MIVUTANO YA KIITIKADI || ASILI YA USALAFI MWANZO WAKE NA MUANZILISHI WAKE"SHEIKH MUHARAM MZIWANDA.

  Рет қаралды 29,904

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 111
@jumaabdallah6334
@jumaabdallah6334 6 ай бұрын
BaarakaLLAH feek
@sadamyakubu1006
@sadamyakubu1006 2 жыл бұрын
Shkh Mziwanda haya mambo ya Itikadi hayajui kabisa aisee.
@MaalimYussuf-qy9ic
@MaalimYussuf-qy9ic Жыл бұрын
Yeye hajui mambo ya itikadi twambie wewe unaejuwa
@salimobeid1470
@salimobeid1470 Жыл бұрын
Mawahabi mungu kawanyima uelewa maskin
@magdmagd3707
@magdmagd3707 2 жыл бұрын
Hujui unapotosha umma
@swahibually1723
@swahibually1723 3 жыл бұрын
Mwalimu wewe Upo vizuri sana,na mafundisho yako asieyaelewa ana CHUKI na jaanibu ya CHUKI.Mawahabi ni shida saana,na utakuta leo wamemuelewa ALBAANI zaidi kuliko mwanawachuoni yoyote alipita,wakiwa na imaani ya kwamba yeye hakosei kabisaaaaaa,hii ni balaa nyingine ya SALAFUN JADIID.AALLAH akuzidishie sana Sheikh Mziwanda.
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 3 жыл бұрын
Acha chuki na watu wa sunna ndugu yangu..Hebu Kama we ni mkweli bainisha shida ya watu wa sunna na nani alikwambia sheikh alban hakosei.
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 3 жыл бұрын
Na usalafi haukuanza Karne ya nne.kama asemavyo shekh mziwanda usalafi umeanzia kwa mtume swalalahu alayhi wasalam.
@rashidyusuphmwatebela8802
@rashidyusuphmwatebela8802 3 жыл бұрын
Kama uyasemayo utaweza kusimama mbele ya ALlah na hoja za kuyathibitisha, basi endelea na endelea. La kama si hivyo...ole wako ole wako. Hivi kweli kuna watu wanaitakidi kuwa imaam fulan hakosei km unavyodai al albaniy, Sasa ndugu yangu jitizame, Either hujui hakika ya mambo, au emeelewa vibaya au ni mpinzani tu. ALLAH akuongoze na mm pia
@salamamtoro5869
@salamamtoro5869 3 жыл бұрын
Allah Amhifadhi na amjaalie Mwisho Mwema
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Amiin
@ramadhanimsukuma8438
@ramadhanimsukuma8438 3 жыл бұрын
Nakupenda sana mwalimu wangu wallahi,unasema hakki tena ki ilmu
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 2 жыл бұрын
Shekh kutojulikana swahaba katika HADITHI akiwa hajatajwa haithirii soma muswtwalahi vizurii
@akthammuhammad7844
@akthammuhammad7844 3 жыл бұрын
ALLAH AKUHFADHI YA SHEIKH.RADDI HAPA HAKUNA ELIMU TOSHA UMETOA
@bakarygumbo9370
@bakarygumbo9370 2 жыл бұрын
Hakika ndugu
@feisal6592
@feisal6592 2 жыл бұрын
Aslm shekh tutafutee gas's +gas's negative kwasababu mungu Allah aliumba vitu mbili Jana nikwambiya mukipata ansr or badoo
@abubakarabdurahman7415
@abubakarabdurahman7415 2 жыл бұрын
Sheikh mziwanda kumbe tobwe duh kweli kaa kimya usitirike
@nabillkhamis8188
@nabillkhamis8188 2 жыл бұрын
Ww mshez kwel ww si muislam
@dungayusufu1954
@dungayusufu1954 2 жыл бұрын
allah akujalie ishaalah
@aishahashim.5079
@aishahashim.5079 2 жыл бұрын
Walakini maaashallah Sheikh umemwagika
@hafanabdallah3112
@hafanabdallah3112 2 жыл бұрын
Shekhe mungu akuhifadhi
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 2 жыл бұрын
وقال النووي في المجموع: ... ونقل ابن المنذر إجماع العلماء على كراهته قال : وممن نقل عنه ذلك عمر وأبو هريرة وعبد الله بن مغفل ومعقل بن يسار وأبو سعيد الخدري وعائشة ، وذكر البيهقي عن عبادة بن الصامت وعائشة وأسماء وغيرهم أنهم أوصوا أن لا يتبعوا بنار، قال أصحابنا: وإنما كَرِه للنص، ولأنه تفاءَل بذلك فأل السوء، وهذا الذي ذكرناه من كراهة الاتباع هو نص الشافعي والجمهور .... .
