NI ZIPI FAIDA ZA KUKUMBUKA KIFO?
8:12
SIO KILA JEMA HULIPWA KWA WEMA
4:08
HEKMA YA LEO
6:04
6 ай бұрын
Пікірлер
@OmarOmar-zh3rq
@OmarOmar-zh3rq Ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Bachu
@user-pi4mv4vd5k
@user-pi4mv4vd5k 25 күн бұрын
Kama Muhamed Bachu ni sheikh hakuna mwislam ambae si sheikh leta ushahidi kasomea wapi uyu hizbi
@ibrahimabdillah5729
@ibrahimabdillah5729 Ай бұрын
Shee Comedy...
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i Ай бұрын
Sawa
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i Ай бұрын
Sheikh ukosawa mtachokabure nahawa watu
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i Ай бұрын
Huyu bachu nimropokajitu dini ikokamili sstumesoma kale yy bado hajazaliwa
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Ай бұрын
Wanazuoni wa miji yetu walitufundisha kuabudia makaburi na kuwaba maiti na kupiga zefe na kutinsha mabega na sasa viuno Tuliju ndo dini kumbe ni utamauni wenye mafhambi ndani yake
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 Ай бұрын
Sasa mm nlivyomfaham sheikh cjui km yy kajifahammm🤔 kasema miez itofautiane masiku yote sawa lkn ikifika hijjah uzingatiwe mwez mahala hapo sasa kwa hivyo sote tunatakiwa kufuat huko au vp??‽?
@AbasiChigo
@AbasiChigo 2 ай бұрын
Kakosea wapi,,jaman mbona mnalialia sana ,,yeye anasoma vitabu,,
@saiditara7235
@saiditara7235 2 ай бұрын
"Na kama mungu alijua kwamba hili litakuja" hilo neno sidhani kama limekaa sawa kwa upande wa kumnasibishia Allah, au kama kuna ushahidi wa kufaa kulitumia naomba kufahamishwa?
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 ай бұрын
Hii dini inautaratibu sheikh.
@MkindiRama-lp6hy
@MkindiRama-lp6hy 2 ай бұрын
Waisilam kweli tumuogope mungu unaenda kusali sala tano halafu unatukana hz so sifa za waislam
@aminaabdullahi-tp5kn
@aminaabdullahi-tp5kn 2 ай бұрын
Unapata nguvu vipi yakusme bachu Ni mfitinishaji...kijana anaeleweka Kwa fwasaha ya ilmu anayoitowa ALLAH AMJAALIE FIRDAUS IWE MAKAZI YAKE...
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 2 ай бұрын
Maneno yako yanajifunga funga mwenyewe. Amekataa Mijadala huku anaileta. Ufam wako mdogo Allah akuongoze.
@ilyasawadh6375
@ilyasawadh6375 2 ай бұрын
Allah akuhifadhi
@AyubEsmail-mq4gu
@AyubEsmail-mq4gu 2 ай бұрын
Mashaallah ukweli kabisa
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l 2 ай бұрын
SHEKH BACHU ALLAH AKUZIDISHIE MAANA HAWA MATWARIQA KILA SIKU LAZIMA WAUMIZE VICHWA KUPAMBANA NAE LKN WANAFELI....
@ibrahimnoordin3420
@ibrahimnoordin3420 2 ай бұрын
Wadhih. Ya Sheikh👌
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 2 ай бұрын
قال ابن رجب :" (كل بدعة ضلالة) من جوامع الكلم لايخرج عنه شيء، وهو أصل عظيم من أصول الدين"[ انظر جوامع العلوم والحكم 1/266]. - وقال الشاطبي : " قول النبي - صلى الله عليه وسلم - : ((كل بدعة ضلالة)) محمول عند العلماء على عمومه لايُستثنى منه شيء البتة ، وليس فيها ماهو حسن أصلاً , إذ لاحسن إلا ماحسَّنه الشرع ولا قبيح الا ماقبَّحه الشرع ، فالعقل لا يحسِّن ولا يقبِّح ,وإنما يقول بتحسين العقل وتقبيحه أهل الضلال" [انظر فتاوى الامام الشاطبي ص(181,180)] وقال أيضاً : " والحاصل....أن البدع لاتنقسم إلى ذلك الانقسام , بل هي من قبيل المنهي عنه إما كراهة وإما تحريماً " [ انظر الاعتصام 1/211].
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 2 ай бұрын
Omba sana ikhlaas, haraka zako hazifanani na wakweli, kijana kama jina lako kasome, unaongea sivyo kabisa...
