Semeni tuchange pesa pesa tunazo kwani tutashindwa hatujashindwa
@hamzakimaro376424 күн бұрын
taratibu tls inageuka kuwa chama cha siasa!!! Nendeni kwa msajili wa vyama siasa,msaidiane na chama cha tec chini ya mwenyekiti KITIMA!!
@usembiphonedar563224 күн бұрын
Ninyi machawa wenye majina,Hamis,hamza, juma,Abdullah,Abdul na mengine mfano wa hayo kazi yenu ni kupinga kila kitu! Jamii imeshawajua! Mtaongea sana lakini Mungu akiamua jambo litakuwa tu hata kama litachelewa!!! Sijui hoja yako hapo ni nini! Kwa TLS na TEC???!!! Mbona huongelei BAKWATA?
@ChristerKok26 күн бұрын
Kwani mambo yenu nyie TLS mnapangiwa na nani?
@msangioffice500726 күн бұрын
Wote tunajua hakuna kikao cha billion moja kila Wakili atoe laki moja kwa agm vp kama sitaki kuja nataka niingalie agm online yani nyie mmezingua sana bora mngesema tutoe elfu 20 na sio laki moja mmetukosea kwa kweli na kila mtu akiuliza mnasema huyu ni ccm hatutaki wanasiasa kwenye chama chetu hiyo laki si bora ninunue suti 💔💔 hayo mapingamizi ni dalili ya kuzuia haki