Mwalimu wetu Mungu akubariki Sana, una hoja za hekima ya Mungu, Napenda sana , angalau unge fika kwetu Congo
@ericruyenzi5668 ай бұрын
Miezi zilizopita alikuwa DRC ,Bukavu alijadiliyana na pamoja na Upanga wa radi!.
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Aje akupotosheni zaidi?
@kimsi6827 ай бұрын
@@ericruyenzi566 Upanga wa radi ni nini?
@AkonkwaProductions8 ай бұрын
Tena mwalimu una msimamo wa kweli kuhusu uungu wa Yesu kristo.
@binseif22168 ай бұрын
Duh nawewe unaamini mungu ni Yesu?alitahiriwa na akavishwa nepi,na akalelewa😂😂😂huyu vp tena
@PauloMaona-in4qh8 ай бұрын
@@binseif2216yohana 1:14 ....niambie kabla hajafanyika mwili alitahiliwa???
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Yesu mwenyewe alikua analalamika anasema eloi eloi limaasabakatani Sasa kamyeye nimuungu alikua analia Nini?
@binseif22168 ай бұрын
@@PauloMaona-in4qh Uongo huwa haujifichi,bible yauongo na Mungu amewasahaukisha walokiandika ndomana wakawa wanaandika maneno yanapingana
@hashimchaoga95668 ай бұрын
Mwenyewe Yesu alisema asiabudiwe yeye kwani ni binadamu na masanamu bali mmuabudu Mungu baba yake. Hii nayo hamuelewi?
@hashimchaoga95667 ай бұрын
Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na kila kiumbe ni cha Mungu na wote pamoja na Watumishi wa Mungu husema Mungu baba. Mungu ni baba wa wote akiwemo Yesu
@kimsi6827 ай бұрын
Elewa kwamba, Kuna watumishi wasio wa Mungu! Kuna wale umtumikia Shetani.
@hashimchaoga95667 ай бұрын
@@kimsi682 Mimi nazungungmzia dini zinazoabudu Mungu nnaemwamini na shetani si Mungu ila kuna wanaomwabudu
@samuelmwakasungula1787 ай бұрын
Sule uko vizuri katika hilo, wa Kristo wanashika mapokeo ya dini zao badala ya kuangalia ukweli wa neno la Mungu. Yesu Kristo ni mwana wa Mungu. Alitumwa na Mungu kuja duniani kwa ajili ya kumwokoa mwanadamu. Ninaamini kuna Mungu mmoja na Bwana mmoja ambaye ni mpatanishi kati ya mwanadamu na Mungu
@nicodemuswidambe51326 ай бұрын
Hahahaaa duuh nyie sikio la kufa
@samuelmwakasungula1787 ай бұрын
Wamefundisha vizuri juu ya kufufuka kwa Yesu Kristo na kudhibitisha kwamba pamoja na maombi ambayo Yesu Kristo aliomba lkn mapenzi ya Mungu yalikuwa ni Yesu Kristo kupitia mateso. Ninashukuru sana watumishi wa Mungu, ni naomba kila mmoja achangie chochote kusaidia watenda kazi hawa maana tumeona wanachofundisha
@dadamuebrania15398 ай бұрын
Mganga Sule amelowaaa😅 Utukufu kwa Mungu alie hai Yahweh kazi yenu ni njema waalimu
@jannffer8 ай бұрын
I love this may God take care of this people
@omariSaidmoon2 ай бұрын
Sule umefundisha vizuri sana mungu ata kulipa siyo hawa
@franciscomtambakuluca28308 ай бұрын
Ndacha wew ni mualimo
@JoyceMkini7 ай бұрын
Varikiwa sana mtumishi Ndacha kwakufafanua vizuri Yesu akupe Neema zaidi waeleweshe wajue kua Ni Yesu tu aliyekufa na kufufuka
@frankmwakalinga74557 ай бұрын
Barikiwa sana professor Ndacha
@innocentndikumana89288 ай бұрын
Mashallah dr sheikh Sule wambiye wasikiye waace kumukufuru mungu
@peacemwesigaАй бұрын
Pastre❤❤❤❤❤❤
@ayububikitila35217 ай бұрын
Asante sana Mwalimu wangu
@zamosanaa46938 ай бұрын
Kweli mwl Huyu sule anatakiwa alipe ada maana Hana elimu😂😂
@PeterMalimbwi8 ай бұрын
Asanteni Kwa debate. Swali Kwa Dr Sule: 1.kama mungu alizuia Yesu asiuawe, je alishindwa kuweka mazingira ya kuepusha kifo na akaweza kuleta mtu tofaut auawe? 2.je hiki kifo cha mtu tofaut na Yesu kina umuhimu gani mbele za mungu hadi atengeneze mazingira ya mtu huyu mbadala wa Yesu kuuawa? 3.Je mtu huyu aliyeuawa badala ya Yesu alizikwa wapi? Na kaburi lake lipo? Na Anaitwa nani? 4.Je baada tukio Hilo Yesu alikuwa ktk mazingira gani? Aliishi siku ngapi kabla ya kupaa?na aliendelea na kazi gani kuanzia siku ya kifo hadi kabla ya siku ya kupaa?
