Hii ni aibu sana,tunashauriwa tusijitie ujuzi kwa jambo tusilokuwa na uwezo nalo........swali lililoulizwa na majibu yanayotoka ni ardhi na mbingu yaani haviwiani kama isivyowiana mashariki na magharibi.
@daawaonlinetv448612 күн бұрын
@@BinHakim wewe unaye jua jibu lake tukuletee mic utoe jibu kama siyo mnafiki
@TheAlman9 күн бұрын
Kipi ambacho ujaelewa hapo Nakujibu mm yaani hapo baku geographic yake jinsi ilivyo nitambalale sana alafu kunaasili ya tope jingi na unyevunyevu usio kwisha sasa inapovika jioni ukiangalia uwelekeo wa maghalibi utaliona juwa kanakwamba linazama kwenye matope ndio maana ilisemwa hivyo Sasa kama hujaelewa pole sana
@m.e.ssofttech28069 күн бұрын
@@TheAlman Acha kuota wewe, aliwakuta watu wakati jua linazama matopeni kasome vizuri aya sio kudhania sasa likizama matope si yatakauka kwa joto kali?
@TheAlman9 күн бұрын
@@m.e.ssofttech2806 sww ndio unaota nimeshakupa mfano nakupa mwengine Zanzibar kunasehemu inaitwa kaefanki kula ukifika bahari huwa inaonekama upande wa magharibi ya sehemu hiyo kwahiyo ukifika pale jua huwa linazama kanakwamba linazama kwenye maji huwa nikivutio kikubwa sana cha utalii sasa hapo baku kuna tamalale nzuri sana kisimama upande wa masheriki ukaelekea upande wa maghalibi nasi utaona juwa kanakwamba linazama kwenye matope sasa hapo kitugani ambacho huelewi au ndio kondoo unavutaa vutwa hivyo? 😂 😂 😂 😂 😂
@Jamal22-o5n8 күн бұрын
@@m.e.ssofttech2806 hahahaha, noma sana. Jua likazama matopeni litakauka. Ni kweli lakini hahahaha
@mojakatundu13 күн бұрын
Wanashangaa sasahihivi, Watakuja kuelewa tu, kama jua linazana kwenye chemchem ya matope meusi, walishangaa wenzao waliopita Qoran iliposema MAZIWA yanatokana na mavi na damu, ima kwa mwanamke wa kibinadamu, au jike la ng'ombe, au mbuzi, nk. Walipokuja kugundua kama ni kweli, wengine wakasilimu, wengine wakashangaa. Wakati Qoran ilishaongea karne ya saba
@Catherine-mh8sw13 күн бұрын
Katundu Jina la babu yangu 😂
@Jamal22-o5n8 күн бұрын
@@mojakatundu hahahaja, ila waislam
@MsuyaJeremia13 күн бұрын
Anahangaika kumnusuru mudy....
@dunstanRupia13 күн бұрын
Jua halikuwahi kuzimika wala kuzimwa na kitu chochote. Itakuwa hivyo siku ya mwisho wa Dunia. Jua litazimwa, Mwamba atakuja akiwa anayo ile Nuru ing'aayo hakuna mfano.
@jumaruhinda99876 күн бұрын
Mr.J Mungu unamuitaje aje kwa Kiingereza ?
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
Kitabu kilichokamilika kimeandika MUNGU atakufa. Asitokee taarifa wa kubisha kabla ya ku'Soma Quran 29 mstari wa 57, alafu maliza Quran 5 mstari wa 116. Kujua kwingi ni tatizo ndugu zangu. Yesu Kristo Masihi ni njia ya kweli na uzima. Hakuna atakaefika mbinguni bila kupitia kwa Yesu
@SabihaibrahimRajabu14 күн бұрын
Nyooo yani Quran iseme mungu atakufaaa loo hahahaaaa huyo mungu wenu ndo aliyekufa
@konandawise455013 күн бұрын
Sasa ndio nn - binadamu anasikia na anaona! Je Mwenyezi Mungu anasikiaje na kuonaje? Binadamu ana ujuzi na elimu - je Mwenyezi Mungu ujuzi wake na elimu yake ? Kwa kifupi huezi kufananisha sifa za Mwenyezi Mungu zinalingana na utukufu wake na majina huenda yakafanana ili tupate kuelewa kwa akili zetu -
@SabihaibrahimRajabu13 күн бұрын
@konandawise4550 heee tusomeni tusiwe mbumbumbu hata hili basii
@Mahershalalhashbazi-kf6xi13 күн бұрын
Umepiga pua 👃
@ramadhanchenga460613 күн бұрын
Huo ndo ukweli
@martinmkoba3617 күн бұрын
Safi sana muandishi mambo yanaanza kufichuka mdogomdogo😂😂😂😂
@joachimluhamo30424 күн бұрын
Quruani ipo kwa ajili ya kugundua vitu du syo kwa ajili ya imani ya Mwenyezi Mungu du hii ni hatali sana . Shehe hakuna uhusiano wowote kati ya sayasi na imani ya mwenyezi Mungu.sayansi haiamini uwepo wa Mungu ukisema quluani inauhusiano na sayansi basi quluani siyo kitabu cha Mungu
@aliseif21448 күн бұрын
Kwa ufupi Allah anamnukuu dhurkarnain kile alichokua anakiona baada ya kufika machweo
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
Alla sio Mungu alieumba mbingu na ardhi, ni Mungu mwingine wa waarabu. Biblia ilishakataza kutumia majina yatakayoletwa na matapeli apo baadae. Yesu alitabiri yote na katika Biblia Yesu hakuna andiko alilosema kuwa Alla ni Mungu. Kwisha.
