No video

BISHOP GWAJIMA RAIS 2025

  Рет қаралды 20,606

Elijah-TheSeer TV

Elijah-TheSeer TV

Күн бұрын

Nimeona Tena zaidi ya mara Mbili Dk. Bishop Josephat Gwajima atakuwa Raisi wa Tz 2025.
utatokea mpasuko mkubwa Sana CCM lakini MUNGU amemchagua Bishop Gwajima Kuwa Rais

Пікірлер: 139
@samwelmwakipesile8070
@samwelmwakipesile8070 4 ай бұрын
Ninaomba lile lililo kusudi la Mungu likasimame yalio makusudu ya Wanadamu ninayaangusha katika Jina La Yesu.AMINA
@Maryc2G
@Maryc2G 4 ай бұрын
yes. Bishop Joseph Gwajima, kweli, kweli. Wengi tumeona lakini sikupewa time flame 🔥. Mungu atimilize maono ya wengi, Asante Mtumishi wa Mungu umesema ukweli
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 3 ай бұрын
2 Petro 1:21 [21]Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.
@msamgunda7684
@msamgunda7684 Ай бұрын
Roho mtaka kitu​@@Elijah-TheSeerTv
@tabithakajuju137
@tabithakajuju137 4 ай бұрын
Waaaaaw! Tunamsubiri...Awe awe awe aweeeeeeee❤
@user-zm7ie5lg1k
@user-zm7ie5lg1k Ай бұрын
Let it be in Jesus mighty name. U deserve the sit. You are full of wisdom.
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
Naiwe ivo kwa maana gwajima ana hofu ya mungu tutashukulu sana mungu tenda muujiza
@christianmurhula8949
@christianmurhula8949 4 ай бұрын
Namiye nimesha ona mambo haya, mara na kwa mara. Na nika baanbia Watanzania wengi. Mwezi wa ine 2023
@maryworkman635
@maryworkman635 Ай бұрын
Mimi hapa naona ni kumuombeya Gwajima, na kama ni ukweli MUNGU, atatumiya mtumishi wake wa kweli. Wewe umesema hutaki kumtisha Mama Samia na mbona umeyasema hote hapo, jumani tuzipimeni hizi Roho tujuwe ni kweli za MUNGU au? Na tuanzeni kuwaombeya sana Wachungaji shetani anawatumia sana sahi anajuwa hana muda uko mbioni sana, na Wana wa YESU tuamkeni piya tupendane na tuombeyane, YESU atatushindiya yote Amena!
@EvethaMpakasi
@EvethaMpakasi Ай бұрын
Amen
@user-iu4du7ws6s
@user-iu4du7ws6s Ай бұрын
As Kody Gwajima anafaa sana hâta ukisikiliza kwenye Bunge tangu anaingia hoja zake zote Zina NGUVU sana ukilinganisha na wenzake, ana maono y’a msingi
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 2 ай бұрын
Nitampa kura yangu kbisa❤❤❤my president josephat gwajima
@mazibondahamika5857
@mazibondahamika5857 4 ай бұрын
Utamuletea vita kali kwa bure , na hatakama ni kweli umeona ungeita hekima kwa jambo hilo sababu unahatarisha maisha ya Gwajima na wanao kuwa naye.
@nurumwita9034
@nurumwita9034 17 күн бұрын
Uzuri wa hii nchi wanapuuzaga hizi nabii
@AbubakaryOmary-m6l
@AbubakaryOmary-m6l 8 сағат бұрын
Unabii unasemaje kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar
@IilianKimwani
@IilianKimwani 4 ай бұрын
Jamani msije mkamgombanisha Gwajima na rais wetu
@Werema3760
@Werema3760 4 ай бұрын
Fact 100%.
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 3 ай бұрын
Ni Kweli kabisa ❤❤🎉
@msamgunda7684
@msamgunda7684 Ай бұрын
Shekh yahya hussein alisema "atakae mpinga kikwete atakufa"waganga mnatabu sana.mnajua kupanga mipango sana.kaz njema.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 4 ай бұрын
Watabiri mtamletea Gwajima zengwe, angalieni sana jambo hili.