@SalmaAbdul-zz7dy7 ай бұрын
Kwani yesu SI anasema baba yake yupo pamoja nae hawezi muacha Sasa kwanini amuache asulubiwe na kitendo Cha kusulubiwa ni mtu aliyelaaniwa kwa mujibu wa 21:22 kumbukumbu la torati..,..ukikubali yesu kasulubiwa maana yake alikua na laana
@frankmwakalinga74557 ай бұрын
Yesu kufa aliandikiwa mauti kwa ajiri ya upatanisho kati ya wanadamu na mungu hivyo kifo au mauti ya yesu isingebatirishwa kwa sababu aliandikiwa na manabii walifunuliwa kuja kwake yesu na kuondoka Duniani baada ya kumaliza kazi aliotumwa na Mungu na mauti yake yesu soma Qur'an 3:55
@WestonMbuba-ff4jk6 ай бұрын
Usiseme mtume wa watu wote. Mimi Muhammad si mtume wangu
@Estherm3098 ай бұрын
Cha kufuraisha unatusaidia kuuelewa zaidi kwanza mimi YESU KRISTO nakushukuru Kwa kufa kwa ajili ya dhambi zangu
@hashimchaoga95668 ай бұрын
Yesu kafa kwa ajili ya zambi zako na huku mkiimba kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe. Unadhani ni mzigo gani kama si dhambi
@Estherm3098 ай бұрын
@@hashimchaoga9566 NDIO Kwa kuwa ukiokoka Na utende ndambi Tena autapata Rehema hila walio okoka Ni wengi Bali watakao uridhi uzima Ni wale tu walio ziacha njia zao Na kumrudia YESU KRISTO hili kusiwe Na mapatano Na shetani tena
@hashimchaoga95668 ай бұрын
@@Estherm309 Huko kuokoka hata wale masista wa shela walioacha kila kitu cha dunia na kumtumikia Mungu hawataji neno kuokoka . Na wsnaojua vizuri udhaifu wa binadamu wanasema hakuna alieokoka yuko hai. Kuokoka kutaamuliwa na daftari lako siku ya mwisho. Kuokoka ni kugumu sana kwani haitakiwi ukasirike usengenye utamani kisicho chako na mengi tu ambayo binadamu wa kawaida hawezi kuyakwepa. Walokole wengi hawawezi kutimiza hata amri kumi za Mungu hasa ya mpende jirani yako kama unavyojipenda katika dunia hii ya ubinafsi na tamaa
@nicodemuswidambe51326 ай бұрын
Ukristo ni dini ya kweli, waalimu wa kiislam mmekwama hamjibu hoja mnatafutiza vi pointi kwa kutafuta uelewa wenu nimashaka sana na elimu yenu.
Shida ipo kwamba watu hawajui kuwa Mungu ni rho hivyo wanadhani alipokufa dunia ilikosa Mungu. Yesu akifa ni mwili bali roho aliiweka mahali pa u baba. Hapa yupo Mungu na shetani
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Hujui kasome yakibo 1 mstari wa 17 utaelewatu maana wachungaji wanachagua Aya zakukusomeeni
@GaheneClever3 ай бұрын
Sur umeshindwahoja
@japhetndoro65338 ай бұрын
Waislamu wameshindwa hii mada
@hashimchaoga95668 ай бұрын
Wewe ni mpambe tu lakini wakristo wanaamini uongo na kutafsiri kivyao kiuongo na wengi hawaelewi wasomacho na wengi hawasomi wenyewe wanasomewa na kupotoshwa
@gervasbeno55898 ай бұрын
Sulle humuwezi ndacha
@AlbertKassa-l4b8 ай бұрын
Uislamu umejengwa kwenye uongo na chuki
@ericruyenzi5668 ай бұрын
Kabisaa !awana elimu ila kelele na wanangangania uongo mtupu !,weko saa watoto wadogo,wana tia uruma !.
@SamweliMaganigani6 ай бұрын
Asante kwa jibu zuri mwalimu mwankemwa
@AlbertKassa-l4b8 ай бұрын
Bila uongo uislamu hautakuwepo
@BernadMpakas8 ай бұрын
YOH 14:8-9 Yesu kasema yeye ni Mungu
@frankmwakalinga74557 ай бұрын
Dini yao hawa watu waislamu ni Dini ya Uongo haiwezekani vitabu vyenu hivyo hivyo vinakubari kafa vingine vinasema hakufa Hio dini yenu inatutia mashaka Sana tena inaonyesha wazi kuwa hayo manenolioyaingiza ya uongo mliyaingiza pasipo kujua kuwa kuna andiko limesema yesu atakufa hio Dini yenu mnaitetea kwa uongo uongo Ukweli hapo haupo Subilini hukumu ya Mungu itawakalia kwa kupotosha watu
@Robert-v8f5e8 ай бұрын
Hata kama ni kweli wao wanapinga tu, YESU KRISTO awasaidie wajue kweli na kumrudia Yesu.