@shafiismaily922313 күн бұрын
Usiseme kiswahili neno mungu, kwa sababu yesu hajasema neno mungu kwenye bible
@konandawise455013 күн бұрын
Kwahio yesu nae aliitwa yesu na mamake? Na Mungu wa Yesu au Mungu wa kwenye bibilia anaitwa nani?
@konandawise455013 күн бұрын
Kwani yesu nae kapata wapi hili jina maana mamake hakumuita hili jina - na je Mungu wa kwenye bibilia anaitwa nani?
@hassanbilali169713 күн бұрын
Hivi kwa vitabu vya mwanzo kabla ya injili Mungu aliitwaje?
@samxx41113 күн бұрын
Yesu aliita eloi, eloi hiyo kiibrania hebu linganisha Allah, Allah kwa kiarabu ikisha sema Mungu, Mungu kwa kiswahili ikisha linganisha ipi iliyofanana
@chriscao982813 күн бұрын
Quran ni kitabu cha comedy 😂😂
@samxx41113 күн бұрын
Ni kweli ila dunia inatumia jua moja
@ramadhanchenga460613 күн бұрын
Waislamu nendeni shule msikalie madrasa sayansi gani gani inaonyesha majua ni mengi
@konandawise455012 күн бұрын
Hizo shule ndio zimefanya leo wajinga mnaongea hivi baada ya kuacha madrasa ...
@ulimwengumaulid739714 күн бұрын
Quran is Pure hoja zote zinajibika wala hatukwepi maswali
@abdallahhamisiiddi451313 күн бұрын
Huyu elimuyake Nindogo, Docter sule
@Mahershalalhashbazi-kf6xi13 күн бұрын
@@abdallahhamisiiddi4513 sio docter ni doctor muende shule kidogo jamani
@FannyLopez-q1r14 күн бұрын
Aca uongo jua huwa ayi zami kwenye matope dunia huwa Ina zunguka na jua huwa Ina zunguka pale pale kwenye iko ndo mana tuna ona Marekani usiku hafu Africa mcana koroani so kitabu ca mungu
@konandawise455013 күн бұрын
Hahaha hio verse ni story inaelezea yule mfalme alivokua anatembea akaona view ya jua kana kwamba linaingia matopeni - yaan km vile sisi wa pwani jioni tunaliona jua km linazama kwenye bahari - lkn watu wameshikilia hilo kutaka kupotosha
@tospend13 күн бұрын
Quruani imedanganya mambo mengi tu sio hilo tu
@chriscao982813 күн бұрын
Kweli ... Iliandikwa na mtume mwenyewe alikuwa anaugua wazmu
@konandawise455013 күн бұрын
@@tospend lipi lengine?
@konandawise455013 күн бұрын
@@chriscao9828 usitusi imani ya mtu leta hoja - ushawahi kuisoma quran kwa utulivu?
