Safi sana mwekezaj mzawa umenikonga moyo Mimi mwenyewe nahusika kwenye upande wa tyre retreading business
@ramamabinda506316 күн бұрын
Nakerwa sana na migodi yetu kua mashamba ya wageni. Hivi ni kweli nchi imeshindwa kuweka mashine za kusafisha madini tulionayo? Viwanda vya chuma, havifanyi vizuri, viwanda vya aluminium havifanyi vizuri. Viwanda vya dhahabu, almasi na madini mengine, hakuna. Sasa ninyi wizara kazi yenu ni kitu gani? Kama kweli mna nia ya kumkwamua mtanzania kutoka katika umaskini? Nchi imekua shamba la wababe wa dunia, na ninyi mmetulia tu kwakuwa watoto wenu wanasoma shule nzuri za gharama.
@HajiKlein-so1rk16 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯🫣
@wilsonmalias312216 күн бұрын
umesikika mama
@FilbertRobert-e4uАй бұрын
Sawa
@ibrahimkabeniani4934Ай бұрын
Makinikia yalizuwa namagufuri yasitoke imekuje tena
@omarybakunda2554Ай бұрын
Majengo mengine yameisha nyie mna suasua
@CANAANTZ_TVАй бұрын
Jipatie vitabu vya kiroho bureee Kwa njia ya WhatsApp Bomyeza profile yetu kushoto mwa comment hii
@benedictmrisho18002 ай бұрын
Ni hatua nzuri sasa tupambane tuwe na soko.la kimataifa la madini kwa Afrika kutokana na aina nyingi za madini tuliyonayo. Pia tuwe na reserves za madini hayo hapa Tanzania. Tuwe makini na mikataba ya kimataifa ya madini pia.
@benedictmrisho18002 ай бұрын
Tuendelee kuwaendeleza mdogomdogo watakua tu. Hata hawa wakubwa once walikuwa wadogo.
@benedictmrisho18002 ай бұрын
Sekta kweli inakua lakini pia tuangalie chanzo za makesi ya fidia nyingi na tuyaepuke vipi maana fidia zinaashiria kuvuna na kulipa wageni.kama faini za kushindwa makesi.
@benedictmrisho18002 ай бұрын
Tanzania madini bado hayajawa baraka kwetu kisawasawa kama si.kutoroshwa basi kupigwa kupitia mikataba mibovu hii imekaaje wasomi nchi hii? Hivi kweli tunaweza kujivunia usomi wetu ? Upigwe kutorosha na fidia kwa mikataba ya hovyo kuna baraka gani kujaliwa madini? Kila msomi nchi hii ajisaili nafsini mwake tufanye nini uwepo wa madini uwe baraka kwa nchi hii.
@benedictmrisho18002 ай бұрын
Mkaisaidie nchi hii tuepukane na hizi fidia za kushindwa makesi ya kimataifa na kulipa mabilioni . Shida iko wapi? Hii mikataba jamani tunaingiaje wapendwa wasomi wana wa nchi? Unganeni na TLS na taaluma zingine nchi hii tuepuke makesi hayo.
@CANAANTZ_TV5 ай бұрын
Haleluyaaa Jipatie vitabu vya maombi ya kiroho bureee Kwa njia ya WhatsApp 1=Maombi ya kuvunja nguvu za kichawi zinazoharibu maisha Yako 2=Maombi ya vita vya kiroho Bonyeza picha kushoto mwa comment hii tutakutumia bureee kabisa
@CANAANTZ_TV5 ай бұрын
Haleluyaaa Jipatie vitabu vya maombi ya kiroho bureee Kwa njia ya WhatsApp 1=Maombi ya kuvunja nguvu za kichawi zinazoharibu maisha yako 2=Maombi ya vita vya kiroho Bonyeza picha kushoto mwa comment hii tutakutumia bureee Kwa njia ya WhatsApp
@CANAANTZ_TV5 ай бұрын
Haleluyaaa Jipatie vitabu vya maombi ya kiroho bureee Kwa njia ya WhatsApp 1=Maombi ya kuvunja nguvu za kichawi zinazokushambulia kwny maisha yako 2=Maombi ya vita vya kiroho Bonyeza picha kushoto mwa comment hii tutakutumia bureee Kwa njia ya WhatsApp 2=
@CANAANTZ_TV5 ай бұрын
Haleluyaaa Jipatie vitabu vya maombi ya kiroho bureee Kwa njia ya WhatsApp 1=Maombi ya Kuvunja nguvu za kichawi zinazokushambulia kwny maisha yako 2=Maombi ya vita vya kiroho Bonyeza picha kushoto mwa comment hii tutakutumia bureee Kwa njia ya WhatsApp
@CANAANTZ_TV5 ай бұрын
Haleluyaaa Jipatie vitabu vya maombi ya kiroho bureee Kwa njia ya WhatsApp 1=Maombi ya kuvunja nguvu za kichawi zinazokushambulia kwny maisha yako 2=Maombi ya vita vya kiroho Bonyeza picha kushoto mwa comment hii tutakutumia bureee
@mussamabawa2973 Жыл бұрын
Upuuz mtup
@ezekieldeus6022 Жыл бұрын
Mbona tamuko hilo tangu limetolewa leo nizaidi ya miezi mitano halijafanyiwa utekelezaji?.
