JIWE JEUSI KWENYE AL-KAABA MAKKA DHIDI YA JIWE JEUPE LA YESU KRISTO LILILOKO MBINGUNI

  Рет қаралды 3,006

BAYYINAT DM TV

BAYYINAT DM TV

Күн бұрын

Пікірлер: 125
@abelnsyani9244
@abelnsyani9244 5 ай бұрын
Asante sana mtumishi kwa ualimu wako. Mungu akubariki sana
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 5 ай бұрын
Hakuna Jiwe linalofanyiwa Ibada Makkah ewe Mpuuzi Danieli kwenye DOA jeusi ulikimbia kujibu hoja unarudi na ujinga huu nilikwambia kabla ya kuongea kasomeshwe unajia aibu kwa chuki za kijinga na kujikokea moto mwenyewe. Kama wewe ni Mkweli waambie watu hilo jiwe limeyoka wapi. Kuna elimu kubwa juu ya hilo sio upuuzi wako unaongea vitu usivyo vijua 1.Hilo jiwe lipo toka Nabii Adamu alitoka nalo Peponi wakati analetwa duniani. 2.Waambie watu hilo jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa na kwa nini limebadilika kuwa jeusi 3.Waambie watu kwàmba Misikiti unayoisema na athari za dini pale aliifundisha Nabii Ismaili 4.Waambie pia watu kwamba Kaaba ni nyumba kongwe kuliko zote na imebomoka Mara ngapi pia huwa inarudishiwa kila wakati Moja ya waloirudishia kunyenyua kuta zake ni Ismaili na baba yake Ibrahimu 5. Sasa wewe unawaongelea Makafiri wa kiquraish wa juzi utakuwa wewe ni mtafiti au mjinga ulojaa chuki. Nakupa hadith za Mtume. Jiwe jeusi lilishushwa kutoka kwa Allah kwenda duniani kutoka Peponi. Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "jiwe jeusi lilishushwa kutoka Peponi." (Ametaja al-Tirmidhi, 877; al-Nasaa'i, 2935. Hadiyth ameisahihisha al-Tirmidhi). Jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zilifanya kuwa jeusi. Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "Wakati jiwe jeusi likishushwa kutoka Peponi, lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zililifanya kuwa jeusi." (Amesema al-Tirmidhi, 877; Ahmad, 2792. Ilizingatiwa kuwa sahihi na Ibn Khuzaymah, 4/219. Al-Haafiz ibn Hajar aliyaainisha kuwa qawiy (imara) katika Fath al-Baari, 3/462). Umeelewa kwamba sisi tunajua jiwe limeyoka wapi? Na vipi tuliabudu wakati wakati tunajua aliyeliumba huko peponi? Kwa akili zako tulijue jiwe na asili yake na tumjue aliyeliumba kisha tumwache aliyeliumba tuabudu jiwe sio?. Nahisi ubongo wako upo kwenye hilo lipua. Nabii Issa hakuwa anafanya ujinga unaofanya wewe Soma masomo ya Tawhiid uache shirki siku zaja utakufa nakukumbusha.
@mariousnjessa6123
@mariousnjessa6123 5 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu. Mwenye kusikia na asikie
@EgidMwalongo
@EgidMwalongo 4 ай бұрын
Sawa kabisa mwalim wote wanaomkataa yesu siku ya mwisho ni jehanam tu
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 2 ай бұрын
Hahuna muislamu anaemkataa yesu lzima mnapokoment mjue vya kuongea,ila wanakataa sifa mnazompa,hata mm nikiwa mmoja wao.sasa tuone Kama wewe siku hio utakuwa mlangoni kwa jehannam utupeleke tukachomwe au tutakwenda pamoja au ndo ushajihakikishia huku ukiwa na makosa kibao una hukumu watu duniani
@samuelgacheru4854
@samuelgacheru4854 2 ай бұрын
Mwalimu bwana akumbaliki sana,endelea kufunza kuelimisa wa watu wa mungu
@EgidMwalongo
@EgidMwalongo 4 ай бұрын
Waisraeli hawezi kulaaniwa na watoto wa babamdogo
@samweljackson5754
@samweljackson5754 3 ай бұрын
Mh! Makubwa sana asante mwalimu endelea kubarikiwa
@BanyangaMohammed
@BanyangaMohammed 5 ай бұрын
Mwalimu nakufwataka nikiwa Congo naweza kupata hivyo vitabu vyakislamu vipi?