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Hakuna mungu wakutahiriwa
@hashimchaoga95668 ай бұрын
Hakuna Mungu Myahudi
@nasrahgdjuma9308 ай бұрын
@@AliNgurudu-i4r😂😂😂yani you are funny so you think God is limited? Yesu alivaa mwili kama wetu sasa wewe hapo huelewi? It’s sad how you guys have been brainwashed by your god
@nasrahgdjuma9308 ай бұрын
@@hashimchaoga9566alivaa mwili so there for Jesus was God and a fully man so the fully man was alikuwa muyahudi.
@hashimchaoga95668 ай бұрын
@@nasrahgdjuma930God cant play those dirty games you are joking. Avae mwili wa binadamu aje kuishi zaidi ya miaka 30 halafu alipokua binadamu kulikua hakuna Mungu ?!!? Mungu awe mtu halafu azaliwe anyonye ajisaidie atahiriwe abatizwe na ateswe afe afufuke atafute nini katika huo mchezo wa kuchekesha?
@peacemwesigaАй бұрын
Mashehe wanapotosha waumini wao kwasababu kwanza Qruan ni rugha ya kiarabu ngumu pia waumini wao hawajui pia kuisoma kushoto kwenda kulia du!
@StevenMtambo8 ай бұрын
Ndacha MUNGU akutunze miaka mingi ,, sulle mpotoshaji anajitafutia umaarufu usipo maana yaani kusikiliza ndacha sichoki kwani hoja zimeenea nguvu
@BarikielHagite8 ай бұрын
Yaan alla anasababisha mtu mwingine auawe kwa kumfananisha na Yesu kwenye macho ya watesi wakati wao watesi walikuwa wanamtafuta Yesu basi mungu wenu alisababisha mtu asiye na hatia kufa
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Nyinyi makafiri kumbe mukombali sana poleni hata bibliazenu hazieleweki ipiyakweli au ileya Nyerere?
@BarikielHagite8 ай бұрын
@@AliNgurudu-i4r hata kuandika hujui hoja utaelewa kweli😀😀😀
@odilomwemeziernest6468 ай бұрын
Yesu nakushukru kwa kunifanya niwe mkristo.
@ustadhfarouq77298 ай бұрын
Wakristo wote ni wafuasi wa shetani jina hilo mlipewa na wapagani wa Antiokia hvi dini ama imani ya wapagani yaeza kupeleka kwa Mungu, hvi YESU alikua Mkristo je aliingia kanisani kama nyinyi? Ukristo ni biashara ya wazungu na YESU hakuacha kitu yaitwa ukristo kabisa...huu niukafiri tu wakristo wote makafiri SOMA YUDA 1:4.
@venancemwanya42128 ай бұрын
@@ustadhfarouq7729dini ipi Ina uhusiano na majini kama sio uislamu jibu! Nyie ndio mnauhusiano na majini.
@favoritebrayo8 ай бұрын
@@ustadhfarouq7729 akili zenu ni kidogo sana mmembebewa akili ndio maana hamwezi elewa
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Yesu hawezi kukupa dini wewe maana yeye alikua akianguka nakusujudu kama waislam
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Napia hawezi kukufanya kua mkristo bali waliokufanya uwe mkristo ni wapagani
@Joanes-f3s7 ай бұрын
Mungu umemwandaa ndacha kwa ajili ya kizazi hiki ili akawanyooshe hawa
@GethsemaneKwaya8èmeCEPACRutangАй бұрын
Salamu kwenu. Na tena kwanini mariamu alikuja mutafutiya yesu kwa makaburi ikiwa anajuwa yesu hakufa? Waislam muokoke tu
@DafudaDotto8 ай бұрын
Kwa kweli kwenye hii maada umechemka dr sure
@hashimchaoga95667 ай бұрын
Lakini yeye mbona anatafsiri maandiko tu sio maneno yake
@hashimchaoga95667 ай бұрын
Ukichunguza ukweli Mungu hana sababu ya kuruhusu mwanae auawe eti kwa ajili ya dhambi za wengine wakati inaaminika kwamba kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe na kuhusu dhambi ya asili mbona Mungu alishawaadhibu nyoka Hawa na Adam mara tu walipokula tunda. Dhambi ya asili adhabu yake tunaitekeleza kama unakumbuka adhabu aliyotoa Mungu kwa wale wakosaji.
@hashimchaoga95667 ай бұрын
Ukichunguza ukweli Mungu hana sababu ya kuruhusu mwanae auawe eti kwa ajili ya dhambi za wengine wakati inaaminika kwamba kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe na kuhusu dhambi ya asili mbona Mungu alishawaadhibu nyoka Hawa na Adam mara tu walipokula tunda. Dhambi ya asili adhabu yake tunaitekeleza kama unakumbuka adhabu aliyotoa Mungu kwa wale wakosaji.
@nicodemuswidambe51326 ай бұрын
Waislamu mnawadanganya watu poleni.
