MUHAMMAD BACHU NI MFITINISHAJI ANAETAFUTA UMAARUFU SI MSOMI

  Рет қаралды 10,636

Alwiy Muhanna

Alwiy Muhanna

Ай бұрын

USIACHE KU SUBSCRIBE KZbin CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT
ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE

Пікірлер: 281
@shabanimsoma
@shabanimsoma 29 күн бұрын
Mungu amjaaalie sheikh Bachu elimu zaid na zaid
@habibmayike7463
@habibmayike7463 28 күн бұрын
Ww na yy mazuka
@madrassatulihyaa-ilislaami2911
@madrassatulihyaa-ilislaami2911 27 күн бұрын
Amjaalie elimu kwasababu hana elimu,,..Wallah
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 29 күн бұрын
Nlkua nasubiria hoja ila kumbe kuna michambo na mipasho tu, Bachu yy anachokiongea hua analeta dalili🤝
@mzulwa2006
@mzulwa2006 29 күн бұрын
Hao dalili zao ni wanazuoni wao maana ni Maha's um
@ibrangowo6185
@ibrangowo6185 26 күн бұрын
HIZO UNAZOITA DALILI NDIO HIZO HIZO MASHEHE WAKE WANAMSAHIHISHA. YAKO MASWALI MENGI ALIULIZWA HADI LEO HAJAWEZA KUYAJIBU. 1 . JE WAISLAMU WANAWEZA KUTEKELEZA IBADA ZAO ZOTE KWA ASILIMIA 100 BILA MSAADA WA SIMU NA TV? HILO NI SWALI LA KWANZA. LABDA UMSAIDIE KUJIBU.
@bafaaabuu
@bafaaabuu Ай бұрын
Kiukweli mm binafsi nashukuru allah nimeijua haki ya kweli ya siku ya arafa kwa kupia mohammedi bachu mashaallah alla azidi kutuongoza na allah ampe umri mrefu azidi kutupa elimu kwa hili na mengine innshaalah nyinyi niwazushi2
@kassimsaid4481
@kassimsaid4481 Ай бұрын
Wewe ni mwanafunzi mwenye ufahamu finye ndio maana wayaelewa ya BACHU PEKEE angalia hata ibara yako ulivyoandika haumo kabisa . Kasome zisomeke.
@Shuu.A
@Shuu.A 29 күн бұрын
Finyu nyie mnaofata mwezi wa kijinga wa serikali
@SaidiOmy
@SaidiOmy 23 күн бұрын
​@@Shuu.A Hakuna mwezi wa serikali Mioandamo ya mwezi .. jambo alilotaja Allah KTK Qur ani .. Kisha mwezi ni milki ya Allah HAKUNA mwezi wa Serekali wala wa Mufti acha uongo wako. Huoni kuwa unafanya dhulma.. ?? Kumpa kitu yule ambaye sio chake na kumpokonya ambae ni chake ?? Tafakari kabla huja andika chochote au kukisema . Allah akutoe kwenye UWAHABI.. Na akuongoze kwenye haqqi pmj na sisi ..
@saidali9255
@saidali9255 29 күн бұрын
Allah insha Allah amlinde Bachu! Mtaumia bure! Bachu fanya kazi ya Allah!
@user-nh2wt4yd7w
@user-nh2wt4yd7w 29 күн бұрын
Hawa mashekh wa maulidi wana tabu Allah amuhifadhi sheikh Muhammad Bachu
@Shuu.A
@Shuu.A 29 күн бұрын
Ameen
@mzulwa2006
@mzulwa2006 29 күн бұрын
Kiarabu kingi jibu lapotezwa kwa kuzungusha ukweli.tumeambiwa tufikishe walau aya.
