NI YESU ALISULUBIWA MSALABANI AU YUDA?? UST. SULEIMAN MBOGO AWATEGA MWANKEMWA NA NDACHA

  Рет қаралды 2,526

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

Күн бұрын

Пікірлер: 232
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 6 күн бұрын
Kukataa kua yesu hakufa nikumkana mwenyezi Mungu nakumkufuru kua ni muongo wote nyie mnaochambua hio mada mmepotea kwasababu hamuyajuwi maandiko wala uweza wa Mungu ulioko ndani ya kristo Yesu Amin
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 5 күн бұрын
USIJALI NDUGU NI ROHO YA MPINGA KRISTO IKO KAZINI!!
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 6 күн бұрын
MASHA ALLAH 💚
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 6 күн бұрын
MASHALLAH UKWELI MWINGI UMEZUNGUMZWA HAPA ILA BAHATI MBAYA WATU TUMEFANYA DINI USHABIKI MTU HAKI IKIKUFIKIA KUWA MNYENYEKEVU, KUBALI SILIMU MOLA ATAKUINUA ZAIDI NA ZAIDI
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 5 күн бұрын
@@rizikiyahya5254 mkristo akisilimu ni laana kubwa Sana ,kumkataa YESU ambae ni Mwana wa Mungu halafu unamwamini mwana almalikh
@PeterYaro-f5r
@PeterYaro-f5r 5 күн бұрын
Mungu aliyeumba Dunia hii,siyo Allah.Yesu wa Biblia siyo Isa wa koroani,Wala koroani siyo maneno ya Mungu.Dini ya uislam inaamini nabii Moja tu,inakataa manabii wengine.kila wakati ni koroani tu inasomwa,hakuna zaburi,torati na injili.kila wakati ni "tumswalie Mohammad tu"inanipa wasiwasi sana.
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 5 күн бұрын
@@PeterYaro-f5r Sasa watasona Nini ,injili kwenye Quran hakuna ,Torati hakuna ,zaburi hakuna ,walichobaki nacho ni kusilimisha watu waliokufa ,utasikia Adam mwislamu ,Yesu muislamu ,Ibrahim,Musa ,Daud nk Sasa hivi ni vituko kwani Quran inamtaja ni Khadija kua muislamu wa kwanza Kisha mfanyakazi wa Khadija wa kiume ndio wa pili ,nadhani YESU anawahitaji awape uzima jitahidini kumtafuta awape msamaha mjue kweli , kwani Quran hauwezi kua na vitabu vya torat ,injili ,na zaburi kwa kua alie mpa Mohamad kitabu hicho moyoni mwake yaani wahai alikua ni adui wa malaika watakatifu ,Quran 2:97 soma utaona ,Sasa kitabu kilicholetwa na adui unadhani kitaweza kukiri ukweli juu ya KRISTO YESU na wakati YESU ni Moto ulao??
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 6 күн бұрын
Huyu jamaa anaroho ya mpinga kristo Imani ya wakristo Duniani kote imejengwa kwenye msingi kua yesu kristo ni mwana wa Mungu alikuja kwa jinsi ya mwili na alikufa na kufufuka siku ya 3
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 6 күн бұрын
Hiyo imani fuatilia ilianzaje? Sio kwa kuwa imeshazoeleka basi ndio sahihi ndugu Ukifuatilia historia ya kanisa zamani watu walipigana sana kwa kutofautiana itikadi hizi na ubabe ulitumika kulazimisha itikadi hii. Tunamuomba Mola awafunulie haki iliyo mbele yenu
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 2 күн бұрын
Alaaniwe yoyote anaemkataa Yesu Kristo Masihi aliefufua watu, alieponya vipofu, aliumba ndege. Bado umkane YESU umfuate Muhammad nabii mnzinzi alierithisha waislam dhambi iyo, mtume pekee wa uongo kati ya Mitume wa kweli wa Mungu aliethubutu kuoa MTOTO WA MIAKA 6. Alaaniwe yoyote anaempinga Yesu Masihi alie Hai na kumfuata MAREHEMU Muhammad alieshindwa kuzuia uchawi usimdhuru.