@ilyasawadh6375
@ilyasawadh6375 2 ай бұрын
panga mjadala mutuelimishe mtandaoni hautoshi ana kwa ana itatusaidia mashekhe zetu.
@HemedAbdullaSuleiman
@HemedAbdullaSuleiman 2 ай бұрын
Mashallah
@abdulmalikali1501
@abdulmalikali1501 2 ай бұрын
Hhhhhh katwaliini Vzr Mashekhe Mambo ya Bachu Bachu ebu tulieni acheni kumpa kibri kijana mdogo huyu nae kwanza akatwaliii.kisha Huyu bachu yaani yy siku zote ndio Qaadhwil Qudhwaat yaani yy ndio aona makosa hamna mashkhe wengi 😂😂.wallai ajabu kweli
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 2 ай бұрын
Makhulafy wameenda kujificha kwenye madema ya mina kufanya mizushi yao ya maulid .Acheni kujificha kwenye madema Kwa bidaa zenu
@user-zs7eq8up5s
@user-zs7eq8up5s 2 ай бұрын
Makhulafy kwasababu mnamkhalifu mtume kumsifu mtume sio hoja wakat mnamuasi na kumpinga
@user-id6bo3mu3j
@user-id6bo3mu3j 2 ай бұрын
Uyo Mzee ndio hatari kaenda kudanganya kule mpaka Ati kunatareh yamkaa natareh ya tz wakati kule ilikua j mosi nahuku j mosi
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 2 ай бұрын
Ubabaishaji huo tena hadhi y chini sana hamna hoja twarika hio ni upotevu chungeni mijikaswida tuu
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 2 ай бұрын
MUSHAJUA MNAITWA HIVO KWA SBB GANI ILA HILO ULISEMALO NI UBABAISHAJI TUUUU
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x 2 ай бұрын
Haki ngumu toka zamani mnafuata mwezi Sasa suudia imeleta watu mnafuata suudia
@ibnayub2374
@ibnayub2374 2 ай бұрын
Nlikua nadhani huyu sheikh Ana akili kumbe n wale wale saa mpya mshale una kutu, kwani hapa dunian kuna nchi haina siku ya jumaa mosi au Ijumaa? Watu wa Bida'a kweli hata elimu ya dunia hamjasoma? N kweli bacho ni mmbovu katika elimu lakn wew n mmbovu Zaid katika dunia na dini Allah atupe elimu yenye manfaa
@latif15
@latif15 2 ай бұрын
Sali salah ya ijumaa pamoja na Saudi Arabia hata kama kwenu ni alkhamis au jumamosi au tofauti na masaa ni muhimu kufuata nyakati na miandamo na siku za Saudi Arabia.
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq 2 ай бұрын
Allwah amhifadhi sheikh letu Muhammad bachu. Kwakweli anaitendea haki dini yetu ya kiislamu. Hawa mashehe wengine hawana mpango isipokuwa kupoteza muda. Mimi nimemfahamu saana sheikh Muhammad bachu
@babuumohd4290
@babuumohd4290 2 ай бұрын
Mimi ninaswali jee ipo siku Rasoul aliwahi kuletewa habari mwezi umeonekana mahali flani akaukataa kwakua haujaonekana sehemu yake?
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 2 ай бұрын
Makhurafi sio sababu ya kumsifu mtume swalla llahu aleihi wasallam, wacha ubabaishaji!!! Mnaotwa hivyo sababu mnazua mambo hayamo katika dini kwa akili zenu, ukhurafi ni kuzua mambo yasiokuwa na kichwa wala miguu.... Kama wewe ni khurafi mkuu, ukijibiwa utasema unatukanwa... na ni khurafi mkubwa... 😂😂😂😂
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 2 ай бұрын
Wanajifanya ati mapenda kwa mtume ambapo hata Sunnah y kanzu balaa lafagia ardhi ndevu kama tako la mtoto wanatoa zote alafu ujiite ahlulsunnah vp ww usituharibie jina nynyi makhurafi Sufi twarika etc
@mwanaherimatata8571
@mwanaherimatata8571 2 ай бұрын
We kiumbe usome vitabu bhna acha kubishana shekh Abubakar yuko sahihi
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 2 ай бұрын
@@mwanaherimatata8571 makhurafi tunawajua kwa reactions hampendi hao wapotoshaji kuitwa makhurafi ama masufi nyie hampo rudini ktka njia ya sawa viumbe hv dhaifu vyao Allah n atawasamehe kwa kurudi kwake
