni Msomi wa Dini kumbe Mbumbumbu Mzungu wa Reli
@khalifamahondo191
@khalifamahondo191 20 күн бұрын
wewe ni Mchawi unatudhalilisha waislamu
@hamisimapoch884
@hamisimapoch884 20 күн бұрын
Kweli sule ni mchawii nimeani
@user-ed1cf9nq5w
@user-ed1cf9nq5w 15 күн бұрын
Tangu sule anze kujieleza hakuna ayah wala hadithi porojo tu😂😂😂
@Laizer3
@Laizer3 15 күн бұрын
Unafundisha upotofu
@barazasule9582
@barazasule9582 5 күн бұрын
Venye likuwa na heshimu huyu Dr,yaani sasa simuelewi anako elekea.
@lilmojr7
@lilmojr7 15 күн бұрын
Subhanallah dr sule umeacha kuhubiri ucha mungu sasa unaweka nguvu kwenye kuhubiri ushirikina na pete na majini? Allah akuongoze
@salehmohammedsalum2054
@salehmohammedsalum2054 20 күн бұрын
Ushirikina upotevu
@badimakka0016
@badimakka0016 9 күн бұрын
Subhanaa Allah mwisho wa ubaya aibu.wataumbuka wingi
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 16 күн бұрын
Umedanganya na umedanganywa mimi ni mkristo najua naish bila majini mm najua malaika
@EvanceMputa
@EvanceMputa 4 күн бұрын
Habari broo naitwa Evans nina kesi mahakamani nadai nyumba Yangu nilianzia baraza la kata akashinda nikaenda mahakama ya wilaya akashinda nimeenda mahakama kuu jaji akafuta ushindi wake na akanambia nifugue Kesi ya kudai nyumba mahakama ya wilaya kwani wakili wangu aliitaka high court kupitia upya mauzi ya mahakama ya wilaya n
@abdoumadiousseni4835
@abdoumadiousseni4835 15 күн бұрын
Tokahapo ww nimushirikina tu huwezi kuwaniji bila yakukupa mashariti ile umutiyi ww ukifanya ibada kwajili yajini uwoniwushirikina tu
@yasiniKingazi
@yasiniKingazi 16 күн бұрын
Acha kulopoka jini hajaumbwa Kwa ajili ya kumilikiwa na binadamu jini ameumbwa Kwa ajili yakufanya Ibadan
@drmahwa8166
@drmahwa8166 4 күн бұрын
huyo jamaa anakaribia kuchizika
@drmahwa8166
@drmahwa8166 4 күн бұрын
kachizika huyo
@ramadhanimziray4606
@ramadhanimziray4606 14 күн бұрын
"Majini wabaya ni wale wanao muasi Allah" Umesema vyema sasa wewe Sheikh unawezaje kumjua asiye muasi Allah ilihali mwanadamu mwenzako tuu humjui.?
@hawa6052
@hawa6052 15 күн бұрын
Hujanishawishi kabisa sule
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 20 күн бұрын
Sehemu za majini kuishi n kwenye mapango ,,,,baharini labda uwe waishi nao ww ila sio sisi ,,,,tena chakula Chao utakapo kula n usema Bismillahi kama nyama kwa uwezo wa Allah jini akija atakula ila atakacho kula ww huwezi ona acha bangi bana
@user-xn3gs9qc8u
@user-xn3gs9qc8u 17 күн бұрын
HUYU ANATAFUTA WATU AWATAPELI NILIKUWA NAMKUBALI KAMA SHEIKH KUMBE YUPO KINYUME NA DINI YETU YA KIISLAAM
@muuibrahim1805
@muuibrahim1805 11 күн бұрын
Subhanallah inabidi sheikh sule aachane na hii elimu mwenyewe sasa anaongea lakini kiundani unaona anapata shida kusadiki anayoongea km ni kweli qur an imeruhusu, huwezi jua jini mmbaya na mzuri kwa sababu hawaonekani Hawa viumbe na ni waongo hatari