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 2 ай бұрын
Waislam daima huwa hawana hoja, wao kazi Yao huwa ni kupinga tu
@Motheking-ps2tl
@Motheking-ps2tl 4 ай бұрын
Huyu kichwa nyoka anaijua quran kweli.
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 ай бұрын
Msomi Ibn Kathir ninayemnukuu wewe unamuita ni kichwa nyoka? Kwa hiyo mfasiri maarufu wa Quran, wewe unamuita kichwa nyoka? Wewe unaona kakosea kwa sababu ameandika kwamba mnyama atawatia doa jeusi makafiri? Kwani Waislamu hamna alama ya doa jeusi kwenye vipaji vyenu vya uso? Kosa langu ni nini kunukuu?
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 2 ай бұрын
​@@BAYYINATDMTVtatizo huelewki na pia unakusudia kuchafua kitu kisichochafuka
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 2 ай бұрын
​@@BAYYINATDMTVwewe na ndacha mkweli ni nani tufuate
@AlbertMakori-u2l
@AlbertMakori-u2l 3 ай бұрын
Meza madawa aki wewe ni mgonjwa kabisa
@enockabumba7513
@enockabumba7513 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@OscarMilambo-xu7ek
@OscarMilambo-xu7ek 5 ай бұрын
Kaka Mungu akubariki sana nimekuelewa sana mwaisa
@enockabumba7513
@enockabumba7513 3 ай бұрын
Balikiwa sana mtumishi
@albertvalentino130
@albertvalentino130 5 ай бұрын
Kama jiwe,lililokuwa jeupe,limegeuka kuwa jeusi,kwa sababu ya kuathirika kutokana na kazi ya kuzitakasa dhambi ya wanadamu ! Lakini wakati huo huo,upande mwingine,unadema watu wanataksswa dhambi zap kwa damu ya Yesu ! --- Ndipo Mimi husema kuwa,hivyo vitabu viwili,havitokani na Mungu huyo mmoja aliyeumba vyote --- kwasababu Mungu hawezi " kujikanganya mwrnyewe " yaani Mungu huyo mmoja,upande mmoja awaambie watu hivyo,kuhusu namna ya kutakaswa zambi zao --- Halafu,upande mwingine,awaambie namna tofauti ya kutakswa dhambi zao,kama alivyowaambia wale wa kwanza,Halafu tuendelee kuamini kuwa vitabu hivyo,chanzo chake ni kimoja -- No," Mungu hayuko hivyo --- kwake hakuna mkanganyiko "
@yamungummungulo633
@yamungummungulo633 3 ай бұрын
Endlea kufuata njia(dini) ili ufike kwake Mungu salama
@harunaotieno2893
@harunaotieno2893 3 ай бұрын
Kitabu cha injili ni kitabu kilichotumwa kwa watu maalum na walkkuwa wana wa Israel sawa sawa na tourati pia ilitumwa kwa watu maalum ila Qur'an ni kitabu kimetumwq kwa ulimwengu mzima
@Vicent-nd7bn
@Vicent-nd7bn 4 ай бұрын
Asnte mutumishi
@111dudi
@111dudi 5 ай бұрын
Quraan inasema Nabi Ibrahim alijenga kaaba. Wewe umekataa, you dalili zako. Toa falili kama nabi Ibrahim hakufika Makka. Acha blaa blaa
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 5 ай бұрын
Quran 34:44 kwa Waarabu hajawahi kwenda Mwonyaji (Mtume au Nabii) kabla ya Muhammad. Je Ibrahim aliishi kabla au baada ya Muhammad?
@111dudi
@111dudi 5 ай бұрын
@@BAYYINATDMTV tatizo liko wapi? Eaarabu walikuwa watu watulivu sio kama mayahudi, waua mitume na wafanya uchafu wa kila aina na mpaka sasa wanafanya maovu sana
@suleimaniddi
@suleimaniddi 4 ай бұрын
Ubiri dini yako kama unataka elimu yakislamu mwone Dr Sele au Mazinge
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 4 ай бұрын
Paka we rather die make money ndio kazi yenu
@saidiMsume
@saidiMsume 5 ай бұрын
Inavyoonesha hata maandiko hayajui,uislamu ameubuni marehemu mtume moud,Adamu anahusikaje na Hilo jiwe? Wewe ndo unapotosha ukweli kwa sababu mmejawa na mapepo.
