Nawausiya wakristo aceni matusi uondiyo ukweli wa sheikh Mungu amemuongoza
@ZayyanaBamuni20 күн бұрын
Ujumbe umefika na umeeleweka,jazakaAllahu Alkheir shekh Mbogo,pia tunakushukuru simulizi kwa vipindi bora,Allah akuoneshe hakki na kuifata
@Bistwishs20 күн бұрын
Maashaallah asiekuelewa basi huyo hataki .ni mbishi tu
@hajisalimmhina398320 күн бұрын
Sheikh mwalimu mbogo hili somo lirudie tena ulieleze vizuri zaidi tukuelewe
@SamoraTabaga20 күн бұрын
Poleni waisilam mnajuhudi nyiiiingi lakini sikatika bwana yesu, okokeni tu.
@alhadajjmohammedsmith904215 күн бұрын
Ushaelewa Ukweli ila Unafanya Kibri tu Kwa Maslahi ya Dunia 🙌
@MudiMshindo18 күн бұрын
Yesu katumwa kwa wana waizrael tu sio nyinyi wakristo, muogopeni mungu,mtaja lia kiama
@yohanamwamkili439714 күн бұрын
Kwenda uko mudi alitumwa kwaajir yako? We ni muarabu
@FadhilZaharan20 күн бұрын
Unachoniudhi mbogo maelezo mengi minampenda shafi hua anajibu short unakula mda sana unajielezea sana hii fani bado kilamtu na fani yake nakupenda mbogo Kwa ajili ya ALLAH unajitahidi lkn bado maelezo mengi mno
@daawaonlinetv448620 күн бұрын
Kiukweli kila mwalimu ana style yake ya ufundishaji, sasa walimu wote wakiwa wanafundisha shortcut watu wengine hawawezi kuujifunza kwakua wanaofatilia wanatofautiana uelewa. Cha umuhimu tuwaombee Dua Walimu wetu waendelee kufikisha ujumbe
@uongohaunanafasi857220 күн бұрын
@@FadhilZaharan Acha hasadi wewe na unafiki kwani lazima utuambie sisi kuwa unampenda mtu fulani,? Kwani kuna aliye kutuma utengeneze Fitina pumbavu sana wewe!!! Yaani hapa tuna ona adui wa Muislam ni Muislam
@SabihaibrahimRajabu20 күн бұрын
Sio Muhammad tu majina yote ya mitume wakiristo wameyabadilisha walikaa kikao wakijadili hili tuliite hivi vile yote ila la Muhammad mpaka leo walishindwa kuliita kinyume chake kwa rehema za Mungu ameliacha kama lilivo ila hawaelewi
@jonasjoe362320 күн бұрын
Kikao gani ?kilifanyika wapi na lini?
@SabihaibrahimRajabu20 күн бұрын
@jonasjoe3623 mhmm fuatilia bibilia yenu usisome andiko la kufutiwa zambi tu hata mungu pia lilijadiliwa tumuite munguu au bwana munguu au jehovaaa andiko pia walikaa wakajadili ndio wakapata jina la mungu wenu
@yohanamwamkili439714 күн бұрын
Jibu swali toa takataka zako@@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu14 күн бұрын
@yohanamwamkili4397 izo takataka za bibilia au linalobadilishwa kila siku kama gazeti la kuuzia maandazi
@yohanamwamkili439714 күн бұрын
@SabihaibrahimRajabu Si bora hilo linalobadirishwa kila siku kama ulivyokaririshwa na mashehena wako walawiti, kuliko hilo jalada la mbakaji lililo andikwa na walevi na wachawi, sasa mtu kapasuliwa kifua ili kutolewa shetan unadhan aliekua anamp wahyi ni nan? Mtu anawaza nyuchi mda wote had nyuchi za watoto eti mtume hivi mnadhan Mungu ni mwarabu fala ww
@Ayxha12Zanzibar-h9u20 күн бұрын
JAMANI BIBLIA, YESU MWENYEWE NA MWENYEZI MUNGU HAWAMJUI MUHAMMAD KAMA MTUME. NA TUKUBALI TU KUWA UISLAM BILA UONGO UMEKUFA KITAMBO.