@felixgitonga67838 ай бұрын
Doctor shule ana jivi mpaka siku ya kiama atakuwa kuni ya jeanamu anapinga ukweli
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Wewe achakusemahivo hukmu anaijua mungutu
@Estherm3098 ай бұрын
Akuna mwislamu atafumbua hilo pegine yule prince wa kuwait atakuwambia kilicho mpata adi akaokoka na bado nampenda YESU KRISTO wa Nazareti Alie hai mruhusu ROHO MTAKATIFU awe Mwalimu WAKO kisha utawaelimisha wakristo
@pascalkalama8 ай бұрын
Kutetea uislamu ni kama kubeba gunia la misumari ukiwa kipara
@selelilumambo21577 ай бұрын
kila ulimi utakiri kuwa yesu ni bwana na kila goti litapigwa mbele zake bwana wa majeshi ♥️💚🤍
@selelilumambo21577 ай бұрын
onjeni muone ya kuwa bwana ni mwema
@hashimchaoga95667 ай бұрын
Mnakosea na mtaenda motoni kwani Yesu alisema msiniabudu mimi wala masanamu kwani mimi ni binadamu bali muabuduni Mungu baba yangu. Nyinyi bado mnapiga magoti kumuabudu Yesu na hata masanamu yake
@nicodemuswidambe51326 ай бұрын
Mohamad ni mtume wa waislamu msitake sisi tuamini kitabu cha mtu mmoja.
@hashimchaoga95668 ай бұрын
Ni kweli waonyeshe palipoandikwa au kusikika Mungu mwenyewe akisema namleta mwanangu aje asulubiwe ili zambi za watu zisamehewe. Halafu inasemwa kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe ukitubu mwenyewe ndio utasamehewa
@thomasbjr27 ай бұрын
Yohana 3:16-20
@RapaFata8 ай бұрын
Yani kweli ukiangalia wakristo walimu ni wasomi. Ukiangalia mashekh kama watoto wachekechea kupiga kelele mpaka wanakera. Hawajiamini kama mazuzu. Ingawa wanashauriana bado hoja ni jiwe hawavunji.
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Tujibu wewe unaejua wapi yesu kajiita mungu? Anzia biblia yanyerere Hadi zamashoga
@RapaFata8 ай бұрын
@@AliNgurudu-i4r Mungu anajulikana kwa matendo yake makuu shekh. Mungu hajiiti tu kama mnavyodhani. Ndio maana allah wenu wayahudi walimkataa mana hakuwa na uwezo wakufanya cjichote.
@hashimchaoga95668 ай бұрын
@@RapaFataHumu kuna mbumbumbu wengi tu Yesu ndio alitumwa kuwakomboa Wayahudi au wana wa Israel lakini walimkataa na kumuua msalabani na hawamtambui kwani wana dini yao Judaism na Mungu wao Jehovah. Nyinyi kazi yenu ni kudanganyana tu kama Shakahola
@RapaFata8 ай бұрын
@@hashimchaoga9566 najua akili yako imeishia hapo. Sasa nipewe maan ya dini. Kwanza umepingana na uislam kusemsa yesu aliuawa. Hi ni kwa kuwa hujui usimame wapi. Naomba maana ya neno dini. Tuanzie hapo.
@hashimchaoga95668 ай бұрын
Kifupi dini ni Imani. Waislam wanaamini kama wasemavyo wale wahubiri wabobezi toka Kenya kwamba Yesu hakuuawa wala kufa kama baadhi ya mitume. Kufa msalabani baada ya kusalitiwa na Yuda kukamwatwa Pilato kuamua kubebeshwa msalaba kupigiliwa misumari kuchomwa mkuki ubavuni kufa kufufuka kama ilivyo Pasaka yote yamo vitabuni na senema zipo. Hicho kifo msalabani kama wanavyoamini ni kuuawa. Sijui swali lako nimelijibu?
@gervasbeno55898 ай бұрын
Ndacha husije fanya mdahalo na Sulle sisi haelewi na mbishi , anakupotezea mda tu
@PendoKalama-rn8pf24 күн бұрын
Ufunuo wa Yohana 2:8 (KJV) Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika; Haya ndiyo aneneyo yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai... kwan kuna ufunuo upi tena jaman hapa sijaelewa
@nicodemuswidambe51326 ай бұрын
Sule kichwa kigumu au ni ushetani ulionao kupoteza watu. Waislam uelewa mdogo kwa tunaosikiliza tunajua wewe ubongo mchache. Unageuza maneno duuh! Hata wakristo hujui ni nani daah! Pole.
@kisosekatere62826 ай бұрын
Waislam mbona hamueleweki andiko liko wazi watu hawakumuuwa Ila! Mungu mwenyewe ndie ame muuwa
@felixgitonga67838 ай бұрын
Uyu shule anasoma bilia kimusikiti Soma hio Mariko 15;16_20 wakamuvua mavazi Tena anasoma madiko nusu
@Nicholaskibewaithaka-qj4ujАй бұрын
Waislamu kwa kweri hawatumii akili. Kwamusema Allah alifanya mtu mwingine kufa badala ya yesu wanamfanya Allah mwongo na mdanganyani
@AllanLyombile-r6y8 ай бұрын
Waislamu wakishindwa hoja wanakimbilia kusema Biblia imebadilishwa na Wakristo, hayo ni maneno ya mkosaji.