@AlbertMakori-u2l
@AlbertMakori-u2l 3 ай бұрын
Aki wewe ni mgonjwa kbsa yaani ulitaka yote yawe meupe ama , mbona wewe ni mweusi ? Si ni mapenzi ya mungu au?.
@yamungummungulo633
@yamungummungulo633 3 ай бұрын
Kwann jiwe libadilike rangi kutoka kweny weupe had weusi je jiwe ndio njia ya kusafisha dhambi
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 2 ай бұрын
​@@yamungummungulo633ndugu naona unawapa nguvu wasuoamini Kama Kuna Mungu,kwa sababu unapowazunumzia watu wanaomini kuwa jiwe jeusi limo kwenye sehemu ya Ibadan zao wewe ukahisi ni wapofu,basi geuza shilingi upande wapili uangalie jee wale wanaomini na kulifata sananu la bikra maria tuwaiteje? Siku zote ukitaka kumsema mtu kwanza ujikaguwe wewe ndipo useme,
@husseinihassani3541
@husseinihassani3541 4 ай бұрын
😂😂😂😂 mwalimu uislamu sio kama ukirsto kuwa utakurupuka halafu useme mm ni mtume nooo mpaka ukasome uelewe uzuri jiwe mpaka sasa lipo pale maka nlifikiri wasema umeenda ukaliona ndo ulijadili kumbe unaelezea kitu ambacho hata huja kiona mzeee baba unakwama wapi?
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 ай бұрын
Nilidhani utaniambia hakuna hilo jiwe jeusi ambalo hata Umar ibn Khattab alilikataa lakini wewe unaling'ang'ania.
@husseinihassani3541
@husseinihassani3541 4 ай бұрын
Unazungumzia kitu usichokuwa na elimu nacho ndo maana mzee wa upako akiwarekebisha hamtaki hebu kwakuwa jiwe lenyewe lipo pale nenda siku moja ukasome halfu uje ufundishe wengine elimu ni bora kuliko mihemko sawa kaka
@protucekimario8199
@protucekimario8199 3 ай бұрын
lile jiwe sio hilo kama linavyoonekana ingia KZbin utaona sio hilo kubwa jeusi Bali kwenye Kona kabisa ndo kunakajiwe kadogo kameshikishwa kwenye hilo jiwe jeusi na hilo jiwe ukiliangalia vizur Lina shape like Virgina, ndo nikawaza Mimi kuwa mtume alipenda sana chini hadi akaamua kutafuta jiwe lenye shape kama hiyo angalia vizur utaona hajir bin asward, so hao jamaa wahafanya kitu ambacho hawajui kinamaana Gani, ndio maana jamaa hadi akawa na WA awake wengi hicho ndo kitu alichokipenda​@@BAYYINATDMTV
@honestrafael3390
@honestrafael3390 5 ай бұрын
Barikiwa sana mwalimu
@WadySaidi
@WadySaidi 5 ай бұрын
Komwe lako ujui lolote afu Iki kilikuwa kilevi kipuuz hiki
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 5 ай бұрын
Hakuna Jiwe linalofanyiwa Ibada Makkah ewe Mpuuzi Danieli kwenye DOA jeusi ulikimbia kujibu hoja unarudi na ujinga huu nilikwambia kabla ya kuongea kasomeshwe unajia aibu kwa chuki za kijinga na kujikokea moto mwenyewe. Kama wewe ni Mkweli waambie watu hilo jiwe limeyoka wapi. Kuna elimu kubwa juu ya hilo sio upuuzi wako unaongea vitu usivyo vijua 1.Hilo jiwe lipo toka Nabii Adamu alitoka nalo Peponi wakati analetwa duniani. 2.Waambie watu hilo jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa na kwa nini limebadilika kuwa jeusi 3.Waambie watu kwàmba Misikiti unayoisema na athari za dini pale aliifundisha Nabii Ismaili 4.Waambie pia watu kwamba Kaaba ni nyumba kongwe kuliko zote na imebomoka Mara ngapi pia huwa inarudishiwa kila wakati Moja ya waloirudishia kunyenyua kuta zake ni Ismaili na baba yake Ibrahimu 5. Sasa wewe unawaongelea Makafiri wa kiquraish wa juzi utakuwa wewe ni mtafiti au mjinga ulojaa chuki. Nakupa hadith za Mtume. Jiwe jeusi lilishushwa kutoka kwa Allah kwenda duniani kutoka Peponi. Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "jiwe jeusi lilishushwa kutoka Peponi." (Ametaja al-Tirmidhi, 877; al-Nasaa'i, 2935. Hadiyth ameisahihisha al-Tirmidhi). Jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zilifanya kuwa jeusi. Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "Wakati jiwe jeusi likishushwa kutoka Peponi, lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zililifanya kuwa jeusi." (Amesema al-Tirmidhi, 877; Ahmad, 2792. Ilizingatiwa kuwa sahihi na Ibn Khuzaymah, 4/219. Al-Haafiz ibn Hajar aliyaainisha kuwa qawiy (imara) katika Fath al-Baari, 3/462). Umeelewa kwamba sisi tunajua jiwe limeyoka wapi? Na vipi tuliabudu wakati wakati tunajua aliyeliumba huko peponi? Kwa akili zako tulijue jiwe na asili yake na tumjue aliyeliumba kisha tumwache aliyeliumba tuabudu jiwe sio?. Nahisi ubongo wako upo kwenye hilo lipua. Nabii Issa hakuwa anafanya ujinga unaofanya wewe Soma masomo ya Tawhiid uache shirki siku zaja utakufa nakukumbusha.