@AthmanAlly-z4e
@AthmanAlly-z4e 6 күн бұрын
Kwa hakika Allah maneno yake yatakua juu mpaka siku ya mwisho kwa faida Quran(surah ya 18 al kahf ay 57-58) ila kwa kifupi (UKIWAITA KWENYE UWONGOFU HAWAKUBALI KABISA KUONGOKA , LAKINI WANAYO MIADI AMBAYO HAWATAPATA MAKIMBILIO YOYOTE YA KUEPUKANA NAYO) mwenye kuongoka ataongoka ila fungu la kukosa la kukosa tuy sheikh wetu tunakuelewa sana wala wasikuvunje moyo watu wasiozingatia maandiko bali wao hua wamaendeshwa na jazba kwasababu kwa mtu mwenye hofu ya MWINGI WA REHEMA awezi akaandika maneno machafu na mabovu ktk comment za maandiko matakatifu.
@TheAlman
@TheAlman 6 күн бұрын
Mtanzania mwenzangu mtanzania mwenzengu mbona tunaachN....... 😂😂😂😂😂😂😂 Taqbirr......... ❤
@peterenos2627
@peterenos2627 6 күн бұрын
Barnaba hakuwa mwanafunzi wa Yesu. Mathayo 10:1-4
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 5 күн бұрын
WITHOUT LIES, ISLAM DIES!!
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 5 күн бұрын
@@peterenos2627 haijalishi kwani asipikia mwanadunzi kunaathiri Nini ??
@daawaonlinetv4486
@daawaonlinetv4486 4 күн бұрын
Kwahiyo kama Barnaba hakuwa mwanafunzi basi alikuwa Mjomba wake
@peterenos2627
@peterenos2627 4 күн бұрын
@@daawaonlinetv4486 Toa andiko Barnaba aliwahi kuwa mwanafunzi wa Yesu, ama kuambatana na Yesu popote pale
@SuleimanMakame-p2r
@SuleimanMakame-p2r 7 күн бұрын
Wakwanza leo
@cosmassisa5256
@cosmassisa5256 5 күн бұрын
Yaani kwamba waliokuwa na Yesu; Petro, Mathayo, Yohana, Marko, Luka walishuhudia kufa na kufufuka kwa Yesu nije nimwamini mtu aliyekuja miaka 570 baada ya Yesu aje aeleze tofauti na wale waliomshuhudia halafu nimwani.
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 5 күн бұрын
@@cosmassisa5256 ni ngumu kumkubali huyo Mtume mpya ,yaani Mohamad Yuko peke yake ,na wakati sisi tuna mitume kibao 12 jumla wame toa mapepo,wamefufua wafu ,wameponua vilema ,viziwi ,nk. Jue umwamini mtu ambae hajawahi fanya muujiza wowote hata kuombea mtu mwenye mafua akapona Ili atie muhiri kua katumwa na Mungu ,hakuna nabii Wala Mtume kwenye Biblia hajawahi kufanya maajabu ya kutumiwa na Mungu ,(kwanini mnamsalimia na kumuombea rehema kama kweli alikua Mtakatifu?? Mbona hamuelezi utakatifu wake ?? Na rehema za Nini ?? Kama yeye hakuweza utakatifu hata akaenda kifoni ninyi wafuasi mtaweza ikiwa kiongozi alishindwa ??
@cosmassisa5256
@cosmassisa5256 5 күн бұрын
Ukisoma Quran vizuri, unakuwa Mwislamu mzuri lakini ukiielewa Quran vizuri, unakuwa Mkirsto.