@ConfusedJigsawPuzzle-mr9rr
@ConfusedJigsawPuzzle-mr9rr 4 ай бұрын
Amina mtu ishi niombee pia mimi ni kijana nina changamoto nyingi uhakika natamani kumjua Yesu Kristo na kumuabudu katika roho na kweli,majina yangu ni mganga ruban
@barakalawrence742
@barakalawrence742 4 ай бұрын
Nashauri umtafute Mchungaji aliye karibu nawe, akuongoze yanayokupasa uyafanye kisha uendelee na Yesu Chini ya Mchungaji anayetakiwa akuchunge
@mgonzamsuya2039
@mgonzamsuya2039 4 ай бұрын
Nijuavyo Mungu amesema asi kuhusu Hilo lakini ukweli utatokea ugomvi mikubwandani ya ccm na gwajima atateuliwa na ccm na atachukua nchi
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 21 күн бұрын
Kusudi la JEHOVAH MUNGU Litimie
@EmmanuelMajele-ny2hk
@EmmanuelMajele-ny2hk 3 ай бұрын
Sio kwel gwajima hawezi kuwa rais
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 3 ай бұрын
Pole sana
@user-fx4pr4vp8p
@user-fx4pr4vp8p 8 күн бұрын
We ninani mbaka upinge hayo
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 22 күн бұрын
Ndio maana paulo akasema hata akili zangu nazitumia mama samia alisogezwa na magufuli.shujaa wa africa na magu.Mungu.kampenda.zaidi mama samia.asipotawala 2025 basi magu.hukumfanya awe makamu.wa raisi Tanzania gwajima miaka ijayo.2025.mama.samia.ataongoza.akili za kibinadamu zitumike ikiwa shujaa wa africa alimteua.ataongoza Wantanzania tupunguze maneno mabaya yatatuhaibu.tabia.zetu
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 4 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu
@vumiliambogela8413
@vumiliambogela8413 Ай бұрын
Naiwe hivo kwajina LA Yesu
@musakatwale1959
@musakatwale1959 3 ай бұрын
JPM IN BLOOD
@nurumwita9034
@nurumwita9034 17 күн бұрын
Huuu unabii kuna mtumishi wa Mungu ni wa kijijini ata smartphone hana aliambiwa na Mungu 2025 Rais hatakuwa samia ila hakuambiwa raisi atakuwa nani aliambia Samia hataendelea
@elishampoki8751
@elishampoki8751 3 ай бұрын
Jamani mtu unapoonyesha Siri na Mungu,unapewa kazi ya kuomba ,sio kulopoka ,Kama umeona katika roho unatakiwa uingie Tena katika roho kwendelea Kuomba ,kuwa Kama niwewe Mungu umesema Basi litimie Kama sio wewe lisitimie jama mbona mnakosa Hekima waonaji tutawamini vip Kama nikweliiiii ,
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 3 ай бұрын
Hiyo ni kazi ya Watoto wachanga kiroho. Hata ufafanuzi wako ni wa kitoto. Ukikua utaelewa Ni Nini maana ya kutoa Maono yanayoihusu nchi kulingana na Mamlaka ya aliyetoa Maono
@feliciankabasa8995
@feliciankabasa8995 2 ай бұрын
Baadae ikitokea ndo aseme kwamba niliona,unabii hauko hivo,unabii ukiona sema ila baadae ikitokea MUNGU atukuzwe na inulikane kwamba alisema kupitia mtumishi wake,..uko sawa mwonaji MUNGU azidi kukupandisha viwango zaidi
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 15 күн бұрын
MASWALA YA KIROHO NI NGUMU KUFANYA SIRI, KWA SABABU UKIKAA BILA KUSEMA WAKATI MUNGU AMEKUAMURU USEME, NI HATARI . SASA JE? NI VEMA TUMUOGOPE NA KUMTII NANI MWANADAMU AU MUNGU ? JIBU NI KWAMBA MUNGU PEKE YAKE NDIYE ANASTAHILI KUTIIWA. WATU WOTE TUMTII MUNGU
@user-vq3zu8ne9b
@user-vq3zu8ne9b 4 ай бұрын
Ikiwa hvo ataokota kula nyingi mno
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 3 ай бұрын
Ni kweli kabisa gwajima hawezi kuwa rais.
@barryhezron2764
@barryhezron2764 4 ай бұрын
Mtumishi uko sahihi na maono2025 Mungu alikuonyesha,usisahau maombi vita nikali sana mnaposema live muhisika mawindo yanakuwa......)lakini kama Mungu aishivyo mabaya hayatampata kwa jina la Yesu
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 4 ай бұрын
Umewaza kama Mimi kiukweli.