@elmeskatto
@elmeskatto 5 ай бұрын
kujibu vitu tofauti na hoja za danieli ni chuki,hoja haijibiwi kwa kejeli.
@WadySaidi
@WadySaidi 5 ай бұрын
Ujinga tu Ana nn uho
@WadySaidi
@WadySaidi 5 ай бұрын
Lazma mambumbu yajibiwe
@albertvalentino130
@albertvalentino130 5 ай бұрын
Mtumishi,huyo anaye LILAANI TAIFA LA ISRAEL,na huku ana claim kwamba --- " yeye ni mwalimu wa neno la Mungu,ni TAPELI --- MGANGA NJAA asiye jua kitu kuhusu neno la Mungu " Neno la Mungu litimie kwake Mwanzo 12: 3b.
@RashidAbbas-zy6xx
@RashidAbbas-zy6xx 5 ай бұрын
Wewe mwehu jadili dini yako ambayo ata mungu Haina mara mungubaba mara mungu mwana mara yesu
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 5 ай бұрын
KUTEREMSHWA BIBLIA NA QUR'AN Kwa vile Allah alimtereshia Injeel (Good News) Mtume Yesu (pbuh) kabla ya Qur'an kwa Mtume Muhammad (pbuh), Injeel haikureremshwa kuthibitisha au kukosoa Qur'an.
@elmeskatto
@elmeskatto 5 ай бұрын
naomba kujua naweza kupata wapi nakala za injili aliyotelemshiwa Yesu ili nisome kujua ndani ya hiyo injili kumeandikwa nini.
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 4 ай бұрын
Kaaba ni sehemu yenye maana nyingine kabisa ya kawaida tu. Ni mahali ambapo watu wa wakati waliweka baadhi ya vitu vyao
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 5 ай бұрын
Inna lillahy Wayna Rajna .Muslim do not worship the stone. Waislamu Mungu 1 tu hakuza wala hakuzaliwa .Christians lie ..Jesus hajawahi kuwa Mkiristo ..Paul created christianity..Jesus 300%was muslim
@elmeskatto
@elmeskatto 5 ай бұрын
naomba kuuliza,kitabu alichopewa nabii isa aje nacho kinaitwaje na kiko wapi kwa sasa?
@veromosha9090
@veromosha9090 5 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi,,,,Leo nikiwa kwenye majukumu nilipta changamoto ya swali kuhusu alkahaba iko pale kwaajili gani,,,,maana nimeona clip watu wanapaabudu Kama wanamwabudu Mungu wanatukuza jiwe lile kwa heshima kuliko kawaida,,,mbona Kama ni ibada isiyoeleweka,usikute ni ibada za miungu waislam hawaelewi?😢
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 5 ай бұрын
Ndivyo ilivyo ni ibada za miungu. Ibada hoyo ilianzia tangu kabla ya Uislamu
@veromosha9090
@veromosha9090 5 ай бұрын
@@BAYYINATDMTV Asante mwalimu,,,na wanaposema Adam ndo mwislam wakwanza imekaaje iyo,maana hapo tumejifunza hakukuwepo uislam
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 5 ай бұрын
Ukitaka kujua uislam kausome sio kusomewa Alkaba ni kibura ya waislam au ni mwongozo waliopewa waislam wote mda wa kusujudu waelekee sehem moja
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 5 ай бұрын
Huo mwongozo wa alkaba na jiwe jeusi unapatikana kwenye Aya Gani? ndini ya Quran​@@saphinalutaha9077
@veromosha9090
@veromosha9090 5 ай бұрын
@@saphinalutaha9077 kwanini waislam? Nasio wanadamu wote ikiwa Mungu ni moja?..swali langu limetokana na vitendo nlivyoviona kwenye clip flan namna watu wanafanya wakiwa mbele ya lile boksi jeusi la alkaaba,nikama wanalihusudu ilo jiwe kuliko Mungu,sio sawa lkn kwa fikra tu za kibinadamu
@ibrahimkassim8289
@ibrahimkassim8289 5 ай бұрын
Ni vyema uongelele dini yako unayoijua kuliko kuongelelea uislamu ambayo hauijui .