@aishahashim.5079
@aishahashim.5079 2 жыл бұрын
Hapo kidogo ungetupa faida zaidi baina ya kukataa na kukubali.... Kunatangulia kukanusha au kuthibitisha.
@hasanisaidishabani3879
@hasanisaidishabani3879 2 жыл бұрын
Allah awape umri naikiwa mmetok waje km nyinyi
@feisal6592
@feisal6592 2 жыл бұрын
Jee unajuwa itovuu kiswahili nibchetu hatufunzwi
@feisal6592
@feisal6592 2 жыл бұрын
Sheehk imum hambal alikuwa akipenda kwa hanafi hapiji Duwa nahuyo mwegine akiendaa anapija Duwa
@isackwsmithwsmith9027
@isackwsmithwsmith9027 2 жыл бұрын
Sio kweli 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@mgazamhina840
@mgazamhina840 2 жыл бұрын
Ukweli ni upi
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 2 жыл бұрын
Hajielewi kabsaaa. maneno matupu hana Dalili hata moja yaan.
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 3 жыл бұрын
Sio kweli sio kweli
@saidinammenje644
@saidinammenje644 2 жыл бұрын
Sio kweli nini? Nipe faida Tafadhali ndg yangu
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 2 жыл бұрын
@@saidinammenje644 faida ya nini?
@khamishassan2542
@khamishassan2542 3 жыл бұрын
Mashallah👍
@elimikanamadrasa5490
@elimikanamadrasa5490 3 жыл бұрын
المجنون فنون
@fahmiidrissa5537
@fahmiidrissa5537 2 жыл бұрын
Sio المجنون mzee rudi chuo ni الجنون
@ashuashu3843
@ashuashu3843 3 жыл бұрын
Mashaa Allah
@unaysatafawzaan1749
@unaysatafawzaan1749 2 жыл бұрын
Elewa kwenye kutotajwa swahaba katika hadithi haidhuru soma muswatwalahi
@abubakarabdulla4791
@abubakarabdulla4791 Жыл бұрын
Muhammad Bin Abdul-Wahab alikuw ni mfuasi wa madhehebu ya Imam Hanbali, utawaitaje wafuasi wake ni mawahabi wakati yy hakuja na kitu kipya kwny dini. Watu wa sunnah wanatambua madhehebu manne tu ayo mengine munayowasingizia watu ni chuki zenu kwa Imam Muhammad bin Abdu-wahab halafu munajiita wafuasi wa Imam Shafy hali ya kuwa muko mbali na mafundisho ya Imam Shafi
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 2 ай бұрын
Kwani hujawahi kuona Mwanafunzi kua Dhehebu mbali na Mwalimu wake??? Unashangaa Hilo, kwanini USIJIULIZE KWANINI WATU WAGAWANE NA MTUME WETU NI MMOJA NA QURAN NI MOJA
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 жыл бұрын
JAHLI MKUBWA WE!! HUJUI CHOCHOTE KTK UISILAM,DANGANYA MAKHURAFI WENZAKO WASIOTAFUTA ELIMU YA DINI YAO!!
@abdelnasseraq7133
@abdelnasseraq7133 3 жыл бұрын
Majority of Muslims are influenced by Imam Shafi including Indonesia, East Afrika,Iraq,Syria, Iraqi,Egypt, Sail Oman,including Sur,Etc etc
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 2 жыл бұрын
Mawahaby muna shida hadi hapo mna shidanatu...kisha mna jita walimu wasuna na mna tukana hapa mutu mjinga hana in swafi.
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 2 жыл бұрын
WE NAE UNAONGEA KAMA VILEUNAONGEA KAMA VILE UNAFUNDISHA MWALIMU UJINGA NA WAKT ANAJIUA
@saleheyusuph5416
@saleheyusuph5416 2 жыл бұрын
Nlijua Sheikh Mziwanda anamzigo kumbe ما في شيء ،، Duu kweli bora kunyamaza kuliko kufungua kinywa na Samaki mwenye kufungua kinywa chake ndie hunaswa na mtego,, Sheikh hajui kuhusu Salafi??? Hata hadithi jamaani wala علم الرجال،، hata Jerh wa taadil kapinga huyu ndio maana anamshangaa Albani na kuzipa Hadithi Dhwaif daraja ya Hasan.. duuh makubwa tutayaona. Zama hizi jaman si kama za zaman wasomi wengi na hawadanganywi na maneno ya kila Sheikh anaekuja na maneno ya tupu ya kihistoria Bila dalili muwe makini Masheikh
@abuarkam6276
@abuarkam6276 2 жыл бұрын
Mi mnanishangaza masalaf hoja inapingwa na hoja toa hoja tusiwe km wakristo kukaririshwa
@mustamimmushajara8992
@mustamimmushajara8992 2 жыл бұрын
Tupe asili yke huenda ukawa sahihi
@amrikagobe1540
@amrikagobe1540 2 жыл бұрын
Salafi mnashida sana
@jibriilaboubakar2514
@jibriilaboubakar2514 2 жыл бұрын
@@abuarkam6276 unajua maana ya salafi .?
