BOMOA TUTAJENGA KESHO WIMBO ULIOFUNGIWA NA UMOJA WA VIJANA MKOA WA DAR ES SALAAM
Пікірлер: 13
@mauzifransis1156 Жыл бұрын
Wanamuziki wachache sana qaliobakia ambao watakupa uhalisia wa historia ya Muziki wa Tanzania. Big up Mzee wangu .
@zamaziletanzania Жыл бұрын
Asante sana ngoja nijitahidi
@clemencekiwonde304 Жыл бұрын
Nakukumbuka sana Mr John kitime kwenye mkesha wa mwenge pale community centre iringa 1988,ukiwa na tancut,oooh nilienjoy sana,Kari sana Sumbawanga,mimi kiwonde wa imgama
@zamaziletanzania Жыл бұрын
lohh zamani sana, nimeshapiga kwenye mikesha ya mwenge mara nyingi mpaka nimesahau
@chikimchoma2980 Жыл бұрын
Nadhani umesahau kutuambia sababu ya kuondoka kwa Orchestra Mambo Bado kuwa ilitokana na kuumwa sana mkiwa kwenye treni na jamaa hawakujali hali yako...
@zamaziletanzania Жыл бұрын
Mambo mengine bora kusahauliwa
@chikimchoma2980 Жыл бұрын
@@zamaziletanzania Hahahaha kwa kweli
@alisuleiman9627 Жыл бұрын
Kazembe wa kazembe namkumbuka mwaka 89 Mwananyamala kwenye baa ya sun light walikuwa na bendi walikuwa mazoezi
@clemencekiwonde304 Жыл бұрын
Kasaloo kyanga na kyanga songs wale pema peponi,nimewahi kuwaona 1990,tancut club kihesa
@zamaziletanzania Жыл бұрын
Amina
@sadickjuma72649 ай бұрын
Huo wimbo uliouweka hapo chinichi ingekuwa vizuri du nilikuwa kwetu nachinga bado 😂
@BakarNasoro-fq4sc9 ай бұрын
Sio sh 300 ni sh 3 ukisema sh 300 unatukosea mashabiki sababu night yetu kila siku ni sh 10 kwa mwezi sh 300 haya