Рет қаралды 72
Tunaendelea kuwafikia wateja wetu katika Mwezi wa Huduma kwa Wateja kwani safari hii, ikiwa ni muendelezo wa kampeni yetu ya Sisi ni Huduma, #Tumekupata
Uwakilishi wa Benki ukiongozwa na Mkaguzi Mkuu wa ndani wa Benki ya NMB, Benedicto Baragomwa aliyeongozana na Katibu wa Kampuni, Mwantumu Salim, umetembelea Tawi letu la Paje, pamoja na Wateja wanaohudumiwa na matawi yetu ya Zanzibar na Mwanakwerekwe pamoja na taasisi za serikali ya mapinduzi Zanzibar mfano ZIPA
Endelea kutembelea matawi yetu yaliyoenea nchi nzima na kujifunza namna masuluhisho yetu yanaweza kufanikisha shughuli zako.
#Sisi ni Huduma
#Tumekupata #NMBKaribuYako