Blessed is one who listens to this evangelism and confess their sins ,repent and Walk on the narrow path that takes us to heaven
@shose4569 Жыл бұрын
Asante Yesu kwa kunipenda hivi asante kwa Msalaba
@everlight6 Жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni. Ee Mungu wabariki na kuwafunika watumishi wako hawa. Funika Kwaya hii Bwana Yesu kwa damu yako ya thamani. Wakutumikie kwa uaminifu nawe upokee sifa, heshima na utukufu daima
@jacmbijo Жыл бұрын
Naam naam hongereni sana kwa kazi ya Mungu mbarikiwe sana
@lizzybethmayengoh Жыл бұрын
❤ asante Yesu kwa Upendo wako. Kwa wimbo huu tunajifunza kukupenda zaidi
@happymushi1907 Жыл бұрын
Waoooh! Barikiweni sana wapendwa
@annasengenge4285 Жыл бұрын
Hongereni sana kwaya@Onai,Martha Jsm,Oliver and Vaileth Mshiu