@Kuminamoja199514 күн бұрын
Simulizi zone shikamoo
@joachimluhamo30424 күн бұрын
Huyu ostadhi maelezo mengi anachokieleza hakihusiani na swali aliloulizwa . Jamaa anapenda kujitetea kwa maelezo mengi lakini hamna kitu
@aliseif21448 күн бұрын
Qur ani ipo sahihi kwa kua muongeaji ni mmoja aya hii mwenyzi mungu ana mnukuu dhurkarnain vile alivyoona yy kwa mfano ukiwa barabarani jua kali kwa mbali unaona kama maji lkn ukifika huyaoni ndivyo dhurkarnain aliona hivyo wakati jua lizama lkn haikua limeingia kwenye matope
@celestinshayo72957 күн бұрын
AliSeif: kwa hiyo Kuran ni maneno ya nani? Ya Mungu au ya mtu? Maana mnatuambia ni maneno ya Mungu purely sasa hapa tena Mungu anamnukuu mtu aitwaye Dhurkamain akitoa kauli yake juu ya kile akionacho japokuwa siyo vile kilivyo! Kwa nini hapa Mungu mwenye ujuzi wa alivyoviumba hakusahihisha mtazamo wa huyo Dhurkamain😂😂
@aliseif21446 күн бұрын
@celestinshayo7295 kwanza unatakiwa ufahamu nn qur ani
@SemaStudio-jn1yv13 күн бұрын
Kuna statement nimeisikia hapo sheikh anakwepa kukubali kuwa hapo kuna tatizo. Kanisa la Roma lilikuwa likifundisha kuwa jua ndio linatembea, baadae wakakiri hilo kosa. Ila sheikh kagoma😂
@m.e.ssofttech280610 күн бұрын
Shekh kagoma Jua kuzama kwenye chemchem ya matope, Sasa ukubwa ule wa Jua Dunia inaingia zaidi ya mara 10 kwenye Jua, halafu Jua lizame kwenye chemchem ya matope 😅😅😅. Labda ungesema boooonge la Bahari angalau tungekuelewa achane kudanganya watu
@idrisaabkar376013 күн бұрын
wanao amini Quran ni waislamu.. wanaoipinga ni makafiri. so jidanganye tu wew sikafiri wa kwanza utkua.
@chriscao982813 күн бұрын
Wanaokubali Quran ni wapumbavu wasiokuwa na akili... Uwongo umejaa kwa Quran lakini bado mnaikubali
@konandawise455013 күн бұрын
@@chriscao9828 uongo upi hebu leta tujifunze
@chriscao982812 күн бұрын
@@konandawise4550 tangu lini jua likazama kwa matope..??? 😄😄😄 Kweli Muhammad ashawai kuugua kichaa..
@konandawise455012 күн бұрын
@@chriscao9828 kua basi na heshima - usifanye kejeli kwa imani za watu - They will ask you about Zul-Carnain. Tell them: I will tell you something of their history: We consolidate your power on earth and provide you with the means to do everything And followed a path Until, when he arrived at the setting of the sun, he saw it set in a boiling spring, near which he found a people. We said to him: O Zul Carnain, you have the authority to punish them or treat them with benevolence.
@konandawise455012 күн бұрын
@@chriscao9828 katika maandiko hayo Mwenyezi Mungu anaelezea habari za huyo mfalme alie tawala pande kuu mbili za dunia - alipo fika mahali akaona jua lina zama km vile linaingia kwenye matope - hio ndio ilikua view yake huyo mfalme - km sisi wa pwani jioni jua likizama km linadumbukia kwenye bahari ..
@waluohopaulo211614 күн бұрын
Mambo ya Mungu na sayansi haziingiliani
@Joh-j9s13 күн бұрын
Kwani sayansi ni ya nani? Naomba kujulishwa bila makasiliko😢😢😂
@chriscao982812 күн бұрын
Kweli watu wanaofuata mafundisho ya kiislamu hawana tofauti na kondoo.. Quran yenyewe ni kitabu kilichojaa uwongo na uchawi.. na mtume alikuwa anaugua kichaa na mambo aliyekua akizungumza Yanaonyesha kuwa Muhammad alikuwa mwenda wazmu
@konandawise455012 күн бұрын
Kawaida matusi kwa watu km nyie - ukiulizwa hoja au andiko tujifunze - la sivo kua na heshima na watu -
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
Sipati picha waislam wangekuwa wengi duniani kote kutuzidi wakristo, hakika wangewaza kuanzisha vita kutuua na kutuondoa katika uso wa dunia. Na Mungu alivyo fundi, ndo kwanza wanamalizana wenyewe kwa wenyewe uko syria labanoon pakistan israel palestina na mataifa mengine mengi. Hakika Mungu awaongoze siku moja wajitambue waache kuuana.