@alhadajjmohammedsmith904215 күн бұрын
Kuwa Mkristo Kubali Ushoga na peaneni Barka tu Makanisani 🙌
@binseif221611 күн бұрын
Hayo maandiko bado tu huamini duh
@SabihaibrahimRajabu20 күн бұрын
Tunaangalia kwa hasira tu lakini elemu hii ni kubwa sana ambayo inafichwa na huwezi kuisikia kanisa lolote music musichoke kusomesha wenzetu wamegubikwa giza ipo siku wataelewa ukweli kwani sasa wameelewa kama krismasi sio kuzaliwa yesu wameanza kuelewa na ilikuwa ngumu kusema jambo hili mazinge amesemaaa leo wamekubali
@Educatedmind-k9r18 күн бұрын
Uislam raha sana
@Ayxha12Zanzibar-h9u15 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@frankmugomba348420 күн бұрын
Haaaaa Daaaaaa nimecheka sana jamani Kweli Mwamedi anaweza kuwa kwenye Funuo 19: 11 Nunua bible soma hiyo yote mpaka chini utajua kuwa bila Uwongo Waisilamu chali plz soma hiyo Anayosema ufunuo utaona Aibu tosha ila sawa
@alhadajjmohammedsmith904215 күн бұрын
Nini maana/Tafsiri ya Ufunuo na Ufunuo huo unamuhusu nani/unahusu Nini?!
@HabibuUrasa20 күн бұрын
Ujumbe umefika wasiposilimu wataishia motoni
@lilhydon45220 күн бұрын
Muhammad alikua mwehu tu, aliingiwa na tamaa ya kuwa mtume tu,
@konandawise455018 күн бұрын
Halafu apate faida gn? Kwani alikufa na mali? Yaan uongo wake apate nn?
@alhadajjmohammedsmith904215 күн бұрын
Mpingeni Muhammad SAW na Uislamu Ili Muhalalishe Ushoga na Mpeane Barka Makanisani. ❗🙌 Laakin Siku ya Kutokwa/Kutolewa Roho ,Adhabu ya Kaburi na Adhabu ya Siku ya Hukmu/Siku ya Kiyama ndo mtajuwa kwamba hamjuwi na Jeuri mbaya 🙌
@yohanamwamkili439714 күн бұрын
Nyingi sana kwanza wanawake, pili mali, 3 mamlaka 4 sifa etc@@konandawise4550
@binseif221611 күн бұрын
Ukristo sio Dini ispokuwa ililetwa kwa maslahi ya watu wachache
@Ayxha12Zanzibar-h9u20 күн бұрын
HAKUNA MUNGU ANAEONGEA KWENYE QURAN JAMANI, ACHENI KUPOTEZA MUDA APO. ANAONGEA KWENYE QURAN NI MUHAMMAD MWENYEWE.
@alhadajjmohammedsmith904215 күн бұрын
Kwa Andiko lipo la Qura'an Au ndo ktk Kuhalaisha Ushoga lazima Wakristo Muwekeze ktk Kupiga Uislamu na Waislamu?! Peanenii Baka tu 🙌
@Ayxha12Zanzibar-h9u15 күн бұрын
@alhadajjmohammedsmith9042 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@brightzone.19 күн бұрын
Shehe umeanza vizuri alafu ukaja tena unaaribu. Quran 61:6 Imesema kuwa atakuja Nabii mwingine na kwa jina akatajwa kabisa Ahmad - Tuoneshe tu kwenye Biblia wapi ametabiriwa kwa jina Ahmad. Alafu 21:13 Isaya wala haihusiana na Muhammad - Acheni kupotosha watu. Elezeni ukweli jameni.
@ShabaniWabiga4 күн бұрын
Inamuhusu nan?
@TheAlman20 күн бұрын
Huyu mwamba yupo vizuri Tuletee tena vipindi vyake
@Ayxha12Zanzibar-h9u20 күн бұрын
Mtume Muhamad kaka ake ni fedhuli kama mafedhuli wengine. Amka. Matendo yake hayana ushirika na unabii hata punje.