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 6 күн бұрын
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..,Japo wengi wanafanya taqqiya kumpinga
@abdilahiriyami
@abdilahiriyami 14 күн бұрын
Shehee kaakitako uaangaliee kwa umakini unacho kizungumza kukubali jambo ambaloo uliwekeaa mkazo sio chida kurudi kutubia kosa
@RajabuKinyogori
@RajabuKinyogori 14 күн бұрын
Yan doctor rejea kwa Allah unaharibu dini ya kisilamu wakiristo na baadhi ya watu watafikiria Kuwa dini ya kisilam ni dini ya majin na inatumikiwa na majin tumia akili na dalili shehe
@user-os3is2gb4d
@user-os3is2gb4d 8 күн бұрын
Kuhusu kua kuna majini wazuri na wabaya ni kweli asili 💯 ukikataa ni mbishi tu
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 14 күн бұрын
Ni mganga toka zamani alijificha kwenye kimvuli cha Dini, Wewe ndo unaelimu mdogo Sasa si mshirika wewe
@Abdul-bq8ic
@Abdul-bq8ic 9 күн бұрын
Acha kuwadanganya watu we sule
@ewaldchambua
@ewaldchambua 16 күн бұрын
Jaman tuwe ni makini na watu kamahawa mana mungu hashirikian na majin ndio maana alifukuzwa kwenye ufalume wa mungu
@hamiskakandilo1176
@hamiskakandilo1176 6 күн бұрын
Kama huo siyo ushirikina basi wanazuoni wate hawakufaham maana sahihi ya ushirikina, na kwa nini Mtume sala na salam zimfikie hajafundisha? Mche Allaah ndg yangu, hiyo ni shirki akhy.
@NurudiniNdoka
@NurudiniNdoka 12 күн бұрын
Asante kwa Elimu nyenyekevu Doctor
@abulfidaamedia
@abulfidaamedia 10 күн бұрын
Huu ni upotevu kama ww ni mwislam kaulizie masheikh wengine au tafuta vitabu usome. Huu ni ushirikina wa wazi kabisa ndugu
@AbdallahOmar-bp8ij
@AbdallahOmar-bp8ij 15 күн бұрын
Muna tumia uislamu kwa kutafuta pesaa.. Lakini muta kwenda mbele za alwa kujibu.. Ficheni makucha tu
@khanafrica22
@khanafrica22 11 күн бұрын
Inaandikwa. ALLAH na sio alwa......na yeye ndiye mjuzi zaidi
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 6 күн бұрын
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
@alikurran150
@alikurran150 16 күн бұрын
We kama unaweza kuwatumia basi oa funga ndoa na dada wa kakake jini unaemtumia Acha uongo hakuna mwenye uwezo wa kuishi na majini hiyo ilkuwa ya nabii Suleimani sio sule.Hauna uwezo huo.Uongo tu.
@user-fb1vw8eh9w
@user-fb1vw8eh9w 14 күн бұрын
MUSHRIK MKUBWA WEWE!!!
@SwalehMsangi-yh3qq
@SwalehMsangi-yh3qq 8 күн бұрын
Subuhna llah,kumbe huyu jamaa mshirikina kweli
@raymrash
@raymrash 14 күн бұрын
ameshahalalisha kuwa anakaa na majini🤣🤣🤣🤣
@salimobeid1470
@salimobeid1470 20 күн бұрын
Utaftaji wa rizk kharamu huwa na fedheha nyingi sana rudi kaka angu sule katika haki na bora ufe masikini lakin si kula viapo vya majini kukupa mali
@user-em3uf8wz6r
@user-em3uf8wz6r 20 күн бұрын
Acheni mitazamo ya ovyo
@mussamtupa
@mussamtupa 18 күн бұрын
Pete ya Nabii sulaymani ilikua na jina la 100 la Allah.