@konandawise455013 күн бұрын
Hahaha kwani ni wapi kwenye andiko wingi uliwahi kusifiwa- hujaskia wengi ndio wajinga , wengi ndio watakao feli , na hata pia motoni ni wengi zaidi kuliko peponi - usijisifie wingi - je angalia unahoja ya msingi -
@habiboumbarouk661013 күн бұрын
Tambua vita haishindi kwa wing I wa watu
@Jamal22-o5n8 күн бұрын
@@konandawise4550 point ni kwamba mngekuwa wengi mngesumbua zaidi na ubinafsi wenu, Mungu aliyajua hayo ndo mana mkawa wachache kuliko wakristo.
@Jamal22-o5n8 күн бұрын
@@habiboumbarouk6610 Vita tena, kwa iyo ni kweli mngeleta taharuki? Hahahaha
@JumaAthuman-bk6hx13 күн бұрын
FUNGA MJADALA WAKO HALAFU UNASHINDWA KUTUMIA QUR-AN IKUFAFANULIE KILA KITU,UNAENDELEA KUCHANGA NYA WATU,INAKUAJE UNACHUKUA MAMBO YA SAYANSI NA BIBLIA UNATOA FATWA.
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
Mtu anaeamini Quran hakika Mungu amsamehe, najua ni utumwa wa kurithishwa.
@hemedbamja319714 күн бұрын
Yani ni kama mtu anayeamini kuwa "mungu" alikufa msalabani tena kwa kuuliwa na watu.😂yaani Israel aliitoa roho ya "mungu" wake kisha sijui hiyo roho akaipeleka kwa nani😅😅
@konandawise455013 күн бұрын
Yaan huoni ajabu hata kumuelezea Mungu wako huwezi - hebu elezea yesu ni nani na Mungu wake ni nani na wanauhusiano gn
@Catherine-mh8sw13 күн бұрын
@@konandawise4550woooooyi😂😂😂😂
@Jamal22-o5n8 күн бұрын
@@konandawise4550 Mungu ni mmoja dogo janja, huwezi elewa na hutokuja kuelewa mkristo anapoutukuza Uungu wa Yesu Kristo Masihi. Ww endelea kumuamini Muhamad nabii alierogwa na lufilisika na kunyang'anywa adi mke na wahuni. Hahahahaha, ambae ni marehemu. Mm nipo pamoja na Yesu alie hai.
@Jamal22-o5n8 күн бұрын
@@hemedbamja3197 @konandawise4550 Mungu ni mmoja dogo janja, huwezi elewa na hutokuja kuelewa mkristo anapoutukuza Uungu wa Yesu Kristo Masihi. Ww endelea kumuamini Muhamad nabii alierogwa na lufilisika na kunyang'anywa adi mke na wahuni. Hahahahaha, ambae ni marehemu. Mm nipo pamoja na Yesu alie hai.
@mojakatundu13 күн бұрын
Hoja zako ni mzuri ila unakosa utulivu katika kuongea, ungekua na utulivu wa kuongea kama shekh Walid, shekh wa mkoa wa daresalam, ungekua vizuri zaidi
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
Uyo mtume ndo sitaki hata kumsikia, endelea na ayo majua mengi mengi
@bustedislam357813 күн бұрын
Swali lingine: quran inasema tukisema Yesu ni mwana wa Mungu, mbingu litapasuka... Je, litapasuka lini? Mbona hata leo ninatamka kwamba Yesu ni mwana wa Mungu, mbona hakuna kitu? Uongo wa uislamu umeenda hadharani.
@konandawise455012 күн бұрын
Andiko linasema mbingu zinakaribia kupasuka - kwani firaun nae si alikua km ww mpk akapanda kumchoma mkuki Mwemyezi Mungu hatushangai watu km nyie kuwepo
@bustedislam357812 күн бұрын
@@konandawise4550 Hivi umejibu swali gani?