@Smart_jarm
@Smart_jarm 6 күн бұрын
Simulizi R NA L ZINAKUSUMBUA😢
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 6 күн бұрын
@@Smart_jarm Yeah, ila najitahidi nizoee
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 6 күн бұрын
We mzee Yesu sio nabii Isa, uyo Isa mwingine na Allah ni Mungu mwingine wakwenu nyinyi. YESU KRISTO, wakwetu sisi wakristo.
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 6 күн бұрын
@@Jamal22-o5n Yesu sio jina halisi kwa east afrca tunasema yesu lkn marekani uyo yesu wako unamuacha ukuku, kule ni jesus, sasa ss tunataka ww utuambie jina lake halisi alilopewa na mamake ni gn? Usiwe mpingaji2 uwe na hoja zakupinga
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 6 күн бұрын
Na wengine wanamuita jeziiiiiu😂​@@MohdJuma-w6l
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 6 күн бұрын
Maana yesu na maana issa mana yake Nini Kwa hayo majina mawili nyie wakristofa elimu hamuna sawa na kusema god na mungu tofauti jalibuni kusoma muwe na elimu sio kubisha tu ushaki wa kipumbavu
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 6 күн бұрын
Hujui kitu wewe fungua domo
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 6 күн бұрын
Kweli kabisa....tofauti ya Yesu Kristo na isaa bin maryam ni kama mchana na usiku. Yesu ni original na issa ni feki.....kumaanisha kila kitu uislamu ni feki!!
@SaidIsmail-f1j
@SaidIsmail-f1j 6 күн бұрын
Jaman wakristo minahitaji nini tena
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 5 күн бұрын
Hoja yako haina mashiko, bibilia ni ngumu huna roho mtakatifu neno linahitaji kujua majira ,nyakati ,ufunuo ,na nguvu ya Roho mtakatifu.
@MosesKubo
@MosesKubo 3 күн бұрын
tatizo kwa Yesu wanaleta story za issa
@Educatedmind-k9r
@Educatedmind-k9r 6 күн бұрын
Uislam raha sana. Ukristo ni cinema kwahiyo ni dhahiri kuwa wakristo wamrudie Mwenyezimungu.
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 5 күн бұрын
kama humjui Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai, Hata Mwenyezi Mungu Baba humjui. Yesu Kristo sio issa bin maryam mnayedanganywa miskitini.....na hii ina maanisha uislamu ni uongo mtupu!! Yesu anakwambia "Kama mngekuwa mnajua mimi ni nani, mngemfahamu na Baba yangu." - Yohana 14:7 waislamu wamrudie Mwenyezimungu
@bustedislam3578
@bustedislam3578 5 күн бұрын
Swali kwa wafuasi wa marehemu Muhammad: ni wakati gani Yesu alifanya siku tatu ndani ya moyo wa inshi?
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule 6 күн бұрын
Sheikh wangu kama unayaweza itisha mjadala na wahadhiri wa kikristo uone Moto wake kama utachukua raundi
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 6 күн бұрын
Kwa siku ya leo sina hata sababu ya kujibu kwa aya pale unapoongea utumbo kama nilivyofanya last time, ni kukuangalia na kucheka tu, mana nishajua una matatizo.