@ZENAMHUMBA
@ZENAMHUMBA 4 ай бұрын
Kama Bwana asipolinda mji walindao wakesha Bure,Mungu kamwambia aseme means atamlinda pia.
@nicodeleva8207
@nicodeleva8207 4 ай бұрын
Mtumishi uwe makini ktk maono yako si kwamba ukiona leo jambo hilo linatokea leo inawezakuwa hata miaka kumi ijayo na si kila uonalo inabidi ulitangaze kwa umma labda uwe umeelekezwa na Mungu kufanya hivyo,acha kuropoka kwa kutaka sifa na unayoongea hayo hakuna Mtu anakuunga mkono kwanza unamhalibia Gwajima acha siasa hubiri Neno
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 4 ай бұрын
Waefeso 4:7 [7]Lakini kila mmoja wetu alipewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa chake Kristo.
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 Ай бұрын
Natamani SANA sanaaaa Hata kura nitapiga SANA huyu ni MTU mwema SANA na ni Mtumishi wa MUNGU wa Kweli. Gwajima ni ana sifa zote za kuongoza taifa letu.
@thomasmwakatobe8207
@thomasmwakatobe8207 23 күн бұрын
Mmmmh sijui ila Mimi namwona tena Mama Samia tena ndugu
@alexmzumbwe1328
@alexmzumbwe1328 3 ай бұрын
Hilo liko wazi saaana
@robertwottson9100
@robertwottson9100 25 күн бұрын
Ni shauri kwamba ni vzr jambo kama hili kuwa Siri na si mitandaoni. Mama yetu Samia akimaliza kipindi chake ndo jambo kama hili lingefaa kusikika ila Kwa sasa nikumchanganisha na mwenekiti wa chama(ccm). Mm nijuavyo baada ya mama Gwajima ataongoza kupitia ccm. Na bora bishop Gwajima asieleweke kuwa amewatuma wanaotoa taarifa hizo. Hata mm najua bish.Gwajima ni Rais ajaye baada ya mama.
@happymrema7487
@happymrema7487 Күн бұрын
Yan huyu hatumtak kabisa mb aje kijan makond
@user-zp6kv3ir3v
@user-zp6kv3ir3v 4 ай бұрын
This could spell good to the Nation, however, some prophesies may spell bad to the appointed,no wonder, Samuel did not anoint David publicly..... narudia, Samuel alimuendea Yese pole pole na bila kijiji kujua ili kuhepusha shari.....sijapingana na unabii ila Amani ya pande mbili mhimu
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 4 ай бұрын
Gwajima sio samweli wala sio yese wala sio daudi. (Dispensation)
@user-zp6kv3ir3v
@user-zp6kv3ir3v 4 ай бұрын
@@Elijah-TheSeerTv Kwa Mungu lolote linawezekana ila mimi kwangu sioni ni Sawa kuliweka hadharani,my take on this
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 4 ай бұрын
@@user-zp6kv3ir3v Mpaka limewekwa hadharani lazima ujue limeruhusiwa. Ni mengi mtu anaweza kuyaona lakini yapo anayoruhusiwa kuyasema mbele ya public
@gp.mavukiro6220
@gp.mavukiro6220 4 ай бұрын
Una tafuta kiki Mtumish
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 4 ай бұрын
@@gp.mavukiro6220 pole
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
Hivi mnawaona watanzania ni matahira wamchague gwajima?
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 4 ай бұрын
Hana ubaguzi wa watu yeye ni mkristo lakini kwa waislam na dini nyingine yukonao bega kwa bega na nikiongozi mwenye uluma sana na watu
@AlodiaAlodiaaloyce
@AlodiaAlodiaaloyce 4 ай бұрын
Nalitokee kwakweli, mimi binafsi namuelewa sana.
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 22 күн бұрын
Mungu hana.haraka.gwajima.atakuwa.rais.Tanzania ila haieleweki tuendelee kumuomba.Mungu.wakina.yehu.waliambiwa.watakuwa.wakasahaulika.baadae ikawa usiingie kimwili utaiharibu.Tanzania.ulimwengu.wa loho unaonyesha.gwajima.ni.raisi lakini muda haujaonekana.wito.wa Mungu.hauna.majuto Askofu gwajima aendelee kuomba na Tanzania kwa ujumla
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETI LIHIMIDIWE MILELE!