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 4 ай бұрын
Kweli Ukafiri ni Mtihani
@111dudi
@111dudi 5 ай бұрын
Akili fupi, mtu mweusi sijda guwa nyeusi, mtu mweupe haiwi nyeusi.ufurahi jiwe likewise jeusi kama wewe
@richardnganya2311
@richardnganya2311 4 ай бұрын
Mtu mweupe sijda inakuwa Rangi gani ?
@badruseif1318
@badruseif1318 5 ай бұрын
Akili za ukafiri bwana! Mtihani sana yaani wewe babu umekaa kupinga tu kila kitu, na utaumia sana mana hija ya waislamu ndio mkusanyiko mkubwa kuliko wowote katika dunia hii
@elmeskatto
@elmeskatto 5 ай бұрын
uhalali wa ibada haupimwi na wingi wa kusanyiko....wachawi wakikusanyika kufanya ibada je ibada zao ni halali kwa sababu wamekusanyika wengi.
@badruseif1318
@badruseif1318 5 ай бұрын
Wewe babu wacha kujikomba kwa mayahudi, wale ni watu waliolaaniwa hata uwasafishe vipi, kwani wewe hujui kama wayahudi walizikataa neema za Mwenyezi Mungu? Mpaka wakaanza kazi ya kuua mitume? Na hata huyo muungu wako unaemuamini wanampinga halafu eti unajikomba kwao, uwo kweli sio uzwazwa?
@elmeskatto
@elmeskatto 5 ай бұрын
jikite kwenye kujibu hoja alizozileta,mbona anachofanya mwalimu danieli ni kitu sahihi,yeye analeta hoja,anatumia vitabu,mjibuni kwa hoja zilizo ndani ya vitabu
@elizabethmwaipopo2303
@elizabethmwaipopo2303 5 ай бұрын
😢
@januaryyotham5514
@januaryyotham5514 5 ай бұрын
Kwan sasaiv vipindi vimebadilika???
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 5 ай бұрын
Hakuna Jiwe linalofanyiwa Ibada Makkah ewe Mpuuzi Danieli kwenye DOA jeusi ulikimbia kujibu hoja unarudi na ujinga huu nilikwambia kabla ya kuongea kasomeshwe unajia aibu kwa chuki za kijinga na kujikokea moto mwenyewe. Kama wewe ni Mkweli waambie watu hilo jiwe limeyoka wapi. Kuna elimu kubwa juu ya hilo sio upuuzi wako unaongea vitu usivyo vijua 1.Hilo jiwe lipo toka Nabii Adamu alitoka nalo Peponi wakati analetwa duniani. 2.Waambie watu hilo jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa na kwa nini limebadilika kuwa jeusi 3.Waambie watu kwàmba Misikiti unayoisema na athari za dini pale aliifundisha Nabii Ismaili 4.Waambie pia watu kwamba Kaaba ni nyumba kongwe kuliko zote na imebomoka Mara ngapi pia huwa inarudishiwa kila wakati Moja ya waloirudishia kunyenyua kuta zake ni Ismaili na baba yake Ibrahimu 5. Sasa wewe unawaongelea Makafiri wa kiquraish wa juzi utakuwa wewe ni mtafiti au mjinga ulojaa chuki. Nakupa hadith za Mtume. Jiwe jeusi lilishushwa kutoka kwa Allah kwenda duniani kutoka Peponi. Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "jiwe jeusi lilishushwa kutoka Peponi." (Ametaja al-Tirmidhi, 877; al-Nasaa'i, 2935. Hadiyth ameisahihisha al-Tirmidhi). Jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zilifanya kuwa jeusi. Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "Wakati jiwe jeusi likishushwa kutoka Peponi, lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zililifanya kuwa jeusi." (Amesema al-Tirmidhi, 877; Ahmad, 2792. Ilizingatiwa kuwa sahihi na Ibn Khuzaymah, 4/219. Al-Haafiz ibn Hajar aliyaainisha kuwa qawiy (imara) katika Fath al-Baari, 3/462). Umeelewa kwamba sisi tunajua jiwe limeyoka wapi? Na vipi tuliabudu wakati wakati tunajua aliyeliumba huko peponi? Kwa akili zako tulijue jiwe na asili yake na tumjue aliyeliumba kisha tumwache aliyeliumba tuabudu jiwe sio?. Nahisi ubongo wako upo kwenye hilo lipua. Nabii Issa hakuwa anafanya ujinga unaofanya wewe Soma masomo ya Tawhiid uache shirki siku zaja utakufa nakukumbusha.