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 6 күн бұрын
Cheka tu mdomo ni wako ila ukweli ni huo sasa kuufuata unahiari silazima endelea kuabudu lile sanamu la kimarekani lililopewa jina yesu
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 5 күн бұрын
59. Je! Mnayastaajabia maneno haya? 59  60. Na mnacheka, wala hamlii? 60  61. Nanyi mmeghafilika? 61  62. Basi msujudieni Mwenyezi Mungu, na mumuabudu. 62 Quran Sura A Najm
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 5 күн бұрын
59. Je! Mnayastaajabia maneno haya? 59  60. Na mnacheka, wala hamlii? 60  61. Nanyi mmeghafilika? 61  62. Basi msujudieni Mwenyezi Mungu, na mumuabudu. 62 Quran Sura A Najm
@FadhilZaharan
@FadhilZaharan 3 күн бұрын
Wewe Jamal huna akili ivi mnadai yesu kakaa kaburini siku tatu hebu hesabu ijumaa mpaka jpili nisiku ngapi ivi inahingia akilini kweli? ukisikia siku lazima iwe na masaa ishirini 24 Yaani usiku na mchana hlf kingine ukitaka kujua kama niuongo zama hizo saa zilikua hakuna saa zimekuja Karne hii hayo yakusema kafa saa3 mara saa6 niuongo saa zimekuja Sasaivi Bora wangesema mchana au jioni biblia imeharibiwa
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 3 күн бұрын
Mimi naabudu sanamu ya kimarekani iliopo kwenye Biblia iitwayo Yesu Masihi, wewe unamuabudu marehemu wa kiarabu Muhammad 🤣🤣🤣🤣🤣
@mangofish9079
@mangofish9079 6 күн бұрын
Wewe sheikh acha kumzulia Mwenyezi Mungu uwongo wapi mfano huo upo ktk quran Mwenyezi Mungu amtumie kiumbe mwengine kwa adhabu au vyenginevyo kama mbadala wa kiumbe mwengine. Tunavyojua malaika wanaweza kutumia umbo la binadam inapobidi lkn hizo tafsiri zenu eti binadamu mwengine kageuzwa kuwa binadamu mwengine ni uzushi na quran haithibitishi hivyo inavyosema "walifananishiwa" kwa maana kile kifo walichoona wamemuuwa nacho ilikua ni kufaninishiwa tu ili waone kuwa wamemuuwa. Masheikh someni elimu ya taawili musiwe watu wa kuambiwa na kukubali kila kitu mulichosomeshwa.
@jumaruhinda9987
@jumaruhinda9987 4 күн бұрын
Jamal sikia Mbii Isa alizaliwa na Mariam Yesu alizaliwa na nani?
@TheAlman
@TheAlman 7 күн бұрын
Wakwanza kesho kutwa
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 7 күн бұрын
wakwanza kesho
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 5 күн бұрын
Tatizo hapo ni mohamad hawezi kumpatia mwanadamu uzima na msamaha wa dhambi kwa hiyo mnataka Yesu awe kama mohamad ili mjifurahishe ,hata moande juu ya mti hata msimame baharini YESU ni Mwana wa Mungu ,mwokozi wa ulimwengu wote na ndie anasanehe watu dhambi zao ( leo mnamuombea mtume wenu rehema kwa allah amsamehe na wakati alipewa muda wa kuishi na kumhitaji YESU ktk maisha yake na ndie mfalme wa rehema na msamaha akapuuza ,je? Mnadhani mnao uwezo wa kumuombea marahemu alie kosea asamehewe??? Kwani yeye hakujua alie muita alikua anataka nini kwake na aishi maisha gani ??) kuna hadithi inasema mtume kua roho yake anaiweka kwa issa bin mariam , ina maana hakujua kabla hajaumwa na kukaribia kufa?? , nadhani wakristo shikamana na YESU alie hai na atakae kuja kwaajili ya hukumu ya dunia yote, msije mkaiacha imani yenu kubwa na ya thamani sana muanze kuamini marehemu itakua kituko ,kwani hamruhusiwi kuabudu mzimu mungu wetu ni mtakatifu sana,tumwabuduni yesu kristo alie hai ndio maana imani yetu iko imara kwani kiongozi yuko hai hata sasa mbinguni .msibabaishwe na lolote.
