Acheni kuwaonea Wapinzani,hii nchi ni ya vyama vingi,kama sivyo basi tujulisheni kuwa ni nchi ya chama kimoja!! Vinginevyo hamtendi haki na hata Mungu hapendezwi na vigeugeu!!✝️
@JosephMbagala11 күн бұрын
Mungu ni Moja kiongozi ni Moja tu mama inatosha
@JosephMbagala11 күн бұрын
Sisi atutaki siasa tunataka maendeleo mama siufute vyama vya siasa wanapiga kelele atuwezi kuongozwa na walipa visasi wa magaribi