@Ayxha12Zanzibar-h9u20 күн бұрын
Hakuna utabiri wa kuunganisha unganisha ivyo, ili kuja kumpata mtume. Maandiko ya Biblia hayako ivyo. UTABIRI WA BIBLIA HUMLENGA MTU MOJA KWA MOJA.
@Ayxha12Zanzibar-h9u20 күн бұрын
We mzee acha kukufuru, Yesu hana UNDUGU na mbakaji wenu munaemuita nabii. Acha bangi mzee.
@TheAlman19 күн бұрын
@Ayxha12Zanzibar-h9u mbona hata mamaako pia alibakwa ukazali wewe
@Ayxha12Zanzibar-h9u18 күн бұрын
@TheAlman mama angu sio muislam, mama ako wewe ndio aliebakwa. Maana MUHAMMAD kama kawaida yake kuna siku aliota Allah kamwambi amshenyete mama ako, mtume akamla mambo bi mkubwa ako
@binseif221611 күн бұрын
Wakrsto vichwa maji mbona wachungaji wenu wanasilimu???
@babazungu318020 күн бұрын
Usipoelewe hili somo nenda hospital
@nusaania29503 күн бұрын
Unakazana kusoma kizungu ila kimakonde ndo naskia
@cristianoprincegabrielles395117 күн бұрын
Uongo! Na ni Uongo Mtupu....!
@alhadajjmohammedsmith904215 күн бұрын
Huu ndo Ukweli👇 ?! 📌Matendo ya Mitume 11: 25 Imaan/Dini (Ukristo) mtungiwe/Mpangiwa na Wapagani/Washirikina wa Antokia?!🙌 📌Luka 1 : 1 Waandishi (...Kalamu za Waandishi...✍️) Waandishi Waokoteze ya Uwongo wa Mitaani (Wala huyo Yesu/Mwana wa Mungu na Mungu Mkuu wa Wakristo) 🙌 Wala hawakuwepo na hawakutoa ldhini ya Kumwambia Luka (Luka 1 : )1 na Wamfano wake eti Waandike Kitabu na Kukiita Biblia afu watudanganye Waislamu eti Biblia ni Maneno ya Yesu (Mwana wa Mungu na Yesu huyohuyo eti Mungu Mkuu wa Wakristo. !!!🙌
@fulbetybenedito431915 күн бұрын
Ni aya gani na sura gani kwenye Biblia?
@FadhilZaharan20 күн бұрын
Dah kumfundisha asiekua muislam nikazi sana ukisoma biblia vizuri utauona uislam lkn watu wanaleta hoja zisizokua na msingi lkn ipo siku nyinyi mnaomkataa Muhammad kwatamaa tu za Dunia mtakutana na mola wenu ipo siku nyie pingeni mtakavyopinga ipo siku Yaani maandiko yapo waazi kabisa
@frankmugomba348420 күн бұрын
Mhhhhh wapi nioneshe kidogo Uisilamu kidogo kwa Bible kidogo nijifunze kitu nisiwe mbishi tu??
@FadhilZaharan20 күн бұрын
@frankmugomba3484 ww ulitaka Neno uislam huwezi ukapata kwasababu waliotafsiri biblia walichakachua wametoa maneno mengi hata ukisoma dibaji utauona hebu tuliza akili yako soma biblia vizuri utaona Kuna mapungufu mengi sana kinachowasumbua watu nimazoea
@frankmugomba348419 күн бұрын
@FadhilZaharan OK me Niko na Utulivu sana brother we nionyeshe mdogo mdogo nitaelewa coz kujifunza ni bure na Niko na tym nijifunze
@nicoart506317 күн бұрын
@@FadhilZaharanhiyo biblia ilitafsiriwa kabla ya huo uisilamu kiwepo sasa utakutaje uislamu kwenye Bible 😅😅😅
@FadhilZaharan17 күн бұрын
@nicoart5063 Karne ya Saba biblia bado haijatafsiriwa Acha uongo wewe Quran imeshuka ilikuwepo injil og na torat og hiyo biblia imetafsiriwa juzi2
@amittambwe47320 күн бұрын
Mashabiki kwanini munapenda matusi? Funguweni Masikiyo na akili ili muelewe na mujuwe. Matusi niya mutu mwenye hana ufahamu.