@konandawise455012 күн бұрын
@@bustedislam3578 Allah alishatuambia kua tuwe na subra na maudhi yenu na maneno yenu ya kejeli Hapana shaka yoyote mtapata misukosuko katika mali zenu na nafsi zenu, na bila ya shaka yoyote mtasikia udhia mwingi kutokana na walio pewa Kitabu kabla yenu na wale walio shiriki. Na ikiwa mtasubiri na mkamchamngu basi hakika hayo ni katika mambo ya kuazimia
@bustedislam357811 күн бұрын
Kwa andiko gani hiyo maneno yako
@konandawise455011 күн бұрын
@@bustedislam3578 quran 3 :186
@mojakatundu13 күн бұрын
Halafu unarudiarudia sana maneno, halafu vilevile unakoseakoaea sana, la mbele unaweka nyuma na la nyuma unaweka mbele, mpaka mtangazaji anakusaidia kukurekebisha, hebu jitahidi kua na utulivu katika kuongea, Mimi mwislam mwenzio, nipo mamoja nawe
@Jamal22-o5n8 күн бұрын
@@mojakatundu uyo muislam mwenzio na ata ww ukiambiwa uthibitishe kuwa Quran imekamilika lazima uteseke kuongea mana uongo ni mwingi kuliko ukweli. Swali 1 dakika zaidi ya ishirini hajajibu
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
Professor wa kiislamu anatoka jasho tu badala ya kujibu kwann Quran inasema jua linazama matopeni? Anaanza kutusimulia petrol ilipoanzia, mara black sea mara asome ramani jamani 😂😂😂😂 Msaidieni sheikh wenu waislam
@konandawise455013 күн бұрын
Katika aya hio Allah anaelezea view ya Yule alivo liona jua likizama - kama vile sisi watu wa pwan jua linapozama jioni kana kwamba linaingia kwenye bahari - Tafuteni hoja zengine
@samxx41113 күн бұрын
Hawana wanalojuwa wakristo na kusoma hawataki na kusomeshwa pia hawataki...wao wanadhani jua ndio linaingia kwenye matope 😅😅😅 hii mfano wake kwa wale wenyeji wa bahari au maziwa makubwa ikifika muda wa jioni jua linazama na utaliona kama linaingia kwenye maji. Kwa hicho kilichoelezwa ktk Quran ni sahihi kabisa no doubt
@ramadhanchenga460613 күн бұрын
@@samxx411 ww unasema wakristo hawajasoma una akili ww formula za zote dunian wagunduzi ni wakristo
@Jamal22-o5n8 күн бұрын
@@samxx411hahahahaha, muislam anaeungujua na jua naona ushamaliza kuelezea apo, ikiwa Professor wako anatoka jasho tu na hakuna anachojibu. 😅😅😅😅😅
@MuslimYouthman4 күн бұрын
Sisi dini yetu haitegemei sayansi sayansi ndio inategemea dini yetu wanasayansi ni wanaadamu wanakosea QUR'AN imetoka kwa Allah Allah amekamilika hakosei hivyo tunaamini QUR'AN sio sayansi
@chriscao982813 күн бұрын
Quran ina maneno mengi sana ya uwongo 😂😂😂😂😂
@konandawise455012 күн бұрын
Kama yapi?
@mgosimkulu6613 күн бұрын
Sheikh hujajiandaa kujibu hilo swali uliza kwa masheikh wenye elimu kubwa wajibu hilo swali badala ya kurukaruka unaaibisha dini.
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
Ukisema kuhusu vitu quran imesema havijagundulika, apo unarudi kwa Yesu Masihi, Maana alitabiri watatokea manabii wa uongo, na kweli akatokea Muhammad nabii wenu aliewaahidi pepo ya mito ya pombe na kuozeshwa wanawake wengiwengi warembo wenye mashepu. 😂😂😂 Yaani uislam uzinzi hauishii duniani kuoa wanawake 4 mwanaume 1, mpaka peponi. Ila Muhammad 😅😅😅😅 Ajabu kuliko yote wanawake hawapo kabisa katika hesabu yake tunu ya pepo. Mwanamke wa kiislam hajui peponi ataenda kuchuma nini. Uislam unawabagua wanawake kuanzia apaapa duniani.
@konandawise455013 күн бұрын
@@Jamal22-o5n yaan ww akili yako unaijua mwenyewe - unatoa suali unajibu mwenyewe - lengo lako sio kujua na kiukweli hakuna unachojua zaidi unataka utie shaka ktk nyoyo za watu - jifunze ufaidike hii sio simba na yanga -
@bustedislam357813 күн бұрын
Hii dini ya marehemu Muhammad ni balaa sana. Yaani jua inakaa ndani ya petroli? Sielewi huyu msanii. Anaulizwa swali ndogo alafu analeta maneno mengi ili kujificha kwa shamba la njugu... Islam ni uongo, siyo dini la kweli na uzima.
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
Kila nafsi itaonja mauti sio, nenda Quran 5 mstari 116 inasema Mungu atakufa. Alafu eti imekamilika 😅😅😅😅 Muhammad pepo atafanya kuisikia kwa jinsi alivyowapotosha waislam. Amewarithisha ndoa za kila kukicha, maana ndoa za kiislam inafika hatua mpaka tunaziona kama birthday. Kuachana ndo usiseme. Asitokee taahira wa kubisha kabla hajaenda Quran 5 mstari 116 😅😅😅
@dulasele-ud8cw14 күн бұрын
Kkkk kondoo walopotea bwana
@chriscao982813 күн бұрын
😂😂😂😂 uislamu umejaa Sarakasi
@Anonymous-w9v-i1p13 күн бұрын
Hawa ndugu zetu kwa kweli!!😂😂..basi tu!. Ila tusichoke kuwelimisha mana ni ndugu zetu na hakuna anayependa ndugu yake apotee.
