KUFUNGULIWA VIFUNGO VIZITO
0:28
TANZANIA YAPEWA ANGALIZO
8:16
Ай бұрын
ANGUKO LA VIONGOZI WA KIDINI
16:34
BISHOP GWAJIMA RAIS 2025
6:45
4 ай бұрын
IBAADA YA MATENDO YA MUUJIZA
2:18
USIWAAMINI WAGANGA NI MATAPELI
1:44
MAMLAKA YA MUNGU NDANI YA MTU
1:41
RAIS WA TANZANIA ATAKIWA KUTUBU
3:22
MUUJIZA BAADA YA WA KUPATA MTOTO
7:49
FAIDA 9 ZA MATUMIZI YA DAMU
15:20
Жыл бұрын
BABA AMWANDIKA MWANAE KUWA KAFARA
1:34
MATUMIZI YA DAMU Part 1
14:42
Жыл бұрын
FREEMASON AKAMATWA NA VIFAA VYAKE
3:35
MAUTI IMEGEUZWA KWA ALIYEITUMA
2:28
BIBI ANG'OLEWA NDANI YA MJUKUU
3:01
WAKALA WA FREEMASONS AKAMATWA
1:50
MAMA WA KAMBO KAMSHIKA AKILI
3:42
YESU KRISTO AMETENDA MUUJIZA
2:44
KAZI YA WOKOVU WA KRISTO
1:06
Жыл бұрын
MIUJIZA YA YESU KRISTO
2:32
Жыл бұрын
JUMAPILI YA 6 YA HUDUMA
1:36
Жыл бұрын
AMEUA WENGI KWA AJALI KICHAWI
2:15
USHUHUDA PART 1 @Elijah-TheSeerTv
2:13
Пікірлер
@AbubakaryOmary-m6l
@AbubakaryOmary-m6l 7 сағат бұрын
Unabii unasemaje kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar
@happymrema7487
@happymrema7487 Күн бұрын
Yan huyu hatumtak kabisa mb aje kijan makond
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 15 күн бұрын
MASWALA YA KIROHO NI NGUMU KUFANYA SIRI, KWA SABABU UKIKAA BILA KUSEMA WAKATI MUNGU AMEKUAMURU USEME, NI HATARI . SASA JE? NI VEMA TUMUOGOPE NA KUMTII NANI MWANADAMU AU MUNGU ? JIBU NI KWAMBA MUNGU PEKE YAKE NDIYE ANASTAHILI KUTIIWA. WATU WOTE TUMTII MUNGU
@nurumwita9034
@nurumwita9034 17 күн бұрын
Huuu unabii kuna mtumishi wa Mungu ni wa kijijini ata smartphone hana aliambiwa na Mungu 2025 Rais hatakuwa samia ila hakuambiwa raisi atakuwa nani aliambia Samia hataendelea
@yordanyona1234
@yordanyona1234 19 күн бұрын
Naaamini
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 21 күн бұрын
Kusudi la JEHOVAH MUNGU Litimie
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 22 күн бұрын
Ndio maana paulo akasema hata akili zangu nazitumia mama samia alisogezwa na magufuli.shujaa wa africa na magu.Mungu.kampenda.zaidi mama samia.asipotawala 2025 basi magu.hukumfanya awe makamu.wa raisi Tanzania gwajima miaka ijayo.2025.mama.samia.ataongoza.akili za kibinadamu zitumike ikiwa shujaa wa africa alimteua.ataongoza Wantanzania tupunguze maneno mabaya yatatuhaibu.tabia.zetu
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 22 күн бұрын
Ndio maana paulo akasema hata akili zangu nazitumia mama samia alisogezwa na magufuli.shujaa wa africa na magu.Mungu.kampenda.zaidi mama samia.asipotawala 2025 basi magu.hukumfanya awe makamu.wa raisi Tanzania gwajima miaka ijayo.2025.mama.samia.ataongoza.akili za kibinadamu zitumike ikiwa shujaa wa africa alimteua.ataongoza Wantanzania tupunguze maneno mabaya yatatuhaibu.tabia.zetu
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 22 күн бұрын
Mungu hana.haraka.gwajima.atakuwa.rais.Tanzania ila haieleweki tuendelee kumuomba.Mungu.wakina.yehu.waliambiwa.watakuwa.wakasahaulika.baadae ikawa usiingie kimwili utaiharibu.Tanzania.ulimwengu.wa loho unaonyesha.gwajima.ni.raisi lakini muda haujaonekana.wito.wa Mungu.hauna.majuto Askofu gwajima aendelee kuomba na Tanzania kwa ujumla
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 22 күн бұрын