@ibnhamduun3173
@ibnhamduun3173 15 күн бұрын
Acha abainishwe huyo mchawi Sule shekhe wako​@@user-em3uf8wz6r
@OmanOma-xi3hm
@OmanOma-xi3hm 14 күн бұрын
Anajibabaisha muongo japo kanizifi ellim anisamehe buret
@BakariSilimu-im2qv
@BakariSilimu-im2qv 8 күн бұрын
Kwenye Qu'ran si Kuna sura inazungumzia majini
@user-zm8nq6xv8o
@user-zm8nq6xv8o 15 күн бұрын
Acha kiburi kubali makosa
@salehekinui2975
@salehekinui2975 19 күн бұрын
Hiyo siyo tafsiri ya kuwajus Majin wabaya na wazuri Tafsiri sahihi ni jini mzuri hausiki na mafungamano yoyote na wanadamu wao kwa wao watafungama kwa maisha yao Na wabaya yeyote atakayeenda kinyume na sura hiyo niliyoieleza kwa nyongeza Hawa sura kuwa ni kule kuingia kwa wanadamu na kushirikiana nao ktk mambo tofauti wacha uwongo tubu kwa Allah huo uliona wewe ni fundi tu wa kuongea mtume anasema ktk ufundi wa kuongea na kubainisha Kuna uchawi
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 12 күн бұрын
Umejivunjia heshima kubwa
@nurorachide9992
@nurorachide9992 7 күн бұрын
Naomba tasfir ya ushirikina 🇲🇿
@mattarjaiskel4625
@mattarjaiskel4625 10 күн бұрын
Asichokifahamu Dr.Sule ni kwamba hawa majini huwezi kuwatuma bure lazima kuna biashara ifanyike na wao hawahitaji hela isipokuwa you have to soul yourself
@AbdillahiRamadhan
@AbdillahiRamadhan 5 күн бұрын
Nimekupata vzr dr sule
@user-tu1yi8fg7l
@user-tu1yi8fg7l 7 күн бұрын
Tatizo la huyu shekhe ni anajua Sana ila sifa zimemzidi nakujifanya kujua Sana kasoma Sana ndio kina mponza
@user-rg1fz7wr7p
@user-rg1fz7wr7p 15 күн бұрын
Nabii lukman anamwambia mtoto ktk quran... Ewe mwanangu usikaribie shirki hakika shirki ni dhulma niliyokua kubwa mno mbele ya Allah
@ibrasaid9256
@ibrasaid9256 10 күн бұрын
Luqman si nabii lakini wanaeleza wanachuoni alikua mtu mwema lakini hakua nabii
@user-oo1fs7lp6d
@user-oo1fs7lp6d 10 күн бұрын
Lukman hakuwa nabii na usiseme ivo ni makosa
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 9 күн бұрын
Huyu jamaa nuru imepotea kabisa ..sura imekua kama mla feg..
@EvanceMputa
@EvanceMputa 4 күн бұрын
Naomba kukuona Dr sulle
@SalmaSalmarashid
@SalmaSalmarashid 16 күн бұрын
Pole Sana sheh
@Fatma-up9qs
@Fatma-up9qs 12 күн бұрын
Achaneni na huyu Sule, atawapotosha sana.
@jumahamadomar9124
@jumahamadomar9124 4 күн бұрын
Freemason wamekuja kwa vitengo na style tofauti tofauti wengine wanakuja kama watu wa dini kumbe weeee
@NassoroomariPore-px4hs
@NassoroomariPore-px4hs 14 сағат бұрын
Na wale wanaoishi na Manyoka vp
@bakari52
@bakari52 12 күн бұрын
Sulley jiangalie vizuri, tafuta radhi za Allah. Kuna mahala ulikosea. Ulijificha muda murefu ila sasa umejidhihirisha. Nakuomba Sheikh wetu tafakari vizuri ulikosea wapi?
@EnthusiasticCows-rd5pu
@EnthusiasticCows-rd5pu 7 күн бұрын
Eti Kaaluuu, yani hata kutamka hajui .
@user-mt4sd6cj5y
@user-mt4sd6cj5y 15 күн бұрын
Kila tukiishii tuombe husnul hatima ulianza vzr sasa sheitwani ashakuteka.mchawi hana maana.mandhaladhi yashfau indauilabiidhini.....waislamu huu n msiba mkubwa ndio mana tz hamuishi mafuriko.
@MargaretKiema
@MargaretKiema 11 күн бұрын
Asante daktari
@leonceuwandameno6378
@leonceuwandameno6378 2 күн бұрын
Toboa dr. Sule, toboa.... tujue upande wa pili kukoje? Mana wakiambiwa wamrudie Yesu hawataki! eheèhe jini kafanyaje shehe...?