@tospend13 күн бұрын
Ukitaka kujua ukweli wote kuhusu usilam na Quruan kuwa ni uongo mtafute Sam Shamoun Toward Christ mtachelewa sana
@konandawise455013 күн бұрын
Hahahaa huyo hana hoja mpya anarudia hoja za walio mtangulia - hoja zake zoote zimejibiwa -
@konandawise455013 күн бұрын
Hahaha huyo hana kipya anarudia hoja za walio mtangulia na walishajibiwa -
@Anonymous-w9v-i1p13 күн бұрын
@@konandawise4550 Na nani mkuu? maana mm namfatilia kila siku katika channel ya "towards christ" na "the archieve" na naona anavyowahenyesha 😂..hakuna muislam wa dunia hii anaweza kujibu hoja za sam shamoun hayupo hata mmoja kama sheikh msomi Othman ibn Farouq mwenyew kashindwa..itakuwa hawa wa bongo ambao ndacha tu anawatoa jasho. Mtafute na mwingine anaitwa "God logic" utajifunza mengi ndugu 🤝
@AhmadAlobady-l8v9 күн бұрын
Nawajua hao wote ulio wataja -sam Nimemfuatilia zamani sana - na nimeona hoja zake nyingi zimejibiwa ila inaweza kua kila mtu huona kwa upeo wake - ila tuache mambo kando ni lipi litafanya sote tuwe ktk njia moja ya haki? Maana hata ukijipa moyo kua uko sahihi bado kuna ktk kundi lako anakuona umepotea - mfano huyo sam ukiangalia mijadala yake na wakristo unaona anapatashida na anaonekana amepotea -
@JumaAthuman-bk6hx13 күн бұрын
WEWE KAMA ELIMU YAKO NI NDOGO KATIKA DINI JARIBU KUTAFUTA WAJUZI WA KUELIMISHE,KWANZA KAMA NENO MWENYEZI MUNGU LIKO WAPI KTK UISLAM?HAPO TU YAONYESHA UPEO WAKO NI ZERO.ELEWA KWAMBA JUA LINAKWENDA KWENYE ARSHI YA ALLAH NA LINAMSUJUDIA NA KUPINDUKA.
@blues4life63313 күн бұрын
Huyu ni tapeli wa kimataifa wa maandiko
@YunisnafulaTaabu9 күн бұрын
Waslam waslam nmeweita mara ngapi tuambieni uzur wa uslam sio kejeri na matusi hiyo hstusaidii chochote hubiri uzur wa uslam wacheni story mingi mingi mnatupoteza
@ramadhanchenga460613 күн бұрын
Wewe njoo tukufundishe bible iliposema jua na mwezi hapo vilimaanisha nini
@bustedislam357811 күн бұрын
Huyu anajibu kama mtu aliyeshambuliwa na nyuki. Anajaribu kujiokoa lakini ameshikwa. Jua na mafuta? Yaani huyo aliona jua ndani ya petroli akadhani ndiyo makao yake? Hiyo ni sayansi? Kwani alifuta bangi ao? Hii dini ni ya uongo
@isaacmligo918712 күн бұрын
Mungu yupi Anailinda quaran how!? wakati kuna Arif othman aliichoma moto akaandika yake
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
JUA LINATUMIA HEWA 😂😂😂😂😂 Sheikh ukuuuuu😂😂😂😂😂
@idrisaabkar376013 күн бұрын
umefika kidato cha ngap hata ilo unashangaa
@Anonymous-w9v-i1p13 күн бұрын
Haya tueleze ndugu idrisaabkar jua linatumia vipi hewa. Maana jua lipo space ambako hakuna "atmosphere" yenye hewa kama ilivyo duniani na nguvu yake inatokana na "continual nuclear fusion process" ambapo chembechembe ndogo kabisa za "hydrogen nuclei" huungana na kuwa "helium" mchakato unaozalisha nishati kubwa sana katika mfumo wa joto kali na mwanga kama tunavyoona huku duniani. Haya tueleze ndugu hio hewa inapotumika..tunasubiri majibu🙏.