@ostenmwakasita6960
@ostenmwakasita6960 5 ай бұрын
Mungu akubariki mwana wa Mungu

@daudimichael7338
@daudimichael7338 5 ай бұрын
Inasemekana linasamehe dhambi, eti siku ya kiama litakuwa na macho, litakuwa linawatambua Waislamu waliokuwa wanalibusu kwa dhihaka, halitawafutia madhambi yao, na waliokuwa wanalibusu kwa nia thabiti litawafutia madhambi yao. Kama anayesamehe dhambi ni Mungu basi jiwe jeusi ni Mungu wa Waislamu. Soma sunan ibn Majah hadith namba 2944.
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 5 ай бұрын
Hakuna Jiwe linalofanyiwa Ibada Makkah ewe Mpuuzi Danieli kwenye DOA jeusi ulikimbia kujibu hoja unarudi na ujinga huu nilikwambia kabla ya kuongea kasomeshwe unajia aibu kwa chuki za kijinga na kujikokea moto mwenyewe. Kama wewe ni Mkweli waambie watu hilo jiwe limeyoka wapi. Kuna elimu kubwa juu ya hilo sio upuuzi wako unaongea vitu usivyo vijua 1.Hilo jiwe lipo toka Nabii Adamu alitoka nalo Peponi wakati analetwa duniani. 2.Waambie watu hilo jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa na kwa nini limebadilika kuwa jeusi 3.Waambie watu kwàmba Misikiti unayoisema na athari za dini pale aliifundisha Nabii Ismaili 4.Waambie pia watu kwamba Kaaba ni nyumba kongwe kuliko zote na imebomoka Mara ngapi pia huwa inarudishiwa kila wakati Moja ya waloirudishia kunyenyua kuta zake ni Ismaili na baba yake Ibrahimu 5. Sasa wewe unawaongelea Makafiri wa kiquraish wa juzi utakuwa wewe ni mtafiti au mjinga ulojaa chuki. Nakupa hadith za Mtume. Jiwe jeusi lilishushwa kutoka kwa Allah kwenda duniani kutoka Peponi. Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "jiwe jeusi lilishushwa kutoka Peponi." (Ametaja al-Tirmidhi, 877; al-Nasaa'i, 2935. Hadiyth ameisahihisha al-Tirmidhi). Jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zilifanya kuwa jeusi. Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "Wakati jiwe jeusi likishushwa kutoka Peponi, lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zililifanya kuwa jeusi." (Amesema al-Tirmidhi, 877; Ahmad, 2792. Ilizingatiwa kuwa sahihi na Ibn Khuzaymah, 4/219. Al-Haafiz ibn Hajar aliyaainisha kuwa qawiy (imara) katika Fath al-Baari, 3/462). Umeelewa kwamba sisi tunajua jiwe limeyoka wapi? Na vipi tuliabudu wakati wakati tunajua aliyeliumba huko peponi? Kwa akili zako tulijue jiwe na asili yake na tumjue aliyeliumba kisha tumwache aliyeliumba tuabudu jiwe sio?. Nahisi ubongo wako upo kwenye hilo lipua. Nabii Issa hakuwa anafanya ujinga unaofanya wewe Soma masomo ya Tawhiid uache shirki siku zaja utakufa nakukumbusha.
@badruseif1318
@badruseif1318 5 ай бұрын
​@@MB-yq3tymfundishe huyo kuffar asojitambua
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 5 ай бұрын
Ukienda hija unaposujudu kwenye hilo mara 3 na kulibusu, kitendo hicho kinaitwaje?