@braytonpeter4578 Жыл бұрын
Upo sawa
@twinsstz Жыл бұрын
Kazi iendelee
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Kitu muhimu ni kuwa na migodi inayosimamiwa na serikali hiyo inafungwa na nchi nyingi na pesa inabaki nchini hao mnao wapambia hera inaenda kwao kuendeleza watu wao Sisi tumekalia udalali lazima tufanye uamuzi mgumu na faida ikuwepo.
@gabrielmasanyiwa3889 Жыл бұрын
Weldone
@prof.abusakelsaleh35242 жыл бұрын
Ahsanteni sana kwa taarifa kama hizi.✍️🙏
@Burner_Acc2 жыл бұрын
Whomever wrote the title deserves a demotion, what is OPPOTUNITIES IN MANERAL?
@sportscampaigntz75893 жыл бұрын
Kazi Nzuri
@letsexploretanzania86113 жыл бұрын
kazi nzuri Wizara ya Madini
@rehemamnango93223 жыл бұрын
Hongera sana mdogo wangu mwenyezi mungu azidi kukuongoza
@agathalyamuya93583 жыл бұрын
Hongera Tanzania kwa kujaliwa madini mm nipo Arusha ,kuna shehemu nimeona madini aina ya greetomalin na haijachimbwa
@drimazonechoice98223 жыл бұрын
chake me
@giftmunisy83643 жыл бұрын
Chale me
@giftmunisy83643 жыл бұрын
Chale me
@mabejamabeja33582 жыл бұрын
Jipange na omba leseni ukawekeze
@smallscaleminingsupplies96703 жыл бұрын
Mkuu tunafunga CIP, mma operation kubwa kufunga CIP nafanya vizuri zaidi, na mtakata operation costs zenu sana ukiwa na interest tuwasiliane 0753806559
@highcalling30123 жыл бұрын
Chapa kazi muheshimiwa.. Hakuna nchi au kazi bila kanuni..usipofuata taratibu kwa hiari,utafuata kwa LAZIMA.NO WAY
@dustinedward52803 жыл бұрын
A tip: you can watch movies at Kaldrostream. I've been using them for watching lots of of movies during the lockdown.
@paxtonmoises46343 жыл бұрын
@Dustin Edward Definitely, been watching on KaldroStream for since november myself =)
@cainroberto11733 жыл бұрын
@Dustin Edward definitely, I've been watching on KaldroStream for since november myself :D
@tisamokebulemasubugu62223 жыл бұрын
Niliomba kujua being ya Arumasi na huuzwa wapi hapa nchini kama MTU anayo
@lameckmbelwamrbrand65534 жыл бұрын
MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU NA MAFANIKIO MEMA
@deogratiaspsubaila55295 жыл бұрын
Mwenyekiti wa soko la madini Kahama bwana Emanuel Kidenya akifafanua jinsi ya faidi iliyopatikana na uazishwaji wa soko la madini nchini. Pia afisa deo kama msimamizi mkuu wa soko la madini kahama akitoa elimu juu ya kuandika kumbukubu za uuzaji wa dhahabu na kodi zake.
@reubenbusanji29045 жыл бұрын
Jifunzeni kutumia wanasheria mnapoingia mikataba
@gloriamwasote16735 жыл бұрын
Upande wa madini chunya kuna kero sana baina ya wachimbaji na wamiliki wa ardhi hii imefanya wenye ardhi kunyanyasika sana katika kutafuta haki zao mfano kuna mama hapo aligomewa kuruhusiwa kuongea na alinyoosha mkono kwa muda mrefu sana na mkuu wa wilaya na watendaji wake wanaijua kesi yake na awali alishaenda ofisi ya mkuu wa wilaya na alijibiwa ovyo sana na mkuu wa wilaya huyo mama anahangaika sana kesi yake ina zaidi ya mwaka wanamfanyia figisu uongozi wote na wamejipanga kuanzia ngazi ya kijiji na wameingilia hadi kwenye uchaguzi wa serikali za kijiji uongozi uliokuwepo wameambiwa wasitoke ili waendelee kuibeba hii kesi na kuichengesha haki kiufupi mtendaji wa kijiji cha chokaa, mwenyekiti na wajumbe wake pia hata mkuu wa wilaya hatuna imani nao kabisa wamemchafua huyo mama kila ofisi akienda anaonekana ni kero sababu anadai haki zake za ardhi kutoka kwa mwekezaji sasa wameungana wamemny'anga'anya wanasema eneo ni La kijiji mchimbaji aendelee kuchimba
@gloriamwasote16735 жыл бұрын
Nimemuona mamaangu, japo mkuu wa wilaya ulimbania nafasi ya kuongea kwa makusudi asitoe kero yake ambayo mnamtesa nayo kwa zaidi ya mwaka pia alikuja ofisini kwako ulimjibu ovyo sana ila Mungu ni mwema atatenda kwa wakati wake namshukuru huyu Mungu kwasababu amempa hili jaribu lakini pia amempa nguvu pia za kupambana bila kuchoka. Pia kwangu imenisaidia sana kumjua huyu Mungu sana sababu kesi yake imenifanya hata nimefika hatua ya kufunga kwa maombi kitu ambacho ilikua ngumu mwanzo wao wana pesa sisi tunae Mungu.