Ukute ni miaka.ijayo.maana Mungu.hawahi.wala.hachelewi.msije mkaanza.kuleta.lazima.apite tuende.taratibu watanzania mama samia alisogezwa na magufuli mama samia atamsogeza.gwajima msilazimishe.acha.Mungu.afanye.mambo.yake mm namuona.gwajima.2030.lakini.2025.ni.samia Mungu.mwache.atende
@thomasmwakatobe8207
@thomasmwakatobe8207 23 күн бұрын
Mmmmh sijui ila Mimi namwona tena Mama Samia tena ndugu
@robertwottson9100
@robertwottson9100 25 күн бұрын
Ni shauri kwamba ni vzr jambo kama hili kuwa Siri na si mitandaoni. Mama yetu Samia akimaliza kipindi chake ndo jambo kama hili lingefaa kusikika ila Kwa sasa nikumchanganisha na mwenekiti wa chama(ccm). Mm nijuavyo baada ya mama Gwajima ataongoza kupitia ccm. Na bora bishop Gwajima asieleweke kuwa amewatuma wanaotoa taarifa hizo. Hata mm najua bish.Gwajima ni Rais ajaye baada ya mama.
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
Hivi mnawaona watanzania ni matahira wamchague gwajima?
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
Naiwe ivo kwa maana gwajima ana hofu ya mungu tutashukulu sana mungu tenda muujiza
@blessingcharles-lc1rr
@blessingcharles-lc1rr Ай бұрын
Mtumishi ukko sahihi lakin utabiri Kama huu uliwakutolewa na shekhe yahya baada ya mwanamke upinzani utatawala Sa mimi najiuiliza haya mambo ya kiroho ni ajabu
@EvethaMpakasi
@EvethaMpakasi Ай бұрын
Tuombe tuombevtuombe watanzania kusudi la Bwana lisimame,lisimame
@EvethaMpakasi
@EvethaMpakasi Ай бұрын
Amen
@user-zm7ie5lg1k
@user-zm7ie5lg1k Ай бұрын
Let it be in Jesus mighty name. U deserve the sit. You are full of wisdom.
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 Ай бұрын
JAMANI ACHENI UHUNI MBONA SASA MNAMUHARIBIA GWAJIMA
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn Ай бұрын
Huyu saia awasgize wa DPW watulipie maana amewang, ang, ania wawekezaji wa has also hats siku ile anawTekana viongozi wetu wa dini kwa dharau akiwafananisha na chura akipongeza DPW ambao hata michanga yao haukufika hata trioni huyu mama hashauriwi na watu wa busara . Bakuli limetumaliza anadhanani wazungu ni waume zake.
@rastheunique
@rastheunique Ай бұрын
Eeeh Mwenye Enzi Mungu Turehemu sisi waja wako😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@talentshow2024
@talentshow2024 Ай бұрын
Bado tunatembelea ile neema ya Magufuli siku si nyingi tunaelekea alikoanzia magufuli.
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv Ай бұрын
@@talentshow2024 haswaa
@vumiliambogela8413
@vumiliambogela8413 Ай бұрын
Naiwe hivo kwajina LA Yesu
@vumiliambogela8413
@vumiliambogela8413 Ай бұрын
❤💟❤💟💕🖐🏻🖐🏻🖐🏻🙌🏻🙋🏻🙈😀😀😀😀
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi Ай бұрын
Siku ya kuapishwa rais utauweka uso wako wapi?
@maryworkman635
@maryworkman635 Ай бұрын
Mimi hapa naona ni kumuombeya Gwajima, na kama ni ukweli MUNGU, atatumiya mtumishi wake wa kweli. Wewe umesema hutaki kumtisha Mama Samia na mbona umeyasema hote hapo, jumani tuzipimeni hizi Roho tujuwe ni kweli za MUNGU au? Na tuanzeni kuwaombeya sana Wachungaji shetani anawatumia sana sahi anajuwa hana muda uko mbioni sana, na Wana wa YESU tuamkeni piya tupendane na tuombeyane, YESU atatushindiya yote Amena!