@user-rb8ir9co9k
@user-rb8ir9co9k 28 күн бұрын
Yaa Allah muhifadhi Sheikh wetu Muhammad Bacho na fitna za hawa wasio mpenda
@ramadhanishabani2712
@ramadhanishabani2712 29 күн бұрын
Wewe endelea kuangalia mwezi wako sisi tunaangalia mwezi wa allah
@madrassatulihyaa-ilislaami2911
@madrassatulihyaa-ilislaami2911 27 күн бұрын
Kwahyo hii miezo mengine ni ya Shaitwan sio
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 29 күн бұрын
BACHU HAWEZI KUKUACHA KAMWE...ANAJIANDAA ANAKURUDIA
@aliissahaji33
@aliissahaji33 25 күн бұрын
Ndo nyie mnaoharibu dini
@AshrafBunu
@AshrafBunu Ай бұрын
Allah amuhifadhi sheikh Bachu
@hudhaifahsadru-xr2gg
@hudhaifahsadru-xr2gg Ай бұрын
Aamiyn
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz 29 күн бұрын
Lukman alimuusia mtotowake, ukikataza mabaya na kuamrisha mema lazima itakukuta taabu, bachu Mungu akuongezee elimu Zaid na zaidi
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq 25 күн бұрын
Allwah amhifadhi sheikh letu Muhammad bachu. Kwakweli anaitendea haki dini yetu ya kiislamu. Hawa mashehe wengine hawana mpango isipokuwa kupoteza muda. Mimi nimemfahamu saana sheikh Muhammad bachu
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l 23 күн бұрын
SHEKH BACHU ALLAH AKUZIDISHIE MAANA HAWA MATWARIQA KILA SIKU LAZIMA WAUMIZE VICHWA KUPAMBANA NAE LKN WANAFELI....
@AbuujureyjKhaniy
@AbuujureyjKhaniy 28 күн бұрын
Tuko Nyuma ya Msema kweli shekh bachu ukiwa ktk haki nilazima upigwe vita mnoo shekh bachu endelea kutangaza haki aridhie aridhiae achukie achukiae haki mpaka kiamaaaaa ❤
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 Ай бұрын
Mashallah bachu ametutoa ktk upotevu kwakweli yye anaongea kwa hoja nyie mwapinga kw ubishi tu
@pakashume725
@pakashume725 29 күн бұрын
Bachu amekuchapeni sawa sawa! Mnatapatapa sawa sawa
@Shuu.A
@Shuu.A 29 күн бұрын
Mijitu mizima inamzaa bachu akili haiba wallah
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si Ай бұрын
Nyie tulisha wachoka mohamedi bachu ni msomi anatembea na dalili nyie hamna kitu mkishindwa mnakimbilia serikal
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 16 күн бұрын
Mbona alikimbia mdahalo na akajikojolea ktk kiti na isitoshe hajui kiarabu 😂
@fadhilfathamula4224
@fadhilfathamula4224 Ай бұрын
Huyu yupo kwa ajili ya masilahi ya Dunia
@user-yv1gj2zn4z
@user-yv1gj2zn4z Ай бұрын
sheikh maneno yako kweli
@ayubahmed9490
@ayubahmed9490 27 күн бұрын
hamna ukweli wowote
@OmarOmar-zh3rq
@OmarOmar-zh3rq 6 күн бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Bachu
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 28 күн бұрын
Tumechoka na uzushi wenu. Mohamad Bachu ALLAAH amhifadhi na azidi kuingarisha sunna. Ameen
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 29 күн бұрын
Toka apa sufiiiii
@issahabdallah9018
@issahabdallah9018 29 күн бұрын
kibri kitawamaliza masufi
@user-nh2wt4yd7w
@user-nh2wt4yd7w 29 күн бұрын
Bachu amekushinda ilimu Allah amuhifadhi
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 29 күн бұрын
Ilimu gani unayo ongea bachu mwenyewe hata I abarahajui kusoma halafuati nimwanachuoni kweli hii niajabu ya dunia
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 29 күн бұрын
Endeleeni ushabikiwenu
@habibmayike7463
@habibmayike7463 28 күн бұрын
Ww mtupu kama yeye bachu
@user-rb8ir9co9k
@user-rb8ir9co9k 28 күн бұрын
Masheikh acheni unaafiq, ifike kipindi muikubali haqi , mutakwenda kuulizwa mbele ya Allah, naona Muhammad Bacho ni mdogo lkni amewashinda kwa elimu saiv kilichobaki kwenu ni kutapa tapa tu
@user-rn1xk1yr5j
@user-rn1xk1yr5j Ай бұрын
Bachu💪👍
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Ай бұрын
Bacho Kwa Sasa ni mwiba Kwa masufi
@abiabi9353
@abiabi9353 Ай бұрын
Ukisoma comments kama hizi ndo utajua mawahabi walivyo majahili
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 29 күн бұрын
​@@abiabi9353 Vipi Ughulaati wa kishia umekushinda kuutangaza nini? Naona umehamia kwa Masufi au hauna pa kusimamia?