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 6 күн бұрын
Mpinga Kristo kaja na lemba 😅😅😅 kuwapotosha tena ndugu zake waislam
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 6 күн бұрын
Wewe mpinga kiristo mumempa cheo yule mmarekani mukamuita yesu
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 4 күн бұрын
@@SabihaibrahimRajabu ww taahira Yesu ni kwenye Biblia. Hakika waislam kuna matahira wengi mno. Na ndo mana mtume kawadanganya peponi watakuta mito ya pombe na wanawake warembo na wakaamini. Hahahahaha
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 4 күн бұрын
@Jamal22-o5n wewe kafiri mututu hushangai kuambiwa mungu kazaliwa kwenye kuma na akajyonya na akajya mavi na kukojoa hahahaaaa mwehu weye mungu wenu alipigwa na yakobo mangumi mpaka kukapambazuka yote huyaoni chizi wee
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 4 күн бұрын
@SabihaibrahimRajabu kumbe adi humu kuna malaya wa kike wa kiislam. Mungu msaidie huyu kahaba alieshindikana kwa mama ake. Kiasi cha kuonyesha makucha kwenye mijadala ya kiimani. Bila shaka mpaka sasa baba ake hamjui kutokana na kuhangaika kwa mama ake kipindi cha ujana wake. Hakika mtoto wa kahaba huwa kahaba. Matusi ya nguoni humu ya kazi gani? Ndo mana Muhammad wanawake aliwafanya wa nyongeza kwa wanaume wa kiislamu. Mwanaume mmoja wake wanne, maana alijua akili za wanawake watatu ni sawa na mwanaume mmoja. Mungu wangu ni mwenye huruma, Yesu Masihi alikuja ulimwenguni kwa ajili ya wakosefu kama mimi na wewe. We kahaba umesamehewa dhambi na matusi yako. Amani ya Bwana iwe pamoja nawe, itikia ameen
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 4 күн бұрын
@Jamal22-o5n mbona wapo malaya waloshindikana kama wewe na mwalimu wangu mimi na wewe ni mamaako na kina matha mwaipaja waloongoza mtandao kwa skendo ya kusagana unashaa nini mpuuzi wewe kondoo ulopotea mpumbavu mpaka bibilia imekutukana kukuita mjinga mpumbavu wewe na mungu wako
@alyaqdhan5206
@alyaqdhan5206 6 күн бұрын
Quruani inathibitisha kama Yesu hakuuwawa wala hakusulubiwa: Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini. --an_nisaa' 157
@mangofish9079
@mangofish9079 5 күн бұрын
@alyaqdhan5206. Quran 3:55. Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Quran inaposema hawakumuuwa ila walifananishiwa tu ni kwa sababu ya aya hii ndivyo walivyofananishiwa mashekhe sijui wanaona uzito upi kusema hili hawakumuuwa ila Mwenyezi Mungu ndio alimfisha walipomtundika pale msalabani waone wamemuuwa. Ukipinga aya hio quran inathibitisha zaidi ktk aya nyengine.
@wakeshojana
@wakeshojana 6 күн бұрын
WAPINGA KRISTO.....SULEIMAN MBOGO ANAONGELELEA KUHUSU ISSA BIN MARIAM...SIO YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI. Matayo 16:21 Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaeleza wanafunzi wake kwamba hana budi kwenda Yerusalemu na kupata mateso mengi kutoka kwa wazee, makuhani wakuu na walimu wa sheria; na kwamba atauawa na siku ya tatu atafufuliwa.
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 6 күн бұрын
Kweli kabisa waislamu ni wapinga Kristo!! huyu mbogho, shafi, mazinge na walimu wote wakiislamu ni waongo.....wanatumia taqqiya sana kwa mafunzo yao... hiyo Matayo 16:21 Yesu alitabiri kifo chake na ikatimia.....koran ni copy bible, edit and paste ..... pia isa alitabiri kufa kwake na kufuliwa hai na ikatimia. Sura mariam 19:33 Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai.