@marympochela7903
@marympochela7903 Ай бұрын
Amina sana mtumishi wa MUNGU, Elijah
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv Ай бұрын
Blessings
@deogratiasrutabana2387
@deogratiasrutabana2387 Ай бұрын
Rais ajaye baada ya Rais Samia ni Mkristo wala si Mkristu au dini nyingine lakini pia sio mwanasiasa kwa sasa wala haitwi Mchungaji, mwinjiristi, mwalimu, mtume na nabii yeye ni mtumishi wa Mungu wala upatikanaji wake sio kwa njia ya kupigiwa kura kwa maana sasa hivi utawala wa taifa hili hupo chini ya Roho Mtakatifu na Mungu akitawala sio wa demokrasia bali anatumia ufalme. Rais Samia yeye anawakilisha utawala wa Roho Mtakatifu maana mwanamke kwenye Biblia ni kanisa na kanisa sio jengo ni Roho Mtakatifu. Nimeongea kwa password kwa sehemu kubwa kunielewa si vyepesi bali Roho Mtakatifu ndie akusaidie kuelewa in Jesus Christ Name.
@user-iu4du7ws6s
@user-iu4du7ws6s Ай бұрын
As Kody Gwajima anafaa sana hâta ukisikiliza kwenye Bunge tangu anaingia hoja zake zote Zina NGUVU sana ukilinganisha na wenzake, ana maono y’a msingi
@msamgunda7684
@msamgunda7684 Ай бұрын
Shekh yahya hussein alisema "atakae mpinga kikwete atakufa"waganga mnatabu sana.mnajua kupanga mipango sana.kaz njema.
@ekadomwambene899
@ekadomwambene899 Ай бұрын
Tutamkumbuka dugai alivyosema
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv Ай бұрын
Exactly ndugu yangu
@BernadethaMweni-nt4kd
@BernadethaMweni-nt4kd Ай бұрын
Utabiri myezi iliyopita kua Gwajima ndiyo Raisi ajaye iweje tena usema ni Mama Samiya kaaUkijua JEHOVA siyo kinyonga swali tuamini lipi?usituchanganye.
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv Ай бұрын
Ndugu hiyo post ya Samia Ni nyuma Sana Mungu alisema atubu akagoma kufanya ivo. Ndipo yalipokuja hayo ya gwajima
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Ай бұрын
Hapo ni mbuzi na gitaa
@micahnjoroge3685
@micahnjoroge3685 Ай бұрын
Atakosana. Na Mungu kabisa. Na wewe na bii tumia hekima. Kwa unabii wako. Usiwe hio ni mapezi yako
@edwardkasubi5135
@edwardkasubi5135 Ай бұрын
😂😂😂Yaaaaaaani Taifa lina matatizo kibaoooooo hamuonagi Solutions ila mnapewaga maono ya nani atakuwa RAIS ? Wachungaji kama wewe mna mchango mdogo sana ktk TAIFA
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETI LIHIMIDIWE MILELE!
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 Ай бұрын
Natamani SANA sanaaaa Hata kura nitapiga SANA huyu ni MTU mwema SANA na ni Mtumishi wa MUNGU wa Kweli. Gwajima ni ana sifa zote za kuongoza taifa letu.