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Nikweli Kuna biblia nyingi Hadi Nyerere katengeneza hakwake namashoga wamepewa kipaumbele ni bibliazenu
@Mainguz8 ай бұрын
Sasa kama Allah alifanya udanganyifu ili sisi tuamini kuwa ni Yesu. Hapo anaweza kutueleza Allah kwanini alifanya huo urongo? na kwanini amweke mtu mwengine kwenye nafasi ya Yesu?
@sebastiansalamba3138 ай бұрын
Waislamu wanajaziba mno
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Wakristo mnadanganywa mno
@sylvestersamwel82108 ай бұрын
J@@AliNgurudu-i4rjibu hoja kwa maandiko sio kwa kukurupuka.
@pascalkalama8 ай бұрын
Waislamu ni mbumbumbu
@hashimchaoga95668 ай бұрын
Kuna dini ambayo ina mambumbu wengi hadi wajanja kujiita manabii kuanzisha makanisa kula sadaka eti kutoa mapepo na kujitajirisha wengine kufika mbali kama ilivyokua Shakahola. Katika Uislam huoni mbumbumbu wa kumdanganya hadi ujiue kwa kufunga na kuliwa sadaka kiholela.Manabii wa uongo wanazuka kila kukicha watu wanawafuata na kuwatajirisha. Inajulikana wazi Mungu alikasirika kwa yale ya Sodoma na Gomora ajabu kuna dini haikemei inabariki na hata viongozi wapo mashoga wakivaa misalaba. Wapi sasa kuna mbumbumbu wengi na waovu wa kudanganywa kirahisi na mengineyo
@peacemwesigaАй бұрын
Waislam wako kimwili sana soma hata amri zao kaziiii kulia kwenda kushoto
@zuberkasim71508 ай бұрын
ingelikuwa ni mpango wamungu kumtoa yesu kafara kwaajili ya kukomboa ulimwengu iwejetena akaombe mungu amuepushe na kifo? inaonekana mmoja akuwatayari kati ya mungu na yesu
@HellenaMky8 ай бұрын
Kujibu. YESU arivaa mwili wakibinadamu. Alikufa binadamu 100asilimia. Naaripata maumivu. Kama meanadamu.kwahyo. Hatasisi. Tunapokosea tunapotenda dhambi yeye ndye muombexi wetu. Kwamaana. Anaujua udhaifu wa mwanadamu. Kwamaana. Anaujua. Naaripo paa kwenda mbinguni arutuambia. Atakaye nipenda Mimi naye atakinywea kikombe arichokinywea. Ndyo maana. Wakirsto hata Sasa. Tupo katika vita kari Ila hatutajari kuuwawa. Maana yeye arishinda kifo naakuja. Kumliapa kilamtu kwa kadri ya matendo yake. Mpndwa tafakari. Nibora ufekatika. Imani yakweli
@mwinyijuma26868 ай бұрын
Swaqta Hawa ndugu zetu wako na shida ya kuelewa ndio sababu utaona makanisa mingi ni biashara inayoendelea ya kutoa sadaka punde SI punde kasisi amenunuliwa gari kubwa anaishi vizuri huku wanakondoo wanazidi kutafunwa 😂😂😂.
@magrethdaniel84418 ай бұрын
Je siku ukifika huko mbinguni ukamkuta yesu utasemaje
@hashimchaoga95668 ай бұрын
Yesu hakutwi huko bali atarudi siki ya kiama
@petermgonja85478 ай бұрын
Danieli amemjibu kisomi. Mimi nawakubali
@omariSaidmoon2 ай бұрын
Ndomasalia ya makua ni hao mtaumiza vichwa tu mwenye kuelewa ameelewa
@abelmoturi527 ай бұрын
Leo sule lazima apatiswe
@stevennambunga90938 ай бұрын
Hawa wakina sule wabishi sana,na kama ndio hivyo kila mtu abaki kuhubiri imani yake,asitokee mtu amekaa mbele ya kamera anazungumzia imani mwenzie!!!
Hata kama Yesu hakufa waislam inawahusu nini?? Acheni kutuaminisha na dini ya Muhadi. Msitulazimishe na uislamu wenu.
@Mainguz8 ай бұрын
Sasa Sulle mbona hueleweki. kufa kwa Yesu kulikuja akiwa usinginzini ama alikufa baada ya kupata mateso(kusulubiwa)?
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Mnatuchekesha jamani mungugani anapata mateso uyoatakua mungu au?