@wakeshojana
@wakeshojana 6 күн бұрын
@@chapchap-oz1ou ANAPINGA BIBLIA WACHA TUONE KAMA ATAPINGA KORAN 19:33 😂😂😂😂😂😂😂😂
@konandawise4550
@konandawise4550 6 күн бұрын
​@@chapchap-oz1ou hio tafsiri umeipata kwenye kitabu gn - au wakati quran ina shuka ni nani alitafsiri hivo? Sisi tunawafikishia kwa upendo kua yesu hakufa msalabani - ila km mtatuona tunawapinga tu basi sisi tushafikisha jukumu letu - kila mtu akapewa akili na uwezo wa kufuatilia mambo- wala hamna chuki wala fujo
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 6 күн бұрын
@@konandawise4550 Ama kwa kweli hujielewi na hauna tofaiti na mbogo hehehehehe..... Yesu ambaye hakufa msalabani ni yesu bandia wa koran kwa jina issa bin maryam... Lakini Yesu Kristo wa Biblia alikufa na akafufuka baada ya siku tatu na hivi sas ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba.
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 6 күн бұрын
@@konandawise4550 @chapchap-oz1ou hio tafsiri umeipata kwenye kitabu gn - au wakati quran ina shuka ni nani alitafsiri hivo? Isome kwa lugha unayoijua alafu tuambie kama itabadilika...
@zakayomoleli
@zakayomoleli 5 күн бұрын
Ukikataa kataa sisi tunamwamini Tena ni MUNGU,kwani wewe ukienda motoni Kuna shida gani hata sura yako inakuonyesha motoni ndio kunakufaa
@FadhilZaharan
@FadhilZaharan 3 күн бұрын
hakuna masaa ktk vitabu vya mungu huo niuongo eti saa3 saa9 saa zimekuja karne hii watu wa kale walikua wanaangalia jua kujua sasaivi mchana au jioni hao wanaosema yesu kafaa saa9 waongo wametunga mungu mara nyingi anawaumbua waongo nandomana mana manabii wote walitumia asubui mchana jioni unajua wakristo hamtaki kusoma hlf hamjiongezi mkiambiwa biblia imetungwa yapo mambo kweli ni yakweli machache lkn mengi niyawatu haya masaa karne izo yametoka wapi hakuna ktk qur ani kitu inachoitwa masaa zaidi ya asubui jion nabaadhi pia ya biblia imesema ikawa asubui ikawa jion hii mara yesu kasuribiwa saa6 mara saa9 mara saa12 mmetoa wapi
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 6 күн бұрын
Watoto wa poulo someni jamani nyinyi mnadanganywa Sana dini ni uslam tu
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 6 күн бұрын
uislamu ni ni Kupinga Kristo na mwishoe ni jehanam!!
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 6 күн бұрын
@chapchap-oz1ou uislamu unapinga ukiristo kwa sababu biblia Isha haribiwa na ndio mana biblia ziko tofauti tofauti na wanaabudu mtu sio mungu na baadhi ya wachungaji washalisema yesu sio mungu lakini hamkubari kabisa badilikeni
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 6 күн бұрын
@@AllyNassor-de6ck Yesu ni Mungu aliyekuja kama Mwanadamu. Soma Yohana 1:1-14 Infact kitabu kizima cha Yohana ni kuhusu Uungu wa Yesu. Biblia ilikuwa vile ilivo kabla muhammad kutokewa na shetan aliyevalia sura ya jibril na kumuamrisha aanzishe dini ya Kupinga Kristo!!
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 6 күн бұрын
@chapchap-oz1ou yeye wenyewe yesu anakataa nyie mnalazimisha kasema humor humor kwenye biblia kua yeye binaadamu na yupo mungu mmoja tu soma acha maneno ya paulo kawadanganya kawapeleka kanisani kwa mungu wa wagiriki
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 6 күн бұрын
@@AllyNassor-de6ck @chapchap-oz1ou yeye wenyewe yesu anakataa TOA NDIKO AMEKATAA NAMIMI NITATOA ANDIKO AMEKUBALI!!