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 5 ай бұрын
@@BAYYINATDMTV Kajibu hoja nilizokupa kwenye video husika ya DOA jeusi ukimaliza kuzijibu halafu uulizie maswali kwenye video husika na hapa tutakuja si unazijua video zako au huzijui?
@WadySaidi
@WadySaidi 5 ай бұрын
Wewe na Daniel nyinyi mamwehu
@badruseif1318
@badruseif1318 5 ай бұрын
Alafu nimegundua kumbe wewe mzee ni bonge la mjinga ,sasa ulitaka OMAR aseme wewe jiwe ndio Mungu wangu?
@RashidAbbas-zy6xx
@RashidAbbas-zy6xx 5 ай бұрын
Hilo jiwe jeupe la mbimguni umeliona vipi umekwenda? Mpumbavu mkubwa
@RashidAbbas-zy6xx
@RashidAbbas-zy6xx 5 ай бұрын
Uislamu upo tangia Nabii Adam
@selelilumambo2157
@selelilumambo2157 4 ай бұрын
kama uisilam ulikuwepo tangia enzi za Adam..Na mtume Mohammad alikuja kufanya nini
@selelilumambo2157
@selelilumambo2157 4 ай бұрын
wew haujui kuwa uislamu uliletwa na mtume???
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 4 ай бұрын
Hahahaha😅😅 nmecheka Kwa nguvu
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 4 ай бұрын
kwahiyo waisrael na wayaudi ni waislamu pungunza utahira
@richardnganya2311
@richardnganya2311 4 ай бұрын
Sasa Koran ya nini kama uislam upo kabla ya marehemu Mohammed?
@Mpakauseme
@Mpakauseme 5 ай бұрын
Washirikina tu
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 5 ай бұрын
Hakuna Jiwe linalofanyiwa Ibada Makkah ewe Mpuuzi Danieli kwenye DOA jeusi ulikimbia kujibu hoja unarudi na ujinga huu nilikwambia kabla ya kuongea kasomeshwe unajia aibu kwa chuki za kijinga na kujikokea moto mwenyewe. Kama wewe ni Mkweli waambie watu hilo jiwe limeyoka wapi. Kuna elimu kubwa juu ya hilo sio upuuzi wako unaongea vitu usivyo vijua 1.Hilo jiwe lipo toka Nabii Adamu alitoka nalo Peponi wakati analetwa duniani. 2.Waambie watu hilo jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa na kwa nini limebadilika kuwa jeusi 3.Waambie watu kwàmba Misikiti unayoisema na athari za dini pale aliifundisha Nabii Ismaili 4.Waambie pia watu kwamba Kaaba ni nyumba kongwe kuliko zote na imebomoka Mara ngapi pia huwa inarudishiwa kila wakati Moja ya waloirudishia kunyenyua kuta zake ni Ismaili na baba yake Ibrahimu 5. Sasa wewe unawaongelea Makafiri wa kiquraish wa juzi utakuwa wewe ni mtafiti au mjinga ulojaa chuki. Nakupa hadith za Mtume. Jiwe jeusi lilishushwa kutoka kwa Allah kwenda duniani kutoka Peponi. Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "jiwe jeusi lilishushwa kutoka Peponi." (Ametaja al-Tirmidhi, 877; al-Nasaa'i, 2935. Hadiyth ameisahihisha al-Tirmidhi). Jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zilifanya kuwa jeusi. Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "Wakati jiwe jeusi likishushwa kutoka Peponi, lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zililifanya kuwa jeusi." (Amesema al-Tirmidhi, 877; Ahmad, 2792. Ilizingatiwa kuwa sahihi na Ibn Khuzaymah, 4/219. Al-Haafiz ibn Hajar aliyaainisha kuwa qawiy (imara) katika Fath al-Baari, 3/462). Umeelewa kwamba sisi tunajua jiwe limeyoka wapi? Na vipi tuliabudu wakati wakati tunajua aliyeliumba huko peponi? Kwa akili zako tulijue jiwe na asili yake na tumjue aliyeliumba kisha tumwache aliyeliumba tuabudu jiwe sio?. Nahisi ubongo wako upo kwenye hilo lipua. Nabii Issa hakuwa anafanya ujinga unaofanya wewe Soma masomo ya Tawhiid uache shirki siku zaja utakufa nakukumbusha.