@binmiraji2168
@binmiraji2168 28 күн бұрын
Tutamuita Saidi sasa hivi
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si Ай бұрын
Watu Kila kukicha wanijua haki wanatoka kwenye ujinga dunia kiganjani
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Ай бұрын
Alhamdulillah,nilikaa sana kwenye ujinga sasahiv inatosha
@salumukiyogombe9101
@salumukiyogombe9101 29 күн бұрын
Soma Shekhe usiwe msikilizaji! Nasema soma somaaaaa
@masoud744
@masoud744 29 күн бұрын
Hujasema kitu.. humuezi kielimu sheikh Bachu
@abughaneem9220
@abughaneem9220 29 күн бұрын
Madudu msichanganye watu someni vitabu acheni kula pilau za maulidi wali ndiyo inawachanganya kabisa mkaacha kusoma
@user-nk9jt7qo1j
@user-nk9jt7qo1j Ай бұрын
Halali inaoneka na batil inaonekana . Sifikirii kama kuna arafa 2 ukiachana nasiku yaarafa. Allah amlinde naampe khery naelimu zaidi siku mpaka siku.
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Ай бұрын
Sheikh yupi umemsikia anasema visimamo vya au siku za Arafa ni mbili?
@arrisalastriker9813
@arrisalastriker9813 Ай бұрын
Haqqi hamuitaki Mungu amhifadhi sheikh Bachu amzidishie elimu yake nyinyi wacheni michezo
@user-do8xo2is4e
@user-do8xo2is4e Ай бұрын
Wajua mana haqqi kwanza wewe?
@eng.aliali8187
@eng.aliali8187 Ай бұрын
Sheikh Mohamed kuchu, atafuta kiki 😂
@abdallatwaha4884
@abdallatwaha4884 Ай бұрын
Ni vizuri tuwe na uwazi ili tufaidike ama tupate Elimu. Sunnah ya Mtume; kila nchi ifuate mwandamo wa mwezi wao. Wanachuoni wa Saudia wenyewe wanasisitiza tusiwafuate... sasa wale wanaofuata kwasababu ya Ushindani; faida yake ni nini...???
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 Ай бұрын
BACHU HANA ELIMU BACHU KABACHUKA ANA MUHEMKO WA ELIMU BACHU KATIKA WENYE ELIMU HAHESABIKI KAMA KWA KUJISIFU NA MAWAHABI KUMSIFU NISAWA NA PUNGUWANI KUMSIFU PUNGUWANI MWENZIWE MAWAHABI NI MAADUWI WA UISLAM NDIYO MANA WANAPENDA MGAWANYIKO BAINA YA WAISLAM
@sulekhan7119
@sulekhan7119 Ай бұрын
Hakhi gani yakujifanya wajuwa kira kitu
@ahmedseif-cu4ex
@ahmedseif-cu4ex Ай бұрын
Kwa lugha gani na nahwu gani ulionayo kujikweza tu kuanzia ww na masufi wenzio hamuna lolote kwenye iyo lugha munataka mupotoshe watu afu muachwe
@aminaabdullahi-tp5kn
@aminaabdullahi-tp5kn 23 күн бұрын
Unapata nguvu vipi yakusme bachu Ni mfitinishaji...kijana anaeleweka Kwa fwasaha ya ilmu anayoitowa ALLAH AMJAALIE FIRDAUS IWE MAKAZI YAKE...
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb 27 күн бұрын
BACHU MOLA AMHIFADHI KIJANA YULE ACHA ABAINISHE HAQQI
@dunivuai9778
@dunivuai9778 Ай бұрын
Assalaamu alaykum, Sheikh Muhammad Bachu, kaleta fujo gani? Au kuizungumza Haqqi.
@hamadmasoud490
@hamadmasoud490 29 күн бұрын
Dunia ni duara mkuu. Kumbukeni ayab alyam akimalkum dinnakum
@fadhiliharuna3934
@fadhiliharuna3934 28 күн бұрын
Bacho yupo vizuri
@Allybinamour
@Allybinamour Ай бұрын
sheikh mimi sijakufaham,unasema quran haitaki mijadala na hapo unawalaum watu kwa mijadala na wewe upo kwenye mijadala unayoipinga, au mijadala ni ile ambao haiendani na msimamo wako?