@AbedibinRamazanisalum8 ай бұрын
Yesu ni bwana na mokozi wa islam wa bishishi na hawajibu mahada inavo ulizwa wa na ruka ruka tu Professor ndasha ka shinda wa Islamu wote wa Kenya Tanzania adi congo ndasha ndiye kiboko waooooooooo😂😂😂😂
@hashimchaoga95667 ай бұрын
Hebu wasikilize wale wakenya waliobobea kina Salim Daawah na wenzie sio huyo unaemtaja. Ukristo mambo yao ni kama ya Shakahola tu wanaosomea wenzao hawaekewi wanadanganya na wanaosoma wenyewe maandiko hawaelewi wanakariri na kupotoka au kupotosha hawatumii akili yao na kujichanganya tu tofauti na maandiko
@StevenMtambo8 ай бұрын
Hujajibu hoja hapo ,,,unalalamika kwenye mdahalo unaleta stori tu
@allatha7 ай бұрын
Sule amani dhana tu bila hoja,bora angewaachia waislam wanaojjua zaidi yake
@felixgitonga67838 ай бұрын
Soma hio mathayo 27:27_31 alivua tena
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Wachungaji wanakupeni maandiko baadhitu mengine hawakusomeeni maana mtawakimbia watakoma sadakazenu
@abelmoturi527 ай бұрын
Leo sule hana sauti amelemewa
@BofuMlanzi8 ай бұрын
Je, Yesu alifufuliwa au alijifufua baada ya kifo. Mfu ana uwezo wa kujifufua?
@jannffer8 ай бұрын
Ukimujua ni Nani huwezi uliza kajifufua ama akafufuliwa
@jannffer8 ай бұрын
Vile Baba atakavyo mapenzi ya mungu yatimilike
@masindemusa33288 ай бұрын
Hoja jepesi
@hashimchaoga95668 ай бұрын
@@jannfferKwa hivi Yesu si Mungu Baba ndio Mungu
@hashimchaoga95668 ай бұрын
@@jannfferBaba ni nani tena wakati nyinyi mnajidanganya Yesu ni Mungu kwa maana hiyo yeye ndio baba na kumbe sio .Mnajichanganya sana
@AmriAmri-hy6sg8 ай бұрын
Alikua anamuomba mungu yupi?
@emmanuelmatiko73077 ай бұрын
Sure tengua kauri yako, huyo mtume wa watu wote wewe na akina nani ? Don't include us please, huyo ni wa kwenu tu pekee yenu usiseme ni wa watu wote hakuna nabii yeyote aliwahi hata mtabiri ujio wake tofauti na kuwa miongoni mwa manabii wa uongo waliotajwa kuwepo siku za mwisho.
@kimsi6827 ай бұрын
Hawa mambwana na kanzu zao, ndio mafharizayo wa leo. Wamepotosha wengi, wengi sana na hii helimu ya uislamu ya upofu na upotofu. Wanaugana mkona na majini kuwandanganya na kuwapotosha wengi, wengi sana! Uzuni kumbwa!!
@SalmaAbdul-zz7dy7 ай бұрын
@kimsi682huzuni kwenu nyie mulokua na dini Mungu asoitambua ....dini muloletewa na wazungu...biblia kuanzia mwanzo mpaka ufunuo hakuna andiko ukristo ni dini ya Mungu Wala biblia ni kitabu Cha Mungu....
@saadihamadi997 ай бұрын
@kimsi682 jiangalie vzur usjekua miongon mw hao waliopotezw na shetan, kwn unapsema Muhammad haktabriw na manabii ni manabii gn unaksdia? Chunguza vzur sana bila ya kung'ang'ania iman uliyonayo huu ukristo ambao ni dini ya huyo Yesu km mnavosema imeanzia kw nan?, lini? Wap?. Na km kwl Yesu amekja na dini hii ametumw na nani?
@Estherm3098 ай бұрын
Sule auwezi kueleza kuusu YESU KRISTO wa Nazareti Alie hai kama auna ROHO MTAKATIFU Wacha kutudanganya subiri utashuudia mwenyewe
@hashimchaoga95667 ай бұрын
Kuhusu dhambi kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe Kuhusu dhambi ya asili Mungu alishatoa Adhabu kwa nyoka Hawa na Adam na wote tunaitumikia. Sasa Yesu auawe ili iweje? Mbona wakristo mnajichanganya sana?