@mustie5891
@mustie5891 4 ай бұрын
Ndoto za mchana hizi. Lots of Hallucinations
@micahnjoroge3685
@micahnjoroge3685 Ай бұрын
Atakosana. Na Mungu kabisa. Na wewe na bii tumia hekima. Kwa unabii wako. Usiwe hio ni mapezi yako
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 ай бұрын
Sio kweli
@janethsadock4559
@janethsadock4559 4 ай бұрын
Mnalichafua jina Yesu,na nyie ndiyo mnafanya ukristo usemwe. Vibaya
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 4 ай бұрын
Ukikua utaelewa kila anasema Roho wa Mungu. Kwa Sasa vumilia tu ukue hatua kwa hatua
@ntibashirinzigo
@ntibashirinzigo 4 ай бұрын
Ombea taifa punguza udaku
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 4 ай бұрын
@@ntibashirinzigo ombea wewe unaejua kuomba. Au unifundushe kuombea
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 4 ай бұрын
Duuuh asipokuwa raisi unyongwe mpk ufe mbela ya watanzania😏😏😏
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 4 ай бұрын
Jina la Yesu limetukanwa kabla hujazaliwa
@yordanyona1234
@yordanyona1234 19 күн бұрын
Naaamini
@blessingcharles-lc1rr
@blessingcharles-lc1rr Ай бұрын
Mtumishi ukko sahihi lakin utabiri Kama huu uliwakutolewa na shekhe yahya baada ya mwanamke upinzani utatawala Sa mimi najiuiliza haya mambo ya kiroho ni ajabu
@sendemwasende4458
@sendemwasende4458 3 ай бұрын
KIKUBWA TUMBEMBE KWA MAOMBI KUSUDI LA MUNGU LITIMIE
@josephmwakabelele2392
@josephmwakabelele2392 4 ай бұрын
Ngoja tyone
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 4 ай бұрын
Tumepewa nchi na bahari tuvitawale kwaiyo kama atakua Gwajima jua tutakua mikononi mwa MUNGU kwanza hanaga ubaguzi wala na anaakili za kutuongoza na maisha yakawa mepesi bila kutegemea wazungu mala misaada
@Maryc2G
@Maryc2G 4 ай бұрын
Kweli, kabisa namuombea mema
@adamsonmwaisumo6791
@adamsonmwaisumo6791 3 ай бұрын
Angalia maneno yako
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 3 ай бұрын
2 Petro 1:21 [21]Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu. Nakupa pole wewe uliye gizani usiyejua kwamba MUNGU huwa anaongea kupitia WATUMISHI wake kwa kuwapa watu TAARIFA. Yaweza kuwa wewe ni mkristo mfu
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 Ай бұрын
JAMANI ACHENI UHUNI MBONA SASA MNAMUHARIBIA GWAJIMA
@angelsulle7177
@angelsulle7177 3 ай бұрын
Hizo ni ndoto,Gwajima labda mtajirisheni kwa kupewa tonge anyamazeee!!!
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 4 ай бұрын
Kwa mwakani ni uongo labda 2030... Hizi tabiri zenu ni mihemko tu
@Shalom803
@Shalom803 4 ай бұрын
Mnaropoka sana
@christophersikaonga4412
@christophersikaonga4412 4 ай бұрын
Je mm nitakuwa lini raisi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 ай бұрын
2040
@lightmashauri1725
@lightmashauri1725 Ай бұрын
😂😂😂
@asungushepatrick5414
@asungushepatrick5414 4 ай бұрын
Watu tulishaona kitambo, huyo naona anakomaa na urais ambao kimsingi hata uwezo wake haujathibitika.