@UB40X1
@UB40X1 Ай бұрын
Wapuuzi hawo
@Shuu.A
@Shuu.A 29 күн бұрын
Ndio hapo hajitambui nae huyu yumo tu
@AbuSaeed-pz2kb
@AbuSaeed-pz2kb 27 күн бұрын
Makhurafi hawajitambui
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 29 күн бұрын
TUMESHAMKUBALI BACHU HATUINGII FITNA ZENU WATU WAZUSHI TUMESHAMUCHOKA
@musaomar4184
@musaomar4184 28 күн бұрын
Allah amhifadhi kijana wetu sheikh Bachu kwanza tuambie kiwango chako cha elimu umesoma university gani ya kiislam
@abutafawa
@abutafawa 29 күн бұрын
Allah atamihifadhi akhii Mohammad Bachu kutokana na chuki zenu... Hiyo yote ni kwa sababu ana sambaza sunnah... مُوتُوا۟ بِغَيْظِكُمْ ۗ
@sayyidalishariff6068
@sayyidalishariff6068 29 күн бұрын
Ameen apate elmu zaidi. Lakini awa heshimu mashekhe wengine. Hatu mchikii maana pia yy ni ustadh. WBT
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Ай бұрын
We mpumbavu?
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si Ай бұрын
Haki ni haki tu bachu Allha akuhifadhi na fitina zao
@nelson-cd7fr
@nelson-cd7fr Ай бұрын
Aamin
@Shuu.A
@Shuu.A 29 күн бұрын
Ameen
@habibmayike7463
@habibmayike7463 28 күн бұрын
Haki gani?
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb 27 күн бұрын
BACHU MOLA AMHIFADHI
@bintomar7025
@bintomar7025 29 күн бұрын
Ahsante sheikh umesema kweli Allah akulipe kheri
@user-lr2wd3zs1k
@user-lr2wd3zs1k 28 күн бұрын
Nawausia sana watu wa Kenya kwa kumkaribisha bachu Muhammad bachu huyo ni mzanzibar na mm ni mzanzibar kwahyo ss tunamjua vzur ss wazanzibar kuliko baadh ya wakenya Muhammad bachu hajawa na elim jaman huyo ss wazanzibar tumenfungia kwasababu hatak kusoma ss huku Zanzibar tumemambia aje asome ametaka
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 28 күн бұрын
Hujielewi ww
@hassansaul7098
@hassansaul7098 26 күн бұрын
Uzuri ni kwamba Muhammad Bachu anatumia Hadithi na Ayat, na Kauli za Wanachuoni wanaokubalika ndani ya ISLAM
@MuniraRashid-sx3up
@MuniraRashid-sx3up 29 күн бұрын
Allah amuhifadhi sheikh Mohammed na midomo ya washirikina
@albayaanmschool8451
@albayaanmschool8451 Ай бұрын
Nikawaida unapoifikisha haqqi utapewa majina ya kukurejesha nyuma ila ujumbe umefika
@abdallamassoud53
@abdallamassoud53 28 күн бұрын
Shekh mashaallah unaeleweka vizur sana
@YussufWakala
@YussufWakala 26 күн бұрын
Kumbe mnaumia mashekh ubwabwa
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 27 күн бұрын
Mungu hakuumba kiumbe Shetani ila shetani ni sifa ambayo hupewa kiumbe yeyote kwa tabia zake chafu sasa mtu akiwa kazi yake ni kufitinisha waislamu na kuwagawa badala ya kuwaunganisha basi huyo moja kwa moja anaingia kwenye USHETANI ni SHETANI kwa mujibu wa vitendo vyake. Mimi nasema wengi ya wale wajiitao MASALAFI wanasifa za KISHETANI.
@hudhaifahsadru-xr2gg
@hudhaifahsadru-xr2gg Ай бұрын
Wew shekh umempasua moyo wake? Itaq llah, alaf ni bora umwambie yeye, kwa nini utuambie sisi?
@abdulmalikali1501
@abdulmalikali1501 24 күн бұрын
Hhhhhh katwaliini Vzr Mashekhe Mambo ya Bachu Bachu ebu tulieni acheni kumpa kibri kijana mdogo huyu nae kwanza akatwaliii.kisha Huyu bachu yaani yy siku zote ndio Qaadhwil Qudhwaat yaani yy ndio aona makosa hamna mashkhe wengi 😂😂.wallai ajabu kweli
@ChidySuleiman
@ChidySuleiman 28 күн бұрын
Nyinyi bakwata na masufi ndio mnaopotosha watu wallah
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Ай бұрын
SHEKH BACHU KAWASHIKA PABAYA KIASI KWAMBA ANAWANYIMA USINGIZI KILA KUKICHA MNAMSHABULIA....