@hashimchaoga95667 ай бұрын
Mnakumbuka Mungu alitoa adhabu kwa nyoka kwamba atakua adui milele na atatembea kwa tumbo lake Hawa aliambiwa atazaa kwa uchungu na atakua chini ya mme wake na mengineyo na Adam aliambowa atatafuta chakula kwa jasho waondoke bustanini na mengineyo. Hiyo ilikua tayari adhabu ya zambi ya Asili na si Yesu n dhambi zingine wanaimba na kusema kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe na si Yesu. Someni muelewe na mtumie bongo zenu
@hashimchaoga95667 ай бұрын
Tatizo nyinyi mnakariri tu na wengi kusomewa na kutafsiriwa isivyo
@DAVIDMAGHANGA7 ай бұрын
Nawasikitikia waislam quran ndiyo inasema YESU alikuwa na akanyanyuliwa tena ndo inasema YESU hakuuwawa tutaiamini vp tena kama BIBLIA inatuambia shetani ni Baba WA uongo na quran 2:97-98 ililetwa na maadui WA MUNGU inawezaje kusema ukweli,sule anajua ukweli ila anaupindisha hadharani ni MUNGU Tu amsaidie kama wengine vile walisaidiwa wanajua ukweli na sasa wanatangaza injili,ndacha na Daniel hongera
@hashimchaoga95667 ай бұрын
Mara mseme Yesu Mungu mara kaomba kwa baba yake mbona mnajichanganya tu
@hashimchaoga95667 ай бұрын
Kuran huijui unadanganya kama mnavyodanganyana kule Shakahola au anavyodanganya Mzee wa Upako anaesema biblia imeandikwa maskini wasio sadaka hawatakiwi kanisani na Mungu hataki maskini
@SalmaAbdul-zz7dy7 ай бұрын
Wacha unafiki 2:97-98 aliyemfanyia ushinde jibrilu kuwa ndie aliyempelekea utume nabii Muhammad asiwapelekee mayahudi ni Bure munamuonea Hana kosa jibrilu hakika yeye ameteremsha Quran moyoni mwako kwa idhini ya Allah Quran sio biblia Wala gazeti
@frankmwakalinga74557 ай бұрын
😢Dini ya uislamu inauongo sana mbona kwenye hio hio Quran 3:55 inasema Hakika ewe isa nitakufisha Kisha nitakunyenyua juu Hapa mnaongea tena hakufa mbona mnaungo kwenye kitabu chenu? Quran 3:55 Kitabu chenu nichauongo manatetea uongo
@HAPPYSULE8 ай бұрын
Pasta ndacha usimwite tena huyu sule nihewa kabisa ni lipinga krsito na laana ya kukufuru roho mtakatifu ipo juu yake.
@SostenesMabala-tt8pt16 күн бұрын
Yani chukua pesa za wapumbavi tu. Ndacha hujui kitu
@MengiMatiasАй бұрын
Sasa mbona mnatuchanganya ipi dini yakweli kila upande naona unahoja kulingana na kitabuchake tu Sasa kipi nichakweli
@richardmjema83218 ай бұрын
Mbona sule kajibu mwenyewe
@abelmoturi527 ай бұрын
Sule toa maandiko sio kwa maneno ya mdomo wako
@Mainguz8 ай бұрын
Sasa Huu mjadala au mtu aliyefeli anajitahidi kutunga uongo ili aonekane anajua!! unakujaje kusema hukuja kujibu hoja bali kufundisha, siungekaa studio kwako ukaongea yoooote kisha ukapost ikaisha. Hii ndo inaonyesha ni namna gani Sulle alivyo kilaza kwenye mambo ya Imani ya Kristo n ahata huo uislam wake.
@shadrachkamyori99118 ай бұрын
Mauti ya Kristo inawalaza tongo macho waislamu. Kuikana mauti hiyo ni motoni 100%. Sule anapapasa. Moyo wake unamhukumu. Majini yake yatamwacha pabaya. Mbele ya Yesu majini hutetemeka. Sule hamaliziii andiko.....anasema eti ishia hapo😅😅. Sule atajuta kuikana mauti ya Kristo.
@odilomwemeziernest6468 ай бұрын
Haya ni mawazo ya Muhammad na Allah wake waliyosilimisha majini.hivyo ni wapingaji.
@ustadhfarouq77298 ай бұрын
Biblia iliandikwa na Watu hata walikua sio wanafunzi wa YESU wala hawakua wayahudi mfano, YOHANA na MARKO biblia nikitabu fake sana YOHANA ndiye huyo huyo MARKO lkn kwenye Biblia nikama waandishi wawili tofauti je huu sio upimbi na ujinga kwa ufupi anaitwa YOHANA MARKO lkn biblia yawafanya kama ni waandishi wawili tofauti 😢Huyu hakumuona YESU wala hwakua myahudi bali MTU wa Roma yaani murumi swali aliandika Vipi injili wakati wakati wa YESU hakuapo wala hajamuona YESU kama ww umsomi wa Biblia njoo unijibu Biblia ni story book wenye waliandika wengine walifanya tu research kama vile LUKA,LUKA 1:1...alitafuta tafuta ukweli wa mambo hayo ili naye aandike...hakuna roho mtakatifu hapo.... eti Biblia ni neno la Mungu Uwongo ni story za Warumi tu.
@hellen90567 ай бұрын
Quluani nayo imeshepiwa maana kungine inakubali Yesu ameinuliwa na kungine inasema Yesu hakufa na hiyo nayo imechakachuliwa kwa nini ipingane kama nikitabu cha kweli?
@SalmaAbdul-zz7dy7 ай бұрын
Hakuna Aya katika Quran inayokubali yesu alikufa....munawasikiliza awo makafiri wanaopindisha maandiko na hawayamalizi....wewe kama iyo Aya unaijua katika Quran yesu alikufa itoe
@saadihamadi997 ай бұрын
Kwn kuinuliwa ndo kule kufa msalaban kw uelewa wko ama vp? Maan kuinuliw ni kutukuzw na kufa msalaban ni kulaaniw, sasa unadhan wap Quran inapingana?