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 5 ай бұрын
Mada ya doa Jeusi niliikimbia lini? Je uko tayari kwa mdahalo kuhusu mada ya doa jeusi?
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 5 ай бұрын
@@BAYYINATDMTV Ndio kajibu hoja zangu haraka uache uzuzu. Kwanini wewe ni jitu Ongo na huogopi kudandanya ewe Kafiri Danieli. Wewe sio moja ya vile vitangulizi vya Masihi Dajjal tulivyovifundishwa kweli?
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 5 ай бұрын
@@BAYYINATDMTV We mzee tatizo bangi uwe unapunguza hizo au ulivuta ujanani bado zinakupa athari kichwani. Kwa sababu nimeangalia maada mbili tatu hupatii kabisa kama mafundisho yanavyosema. Sasa wewe Mtafiti gani kama sio juha unawadanganya wasojua kisha mnapiga haleluya kweli?. Hujui hii dhima utaibeba?
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 5 ай бұрын
​@@BAYYINATDMTV Kwa bahati mbaya wajinga wenzako wanakuona kama bonge la msomi yani kumbe bonge la juha, zindiiq mkubwa, kidajjal flani hivi. Kwann uwadandanye wenzako jiwe la Maquraish na misikiti ya Maquraish wakati uislamu umefundisha wapi chanzo cha jiwe hilo? Kwanini usiwaelekeze chanzo upo tu Maquraish, Maquraish si hadaa hizi.
@abilahnamnungu1819
@abilahnamnungu1819 5 ай бұрын
mwankemwa unaumia nini kwa waislam kufanya mambo ya kiislam?acha umbea
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 5 ай бұрын
Na wewe unaumia nini mimi nikitoa tofauti ya jiwe jeusi na jiwe jeupe?
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 5 ай бұрын
Fundisha mpaka wafundishike
@Mpakauseme
@Mpakauseme 5 ай бұрын
Mnakwenda uchawi 😂😂😂
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 5 ай бұрын
​@@BAYYINATDMTV Wewe ni mjinga na unaendeshwa na chuki tu huna misingi ya elimu.
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 5 ай бұрын
​@@BAYYINATDMTV Wapi ulisoma wewe kama sio kutafuta kuchumia tumbo kumbe unachuma moto
@badruseif1318
@badruseif1318 5 ай бұрын
Unawapamba wayahudi alafu unajichanganya mwenyewe, sasa anasema ukimkataa yesu umepotea lakini uzuri wake sisi waislamu tunamkubali yesu na ukimpinga yesu wewe sio muislamu, tatizo lipo kwa hao jamaa zako mayajudi wanaomwita yesu mtoto wa zinaa
@yohanamwamkili4397
@yohanamwamkili4397 5 ай бұрын
Kama ambavyo ismail alivyo mtoto haramu na wa zinaa
@elmeskatto
@elmeskatto 5 ай бұрын
waislamu mnamkubali Yesu kuwa ni mwana wa MUNGU?,mnakubali alikufa na kufufuka?
@badruseif1318
@badruseif1318 5 ай бұрын
@@elmeskatto Hilo kwetu Ni muhali mana nyinyi wenyewe hamujulikani msimamo wenu kama yesu Ni mwana wa Mungu au yesu Ni Mungu hamjui mushike wapi
@badruseif1318
@badruseif1318 5 ай бұрын
@@yohanamwamkili4397 alaa kumbe?
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 4 ай бұрын
​@@elmeskattoWaislam wanaamini Mungu hakuzaa hakuzaliwa na hana mshirika
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 58 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
Diana Belitskay
Рет қаралды 3,9 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 5 МЛН
NOBODY Wants you To Suceed (Muslim Motivation)
6:40
Muslim Boris
Рет қаралды 18
Mtoto mdogo aushangaza ulimwengu ataja vitabu vyote vya biblia agano la kale na jipya
2:09
AGGCI Penueli Gospel Centre Tv
Рет қаралды 1,2 М.
TOFAUTI YA DINI NA UFALME WA MUNGU SEHEMU YA 24
35:37
TumsifuMungu
Рет қаралды 533
Tamko Rasmi la Mitume na Manabii kuhusu UTATU
1:00:02
BAYYINAT DM TV
Рет қаралды 16 М.
JE, QUR'AN ILILETWA KWA AJILI YA WATU GANI?
51:31
BAYYINAT DM TV
Рет қаралды 726