Mama bishopu wetu unatulisha chakula kilicho shimba wamama mbona hawaachi mapambo we mwenyewe kwenye ushuhuda ulio tumwa na BWANA kutoka mbinguni ulisema uliowaona jehanam sio waliokuwa majambazi wala sio wauwatu wala wazizi wala waogo mbali hata na wanaojipamba wako kwenye magojeo wamesubili hukum mama yetu MUNGU aedelee kukuiniwa zaidi
@pascalinamukui84002 ай бұрын
Jamani mbona hii video haikua na sauti 🎤?
@user-cq8nd4ek8wАй бұрын
Jamani tunaomba uje Arusha
@pascalinamukui8400Ай бұрын
@@user-cq8nd4ek8w Na mungu aniwezeshe nije natamani sana kufika Arusha🙏