@frankmwakalinga74557 ай бұрын
Soma Quran Almran 3:55 inasema Ewe Issa Hakika nitakufisha kisha nitakunyenyua juu kisha nitakutakasa na wale walio kufuru Waislamu ni waongo na Dini yao tena ni wapotoshaji na Dini yao hii ya Majini Malaika waasi waliowekewa hukumu ya moto😢😢
@frankmwakalinga74557 ай бұрын
@@SalmaAbdul-zz7dy Soma Quran Almran 3:55 inasema ewe isa nitakufisha kisha nitakunyanyua juu nitakutakasa na wale waliokufuru acheni upotoshaji na Dini yenu ya Majini😂
@Mainguz8 ай бұрын
Sasa Sulle Mada ni nguo aliyovalishwa Yesu ama ni KUFA ama HAKUFA? Ikiwa ndo usomi wake uko hivi abaki kufuga majini tu huko Msikitini.
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Mtaelewatu iposiku hatamzee wa upako anayajua hayo nandomaana hamumpendi
@brighton36934 ай бұрын
yani sure hawezi kuongea mpk aanze kuwapanga waisilam kwa maneno ya mitazamo yake sasa utangulizi wake umeandikwa wapi
@paulojohn55048 ай бұрын
Kweli sure wewe maneno mengi auna lolote keleletu zimekujaa
@franciscomtambakuluca28308 ай бұрын
Ni kweli
@jafarimsigwa2778 ай бұрын
Hivi upande wa waisilam hakuna mwanazuoni mwingine zaidi ya Dr sule Kama walivyo waKristo?
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Hata ashuke yesumwenyewe aseme wakristo hamtomuelewa maana mushapotezwa
@nasrahgdjuma9308 ай бұрын
@@AliNgurudu-i4rwalio potezwa😂 ninyinyi na uyo mtume wauongo asiejulikana. Mitume wapo wazee 24 tu na wote ni Jews waarabu lini walibarikiwa?😂😂😂 Ndomana Yesu alikuja kutokomboa❤because mitume case was closed so nyie ndo mmpotea
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Hahahahahahah! Wakristo poleni sana maana waliolala katika Cristo wamepotea ikanushe naio imo katika biblia napia yesu mwanyewe anasema Mimi sikuletwa ila kwa Wana wa Israelitu muliobakia mnajipendekezatu hamjulikani
@nasrahgdjuma9308 ай бұрын
@@AliNgurudu-i4r pole wewe ulifata Mtu ambaye kaoa mtoto wamiaka sita nakuwaibia Mali wayahudi uko Saudi. Yesu ni mwana wa Mungu and he’s the messiah bila Yesu mbunguni Huendi Yesu ndio njia ya Kweli na uzima. Hizo dini zenu mlipewa na shetani May Jesus open your eyes before it’s too late.
@AliNgurudu-i4r8 ай бұрын
Hahahahahaha! Dini yawapakwa mafuta mnachekesha yaani nilijua nilichokuandikia mwazo utapinga kumbe ulikubali kwamba waliolala katika Cristo wamepotea
@DafudaDotto8 ай бұрын
Kama huna hoja sure bora kukaa kimya nalo ni jibu kuliko vituko vya mahindi kusemea mahindi ni mchele boa kabisa😅😅😅😅😅
@Mainguz8 ай бұрын
Huku kwenye Laana ndo anazidi kujichimbia shimo kabisaaa
@StevenMtambo8 ай бұрын
ivi huyo shehe amepewa Nini Kwa ubishi usipo na akili ,,,tena , waislam ndio walio pindisha ukweri wote wa bible
@odilomwemeziernest6468 ай бұрын
Mbona yeye kajibu hoja zakoo.
@peacemwesigaАй бұрын
Huyu shehe mbona yuko nje ya mada kupotosha waislam????
@Mainguz8 ай бұрын
Kwanini amekimbia kumalizia hiyo Yohana 19: 16-17 na kuendelea. ili atuambie huyom aliyebadilishwa na Allah aliingia wapi kuchukua nafasi ya Yesu, Je anamini aliyejichukulia Msalaba wake alikuwa Yesu ama ndo yule fake?
@pascalkalama8 ай бұрын
Kule tunaelekea waislam watakua wakisikia wakristo wanawaita kwa mahojiano wanakimbia
@hashimchaoga95668 ай бұрын
Sikiliza wale wahubiri wa kenya akina Salim Daawah halfu uone nani atakimbia. Hawa leo wamekutana na watu wasiobobea lakini midahalo mingi wakristo hua wanashindwa kwa hoja zilizomo vitabuni. Huyu muislam wa leo hana uwezo mkubwa sana.
@SalmaAbdul-zz7dy7 ай бұрын
Swala la kua wapi yesu anasema biblia ni kitabu Cha Mungu limewashinda kazi kungangania mwana wa Mungu mara karithi....maandiko hamuna