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 2 ай бұрын
Sababu mnakhalifu njia ya sunnah sahihi ndo maana makhurafi masufi ama watu wa bidaa
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 2 ай бұрын
Mawahabi ndio watukanao ahlu Sunnah waljamaa hakuna ahlu Sunnah waljamaa anawatukana watu kwa kuwaita makhurafi nitajie ahlu Sunnah waljamaa yoyote aliyeita watu makhurafi hutapata Zaidi ya vijana wa kiwahabiya na mashehe zao ukipata ahlu Sunnah waljamaa njoo uchukue zawadi na mm nakuwa muhabi kuanzia hapo
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 2 ай бұрын
@@mhusinigau3231 mnajiita ahlulsunnah na nynyi makhurafi masufi mtu yeyote wa Sunnah hamzulii mtume wake uongo kisa na kufanya ati tunampenda mtume kumpenda mtu Fanya aliokwamrisha ufnye n la kuacha muache then,,,,
@AshrafMudrik
@AshrafMudrik 2 ай бұрын
Una suna ukiipata na nan ww ahh, mtume hakuwa mnafiki wala mchoyo na ww cfa hizo uko nazo
@YussufWakala
@YussufWakala 2 ай бұрын
Fuga ndevu ili tukuskilize km shekh
@YussufWakala
@YussufWakala 2 ай бұрын
Kumbe mnaumia mashekh ubwabwa
@YussufWakala
@YussufWakala 2 ай бұрын
Mwendo wa Qur-an na sunna hatutaki dini ya maneno mengi bila aya wal hadith sahihi
@YussufWakala
@YussufWakala 2 ай бұрын
Shekh km kilamtu n mji wake arafa zitakuw ngp ittakillah
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 ай бұрын
Wewe ndo mfitinishaji mpumbavu wa kisufi
@ibrangowo6185
@ibrangowo6185 2 ай бұрын
KUFUNGA ARAFA KWA VILE MAHUJAJI WAPO KIWANJANI HUO UZUSHI ULIOPINDUKIA MIPAKA. NA NI IBADA ISYOTEKELEZEKA KWA WAISLAM WOTE DUNIANI.
@arafataliomar7432
@arafataliomar7432 2 ай бұрын
Wee pandisha kofia ukivua haki itabaki haki tu
@arafataliomar7432
@arafataliomar7432 2 ай бұрын
Sasa anaependa mijadala ni weye unaemjibu au yeye alieilimisha watu na wakamuelewa
@hassansaul7098
@hassansaul7098 2 ай бұрын
Uzuri ni kwamba Muhammad Bachu anatumia Hadithi na Ayat, na Kauli za Wanachuoni wanaokubalika ndani ya ISLAM
@masoudabdallah7041
@masoudabdallah7041 2 ай бұрын
Mmmmh unaweza kutaka kumzogoa mtu kumbe we mwwnyewe hamna kitu sio kujibizana mtu katoa hoja jibu hoja kwa hoja dalili kwa dalli
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 2 ай бұрын
Mbona huja eleweka Sheikh? Tulitaraji utaleta hujja ya kuzivunja za bachu hafidhahullah
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 2 ай бұрын
Nyie Kenya hapo na Tanzania hamuwezii kujua kwamba arafa wasimam lini!??
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 2 ай бұрын
Acha kubwabwaja wewe!!!!!!!! Zima hoja zake usiseme atafuta umaarufuu......wee. Waropoka kama........zungumzia hoja zakee........mwawadanganya makhurafii wenzenuu...kama hatufanani nao kwanini swaumu yaumu arafa!??? Nisunna kama wachinja usinyoe nywele!!!!!! Usikate kucha je!! Haya ayafanya hujaji!??? Wewe wazungumza kama wazimutuu!!!!! Huna hoja!!!
@vicentpantaleo5837
@vicentpantaleo5837 2 ай бұрын
Bachu amewashika pabaya sana
@hidayaramadhani1833
@hidayaramadhani1833 2 ай бұрын
Huyo kwawenye kujua wanajua nizumbuu kuku elimu hamna naamekosa kujitambua
@bakariismail3274
@bakariismail3274 2 ай бұрын
Mtume الحج عرفة { 4:57 ٱلۡحَجُّ أَشۡهُرࣱ مَّعۡلُومَـٰتࣱۚ mungu [Surah Al-Baqarah: 197] Tumfuata nani!? Shehe nenda ukasema upya
@AbuSaeed-pz2kb
@AbuSaeed-pz2kb 2 ай бұрын
Vita baina ya Haqi na Baathil itaendelea mpaka qiyaama isimame Makhurafi tambueni hilo
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb 2 ай бұрын
SJAONA LOLOTE LENYE MAAANA HAPA ULILOSEMA SHEKHE