@BahatiSinkamba-yu2dr
@BahatiSinkamba-yu2dr 3 ай бұрын
Uongo rais ni samia
@isaacmollel345
@isaacmollel345 3 ай бұрын
Tofautisheni sauti yaMungu na mashetani😊
@nelicekelly6289
@nelicekelly6289 3 ай бұрын
Jaman lisemwalo lipo,nimeshasikia mara nying kuhusu huyu mtumishi kuwa rais,inaweza kuwa kwel jmn
@franksingano9504
@franksingano9504 3 ай бұрын
Kweli kabisa hata mimi nimesikia mpaka manabii wawili kutoka nje ya nchi wakimzungumzia Gwajima kuwa Rais na manabii wa ndani watatu ikiwemo huyu
@user-ix5jq9ks6q
@user-ix5jq9ks6q 4 ай бұрын
Acha attendee haki
@studio..07
@studio..07 4 ай бұрын
Umekosa kazi kalale uote tena😂😂😂 lowasa aloshinda 2015 kilichotokea sasa maono nayo yalipindishwa ndio kwaanza kuona hata kusudi la mungu kupindishwa😂😂😂
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 4 ай бұрын
Hata weza kuwa raisi labda raisi wa kawe
@AshilatAbas-qe4fh
@AshilatAbas-qe4fh 4 ай бұрын
Iyo imepita asee
@isaacmollel345
@isaacmollel345 3 ай бұрын
Tofautisheni.ndoto maono.naufunuo.ngwajima niAskofu.ktk.kanisalake.Anaweza kuwa.Rais ktk kanisa lake.kwasababu.ameandaliwa.nakuaminiwa na watu wake inawezekana muonaji kaona hivyo chadema niwatu makini usimlinganishe.ngwajima na lowasa chadema.tunaviongozi wazirituu wachungaji kaeninakutafarini sana latoya sauti ya Mungu aliyehai nasauti yaasheyani
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 3 ай бұрын
Subiri ukue kidogo usilazimishe kuelewa Mambo yanayokuzidi kifikra
@maikolema6140
@maikolema6140 4 ай бұрын
Tapeli weww
@AgustinoMsemakweli-om7qx
@AgustinoMsemakweli-om7qx 3 ай бұрын
Ndoto siyopato mama bado atendeleakuwa rais tu hili halina ubishi.
@user-nn7uf1mr7x
@user-nn7uf1mr7x 4 ай бұрын
Wee msenge nn
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 ай бұрын
Sasa Chadema Mbowe Hawezi kugombea Mwenyewe??
@ibramakula2303
@ibramakula2303 3 ай бұрын
Na siku asipokuwa rais uo mwaka uache na kuhubiri
@cosmasshauri9002
@cosmasshauri9002 4 ай бұрын
Mtumishi unahitaji miwani ili uone sawa sawa,
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 4 ай бұрын
Nitafutie tafadhali
@HosianaBuuta
@HosianaBuuta 2 ай бұрын
Watu wa Mungu SI Kila mambo ukionyeshwa na ni ya kuongea mtandaoni,hekima inahitajika
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 2 ай бұрын
Pole Sana
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi Ай бұрын
Siku ya kuapishwa rais utauweka uso wako wapi?
@edwardkasubi5135
@edwardkasubi5135 Ай бұрын
😂😂😂Yaaaaaaani Taifa lina matatizo kibaoooooo hamuonagi Solutions ila mnapewaga maono ya nani atakuwa RAIS ? Wachungaji kama wewe mna mchango mdogo sana ktk TAIFA
@vumiliambogela8413
@vumiliambogela8413 Ай бұрын
❤💟❤💟💕🖐🏻🖐🏻🖐🏻🙌🏻🙋🏻🙈😀😀😀😀
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 4 ай бұрын
Wazimu unanamna nyingi hiyo nayo ni moja wapo wa fani ya wazimu mmesnza mambo ya Makenzi wa Kenya hivi nyinyi wakristu mna nn subirini muone
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 4 ай бұрын
Uupokee huo wazimu kabla mwaka huu haujaisha. Na itakua ivyo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 ай бұрын
​@@Elijah-TheSeerTvmtumishi wq kweli si wa kukasirika kila kukicha ,Punguza hasira hii dunia ina mengi
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 3 ай бұрын
Huyu huyu alisema ananunua treni harafu anamfufua kanumba
@frankjohn8706
@frankjohn8706 4 ай бұрын
RAISI NI YULE ATAKAEPATA KURA HALALI TU.NA ATAKAEJARIBU KUZUIA KWA HILA LITATUMIKA JESHI LA BWANA KUWAKOMESHA WASIOPENDA HAKI KUANZIA MITAA HADI TAIFA
@annevilembwa4950
@annevilembwa4950 4 ай бұрын
Neema itoshe
@Hapomwanzo
@Hapomwanzo 3 ай бұрын
2025 nitakuwa ni mimi hao wengine bado sana.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 ай бұрын
hahahha
@HosianaBuuta
@HosianaBuuta 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@alicekilima6529
@alicekilima6529 3 ай бұрын
Gwajima chukua form ya urais usipuuze wewe Ni rais 2025
@livingmunisi5963
@livingmunisi5963 3 ай бұрын
Kueni makini na nabii zenu
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 3 ай бұрын
Subiria akili yako ipevuke kidogo utaanza kupata Nuru ndani yako na kutambua THAMANI ya MANENO ya MUNGU yanayotoka kinywani mwa masihi.