@habibmayike7463
@habibmayike7463 28 күн бұрын
Kusoma muhimu majahili wengi hapa kwa comments just like bachu
@ayubahmed9490
@ayubahmed9490 27 күн бұрын
ww ndio jahil namba moja
@gundererthemustache5818
@gundererthemustache5818 Ай бұрын
Mashekhe mwatutuia aibu mushakosa KAZI zenu za kufanya KAZI kuzozana tuh
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 23 күн бұрын
Maneno yako yanajifunga funga mwenyewe. Amekataa Mijadala huku anaileta. Ufam wako mdogo Allah akuongoze.
@JumaHaji-zz8xk
@JumaHaji-zz8xk Ай бұрын
Ww pia hujui kiarabu wala nahaw
@fadhilalmaawiy7804
@fadhilalmaawiy7804 28 күн бұрын
Upumbavu tu kwani hao Mola (S.W) alowapa elimu mnawajua au mnajipa mwenyewe "nani ana elimu" "nani hana " hamuoni mfano wa mja mwema na Nabii Mussa (A.S). Hao Ahl Al dhikr "Those who know" the people of Al dhikr the( book) The followers of the Remembrance mmebainishiwa ni nani na nani ? Wallah Mola angekupeni elimu na hikma msingepiga kwelele. Baada ya kushikamana na haki nakupendana katika njia ya Mola ( A.S) kazi yenu kujibishana na kusemana nani hana elimu nani anayo km hamumjui nani Mjuzi ( Al aleem ) na humpa elimu amtakaye.
@user-lr2wd3zs1k
@user-lr2wd3zs1k 28 күн бұрын
Hv munatakiwa mujiulize kwanin Muhammad bachu radd zake hawafanyi mashekh wa huku nyumban Zanzibar et kwasababu huku anajuilikana ni mtoto wa saafu saan ni mtoto wa mwaka wa pili kwahyo tunakunasihin nyinyi ambao mumenchua huko Kenya daaaa nataman huu
@omarimahela7690
@omarimahela7690 28 күн бұрын
Kichwa cha habari na maneno ya sheikh tofauti. Tuache uchonganishi kwenye dini
@mahsenshariff1076
@mahsenshariff1076 28 күн бұрын
Mkasome mauliidi Muhammad bachu achanane nae
@user-sm7if6ni3o
@user-sm7if6ni3o 29 күн бұрын
Me nahisi ungejibu alicho kisema ndo iswaaf ama kumponda haina mantiki yeyote
@user-nv7jg6xc8l
@user-nv7jg6xc8l 28 күн бұрын
Bachu lazima awe na wafuasi wengi sababu wengi hawana elimu na ndio Msiba tuliokua nao waislam wengi wa zama zetu hatujui dini
@saiditara7235
@saiditara7235 22 күн бұрын
"Na kama mungu alijua kwamba hili litakuja" hilo neno sidhani kama limekaa sawa kwa upande wa kumnasibishia Allah, au kama kuna ushahidi wa kufaa kulitumia naomba kufahamishwa?