@abuarkam6276
@abuarkam6276 2 жыл бұрын
Ata filauni alikuwa salafy wa zama izo
@AllyAbdallah-kw3yf
@AllyAbdallah-kw3yf Жыл бұрын
Shekh amche mra wak
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 3 жыл бұрын
Simba
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Wanyika
@AsiaJuma-q3u
@AsiaJuma-q3u 11 ай бұрын
Shehe rudi darasani ukausome tena usalafi halafu ndio ufanye rad usiwadhulumu
@allybockson47
@allybockson47 2 жыл бұрын
Mmh sheikh kichwa kibovu ujui nin maana ya Salafy..?
@amrially7026
@amrially7026 2 жыл бұрын
Huna akiri wewe
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Kweli Majadida ni kikundi sio dini
@farajichilumba5114
@farajichilumba5114 2 жыл бұрын
Na vipi kuanzishwa uwahabi na wamarekani
@alhamdulillahalhamdulillah7529
@alhamdulillahalhamdulillah7529 2 жыл бұрын
Muendelezo mbona imekatika patam
@sulaymaanayoub8656
@sulaymaanayoub8656 2 жыл бұрын
MJINGA HUSIFIWA NA MJINGA MWENZIYE
@bikombokhamis8991
@bikombokhamis8991 Жыл бұрын
Ww mwerevu watakusifu werevu wenzio
@criminal03mostwanted71
@criminal03mostwanted71 2 жыл бұрын
Usisome uislam kwa history,,,,,,,,,,, mjinga weee
@munezeroabiba6493
@munezeroabiba6493 2 жыл бұрын
Matusi ndani ya uislam siyo jawabu bali niopetevu tumuokope Mwenyeezi Mungu S.W.W
@fahmiidrissa5537
@fahmiidrissa5537 2 жыл бұрын
We ndo mjinga wa wazi kabisa bila history hakuna Uislamu wew mwehu
@fahmiidrissa5537
@fahmiidrissa5537 2 жыл бұрын
تناقضات الألباني watu watafute hko kitabu
@hamzasuleiman9605
@hamzasuleiman9605 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 huyu hajui kitu hata kimoja , hvo akiamua kusoma asome Duruus za Kisalaf ataelewa nini anasema
@sulleysidey2844
@sulleysidey2844 2 жыл бұрын
sasa wewe unaejua elimisha hapo ili tunaosoma comments tupate elimu
@abeliever6823
@abeliever6823 2 жыл бұрын
Dr. Yasir Qadhi amesoma Madina. Alikuwa msalafi miyaka mengi. Lakini sasa ameanza kuchukuwa njiya ya wasat. Tafadhalini angalieni video hiyi. Anazungumza matatizo ya salafi/wahhabi na shida walioileta m.kzbin.info/www/bejne/moPXinaAbMd4a6s
@abubakarabdurahman7415
@abubakarabdurahman7415 2 жыл бұрын
Halaf sheikh ujuwe unaongea na waislam wa Zama za kisomi sio km wazaman Hawa wanasoma kua na mipaka
@hasanisaidishabani3879
@hasanisaidishabani3879 2 жыл бұрын
Wewe usomi mmeupata wap usomi zama izo ndy ulikuwepo
@sulaymaanayoub8656
@sulaymaanayoub8656 2 жыл бұрын
DU HUYU BWANA NI MJINGA KIASI HIKI!!😳😳😳😳
@hatibuahmadi7237
@hatibuahmadi7237 2 жыл бұрын
Wewe ndio mjinga kwakujiona unajua zaidi kuliko mwenzio
@hamisisekidende5365
@hamisisekidende5365 Жыл бұрын
Anayo yazungumza cheikh yanakuvuka akili
@abubakarhillary6103
@abubakarhillary6103 10 ай бұрын
Tufundishe wewe mwerevu 👏
@fadhilimussa5067
@fadhilimussa5067 2 жыл бұрын
Hii dini ya Allah cyo wahabi. Itaqqqillah
@farajichilumba5114
@farajichilumba5114 2 жыл бұрын
Chenga kama sio pumba
@abdelnasseraq7133
@abdelnasseraq7133 3 жыл бұрын
Hijazi is influenced by Ahmed bin Hanbal
@bikombokhamis8991
@bikombokhamis8991 Жыл бұрын
Angalia kiwango kikubwa cha wafuasi
@bikombokhamis8991
@bikombokhamis8991 Жыл бұрын
Na wakati huo uyo mwalimu wa hambali yeye mwenyewe alikua hayupo
@jaguarman8393
@jaguarman8393 Жыл бұрын
Salafi ni kama mbwa koko, wamekuta mzoga wakaunga'nga'nia , kila mtu akavuta pande la mzoga, akakaa pembeni anakula mzoga, akiwa pembeni anambekwea mwenzake
@abdelnasseraq7133
@abdelnasseraq7133 3 жыл бұрын
Shimal Afrika influenced by Imam Malik
@hassanalbasq3160
@hassanalbasq3160 2 жыл бұрын
Duh!! Mh bra UNYAMZE MANA UPO TU KUUNGNISHA MANENO
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
KUA NA ADBU WEWE
@nangwandasaadi1543
@nangwandasaadi1543 2 жыл бұрын
kila alieponda maelezo ya shekhe hpo ujue huyo anajiita salaf
@saleheyusuph5416
@saleheyusuph5416 2 жыл бұрын
@@nangwandasaadi1543 Na kila aliesifia maneno ya Sheikh ujue huyo ni mtu wa Bidaa
@nangwandasaadi1543
@nangwandasaadi1543 2 жыл бұрын
@@saleheyusuph5416 anza kujua unachokifikiria kabla hujasema
@SASIBuyingArea
@SASIBuyingArea 2 жыл бұрын
@Hashimu Abdallah maelezo mazury shukran but soma juu uone salafy wanatukana masheikh tena matusi ni saww!? Ki kumfata mtume!? Na maswahaba!?