@TheAlman9 күн бұрын
Ww zombi nenda basi hata kagugo uelewe
@TheAlman9 күн бұрын
But the burning of the sun is not a chemical combustion, it is a nuclear fusion. The sun is considered as the giant hydrogen bomb. In the nuclear fusion, the nuclei of the atoms fused with each other to form a larger nuclei. The nuclear fusion does not involve oxygen.
@TheAlman9 күн бұрын
Hydrogen is a chemical element; it has symbol H and atomic number 1. It is the lightest element and, at standard conditions, is a gas of diatomic molecules with the formula H₂, sometimes called dihydrogen, but more commonly called hydrogen gas, molecular hydrogen or simply hydrogen. Wikipedia
@samxx41113 күн бұрын
Rudi shule ndugu
@SemaStudio-jn1yv13 күн бұрын
Mbona Sheikh hajajibu swali, ila anazunguka tuuu!
@AllyNassor-de6ck13 күн бұрын
Sasa aje mchungaji ajibu Kwa nini biblia imeandikwa wachungaji ni mbwa
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
Jua linatumia mafuta kama gari, mafuta yakiisha ni jua linazima, ndo kiama iko tumekwishaa 😂😂 uwiiiiiiii
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
Hatimae Professor wa kiislam ameshindwa kujibu swali kwanini Quran inasema jua linazama matopeni, badala yake ametoa andiko kwenye biblia linaloeleza mwezi ulisimama kwenye bonde. MAANA YAKE QURAN HAIJAKAMILIKA KISAYANSI SAMBAMBA NA BIBLIA. Uwiiiiii😂😂😂
@samxx41113 күн бұрын
Ameshajibu zamani ila kichwa chako kigumu kuelewa, amesema haimaanishi kuzama kwenda chini ya matope, hapo mfano wake kwa wale wenyeji wa bahari au maziwa makubwa ikifika jioni utaliona juwa linazama ktk maji lkn sio kama ndo linazama chini ya maji...ndo sawa na hicho kisa
@Jamal22-o5n7 күн бұрын
@samxx411 Bora kuwa na kichwa kigumu kuliko kuwa ndondocha imani. Sawa basi amejibu, kuna majua mengi, na jua linatumia hewa. Na hewa ikiisha jua linazimika. Hahahahaahaha, mjini matahira ni wengi kuliko wazima.
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
Jua sio moja, kuna majua mengi 😂😂😂😂
@Catherine-mh8sw13 күн бұрын
Kuna majuwa mangapi kwenye dunia
@CharlesMisungwi-f8t13 күн бұрын
Sayansi na dini wapi nawapi? Usibwabwaje sayansi haiwezi kuwa juu yaMungu iko chini ya.Mungu yeyepia ndiye asili ya sayansi yoyote hapa ulimwenguni lakini kuna uko wa.mwanadamu ktk maalifa yenye kuendelea ugunduzi huo unaukomo you are talking Theory of evolution of man who is who between man. and the God ? nausifikirie eti wanasayansi hawatoki familiazawatu waumini wa dini najua halizami kisayansi hayo Hussein kusimulia waumini wako anapaswa kusimulia mambo yakiroho zaidi. Kuliko kusimulia kitu ambachowaumini wako hawahitaji wanahitaji kusimuliwa mambo yaMungu vyombo hayo anapaswa kusimulia watotowako na waumini wako auhatachuoni ulikosoma utapatawauminiwengisana kamasiyo kukosakabisawaumi.
@williamsangiwa992313 күн бұрын
Yan hcho ktb kiliandaliwa na watu wanaojua lugha tuu na siyo watu wenye maarifa ya kitu thts y bible Mungu alichagua waandsh wakaandika vitabu kwa uwezo wake Mungu thts y huwezi kuta utopolo kama huo 😂😂😂
@blues4life63313 күн бұрын
Mbona hajajibu alichoulizwa sasa maswala ya mafuta yametoka wap? au umemuuliza maswala ya mwamposa😂😂
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
Nilichogundua elimu ya huyu sheikh ni ya ku'Google.
@Milanova46014 күн бұрын
... Naona shekhe amekabwa koo na swali la matope.....ahahahhaha
@chriscao982813 күн бұрын
Kama huyo Mohammed mwenyewe alikuwa anaugua wazmu mnatarajia nini kutoka kwa Quran na uislamu
@konandawise455012 күн бұрын
Wapi aliugua wazimu?