@frankmugomba3484
@frankmugomba3484 6 күн бұрын
Ukiwa Smart kwa Hakiri uwezi kupoteza muda na Mbogo ila unaelewa juu ya Uwelewa wa Sheee na Dini yake Ulivyo Chini kwani uwezi kubishana na Imani iliokuja baada ya Miaka kadhaaa ikitambua Yesu Alikuwa Neno la Mungu pia Ajawai kutenda dhambi na Sifa ya Mungu ni Kuwa Mtakatifu. Mwamedi ni Mtu Asie Tambulika kapewa nanini Unabii? Mwisho naomba kujua kwa Sheee kwenye Quran hiyo au Hadithi Bilali wapi Alikuwa Free from Slavery? Naje Bilali kupiga Hadhana ilikuwa matakwa yake au alikuwa 4sidi kwa Sababu Alikuwa Mtumwa Wa Mwamedi?
@konandawise4550
@konandawise4550 6 күн бұрын
Mbn yesu alikuja miaka mingi baada ya isaya? Baada ya mussa baada ya ibrahim - ni ktk taratibu za Mwenyezi Mungu kuwaletea Muonyaji na mtu wa kuwarudisha watu ktk usawa baada ya kupotea -
@konandawise4550
@konandawise4550 6 күн бұрын
Hebu nieleze sifa za Mwenyezi Mungu hata tano kisha tuone je yesu anaingia? Mwenyezi Mungu halali , hafi , hana sifa ya upungufu , anajua yoote ikiwemo siku ya mwisho , hana sifa ya kuogopa au kukimbia - Yesu alichoka, akalala ,hajui saa ni lini ..
@konandawise4550
@konandawise4550 6 күн бұрын
Wewe tu hutaki kumtambua na kwakua unajitia upofu basi hivo mpk siku ukiamua kufungua akili na kuacha kiburi cha kujifunza - Haha ss hadith hio kuonesha bilal alikua ameachwa huru na abubakar Jabir ibn Abdullah reported: Umar, may Allah be pleased with him, used to say, “Abu Bakr is our master and he emancipated our master,” meaning Bilal. Source: Ṣaḥīḥ al-Bukhārī 3754
@konandawise4550
@konandawise4550 6 күн бұрын
Wewe tu hutaki kumtambua na kwakua unajitia upofu basi hivo mpk siku ukiamua kufungua akili na kuacha kiburi cha kujifunza - Haha ss hadith hio kuonesha bilal alikua ameachwa huru na abubakar Jabir ibn Abdullah reported: Umar, may Allah be pleased with him, used to say, “Abu Bakr is our master and he emancipated our master,” meaning Bilal. Source: Ṣaḥīḥ al-Bukhārī 3754
@konandawise4550
@konandawise4550 6 күн бұрын
Angalia hadith fungua kitabu cha bukhari 3754 Imepokewa kutoka kwa Jabir ibn Abdullah: “Umar, Mwenyezi Mungu amuwiye radhi, alikuwa akisema, “Abu Bakr ni bwana wetu na amemkomboa bwana wetu,” akimaanisha Bilal. Chanzo: Ṣaḥīḥ al-Bukhari 3754
@phineasmutethia1349
@phineasmutethia1349 5 күн бұрын
Sasa tukatae mashahidi Luka,Yohana,Marko na Mathayo na tuje tukukubali wewe Mbogo.Vile wanahistoria wa enzi pia kakubali alikufa.Waislam wacheni ukichwa ngumu.