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 ай бұрын
Sio kweli
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 2 ай бұрын
Nitampa kura yangu kbisa❤❤❤my president josephat gwajima
@HosianaBuuta
@HosianaBuuta 2 ай бұрын
Watu wa Mungu SI Kila mambo ukionyeshwa na ni ya kuongea mtandaoni,hekima inahitajika
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 2 ай бұрын
Pole Sana
@richardmariki4512
@richardmariki4512 2 ай бұрын
Pata habari ya leo juu ya askofu shoo.soma nipashe
@isaacmollel345
@isaacmollel345 3 ай бұрын
Tofautisheni sauti yaMungu na mashetani😊
@isaacmollel345
@isaacmollel345 3 ай бұрын
Tofautisheni.ndoto maono.naufunuo.ngwajima niAskofu.ktk.kanisalake.Anaweza kuwa.Rais ktk kanisa lake.kwasababu.ameandaliwa.nakuaminiwa na watu wake inawezekana muonaji kaona hivyo chadema niwatu makini usimlinganishe.ngwajima na lowasa chadema.tunaviongozi wazirituu wachungaji kaeninakutafarini sana latoya sauti ya Mungu aliyehai nasauti yaasheyani
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 3 ай бұрын
Subiri ukue kidogo usilazimishe kuelewa Mambo yanayokuzidi kifikra
@isaacmollel345
@isaacmollel345 3 ай бұрын
Wachungaji.acheni kuwapotosha.watu.huu unabii mnatoa.wapi kitabu kipi asipokuwa sasa tuwamini.kinanani? Ngwajima hawezi kuwaRais hata.akihama chama.Nabiii tupe andiko.mnasema.tuu bila kutoa maandiko
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 3 ай бұрын
Endelea kuvumilia na kunyenyekea chini ya madhabahu ya babayako
@janengaga2928
@janengaga2928 3 ай бұрын
Shusha mapigo MUNGU MKUU maana viongozi wengi wa kidini wanawaza na kufundisha na kuwa na tamaa nafedha na madaraka tu.Hawafundishi kumcha MUNGU na utakaso wa roho na mwili.Ajabu kuu
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 3 ай бұрын
Ni Kweli kabisa ❤❤🎉
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 3 ай бұрын
Ni kweli kabisa gwajima hawezi kuwa rais.
@franksabas6339
@franksabas6339 3 ай бұрын
Kumbuka ulishatoa unabii juu ya Askofu Fulani - Leo unajisafisha na ulichosema kabla,
@elishampoki8751
@elishampoki8751 3 ай бұрын
Jamani mtu unapoonyesha Siri na Mungu,unapewa kazi ya kuomba ,sio kulopoka ,Kama umeona katika roho unatakiwa uingie Tena katika roho kwendelea Kuomba ,kuwa Kama niwewe Mungu umesema Basi litimie Kama sio wewe lisitimie jama mbona mnakosa Hekima waonaji tutawamini vip Kama nikweliiiii , waonaji Kama nikweli mumeonyeshwa maana kanunu za kiroho tunazijua nyinyi waonaji mnatakiwa mupewe elimu kwasababu kunamambo ya kutangazia Uma Kama Yona alivyotumwa kwa mfalume wa ninawi kuwa ninawi isipotubu so itaangamia kwa mambo ya kisiasa nimambo ya wananchi kumpigia kuura kiongozi wamtakae , mbona waonaji mnatuchanganya , na mafunuo yenu waonaji Kama kweli umeonyeshwa hiyo ni Siri yako kwajili ya kumuomba Mungu ,mnapolopoka kwajambo hili Mimi nami nimtumishi wa Jehovah waonaji mnakosea , kuona kwenu mnaona kwakufitinisha ,ikiwa mnaitangazia Uma , nawaonya waonaji kuweni na Hekima , mumeacha kuwaubilia wenye thambi injili ya Toba ili wapate uzima wa milele sasa mumegeuka kuwa wanasiasa, Waonaji Hamko sawa , Wewe muonaji kazi yako nikuiombea selikali ili iwe katika utulivu , sio kumpigia mtu Debe kwa maono ya mioyo yenu,na mawazo yenu,
@elishampoki8751
@elishampoki8751 3 ай бұрын
Jamani mtu unapoonyesha Siri na Mungu,unapewa kazi ya kuomba ,sio kulopoka ,Kama umeona katika roho unatakiwa uingie Tena katika roho kwendelea Kuomba ,kuwa Kama niwewe Mungu umesema Basi litimie Kama sio wewe lisitimie jama mbona mnakosa Hekima waonaji tutawamini vip Kama nikweliiiii ,
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 3 ай бұрын
Hiyo ni kazi ya Watoto wachanga kiroho. Hata ufafanuzi wako ni wa kitoto. Ukikua utaelewa Ni Nini maana ya kutoa Maono yanayoihusu nchi kulingana na Mamlaka ya aliyetoa Maono
@feliciankabasa8995
@feliciankabasa8995 2 ай бұрын
Baadae ikitokea ndo aseme kwamba niliona,unabii hauko hivo,unabii ukiona sema ila baadae ikitokea MUNGU atukuzwe na inulikane kwamba alisema kupitia mtumishi wake,..uko sawa mwonaji MUNGU azidi kukupandisha viwango zaidi