@chriscao982811 күн бұрын
@konandawise4550 One book argues that Muhammad had a psychological dependence on others, was unable to introspect, and had symptoms of lunacy. The book also claims that Muhammad's prophetic claim was based on delusion and that he worshipped his own image
@konandawise455011 күн бұрын
@@chriscao9828 Quran 68 :1-10 Nuun. Naapa kwa kalamu na yale wayaandikayo Kwa neema ya Mola wako Mlezi wewe si mwendawazimu. Na kwa hakika wewe una malipo yasiyo katika. Na hakika wewe una tabia tukufu Karibu utaona, na wao wataona, Ni nani kati yenu aliye pandwa na wazimu. Hakika Mola wako Mlezi ndiye Yeye ajuaye zaidi nani aliye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walio ongoka. Basi usiwat'ii wanao kadhibisha. Wanatamani lau unge lainisha ili nao wakulainishie. Wala usimt'ii kila mwingi wa kuapa wa kudharauliwa,
@Jamal22-o5n8 күн бұрын
@@konandawise4550 Waislam mnatumia nguvu nyingi sana kuaminisha watu kuwa uislam ni dini ya kweli. Unajua maana yake ni nn? Sio dini ya kweli. Jiulize kwanini wakristo hatujaanzisha huo mjadala wa dini ya kweli. Na kwanini hatuma .uda wa kupoteza kuwakosoa wenye imani nyingine tofauti na ukristo? Ukweli hauitaji kutumia nguvu, tunajua imani yetu ni thabiti, ndo mana tuna"relax. Tunaingia kanisani jumapili kwa ibada kuu, mara moja kwa wiki. Ila waislamu bhana, msikitini kila siku, tena mara 5 kwa siku. Hahahahaha, kazini saa ngapi ndugu. Na Mungu alisema asiefanya kazi na asile. Pia alisema fanyeni kazi ndani ya siku 6 za juma. Siku ya 7 ni siku ya sabato, tusifanye kazi, iyo ni siku maalum ya kumtukuza kumsifu kumwimbia na kumuomba toba na kumtolea fungu la riziki anazotupatia kila siku. Oneni waislam mnavyoteseka ili tuwaone ndo dini ya kweli. Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha, uwiiiiiiiiiii, eeh Mungu tusaidie viumbe wako.
@YusuphRashidi-b1j13 күн бұрын
Qur'aan haisomwi kama gazeti
@Mahershalalhashbazi-kf6xi13 күн бұрын
Muongo wewe! ustaadh Ina maana mwalimu wa maamuma. Danganya maamuma wenzio km Prof ni mwalimu watakuamini
@konandawise455013 күн бұрын
@@Mahershalalhashbazi-kf6xi proffesor ni mwalimu kwa lugha nyingi zenye asili ya kilatin - km kireno ,italiano nk
@mojakatundu13 күн бұрын
Unaongea harakaharaka mno, prapraprapra
@Jamal22-o5n8 күн бұрын
@@mojakatundu hahahahahahaha, kuupindisha ukweli ni kazi kijana.
@Jamal22-o5n14 күн бұрын
Upuuzi mtupu, Kitabu kilichokamilika ni Quran? Ilioandikwa kwa kutumia Biblia. Ila waislamu 😂😂😂
@samxx41113 күн бұрын
Sawa ni upuuzi lkn bilions wamehifadhi moyoni, haya twambie kitabu gani chengine kilichohifadhia chote na watu angalau milioni moja😂😂😂
@konandawise455013 күн бұрын
@@Jamal22-o5n ilitumika wapi bibilia? Yaan nitumie kitabu kilicho jaa makosa kisha nitoe kitabu kisichokua na makosa? Kwani ni wapi bibilia imekopiwa?
@Jamal22-o5n8 күн бұрын
@@konandawise4550 torati, zaburi na injili vimetumika kwenye quran ww taahira. Ubishi kama mshipa. Nilitaka nishangae akili utoe wapi na ikiwa unaamini quran ni kitabu kitakatifu na sio Biblia mliotumia ku'copy.
@Jamal22-o5n8 күн бұрын
@@konandawise4550 umemkuta baba ako na mama ako muislam ukarithi dini bila kujua chochote kuhusu iyo dini uliorithishwa. Watumwa wa waarabu. Hahahaha
@Jamal22-o5n8 күн бұрын
@@samxx411 Biblia sio kuhifadhi tu, kuisoma na kuielewa ni lazima uwe ufahamu wa kiroho. Au ukasomee chuo cha biblia. Sio kila mkristo anaweza kuilewa Biblia dogo.Quran ni kitabu chepesi na cha kukariri. Ndo mana hata mtoto wa miaka 7 anaweza kuihifadhi. Huo uchafu usifananishe na Biblia Takatifu.