@aishahazary4097
@aishahazary4097 6 күн бұрын
Yaan ukristo ni mzigo kama mavi popote uendapo lazma inzi wakufuate
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 4 күн бұрын
@@aishahazary4097 lugha ulioitumia tu, inaonyesha nia kiasi gani ubongo wako umeoza. Ha ha ha
@aishahazary4097
@aishahazary4097 4 күн бұрын
@Jamal22-o5n ..Huwezi kujua uozo wa mtu kama na wewe si miongoni mwa mizoga
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 4 күн бұрын
@@aishahazary4097 yawezekana ukawa sahihi, ila mm nakusihi utulie apo apo ukisubiri pepo ya mito ya pombe na uzinzi peponi. Mlioadiwa na Mwarabu wenu Muhammad.🤣🤣🤣🤣😃
@KZee-f7n
@KZee-f7n 6 күн бұрын
Mie nataka kisilimu
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 5 күн бұрын
Kama upo serious usichelewe Hilo kaka nenda msikiti wa jirani yako upewe muongozo wa kutamka shahada Mwenyezi Mungu humuongoa amtakaye
@FadhilZaharan
@FadhilZaharan 6 күн бұрын
Chonde chonde hiyo mada mpelekee ust shafii nakuomba sana simulizi mm kama shabiki wako
@chapchap-oz1ou
@chapchap-oz1ou 5 күн бұрын
SHAFI, MBOGO NA WAISLAMU WOTE HAWAMJUI YESU KRISTO HALAL...WATAONGELELEA ISSA BIN MARYAM WAKIDHANIA NI YESU
@theemalindian
@theemalindian 7 күн бұрын
Wakristo kama hamjajifunza basi endeleeni kupotea
@waluohopaulo2116
@waluohopaulo2116 7 күн бұрын
Wakristo wajifunze nini?
@SamoraTabaga
@SamoraTabaga 7 күн бұрын
Kwenye uisilam kunakitu chakujifunza kweli humjui yesu Nani akujifunze?
@Smart_jarm
@Smart_jarm 6 күн бұрын
Ubishi wakipumbavu​@@waluohopaulo2116
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 6 күн бұрын
Acha bangi, uyo taahira wenu apo ata biblia haijui. Alafu ujifunze kwake? 😅😅😅
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 6 күн бұрын
​@@Jamal22-o5nukweli sikuzote kafiri hautaki unataka uambiwe huna zambi eti munaishi kwa mserereko sasa mbona kila siku munaomba mufutiwe zambi zenu
@zakayomoleli
@zakayomoleli 5 күн бұрын
Alafu waislam mbn mnakuwa wajinga hivi unampinga YESU,wakati wewe ni mwislam,wewe ropoka ,ni kwetu ni MUNGU
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 6 күн бұрын
Fanya mdahalo wewe na Ndacha akufundiche
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 5 күн бұрын
Ndacha mweupe tu sema nyinyi mna enjoy kudanganywa Yaani inaonekana hata kama Yesu mwenyewe angerudi Leo akakataa yeye siyo Mungu bado mngemlazimisha awe Mungu akitaka asitake. Inauma sana vile hamuelewi maneno
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 6 күн бұрын
Wakiristu hakuna anacho jua zaidi ya kucheza dance makanisani someni vitabu vyenu mjue ukweli
SHEIKH ALIYEBATIZWA AUMBUKA BAADA YA KUTUKANA QUR'AN
28:39
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 3,1 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
UNDUGU WA MAJINI NA WAISLAMU MWALIMU CHIKAWE VS USTADHI MATHAYO NA IBRAHIM BAKOZI
1:51:00
MAJIBU KWA KAFIRI HUYU NA HII NI RASHA RASHA TU MVUA KAMILI INAKUJA
28:03
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 2,1 М.
WACHAWI WANAVYOROGA KWA KUTUMIA MAANDISHI NA QURAN TUKUFU | SHEIK. KONDO JUMA BUNGO
45:52
WAISLAMU WAJIPANGA WAMSUBILI SHEIKH ALIYEBATIZWA
35:49
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 4,3 М.
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
KURUDI KWA YESU -01
55:48
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 16 М.
NILIONA RAISI  WA TANZANIA AKIPINDULIWA: PART-2 SANAMU YA TANZANIA
25:33
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН