Mungu, mungu, mungu, mungu, mungu, mungu, mungu, mungu, moto uwake juu yao wasio tenda haki.
@deushoseaАй бұрын
Njaa kweni ni imekuwa Kali Sana, tukimbilie wapi jamani,
@AliSalim-yu4moАй бұрын
Njaaaa au shibeee!🎉🎉🎉😂
@HkilaveАй бұрын
Hii ndiyo michawa Mungu atawalaani
@amosmahona433Ай бұрын
Uhuru wa kutoa mawazo kila mtu anahaki hiyo kwa hiyo siwezi kuwashangaa
@JacoboNaftariАй бұрын
Acheni uchawa bado tunaye mwabukus hatuna shida
@faridsalehmohamed1230Ай бұрын
Hawa wametumwa kuvuruga hiko chombo
@Dance255tzАй бұрын
Mawakili hao vijana ni Wapumbavu.... Badala ya Kupeleka Kesi kuhusu mambo ya Msingi yanayohusu Nchi wao wanapigia Kelele 100,000 .... Poor Ndumbaro and his fellow
@usafiaps318Ай бұрын
Wewe Joseph ,Una Akili Sawa Kweli.Wewe Na Wenzako Ni Bure Kabisa.Akili Za Kubambika.
@SmartOfficial-u5jАй бұрын
Wanatafuta nafasi ya uchawa ccm na serekalini
@hamzakimaro376424 күн бұрын
Mwakabusi ana tamaa anadhani TLS ni chama chake cha kujinufaisha!!vijana kataeni huo wizi!!
@SaidiSheriaАй бұрын
Chama gani kisicholipiwa ADA KUMA ZENU
@abnermzephaniah8683Ай бұрын
Kesi ikiisha TLS msisahau kudai costs
@andersonmwakalinga1373Ай бұрын
Very interesting!
@stewartdyamvunye-wz6rnАй бұрын
Not only interesting but indeed the Satanic evil spirit has now established deep roots in the Tanzaniana society from top to bottom. As a result wisdom have been cmpromised!
@margarethpolepole7438Ай бұрын
Hao Watu waajabu Mungu mlinde Mwabukusi njaa kali Mawakili hao kulipia Ada inakushinda laki moja
@ChristerKokАй бұрын
Mawakilu vijana,inamaana hamjaona mambo muhimu ya kulisaidia taifa lenu,mnakuja kusumbua vichwa vya watu,hayo mambo ya ndani.
@juliusmlula1658Ай бұрын
Njaa na uchawa kutumwa inawasubua Mwambukusi chapa kz kuwasaidia wanainchi wanaopindaji wa Sheria wameanza kuhangaika kupitia wahuni Hawa vijana
@SephaniaMsigwaАй бұрын
Mbona na ccm wanachama wanalipa ada pumbavu acheni uchawa
@williamkeita1519Ай бұрын
Vinasura ya kichawa iliyojaa unafiki😂
@benedictgamuya8855Ай бұрын
Mmekosa hata mvuto. Mjomba nae sijui hajiamini.
@richardnganya2311Ай бұрын
Kukosa kazi zenye tija kunazalusha upotezaji muda. Watu wengi wanahangaika kupata msaada wa kisheria huku wasomi wananadi madai ya haki
@mrimiangalo5317Ай бұрын
Wametunwa na ma ccm hao kuvuruga chama
@MbokaRechadiАй бұрын
Kwanini msiongee na wenzenu au mnataka sifa tuu , mambo ya kushtakiana upuuzii
Hawa vipi nao wataka waigizwe kazini hapa wanatuma maombi ya ajira serekalini tumewashtukia
@AyubuChacha-u6uАй бұрын
Ccm wanawatani watu kwani TLS wana shida gani CCM CCM na matukio yenu ni mengi sana na mipango yenu ni hovyo tu.
@hongerakimbwala8650Ай бұрын
Njaa zinawasumbua
@Joe-tr2vkАй бұрын
Nyinyi vijana mnatumika kuitoa TLS kwenye mambo ya msingi. Hakuna vikao vya ndani vya TLS vinavyoweza kushughulikia malalamiko ya wanachama wake hadi muende mahakamani?
@josephmallya5525Ай бұрын
Mbona hawana ushirikiano
@augustinonestorysasi3683Ай бұрын
Mshitaki wanaoleta vita katika Nchi yetu!! Sio ada !! Sindukeni police toa HaKi Hamjaona Vita Tusifike
@zakariapaulowiliamuwiliamu1840Ай бұрын
Hawana lolote hawa
@nditiPeterАй бұрын
Hayo ni matusi kwa wanasheria
@Leodimk-n5cАй бұрын
Hawa nao wametumwa na nani tena
@paulmteki8196Ай бұрын
Mmetumwa nini?
@stanastana3199Ай бұрын
Wabadilishe taaluma basi
@msangioffice500728 күн бұрын
Vijana wana hoja za Msangi msiwadharau mawakili kibao hawana pesa alafu acheni ushamba kudharau uhuru wa haki za wenzenu washamba nyie kwani kwenda kwenye mkutano ni lazima
@PatrickMapinduzi-q5dАй бұрын
Hao vijana ni wapmbv wanaleta hoja za kijinga wanakosa laki hata wazazi waliowalipia ada wajue wanahasara au ni watoto wa mama
@SephaniaMsigwaАй бұрын
Mbona vita inanukia ya sisi kwa sis jamani
@HkilaveАй бұрын
Hawa wametumwa
@healingclinic698Ай бұрын
Wajinga nyie mnatafuta kupewa nafasi mataila kabisa
@SilvanusThomas-b5jАй бұрын
Sijui mkoje sasa mnatakaje?
@ymohammed963Ай бұрын
Kwani TLS imefanyaje
@HonestMchauАй бұрын
Mmm
@JackKanyigoАй бұрын
Ukimtazama huyu jamaa wa kulia..utagundua hata yy aelewi wanachokifanya..alisema Ney wa Mitego kuwa tuna wasomi wajinga sana