@Henryson-beats
@Henryson-beats 20 күн бұрын
Hakuna jini mzuri acha uchawi. Sisi tunajua malaika na sio majini
@shawwalmsati3405
@shawwalmsati3405 8 күн бұрын
Kwa hiyo waipinga Quran iliyosema kunamajini wema na wabaya??? Tubu kwa Mungu kwa kukataa kilichomo kwenye maneno yake ktk surat ALJINNI
@SheheKhamis
@SheheKhamis 20 күн бұрын
Subuhanalla Allah hamtumijini ktk utumwawakee ana majeshi yake ktk kazi zake sawa Sule sio jini yakh angelikuwa ni mtume sawa ila siyo jini kwenda kuchukua mambo ya nayokuja kweye lahi mahfzi akakuletea ww siri hiyo hiyo siuhalali bali ni ushirikina tubia sule hayo simambo mazuri bali nimambo mabaya kabisa unamzalilisha Allah na mtume wake unamzalilisha umati wake unaizalilisha dini yake
@aboudangot
@aboudangot 20 күн бұрын
Iyo elim ni ndef san kbs kama hujaelew vizur dokt sule anachokisem ni sahihi kbs majin wapo wazur na wabaya kama jins balivy kuw viumbe wa allah katika wanadam ata na katika majin ni ivo ivo ,someni vizur Ila hakun sehem inaruhus kuwatumikia ,n'a ushirikina ni kumshirikish Hao kuabudu kinyum na mwenyezimung ata n'a kweny wanadam unawez kufanya shirki tuache kwa majini
@aboudangot
@aboudangot 20 күн бұрын
Manak unatak kusem kuw na Nabii suleiman alikuw anafany ushirikina?? Mbon nae alikuw akiwatuma majini ten yéyé hakuw umoja lilikuw nikundi kubwa kbs
@aminasaid6555
@aminasaid6555 13 күн бұрын
​@@aboudangotkwani nabii suleiman ni kiigizo chetu?
@ShakimTyger-vw4ly
@ShakimTyger-vw4ly 15 күн бұрын
W mshirikina hna elim kuzidi wengne. Akuna muumini anae muomba Allah kupitia vitu vingine. Ushirikina huo
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 6 күн бұрын
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
@Silimumssab-ql7of
@Silimumssab-ql7of 13 күн бұрын
Shekh sule unaongea kweli kabisa
@shifaaplusherbalmedicine
@shifaaplusherbalmedicine 15 күн бұрын
Ndugu yangu tubu ila laah mrejee mola wako weye sio shehe
@user-cf9tt4vg9e
@user-cf9tt4vg9e 20 күн бұрын
Wew mase unatumikia manjini ni ushetani uwo.
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 10 күн бұрын
huyo ndio mungu wa wenu wa kiarabu 😂😂😂
@abalkib2866
@abalkib2866 13 күн бұрын
Ucjitetee kuna jini kukufata wew na kuna kumtuma haya ni maneno mawili tofauti wew umawatumia wakulinde. Huu ni ushirikina dhahir.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 20 күн бұрын
Kunyamaza Ni hekma Sule, Yani utaropoka kama mtu aliolishwa usembe, Unaweza enedelea na mambo yako lakini usijinasibishe na Uislam, Wallah utadhalilika Saaana , Tazama hadi Nuru ya Uislam inakutoka
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 20 күн бұрын
Uyu jamaa nilikuwa namkubari sna ila jinsi anavyojiweka kwenye shirki ananiudhunisha kw kweli yaani anaumbuka siku hadi siku😢
@trophywilson7211
@trophywilson7211 19 күн бұрын
Majini alisema yote ni Mazuri mmmh
@trophywilson7211
@trophywilson7211 19 күн бұрын
​@@sadathboutique6253Acha atwmbie jinsi mnavyoishi na majini
@phihirisembula
@phihirisembula 18 күн бұрын
Allahu aalam😂
@hamisaali8103
@hamisaali8103 17 күн бұрын
​@@trophywilson7211Hapana hakusema hivyo
@ZUBERIHASANI
@ZUBERIHASANI 12 күн бұрын
Wallaah kama hukusoma elimu sahihi ya uislamu,basi hata mpumbavu akizungumza upumbavu wake kama utasema sheikh
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 15 күн бұрын
Thanks God Jam christian
@AnticsGG
@AnticsGG Күн бұрын
whats christian can u prove christian exist stop lying to ur self
@MrRavini
@MrRavini 7 күн бұрын
Mi sjaona alicho kosea katika kuzungumza kuhusu hyo maada
@mattarjaiskel4625
@mattarjaiskel4625 10 күн бұрын
Hakuna kitu ambacho kinaweza kumlinda mtu isipokuwa Allah. Jambo la kusema nyota inakulinda ni ushirikina
@ZainabuIrakoze
@ZainabuIrakoze 16 күн бұрын
Uyo ni Ushirikina
@abdullahijma2073
@abdullahijma2073 20 күн бұрын
Huyu si ni mchawi lakini? Ni kama ana knowledge sana ya uchawi...