@hassanalbasq3160
@hassanalbasq3160 2 жыл бұрын
Yaani kwa asonaelim anaona kama anajua ila panapo wenye elmu huyu anarpokwa
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 2 жыл бұрын
Huu utoporo kumbe
@abdelnasseraq7133
@abdelnasseraq7133 3 жыл бұрын
AbdulWahab ? 1712???? What the Muhammad AbdulWahab co leader with king Abdulaziz Al Saud and in 19s early 20th century not 17s
@SASIBuyingArea
@SASIBuyingArea 2 жыл бұрын
Ithnk hyo sio muhim sanaa ujumbe umeupata hawez kumbuka kila kitu
@uislamutv2573
@uislamutv2573 2 жыл бұрын
Eti sijui kiswahili kimeelewaka ,unaongea kiswahili kitupu huna dalili hoja zako mbovu sana Subhanallah, hujui hata usalafi umeanza lini na nani alianzisha? Afadhali ungekaa kimya kulilo mupiga stori pasipo na dalili , kumbe hujui kitu na mwanafunzi ambae bado anasoma hawezi akaongea mbele ya waislamu bila kutoa dalili, halafu huna msimamo unapinda pinda.
@neemafatu471
@neemafatu471 2 жыл бұрын
Nilivyomuelewa Mimi,ni kuwa anatoa historian ya khitilafu sio hukmu. yaani anaelezea Hali ilivyokuwa na ilivyo Sasa. Tujitahidi kutafakari msomi youote anapotoa SoMo.na sio KUPINGA kwa ushabiki.tuwe na ikhlas POPOTE jmn.
@kinyauherbalist2806
@kinyauherbalist2806 Жыл бұрын
@@neemafatu471 hawa maswalafi jadida usiwe na shida no wamekuj kwa lengo la kukufurisha watu na kuufadikisha umma na kujiona wanajuwa kumbe wanaungua na jua ! Ujubu , kibri , na dharau na mipasho ndio walivyonavyo hawana lolote
@husseinonacha4111
@husseinonacha4111 2 жыл бұрын
uongo mtupu akuna elmu hapo
@ibrasaid9256
@ibrasaid9256 2 жыл бұрын
Muongo kabisa huyu jamaa
@bikombokhamis8991
@bikombokhamis8991 Жыл бұрын
Ww pekee ndo mkweli
@ibrasaid9256
@ibrasaid9256 Жыл бұрын
@@bikombokhamis8991 bint kuminyana na waume kweny comments sio muruw'a
Sheria  Na  Ikhitilafu  Zake   /   Sheikh  Muharrami Rashid Mziwanda
1:20:41
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 7 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 8 МЛН
AFARTANKII (40) QISO OO UGU SAAMEYNTA BADNAA_2022 iyo 2023_ SHEIKH MUSTAFA.
3:26:03
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 2,4 МЛН
076 LAA TAHZAN KADDARA M GIDADO ABDULLAHI GOMBE
52:12
Gidado Abdullahi
Рет қаралды 141
SHEIKH MZIWANDA..MAISHA YOTE YA MWANADAMU YAMEFICHWA KWENYE AYA HII
15:58
"KABLA YA KUTENDA, FIKIRIA KWANZA" SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA
30:17
RADIO IQRA FM MWANZA
Рет қаралды 8 М.
Hivi kwa nini Uoe au Uolewe? Shekhe afanunua. Muharam Mziwanda
34:27