@isaacmollel345
@isaacmollel345 3 ай бұрын
Wachungaji.acheni kuwapotosha.watu.huu unabii mnatoa.wapi kitabu kipi asipokuwa sasa tuwamini.kinanani? Ngwajima hawezi kuwaRais hata.akihama chama.Nabiii tupe andiko.mnasema.tuu bila kutoa maandiko
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 3 ай бұрын
Endelea kuvumilia na kunyenyekea chini ya madhabahu ya babayako
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 22 күн бұрын
Ukute ni miaka.ijayo.maana Mungu.hawahi.wala.hachelewi.msije mkaanza.kuleta.lazima.apite tuende.taratibu watanzania mama samia alisogezwa na magufuli mama samia atamsogeza.gwajima msilazimishe.acha.Mungu.afanye.mambo.yake mm namuona.gwajima.2030.lakini.2025.ni.samia Mungu.mwache.atende
@rehemagunda1033
@rehemagunda1033 3 ай бұрын
Naiwe hivyo Kwa jina la yesu
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@silvanusmwamlima773
@silvanusmwamlima773 4 ай бұрын
Acha uchonganishi wewe Gwajima ni mbunge wa kawe.
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 4 ай бұрын
Nadhani aliyemwonyesha Mchungaji hayo Maono hajui kuwa Gwajima ni mbunge wa kawe sio?
@user-zp6kv3ir3v
@user-zp6kv3ir3v 4 ай бұрын
Na huku kumbeza pia hakuna maana yoyote manake michuano ya kufikia top 5 iliyotuletea Dr.J.P. Magufuli,no one expected him among even top 10 aspirants.....just like the brothers of David least expected him to be the killer of Goliath,bandidu lililotishia Israeli.Mkubwa wake na Daudi alikua anamwona kama shabiki aliekuja kutazama pambano but ukweli kumbe ndiye mpambanaji
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 4 ай бұрын
Wewe si mwonaji bali unatoa yaliyojaza moyo wako.
@Elijah-TheSeerTv
@Elijah-TheSeerTv 4 ай бұрын
Pole, na MUNGU akuokoe kwenye hiyo roho ya uzinzi la sivyo utaangamia
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 4 ай бұрын
@@Elijah-TheSeerTv Nani kakupa wewe malmaka ya kuhukumu Watu. Roho ya uzinzi hukaa katika vinywa vya Uongo. (2) Tafuta viewers kwa busara siyo kutumia Roho ya uongo kutaka kuchonganisha Mtumishi wa Mungu na Serikali na kuleta mtafaruku Nchini. Ninyi manabii wa uongo hamjajifunza kilichotokea Rwanda Nabii Kama hizi zilipelekea mauaji ya kimbali Rwanda.Embu hubirini Injili acheni kubadhiri mambo ya uongo.
@nuswemwakasala8687
@nuswemwakasala8687 4 ай бұрын
Kuna mtumishi kaishatabili hivi hivi
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 22 күн бұрын
Ndio maana paulo akasema hata akili zangu nazitumia mama samia alisogezwa na magufuli.shujaa wa africa na magu.Mungu.kampenda.zaidi mama samia.asipotawala 2025 basi magu.hukumfanya awe makamu.wa raisi Tanzania gwajima miaka ijayo.2025.mama.samia.ataongoza.akili za kibinadamu zitumike ikiwa shujaa wa africa alimteua.ataongoza Wantanzania tupunguze maneno mabaya yatatuhaibu.tabia.zetu
@EvethaMpakasi
@EvethaMpakasi Ай бұрын
Tuombe tuombevtuombe watanzania kusudi la Bwana lisimame,lisimame
Mtume Mwingira Akisema Wanakuja Juu,Askofu Josephat Gwajima
35:26
Chomoza Tv
Рет қаралды 169 М.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 65 МЛН
123 GO! Houseによる偽の舌ドッキリ 😂👅
00:20
123 GO! HOUSE Japanese
Рет қаралды 5 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 17 МЛН
DR.GWAJIMA AWEKA WAZI NDOTO YA UKOMBOZI WA UCHUMI WA TANZANIA
59:18
huduma ya kristo
Рет қаралды 18 М.
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 70 М.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 65 МЛН