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
Hata mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalaam,aliitwa mtoto,na kadhalika,Muhammad Bachu kumkuta haya yanayomkuta si ajabu,mara zote kuisimamia haki,maadui hawataki mbali.Allah amughifadhi Muhammad Bachu.Amin
@user-do8xo2is4e
@user-do8xo2is4e Ай бұрын
Tafuta wakumfananisha na mtume wewe si jaahil kama bachu
@eng.aliali8187
@eng.aliali8187 Ай бұрын
Mohamed kuchu na sio Bachu😂
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
@@eng.aliali8187 Hata mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalaam,aliitwa mtoto,na kadhalika,Muhammad Bachu kumkuta haya yanayomkuta si ajabu,mara zote kuisimamia haki,maadui hawataki mbali.Allah amughifadhi Muhammad Bachu.Amin
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
@@user-do8xo2is4e Hata mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalaam,aliitwa mtoto,na kadhalika,Muhammad Bachu kumkuta haya yanayomkuta si ajabu,mara zote kuisimamia haki,maadui hawataki mbali.Allah amughifadhi Muhammad Bachu.Amin
@Allybinamour
@Allybinamour Ай бұрын
kweli kabisa
@masoud744
@masoud744 29 күн бұрын
Jibu hoja wacheni makelele
@YussufWakala
@YussufWakala 26 күн бұрын
Mwendo wa Qur-an na sunna hatutaki dini ya maneno mengi bila aya wal hadith sahihi
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 12 күн бұрын
Sawa
@hamadmasoud490
@hamadmasoud490 29 күн бұрын
Tuseme.hawawezi jee ww huwezi kufubga sawa na saudia Arabia
@fadhilfathamula4224
@fadhilfathamula4224 Ай бұрын
Humu hakuna shekh ukitaka kujua ilo angalia alivyonyoa ndevu watu kama hawa ndio wafitinishi
@omarabdi3604
@omarabdi3604 29 күн бұрын
kwan hizo ndevu ndio elimu😮😮😮
@fadhilfathamula4224
@fadhilfathamula4224 29 күн бұрын
@@omarabdi3604 ndio inaonesha hafuati mafundisho ya mtume wetu, yeye yupo kwa ajili ya Dunia tu
@ibrangowo6185
@ibrangowo6185 26 күн бұрын
KUFUNGA ARAFA KWA VILE MAHUJAJI WAPO KIWANJANI HUO UZUSHI ULIOPINDUKIA MIPAKA. NA NI IBADA ISYOTEKELEZEKA KWA WAISLAM WOTE DUNIANI.
@MuhammadMuhammad-gr2qv
@MuhammadMuhammad-gr2qv 29 күн бұрын
MIJITU YATAKA KUTENGANISHA ARAFAH YA HAJJ NA ARAFAH YAO YA TWARIKA.. BALAA HUZI ZA UBADUL KUBUR... HAMUNA ELIMU MUJUWAYO ZAIDI YA KUPIGA NGOMA NA KUIMBA MAKABURINI.
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 27 күн бұрын
Ahlul-Bidaa wal-hawaa Masufi ni sumu ndani ya dini
@user-zf2zg2ps5j
@user-zf2zg2ps5j 27 күн бұрын
Bachu atafuti umaarufu umaarufu tayali anao ile kuitwa bachu kwisha acha upotoshaji ww ndio unatafuta kupitia yy
@highhigh7476
@highhigh7476 29 күн бұрын
عرفناه بتعريفك وأيش انت تبحث ؟ عرف نفسك صاحب الطاقية الكبرى
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Ай бұрын
Sheikh swala la mwandamo hakuna ikhtilafu ila madhehebu na siasa jumlisha ujinga nasikitika sheikh waonesha mpumbavu
@Shuu.A
@Shuu.A 29 күн бұрын
Hapa badi😂😂😂
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 26 күн бұрын
Mbona huja eleweka Sheikh? Tulitaraji utaleta hujja ya kuzivunja za bachu hafidhahullah
@thamani5842
@thamani5842 Ай бұрын
Jazakallahulkheir sheikh
@AbuSaeed-pz2kb
@AbuSaeed-pz2kb 27 күн бұрын
Vita baina ya Haqi na Baathil itaendelea mpaka qiyaama isimame Makhurafi tambueni hilo
@Biziman-pu4kf
@Biziman-pu4kf 29 күн бұрын
Matusi tu mbona hamvunji hoja zake
@truthurts7469
@truthurts7469 29 күн бұрын
Kelele tu!😂
@ChidySuleiman
@ChidySuleiman 28 күн бұрын
Dini inarisishwa dini inafundishwa ww autak haki sis dini. Aturisi tunasoma
@YussufWakala
@YussufWakala 26 күн бұрын
Shekh km kilamtu n mji wake arafa zitakuw ngp ittakillah
@kugotwa004
@kugotwa004 Ай бұрын
KHERI SHEIKH NDIO UKWELI UMEONGEA BACHU KAUPOTEZA UMMA WA MUHAMMAD S.A.W
@Biziman-pu4kf
@Biziman-pu4kf 29 күн бұрын
Unaweza kutuonesha huyu upotevu wenye amewapoteza
@user-rb8ir9co9k
@user-rb8ir9co9k 28 күн бұрын
Wapi amewapoteza
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 26 күн бұрын
Nyie Kenya hapo na Tanzania hamuwezii kujua kwamba arafa wasimam lini!??