@rodrickjulles836920 күн бұрын
😂😂 uyu Jama lazima apelekwe mirembe. Ana matatizo ya kichwa..,, ndugu yangu husikufuru
@ShabaniWabiga4 күн бұрын
Ww ndo ujuelew bakin na ujinga wenu aliowaletea paulo
@TomAyodi20 күн бұрын
Huyu ni muongo
@SaidIsmail-f1j20 күн бұрын
Ivi wakristo munajua maana ya utabir? Maana ya neno utabir ni kitu ambacho akijawahi kutokea kabla ya huyo anaetabili au hicho kinachotabir sasa biblia imekuja baada ya yesu utasemaje musa na yesu wametabiliwa kwenye biblia wakati wao walitangulia kuja dunian kabla ya biblia?
@goodytairo267220 күн бұрын
Biblia haitafsiriwi ivo unawaingiza watu chaka farasi mweupe unajuwa anawakilisha nini
@JohnAwinda19 күн бұрын
Na biblia sio kitabu cha MUNGU lakini leo himetabiri mohamed hatari sana
@binseif221611 күн бұрын
Sabb Bible inajichanganya vilichukuliwa vitabu vya mwanzo taurat,Zabur,injil na vilikuwa sahihi lkn wakaja kubadili mambo mengi ndomana hata bible imesema (Tazama kalamu ya uongo imeifanya Taurat kuwa ya uongo)sasa we unaamini hapo kuna Dini ya ukrsto???
@Ayxha12Zanzibar-h9u20 күн бұрын
BIBLIA HAINA NABII ALIEOA MTOTO WA MIAKA6. ACHENI KUFURU WAISLAM.
@rashidmilanzi25320 күн бұрын
Ila Adam kaoa mtoto wasikumoja apa sasa sijui mbakaj alikua nani
@Ayxha12Zanzibar-h9u18 күн бұрын
@@rashidmilanzi253 apo mbakaji simjui, ila aliebakwa apo ni wewe. Maana sio ubongo huo
@yohanamwamkili439714 күн бұрын
@@rashidmilanzi253huna akili ww na walio kukaririsha
@HashimMohamed-ku8mg20 күн бұрын
Eti Muhammad ndio aliiandika Quran? wakristo kumbe muna mambo ya ajabu kweli Quran ni maneno ya Allah alomteremshia Muhammad kupitia jibril Yani Gabriel Kwa hivyo Musa Yani mosses aliiandika taurati?Musa alipewa taurati ni kitabu alichoteremshiwa kutoka Kwa Allah
@nicksonlyimo156220 күн бұрын
We unachekesha kweli,eti Quran Mtume alipewa na jubril hahahaaa ( shetani Ndie aliempa Mtume wenu kitabu Cha Quran kasome Quran2:97 uone.
@yohanamwamkili439714 күн бұрын
We kwenda uko kuteremsha kuteremsha, wap gabriel aliwah jitambulisha kwa mwamedi kua mimi ni gabriel nimetumwa na Mungu? Mungu hawez mpa utume mbakaji never
@HashimMohamed-ku8mg14 күн бұрын
Kuwa na heshima
@yohanamwamkili439714 күн бұрын
@HashimMohamed-ku8mg Anza wewe kenge ww
@binseif221611 күн бұрын
@@yohanamwamkili4397Shida unamuabudu Mungu mtu alietahiriwa tokea lini ukawa unaakili?
@joachimluhamo304220 күн бұрын
Du huyu shehe ni muongo anavyoibadilisha biblia ionekane imemtaja Muhamadi et muhamadi ni neno la Mungu du hii ni kufuru
@joachimluhamo304220 күн бұрын
Huyu shehe na kingereza chake cha mchongo ananichekeshaga