@Sheilahassan191
@Sheilahassan191 19 күн бұрын
Umeongea vizur xna
@hamisaali8103
@hamisaali8103 17 күн бұрын
Tatizo lenu wachawi wameshakufumbeni macho yaaani wao wanafanya yao
@shukurually8769
@shukurually8769 10 күн бұрын
Kitu nilichogundua nikwamba watu hawataki mtu azungumzie uhalisia wa maisha ya binaadamu jamanai nje ya dini kunamaisha ndio kama hivo uchawi nje ya maisha sasa mnavombishia sule je uchawi hakuna? unakuwaje muislam alafu useme jini hakuna sule yupo sahihi na ukimbeza sule omba mungu yasikukute ila ukirogwa mwenyewe utaenda kwa mganga utake usitake uwo ndioukweli na kweli pesa za majini zipo mbona watu wanaishi kwenye zama izo na wanafanikiwa msitake kilakitu mlaum kwangu naona sule yupo sawa sababu hasemi kama dini ndio imeamrisha hivo
@user-if9td5ec3i
@user-if9td5ec3i 4 күн бұрын
Dr unasema kweli mtu akiambiwa ukweli hasiiikii paka aone twambiye mwenye kusikia asikiiye ailimiki
@muliamadi859
@muliamadi859 20 күн бұрын
Dr 😊sule umeowa jini pia?
@ahmedsdk6736
@ahmedsdk6736 19 күн бұрын
Hii dini imekamilika hatuendi kwa stori tunaenda na Qur'an na Sunnah. Mtoto wa nasoro Bacho Amekushinda hoja 😂😂
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 6 күн бұрын
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini😅
MAJINI WA DK SULE SIO WEMA USIMTETE || MAJIBU KWA BABA KIR'WASHA || Muhammad Bachu.
1:04:29
$10,000 Every Day You Survive In The Wilderness
26:44
MrBeast
Рет қаралды 96 МЛН
UFC 302 : Махачев VS Порье
02:54
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,3 МЛН
La final estuvo difícil
00:34
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 30 МЛН
ONA MAHABA YA DK SULLE KWA WAKE ZAKE WANNE, NAWAPENDA WOTE
13:54
DR.SULLE HATAKI MASIHARA TENA//ELIMU YANGU ITADUMU NITAKUMBUKWA NA........
38:03
SHK.OTHMAN ASIMULIA ALIVYOTUKANWA NA KIJANA BARABARANI MATUSI MAKUBWAMAKUBWA
11:39
FAHAMU KUHUSU MAJINI YANAYOWEZA KUKUPA PESA NA UTAJIRI DR SULLE
21:12
#LIVE: HIVI NDIVYO  MAJINI WANAVYOWAINGIA WATU | WADHAKKIR
1:39:58
Kishki Online TV
Рет қаралды 155 М.
И кто победил: папа или сын? 🤪🏆✌️
0:24
НЕБО - СПОРТ И РАЗВЛЕЧЕНИЯ
Рет қаралды 1,6 МЛН
Озвучка @itsQCP  Нагетсы в постели @cookingwithkian
0:51
BigXep. Канал озвучки
Рет қаралды 6 МЛН
ПОБЕЖАЛ ЗАПИСЫВАТЬ ВАЖНЫЕ ДАТЫ😂😂😂
0:57
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 1,3 МЛН
Gold vs Silver Brushing Routine
0:33
Dental Digest
Рет қаралды 39 МЛН