@muniramohamed972
@muniramohamed972 28 күн бұрын
Wewe kama huna elimu msikize huyo bachu, akili zenu ziko sawa, bachu ni debe tupu.
@isihakaabdul1134
@isihakaabdul1134 28 күн бұрын
Kwani hizi tofauti nyie mwapata tija gani umoja wa kiislam unaouimba utapatikanaje bila ya kuwa na mwezi mmoja
@JumaHaruna-yg6pt
@JumaHaruna-yg6pt 29 күн бұрын
Shekhe mwanzo kabisa, huna hata dalili ya kuonesha kuwa wampenda mtumi, ndevu zenyewe ni za kunyolewa, wafaa kuongoza kwa mifano.
@rushu1232
@rushu1232 Ай бұрын
Hakuna anaemtambua bachu lakini haiwezekani aachiliwe kukosea adabu masheikh waliofanya daawa zaidi yamiaka 50 hao wanaojibu wengi wamepitia kwa ustadh Said.
@sefuriyembe7864
@sefuriyembe7864 29 күн бұрын
Moh.Bachu hana elimu ya darasani, kwahiyo hajui jiografia. Wakati wa kusimama arafa kule saudia, kule uchina wanaswali magharibi !! Yeye anadhani dunia nzima mchana ni mmoja !! 😅😅
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 28 күн бұрын
Nawewe je unajua nini
@AbasiChigo
@AbasiChigo 22 күн бұрын
Kakosea wapi,,jaman mbona mnalialia sana ,,yeye anasoma vitabu,,
@ibnayub2374
@ibnayub2374 25 күн бұрын
Nlikua nadhani huyu sheikh Ana akili kumbe n wale wale saa mpya mshale una kutu, kwani hapa dunian kuna nchi haina siku ya jumaa mosi au Ijumaa? Watu wa Bida'a kweli hata elimu ya dunia hamjasoma? N kweli bacho ni mmbovu katika elimu lakn wew n mmbovu Zaid katika dunia na dini Allah atupe elimu yenye manfaa
@latif15
@latif15 23 күн бұрын
Sali salah ya ijumaa pamoja na Saudi Arabia hata kama kwenu ni alkhamis au jumamosi au tofauti na masaa ni muhimu kufuata nyakati na miandamo na siku za Saudi Arabia.
@rushu1232
@rushu1232 Ай бұрын
Masheikh wkiwahabi zaidi ya saba wamesema fateni mwezi wakwenu mmoja ndani ya Tz alisema fuateni mufti wenu wacheni comment zakijinga.
@babuumohd4290
@babuumohd4290 25 күн бұрын
Mimi ninaswali jee ipo siku Rasoul aliwahi kuletewa habari mwezi umeonekana mahali flani akaukataa kwakua haujaonekana sehemu yake?
@AbuujureyjKhaniy
@AbuujureyjKhaniy 28 күн бұрын
MAGHURAF NDIO ITIKAD ZENU HAMUNA HOJA YOYOTE MUKIAMBIWA UKWELI MUNAKIMBILIA KTK NAHAU NA LUGHA NAKUMBUK KWETU YUPO MZE AMESOM LUGHA MPAKA NITISHIO LAKIN MGANGA AFUNGA WATOTO HIRINZ NK
HATUKUANZA SISI KUMKHALIFU CHIEF QADHI BALI KAJIKHALIFU MWENYEWE
5:36
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 55 МЛН
Upungufu wa ilmu ya Muhammad Bachu kwenye funga ya arafa
17:48
Maawy Muhammad
Рет қаралды 48 М.
INAJUZU KUOA MKRISTO?
5:32
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 2,8 М.
WAPEMBA WATAKA WAOMBWE RADHI,NADIR NA WENZAKE (SUBSCRIBE)
18:18
ACT Wazalendo Digital
Рет қаралды 21 М.
HII NDIO FAIDA YA KUSEMA TAMKO HILI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
21:02
Fauz Production
Рет қаралды 63 М.
MAJIBU YA DHARAU NA KEJELI YA MUHAMMAD BACHU KWA SHEIKH SAID ALI HASSAN || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE
16:10
Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya
Рет қаралды 6 М.
HUU NDIO MSIMAMO SAHIHI KUHUSU ARAFA! DALILI HIZI HAPA!! SHAFII BASALIM AL-SALIMY
23:57
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15